Search the region
22952 stories
Embu: Experts raise alarm over misuse of P2 contraceptive pills
Read the full report from the original source.
RecentlyAcross continents, toward a shared future: Zhejiang’s Jinhua steps up efforts to become a leading hub for cooperation with Africa
CHINA: Growing trade, sustained educational partnerships and closer cultural ties are strengthening cooperation between Africa and Jinhua, a city in…
RecentlyPOLISI PWANI YAWASHIKILIA WATU KWA TUHUMA ZA VIFO VYA WATOTO WAWILI NA MFANYAKAZI WA KITUO CHA MAFUTA
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu kadhaa kwa mahojiano kufuatia matukio matatu tofauti ya vifo, likiwemo la mtoto wa miaka mitano anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa na mama yake wa kambo, mtoto kunyweshwa pombe ya kienyeji na mfanyakazi wa kituo cha mafuta aliyeuawa kwa kushambuliwa na watu wasiojulikana. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amesema katika tukio la kwanza, muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe, Irine Machumu (32), anashikiliwa kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Blessing Albert Mkisi, mkazi wa Msumbiji, Kisarawe, baada ya kudaiwa kumpiga kwa fimbo Novemba 2, mwaka huu, akimtuhumu kuchezea maji yaliyokuwa kwenye beseni pamoja na pacha wake. Katika tukio jingine, Polisi wanawashikilia watu watatu, Bahati Shabani (32), Rehema Gabriel (37) na Elizabeth Dibison (35), wakazi wa Kijiji cha Kwaruhombo, Chalinze, kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Mustapha Mubaraka (3), aliyedaiwa kunyweshwa pombe ya kienyeji aina ya wanzuki Oktoba 30, mwaka huu, akiwa pamoja na watoto wengine wawili nyumbani kwa mama yake mkubwa. Kamanda Morcase amesema baada ya kunywa pombe hiyo, Mustapha alizidiwa na kukimbizwa katika zahanati ya kijiji kabla ya kuhamishiwa Hospitali ya Msoga, ambako alifariki dunia Oktoba 31, huku Polisi wakichunguza mazingira ya tukio na uhusiano wa kifo hicho na pombe aliyodaiwa kunyweshwa. Aidha, katika tukio la tatu, mfanyakazi wa kituo cha mafuta cha ORYX, Jimmy Lema (29), amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa kitu chenye ncha kali na watu wasiojulikana akiwa kazini eneo la Kibosha, Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, Novemba 5, majira ya saa 3:15 usiku. Amesema marehemu alikuwa zamu ya usiku pamoja na mfanyakazi mwenzake aliyetajwa kwa jina la Junior John, ambapo baada ya kupungua kwa wateja alikwenda kupumzika ndani ya kituo hicho, lakini baadaye alivamiwa na kushambuliwa hadi kupoteza maisha. Jeshi la Polisi linaendelea na msako wa kuwatafuta waliohusika na tukio hilo ili wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
Fri, 06 Nov 2026 12:19:52 +0000Milan's Cisse called up for Italy in Nations League
Read the full report from the original source.
RecentlySecurity, trade and investment top Kenya-EU agenda, says envoy
Read the full report from the original source.
RecentlyWhy Sh52m failed to save Tuju’s second Karen asset from auction
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya cult leader Paul Mackenzie sentenced to 200 years
Read the full report from the original source.
RecentlyNWSC Targets 240 Million Litres of Daily Production at Katosi to Meet Future Demand
Read the full report from the original source.
RecentlyTayebwa Briefs Pacific Parliamentarians on OACPS Reforms
Read the full report from the original source.
RecentlyMackenzie jailed for 200 years over Shakahola killings
Mackenzie has been sentenced to 200 years in jail for his role in the Shakahola massacre in which 191 people, including 190 children, died.
RecentlyRAIS DK.SAMIA AAGANA NA BALOZI WA AFRIKA KUSINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Noluthando Mayende-Malepe, Balozi wa Afrika Kusini anayemaliza muda wake nchini Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Novemba, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha na Mhe. Noluthando Mayende-Malepe, Balozi wa Afrika Kusini anayemaliza muda wake nchini Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Novemba, 2026.
Fri, 06 Nov 2026 12:01:40 +0000"Un vide impossible à combler" : hommages rendus aux obsèques de De Miguel
La famille de Jesus de Miguel affirme que "l'empreinte qu'il a laissée sur tant de personnes" est quelque chose dont ils se souviendront toujours, alors que les funérailles du footballeur ont lieu en Espagne.
RecentlyMackenzie gets 200 years over Shakahola massacre
Mackenzie has been sentenced to 200 years in jail for his role in the Shakahola massacre in which 191 people, including 190 children, died.
RecentlyHow Ukraine is adapting to Russia's jet-powered drones
Read the full report from the original source.
RecentlyWolframite Mine Flooded in Kigali, Seven Miners Killed
Read the full report from the original source.
RecentlyPM warns against misappropriation of funds as Tanzania implements CAG recommendations
Read the full report from the original source.
RecentlyUK commits to 'time-bound' talks on slavery apology
The formal conclusions marking the end of the Commonwealth Heads of Government Meeting, known as the communique, is the joint text setting out the agreement
RecentlyVIWANJANI | Viungo na washambuliaji wapya wa Yanga SC wameonesha nini hadi sasa?
Wachambuzi wa soka Juma Abdul, Jabir Aziz na Godlisten Muro wametoa tathmini kuhusu mwenendo wa mshambuliaji wa Yanga SC, Peter Shalulile tangu alipojiunga na klabu hiyo mwanzoni mwa msimu. Juma Abdul na Jabir Aziz wamekubaliana kuwa takwimu alizonazo Shalulile zinaakisi matarajio ya mashabiki wa Yanga SC kuhusu uwezo wake wa kufunga mabao. Kwa upande wake, Godlisten Muro ameeleza takwimu za Shalulile tangu alipokuwa akiitumikia Mamelodi Sundowns, akilinganisha na mwenendo wake wa sasa akiwa Jangwani. Juma Abdul amesema mwanzo mzuri wa Albert Kangwanda ndani ya Yanga SC ulitoa matumaini kwa mashabiki kuhusu mchango wake katika timu hiyo. Hata hivyo, amesema mwenendo wake wa sasa unatofautiana na matarajio hayo akitaja nafasi za wazi za kufunga mabao ambazo amekuwa akizikosa katika mechi za hivi karibuni. Kwa upande wake, mchambuzi Godlisten Muro amesema kiwango alichoonesha Kangwanda mwanzoni mwa msimu, hususani alipofunga goli dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii kiliwajengea mashabiki matarajio makubwa. Ameongeza kuwa benchi la ufundi linapaswa kukaa naye na kuzungumza ili kumsaidia kurejea katika kiwango alichoonesha mwanzoni mwa msimu.
2026-11-06T11:29:01+00:00Tanzania intensifies public education on Union matters to bolster national unity, solidarity, patriotism
DODOMA: THE Tanzanian government has continued to implement the Strategic Plan for Public Education on Union matters to promote national…
RecentlyNot guilty! Tundu Lissu avoids death penalty in treason trial
Tanzania court finds opposition leader Tundu Lissu not guilty of treason but convicts him of incitement, sparing him the death penalty.
Fri, 06 Nov 2026 14:02:41 +0300Page 349 of 1148 · 22952 stories