Unganishwa

Search the region

22959 stories

National · Citizen Digital

Gov't moves to clear 557,000 uncollected IDs ahead of 2027 elections

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Yunus tasks Tanzanians to manufacture quality products that meet global market demands

KIGALI: THE Deputy Permanent Secretary in the Prime Minister’s Office responsible for Labour, Employment and Industrial Relations, Zuhura Yunus, has…

Recently
National · Jamhuri Media

Johari : Mpango mkakati ofisi ya mwanasheria Mkuu wa Serikali uwe msaada kufikia malengo ya Dira 2050

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania seeks Abbott support to train medical engineers

DODOMA: Tanzania is seeking support from the Abbott Fund to equip medical engineering training workshops with modern equipment, enabling local…

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Tanzania Ranks 25th of 56 in Commonwealth Youth AI Readiness, New Index Finds

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

CHADEMA Youth Leader Charged With Counselling Terrorism as Party Alleges Legal Access Denied

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Tanzania Defends Secrecy on Election Violence Report at UN Rights Review

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Dar es Salaam to Host Talks on Transforming Africa’s Seed Sector

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Tundu Lissu escapes treason conviction

The three-judge panel in Dar es Salaam ruled that prosecutors failed to prove a key element of the treason charge against the Chadema chairman.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Elimu ya muungano ili kuwa jamii yenye umoja, uzalendo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Lissu sentenced to four years in prison for incitement

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

LSK stages protests over missing lawyer Abshir Ahmedsadak

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Koome warns against political goonism ahead of 2027 polls

Chief Justice calls for accountability among those recruiting, financing, and directing violent groups, while defending constitutional safeguards on bail and detention.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Nairobi County proposes tougher alcohol laws to curb illicit liquor

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania unveils plans to invest 500bn/- in dairy sector to boost its value chain

DODOMA: THE Tanzanian government plans to invest more than 500bn/- in the Dairy Sector Transformation and Climate Change Project to…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

IRINGA YAPONGEZWA KWA KUIMARISHA AMANI, UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM

NA DENIS MLOWE, IRINGA MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Mohammed Abood, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhishwa na juhudi zinazofanywa na viongozi pamoja na wananchi wa mkoa huo katika kuimarisha chama, kudumisha amani na kusukuma mbele maendeleo. Abood aliyasema hayo mara baada ya kupokelewa katika Ofisi za CCM Mkoa wa Iringa, ambapo aliwapongeza viongozi wa chama, wanachama na wananchi kwa ushirikiano wanaouonesha katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo na kupokea miradi inayotekelezwa na Serikali. Alisema juhudi za wananchi wa Iringa katika kujenga chama, kuimarisha umoja na kushirikiana na Serikali zimetajwa kuwa miongoni mwa mambo yanayoufanya mkoa huo kuendelea kuwa mfano katika kudumisha amani na utulivu. Akitoa salamu za Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa amefurahishwa na namna wananchi wanavyoshiriki katika maendeleo, huku akisisitiza kuwa Serikali imejipanga kutekeleza mambo makubwa zaidi kwa ajili ya wananchi wa Mkoa wa Iringa na Watanzania kwa ujumla. Abood alisema mafanikio ya maendeleo yanategemea kwa kiasi kikubwa uwepo wa amani na utulivu, hivyo kuwataka viongozi na wananchi kuendelea kulinda misingi hiyo ili kuwezesha shughuli za kiuchumi na kijamii kufanyika kwa ufanisi. “Pale ambapo kuna amani na utulivu, ndipo maendeleo makubwa yanapopatikana. Iringa imekuwa sehemu yenye amani na utulivu, na tunataka hali hiyo iendelee kudumu,” alisema. Aliongeza kuwa ushirikiano kati ya CCM, Serikali na wananchi umechangia kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo kwenda vizuri, akiwapongeza wananchi kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali. Awali, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Daudi Yassin, alimshukuru Abood kwa kutembelea ofisi za chama hicho na kueleza kuwa mapokezi yake yalionesha hamasa na mshikamano mkubwa miongoni mwa viongozi na wanachama. Yassin alisema mkoa huo uko tayari kuendelea na shughuli za chama, ikiwemo tathmini ya utekelezaji wa majukumu na mipango ya kisiasa, huku akimkaribisha Abood kuwasalimia wanachama kabla ya kuendelea na kikao. Naye Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, James Mgego, alimkaribisha Abood na kumpa nafasi ya kuwasalimia viongozi na wanachama waliohudhuria mapokezi hayo.

