Search the region
22952 stories
Zeinah’s Anger, a Century Later: What a 1926 Mambo Leo Column Still Teaches Us
Read the full report from the original source.
RecentlyDAR kupata masoko makubwa ,wafanyabiashara 12,000 kunufaika
Read the full report from the original source.
RecentlyLISSU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MINNE KWA KOSA LA UCHOCHEZI
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uchochezi. Hukumu hiyo imetolewa leo Novemba 6, 2026, na jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, likiongozwa na Jaji Dustan Ndunguru, akisaidiana na Majaji James Karayemaha na Ferdinand Kiwonde. Akisoma hukumu hiyo, Jaji Ndunguru amesema Mahakama imezingatia hoja mbalimbali zilizowasilishwa na Lissu, ikiwemo hali yake ya kiafya, kuwa mkosaji wa mara ya kwanza na hoja kuhusu uwezekano wa kutoa adhabu ya faini badala ya kifungo. Jaji Ndunguru amesema Kifungu cha 390 hakijaainisha adhabu, hivyo Mahakama imezingatia Kifungu cha 35 cha Kanuni ya Adhabu, kinachohusika pale ambapo kifungu husika hakijaainisha adhabu. Amesema adhabu inayoweza kutolewa ni kifungo kisichozidi miaka mitano, faini au vyote viwili, huku akieleza kuwa Mahakama imepitia maamuzi mbalimbali kuhusu masuala yanayohusiana na kesi hiyo. Kabla ya kutolewa kwa hukumu hiyo, Lissu aliomba Mahakama izingatie kuwa hajawahi kutiwa hatiani kwa kosa lolote la jinai, akisema amekuwa akikabiliwa na mashtaka kwa zaidi ya miaka 24 tangu mwaka 2002 bila kupatikana na hatia. Pia aliieleza Mahakama kuwa ana msiba wa mtu aliyemlea na kumsaidia kuwa mwanasheria, Mzee Alutte, ambaye ni kaka yake, na kwamba alitarajia kupata nafasi ya kwenda kumzika. Lissu aliomba Mahakama izingatie kuwa amekaa gerezani kwa mwaka mmoja na miezi saba, akisema amekuwa akinyimwa fursa ya kuwasiliana na mawakili wake, viongozi wenzake wa Chadema na hata kuomba Mungu, kama ilivyoelezwa na jopo la majaji watatu katika uamuzi mwingine. Aidha, aliieleza Mahakama kuwa hali yake ya kiafya si nzuri, akisema ana historia ya kufanyiwa operesheni 25, anaishi na risasi moja iliyoshindwa kutolewa mwilini kati ya risasi 16 alizopigwa, pamoja na kuwa na kisukari kwa miaka sita. Alisema anatakiwa kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven nchini Ubelgiji, lakini amekosa miadi minne ya matibabu kutokana na kesi hiyo. Katika hoja zake, Lissu pia aliomba Mahakama impe dhamana ili aweze kukata rufaa akiwa nje na kupata nafasi ya kushiriki mazishi ya kaka yake. Akizungumzia hoja za upande wa mashtaka, Lissu alipinga kuhusishwa na vurugu za Oktoba 2025, akisema Mahakama haikuoneshwa ushahidi wa hotuba ya Jaji Chande wala Jaji huyo hakuitwa kutoa ushahidi kuthibitisha waliohusika na vurugu hizo. Alisema pia kuhusishwa kwake na matukio yaliyotokea wakati akiwa gerezani ni hoja inayopaswa kuzingatiwa na Mahakama. Hata hivyo, Mahakama imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka minne jela, huku ikieleza kuwa ana haki ya kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo.
