Search the region
22951 stories
Silent battles GBV victims and their defenders face in Kenya
Case withdrawals is often presented as a lack of resolve but in reality, survivors are forced into silence by calculated economic coercion.
RecentlyJay Rockefeller, oil heir who fought poverty, dies at 89
Read the full report from the original source.
RecentlyKozo Tashima: Japanese leader looking to bring 'integrity' to FIFA
Read the full report from the original source.
RecentlyNWSC Turns to Groundwater to Address Water Supply Gaps in Greater Kampala
Read the full report from the original source.
RecentlyBLOG: The Kenya Pipeline Company and why Uganda’s $200 million Profit is only the Beginning
Read the full report from the original source.
RecentlyGov't to deploy more security officers, patrol boats on Lake Victoria
Read the full report from the original source.
RecentlyFresh fighting erupts in North and South Kivu amid renewed peace efforts
Fresh fighting was reported on Thursday across several locations in North and South Kivu provinces, raising fresh concerns about efforts to secure a ceasefire in…
RecentlyHow football, smartphones and mobile money drive youth sports betting in Africa
If a young person is struggling to find a reliable source of income, the possibility of turning a small stake into a much larger amount can be very attractive.
RecentlySafaricom stake in Ethiopia unit falls to 54pc on new Sh25bn funding
Read the full report from the original source.
RecentlyGermany: Small plane crashes onto A2 highway, killing 2
Read the full report from the original source.
RecentlyBeyond access: securing quality education and the future of Uganda’s learners
In 1997, Uganda took a bold step with the launch of Universal Primary Education (UPE). What began as an affirmative action programme, initially framed as…
RecentlyDar yaweka mpango wabarabara mbadala kwa magari ya mizigo
Read the full report from the original source.
RecentlyAfrica steps up disaster preparedness as Mombasa hosts rescue conference
Kenya has recorded 98 building and structural collapses over the past five years, resulting in 104 deaths and more than 80 injuries.
RecentlyWatoto wawili wafariki, mmoja adaiwa kunyweshwa sumu na mwingine apigwa na mama wa kambo
Read the full report from the original source.
RecentlyPolygold yapewa siku 30 kukamilisha mpango wa ufungaji mgodi
Read the full report from the original source.
RecentlyThe 577-day odyssey: Tundu Lissu’s legal journey
Read the full report from the original source.
RecentlyTAKUKURU PWANI YAOKOA ZAIDI YA SH MILIONI 29 ZILIZOKUWA MIKONONI MWA WAKUSANYA USHURU MAFIA
Na Victor Masangu, Pwani Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh milioni 29 zilizokuwa mikononi mwa wakusanyaji wa ushuru katika Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, kinyume na taratibu za ukusanyaji na uwekaji wa mapato ya Serikali. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo kwa kipindi cha Aprili hadi Septemba 2026, Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Pwani, Ezekia Sinkala, amesema fedha hizo zilikusanywa kupitia mfumo wa mashine za POS lakini hazikuwekwa benki kama inavyotakiwa. Amesema TAKUKURU iliingilia kati baada ya kufuatilia utaratibu wa ukusanyaji na uwekaji wa mapato katika akaunti ya Imprest na kubaini fedha hizo zikiwa bado mikononi mwa wakusanyaji. Katika hatua nyingine, TAKUKURU Mkoa wa Pwani imeokoa Sh milioni moja zilizotolewa na wananchi wa Kijiji cha Nyamwage, Wilaya ya Rufiji, kwa ajili ya kumpatia mtumishi wa RUWASA ili kuwaunganishia huduma ya maji kinyemela. Pia, taasisi hiyo imeokoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya Sh laki nane vilivyokuwa vimeelekezwa kinyume na matumizi yaliyokusudiwa katika mradi wa ujenzi wa darasa la Shule ya Msingi Shikizi ya Nyamitumba, katika Kituo Maalumu cha Ikwiriri, Wilaya ya Rufiji. Aidha, katika kipindi hicho, TAKUKURU imefanikiwa kutoa elimu kuhusu masuala ya rushwa kwa wananchi zaidi ya 27,000 katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Pwani. TAKUKURU imewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi hiyo, ikiwemo kujitokeza mahakamani kutoa ushahidi katika kesi za makosa ya rushwa zinazoendelea kusikilizwa.