Fri, 06 Nov 2026 10:48:05 +0000
National · Issa Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU YA MUUNGANO NCHI NZIMA

Serikali inaendelea na utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Elimu kwa Umma kuhusu Muungano ili kuwa na jamii yenye umoja, mshikamano na uzalendo sanjari na kuuimarisha Muungano. Elimu inayotolewa inahusu hoja zilizopatiwa ufumbuzi ambapo hadi kufikia mwaka 2025/26 jumla ya hoja 24 kati ya hoja 25 zimepatiwa ufumbuzi na hoja moja iliyobaki inayohusu masuala ya fedha inaendelea kufanyiwa kazi. Kauli hiyo imetolewa bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2026 na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa wakati akijibu swali la Mbunge wa Tumbatu Mhe. Juma Othmani Hija aliyeuliza Serikali ina mpango gani wa kuwaelimisha Wananchi Hoja zote zilizo kwisha kupatiwa ufumbuzi ili wazielewe. Akijibu swali hilo Mhe. Kwagilwa alisema kuwa Serikali imechukua jitihada mahususi za kutoa elimu kwa umma kuhusu Muungano ikiwemo kueleza wananchi hoja zilizopatiwa ufumbuzi. Alibainisha kuwa elimu ya Muungano imekuwa ikitolewa kupitia redio, televisheni, makala za magazeti, machapisho vikiwemo vitabu kuhusu Muungano, maonesho ya kitaifa, makongamano, vyombo vya usafiri ambavyo ni treni ya kisasa ya SGR, boti za Azam Marines na mitandao ya kijamii. Halikadhalika, Naibu Waziri Kwagilwa alisema Ofisi ya Makamu wa Rais ina mpango wa elimu kwa umma inayotolewa katika maeneo mbalimbali ya nchi na kuyafikia makundi yote ya kijamii. “Mheshimiwa Spika hivi sasa Ofisi yetu inao mpango kabambe wa kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala ya Muungano mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya kwa kutumia njia mbalimbali na tutahakikisha wananchi wanapata elimu hii,” alisema Mhe. Kwagilwa. Aliongeza kuwa kutokana na uwepo wa watengeneza maudhui wenye ushawishi kwa jamii hususan makundi ya vijana, Ofisi imeandaa maudhui ambapo hivi karibuni wananchi wataanza kuyapata kupitia kwa wadau hao. Mhe. Kwagilwa alieleza hayo wakati akijibu swali la nyongeza la Mhe. Hija ambaye pamoja na kuipongeza Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mpango huo wa elimu, alitaka kujua kama kuna njia zingine za kutumia kufikisha elimu hiyo.

Fri, 06 Nov 2026 10:50:28 +0000
Uncategorized · Le Renouveau du Burundi

Journée sur l’accès à l’énergie renouvelable à Bujumbura : vers l’accès universel et vert d’ici 2030

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Pictures: President Ruto, First Lady Rachel in Tanzania for Charlene’s white wedding

President William Ruto and First Lady Rachel Ruto are in Mwanza, Tanzania for Charlene's wedding to Tanzanian enterpreneur Isaya Yunge. The wedding comes a few months after the traditional wedding,…

Recently
Uncategorized · Daily News

Envoy Chipeta hails Amsterdam’s Roundtable for cementing Tanzania-Netherlands economic ties

AMSTERDAM: TANZANIA’S Ambassador to the Netherlands, Caroline Kitana Chipeta,has participated in the Africa Expert Breakfast Roundtable on Tanzania, organised by…

Recently

Page 351 of 1148 · 22959 stories