Fri, 06 Nov 2026 14:58:14 +0000KAMISHNA BADRU AHITIMISHA SAFARI YAKE YA UDAKTARI WA FALSAFA
Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Abdul-Razaq Badru amehitimisha safari yake ya udaktari wa falsafa baada ya kufaulu katika hatua ya mwisho ya masomo yake kwa kufanya utetezi wa mwisho (Viva Voce) kwenye jopo la wasomi na jamuiya ya wadau mbalimbali waliohudhuria tukio hilo kwenye makao makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tarehe 6 Novemba, 2026. Chini ya usimamizi wa Profesa Deus Ngaruko na Dkt.Harriet Mtae Kamishna Badru* alifanya utetezi wa shahada yake ya uzamivu katika mada iliyobeba kichwa cha habari Socio-economics Determinants of Housing Affordability for Public Servants in Tanzania:Case of Rent-paying house holds in Dar essalaam . Baada ya utetezi na mahojiano ya zaidi ya saa tatu jopo la wasomi lilifanya hitimisho kwa kusema, "Abdul-Razaq Badru umefaulu udaktari wako wa falsafa”,(PhD). Kamishna Badru atahudhurishwa katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yatakayofanyika hivi karibuni na hivyo kuanza rasmi safari ya udaktari wa falsafa. HONGERA SANA AFANDE BADRU
Fri, 06 Nov 2026 15:01:12 +0000Tanzania intensifies clean energy campaign to ensure 80 percent of its citizens use it by 2034
DODOMA: THE Tanzanian government has said it is continuing to implement the National Clean Cooking Energy Strategy, which aims to…
RecentlyPourquoi un essai vaccinal financé par les États-Unis sur des nourrissons a-t-il été annulé en Guinée-Bissau ?
L'essai a été condamné comme étant « contraire à l'éthique » et « néocolonial » car la moitié des bébés ne seraient pas vaccinés.
RecentlyChalamila : Amani ya Dar ni nguzo ya uchumi wa taifa
Read the full report from the original source.
RecentlySOSUMO : un cadre disparaît, la direction réagit
Read the full report from the original source.
RecentlyClimate change: 2026 likely to be second-warmest year
Read the full report from the original source.
RecentlySerengeti Boys kuelekea Quatar kupeperusha bendera ya Tanzania
Read the full report from the original source.
RecentlyLe président de la République voyage pour Bahir Dar
Read the full report from the original source.
RecentlySifuna welcomes Tundu Lissu's acquittal, says should never have faced treason charges
Read the full report from the original source.
RecentlyHatimaye muda umeshinda dhidi ya Cristiano, karusha taulo
Soma zaidi hapa
RecentlyCenter of Excellence: Tanzania seeks global partnerships to equip DTC
Read the full report from the original source.
RecentlyDes jeunes en âge de voter demandent l’éclaircissement sur l’enrôlement des électeurs
Read the full report from the original source.
RecentlyRetour de la première dame d’une visite aux Emirats Arabes Unis
Read the full report from the original source.
RecentlyShs3.1 Trillion! Equity Group Unveils Massive Investment in Education, Businesses, Healthcare
Read the full report from the original source.
RecentlyVita ya Pointi Tatu! Everton Kuikaribisha Coventry
MASHABIKI wa soka wanatarajia kushuhudia dakika 90 za ushindani mkali Ijumaa, Novemba 6, 2026, wakati Everton watakapokuwa wenyeji wa Coventry City katika mchezo unaotarajiwa kuwa na mvuto mkubwa. Timu hizo zitakutana kuwania ushindi muhimu huku kila upande ukiwa na dhamira ya kuonyesha ubora wake ndani ya uwanja. Everton wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na matumaini makubwa baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wao uliopita wa ligi. Matokeo hayo yanaweza kuwapa nguvu zaidi wachezaji wa Everton kuendeleza mwendelezo mzuri wa matokeo, hasa wanapocheza mbele ya mashabiki wao. Kwa upande wa Coventry City , safari ya kwenda kukabiliana na Everton itakuwa kipimo muhimu cha uwezo wao dhidi ya timu yenye uzoefu mkubwa wa kucheza katika michuano ya ushindani wa juu. Coventry wanahitaji kutumia vizuri nafasi wanazoweza kupata na kuwa makini katika safu ya ulinzi ili kuepuka kuruhusu wapinzani wao kutawala mchezo. Mchezo huu pia una mvuto wa kipekee kutokana na historia ya makocha, kwani kocha wa Coventry, Frank Lampard, anarejea kukutana na klabu yake ya zamani. Hilo linaongeza ladha ya ushindani, huku akitaka kuiongoza Coventry kupata matokeo mazuri dhidi ya timu anayoifahamu vizuri. Hata hivyo, David Moyes wa Everton atakuwa na jukumu la kuhakikisha kikosi chake kinatumia vizuri faida ya kucheza nyumbani. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Upande wa takwimu, Everton wanaingia kwenye mchezo wakiwa nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi, huku Coventry wakiwa nafasi ya 16. Coventry nao wanakuja wakiwa na morali baada ya kuifunga Sunderland mabao 3-1, hivyo Everton hawapaswi kuwachukulia poa. Kwa kuzingatia ubora wa vikosi na faida ya uwanja wa nyumbani, The Toffees wana nafasi ya kupigania ushindi, lakini Coventry wanaweza kuwa na majibu yao. Jisajili leo ufurahie ushindi.