Fri, 06 Nov 2026 15:41:32 +0000Tanzania yaunga mkono mpango wa pamoja wa EAC kukabili athari za El Nino
Read the full report from the original source.
RecentlyVIJANA 985 WANAOKWENDA KUFANYA KAZI NJE YA NCHI WAAGWA
Na. OWM (KAM) – Dar es Salaam Serikali imeonya kuwa haitasita kuchukua hatua kali dhidi ya mawakala binafsi wa huduma za ajira au mtu yeyote atakayebainika kujihusisha na udanganyifu, ukiukwaji wa taratibu za ajira au usafirishaji haramu wa Watanzania kwenda kufanya kazi nje ya nchi. Kauli hiyo imetolewa Novemba 2026, jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus C. Sangu, wakati wa hafla ya kuwaaga vijana 985 wanaokwenda kufanya kazi katika nchi mbalimbali nje ya Tanzania. Mhe. Sangu alisema Serikali inatambua na kuthamini mchango wa mawakala binafsi wa huduma za ajira katika kuwaunganisha Watanzania na fursa za ajira ndani na nje ya nchi, lakini akasisitiza kuwa mchango huo unapaswa kuendana na uzingatiaji wa sheria, weledi, uwazi na uwajibikaji. Akizungumza na vijana hao, Mhe. Sangu alisema Serikali ina imani nao na kuwataka kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi, huku wakizingatia sheria, mila na desturi za nchi wanazokwenda kufanya kazi. “Tumieni ujuzi wenu kujenga imani kwa waajiri na kufungua fursa zaidi kwa Watanzania wengine. Kila mmoja anatakiwa kuwa tayari kujituma na kutumia fursa hizi kama chachu ya kuboresha maisha yake, kuinua familia yake na kuchangia maendeleo ya Taifa,” alisisitiza Mhe. Sangu. Katika hatua nyingine, Mhe. Sangu alisema Serikali imeendelea kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kimataifa kupitia majukwaa mbalimbali yanayolenga kuratibu uhamaji salama wa nguvukazi na kuongeza fursa za ajira kwa Watanzania. Aidha, aliwahimiza vijana kuendelea kuomba nafasi za ajira za mafundi zilizotangazwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), akitangaza kuongeza muda wa kuwasilisha maombi hayo kutoka Novemba 3 hadi Novemba 8, 2026, ili kuwapa nafasi waombaji wengi zaidi kushiriki. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Abdallah Kilima, aliwataka vijana hao kufanya kazi kwa bidii, kutunza nyaraka zao muhimu na kutumia njia rasmi za mawasiliano wanapohitaji msaada. Naye Kaimu Mkurugenzi wa Ajira na Ukuzaji Ujuzi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Bi. Neema Moshi, alisema Ofisi hiyo itaendelea kuratibu upatikanaji wa fursa za ajira kwa vijana kwa lengo la kuchochea ustawi wa wananchi na maendeleo ya Taifa. Kwa upande wake, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Robert Kadege, ambaye ni Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Mfuko huo, aliwapongeza vijana hao kwa kujiunga kwa wingi katika mfumo wa hifadhi ya jamii ili kujiwekea akiba na kuimarisha usalama wao wa kifedha wa baadaye. Akizungumza kwa niaba ya mawakala binafsi wa ajira, Mwenyekiti wa mawakala hao, Bw. Abdallah Mohammed, alisema sekta hiyo itaendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira na kurasimisha ushiriki wa vijana katika soko la ajira la kimataifa.
Fri, 06 Nov 2026 15:39:34 +0000Les habitants des collines Mudahandwa et Mugozi appelés à contribuer dans la construction du pont sur la rivière Siguvyaye
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 343 of 1148 · 22951 stories