Fri, 06 Nov 2026 05:00:00 +0000Zamu Yako Kucheza Kishua Na Miondoko Ya Neon
USIKU unapozama, jiji linapoanza kung'aa kwa mwanga wa rangi za neon na magari ya kifahari yanapokatiza barabara kwa kasi, ndipo mchezo wa Neon Heist unapoanza kuchukua nafasi yake. Hapa hakuna kulala, hakuna kusimama, ni mizunguko ya kusisimua inayokupa burudani ya kipekee kila unapocheza. Ukiwa na mandhari ya kuvutia ya kisiwa cha kitropiki, bahari tulivu, mitende inayotikiswa na upepo pamoja na anga lililopambwa na rangi, Neon Heist inakupeleka moja kwa moja kwenye ulimwengu wa kishua wenye ladha ya miaka ya 80. Ukiingia kwenye mchezo huu kutoka Expanse Studios, unakutana na mazingira ya kipekee yanayochanganya kasi na msisimko. Kila kitu kinaonekana kama sehemu ya filamu kali ya heist, kuanzia jamaa mwenye suti nyeupe anayesimamia mpango mzima, gari jekundu la michezo, boti ya kasi, bastola ya dhahabu hadi marundo ya fedha yanayovutia macho. Hapa kila mzunguko wa mchezo unaongeza ladha ya safari yako, huku ukisubiri kuona ni nini kitakachojitokeza kwenye hatua inayofuata. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Neon Heist inakupa nafasi ya kuzungusha reels tano zenye mistari mitatu, huku alama mbalimbali zikichangia kuleta msisimko kwenye mchezo. Kivutio kikubwa ni Wild Femme Fatale, ambaye anaweza kuchukua nafasi ya alama nyingine na kusaidia kukamilisha mistari ya ushindi. Hiyo ndiyo sababu kila raundi ya mzunguko inakuwa na mvuto wake wa kipekee, kwani hujui ni wakati gani alama hii maalumu inaweza kuingia na kubadilisha kabisa mwelekeo wa mchezo. Sasa basi, we uko tayari kuingia kwenye mpango huu wa Neon Heist na kujaribu bahati yako? Meridianbet inakuletea burudani hii ya kipekee inayochanganya mandhari ya kuvutia, ubunifu na msisimko wa kasino mtandaoni . Fungua akaunti yako Meridianbet, jisajili , ingia kwenye mchezo na ujionee mwenyewe namna kila raundi inavyoweza kukupa burudani isiyo na kifani. Mpango wa heist unaanza sasa hivi. Usibaki kuwa mtazamaji wakati burudani hii ya kipekee inakusubiri Meridianbet. Jiunge leo, chunguza kila kona ya Neon Heist na ufurahie safari ya reels zenye mvuto wa kipekee. Dunia ya neon, magari ya kasi na hazina inayosubiri kugunduliwa imefungua milango yake. Meridianbet, burudani yako inaanzia hapa.
Fri, 06 Nov 2026 05:30:00 +0000Un déficit de 119 enseignants et des besoins en infrastructures scolaires à Muhanga
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 345 of 1148 · 22952 stories