Search the region
22961 stories
Tanzania eyes technology to reduce water expenses
DODOMA: TANZANIA is exploring science and technology innovations to reduce water supply costs and improve access to the resource for…
RecentlyTanzania moves to expand regional business opportunities
Kigali, RWANDA: TANZANIA is seeking to strengthen trade relations with East African Community (EAC) member states to expand market access,…
RecentlyMalaysia: Jailed ex-leader Najib to leave prison for house arrest
Read the full report from the original source.
RecentlyNetanyahu mu ihurizo ryo kongera kuba Minisitiri w’intebe wa Israel
Nubwo ishyaka rye ryatsinze amatora y’abadepite muri Israel, Benjamin Netanyahu yisanze mu ihurizo ryo kuba yakongera kuba Minisitiri w’intebe nyuma y'uko afite abamushyigikiye 46 gusa, mu gihe Gadi Eisenkot ashyigikiwe na 67 muri 120, ahanini bitewe n’uruhare rw’amashyaka y’Abarabu mu biganiro byo gushyiraho Guverinoma nshya. Ni mu gihe Perezida Isaac Herzog azatangaza uzahabwa inshingano zo kuyishyiraho ku wa 8 Ugushyingo (11) 2026.
Fri, 06 Nov 2026 10:36:44 +0200General Muhoozi Kainerugaba announces plan to step down as Uganda's military chief
Read the full report from the original source.
RecentlyLSK holds protest march over missing lawyer Abshir Abdi
Read the full report from the original source.
RecentlyOf snakebite, faith and silence: The deadly doctrine behind journalist's death
Read the full report from the original source.
RecentlyEast Africa steps up El Niño preparedness
Nairobi, KENYA: EAST African countries have been urged to strengthen preparedness for El Niño rains following the 2023/2024 season, which…
RecentlyQui sont les grands vainqueurs de la soirée triomphale des démocrates lors des élections de mi-mandat aux États-Unis ?
Nous vous présentons quelques-unes des figures de proue de la « vague bleue » démocrate qui a remporté mardi une victoire écrasante, portant un coup dur aux politiques de Trump.
RecentlyAudio — Info Matin 7:00 TU (06.11.2026)
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyBK Pledges Support as Musanze Businesses Recover From GOICO Fire
Read the full report from the original source.
RecentlyWoman's body found stuffed in sack at Sasumua Dam
A stone had also been placed inside the sack, apparently to weigh down the body and prevent it from floating.
RecentlyDKT. YONAZI AKUTANA NA UJUMBE WA KYM NA YONSEI UNIVERSITY CONSORTIUM KUJADILI UANZISHWAJI WA KITUO CHA AFYA MTUMBA
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu (SBUU), Dkt. Jim Yonazi, akiwa pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Dkt. James Kilabuko, amekutana na ujumbe wa viongozi kutoka Kampuni ya KYM na Yonsei University Consortium ya nchini Korea, kwa ajili ya kujadili mapendekezo ya Kampuni hiyo ya kuanzisha Kituo cha Afya katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma. Kituo hicho kinachopendekezwa kuanzishwa kwa ufadhili wa Serikali ya Korea, kinalenga kutoa huduma za afya kwa Watumishi wa Umma wanaofanya kazi katika Mji wa Serikali Mtumba. Uanzishwaji wa kituo hicho unatarajiwa kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya kwa watumishi ndani ya eneo la Mji wa Serikali, kupunguza changamoto za kufuata huduma hizo maeneo mengine, pamoja na kuboresha mazingira ya kazi na huduma za kijamii katika mji huo. Hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za kuendeleza Mji wa Serikali Mtumba kuwa eneo lenye miundombinu na huduma muhimu zinazokidhi mahitaji ya Watumishi wa Umma.
Fri, 06 Nov 2026 07:04:01 +0000SERENGETI KUWA MWENYEJI WA TUZO ZA DUNIA ZA UTALII (WORLD TRAVEL AWARDS)
London, Uingereza, Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake katika ramani ya utalii duniani baada ya kutangazwa kuwa mwenyeji wa hafla ya utoaji wa Tuzo za Dunia za Utalii (World Travel Awards – WTA) kwa mwaka 2026, zitakazofanyika Desemba 12, 2026 katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Tangazo hilo limetolewa Novemba 5, 2026 na Mwanzilishi na Rais wa World Travel Awards, Bw. Graham Cooke, wakati wa hafla maalumu iliyofanyika katika kilele cha Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya World Travel Market (WTM) jijini London, Uingereza. Akizungumza katika hafla hiyo, Bw. Cooke amesema Tanzania imechaguliwa kutokana na upekee wake katika sekta ya utalii, akibainisha kuwa Serengeti ni moja ya majina makubwa yanayotambulika barani Afrika na duniani kutokana na utajiri wake wa wanyamapori na vivutio vya kipekee. Ameongeza kuwa uwepo wa Mlima Kilimanjaro, ambao ni mlima mrefu zaidi barani Afrika, pamoja na uzuri wa vivutio vya asili na ukarimu wa Watanzania, ni miongoni mwa sababu zilizoifanya Tanzania kuwa chaguo sahihi la kuandaa tukio hilo la kimataifa. Kwa upande wake, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amemshukuru Bw. Cooke na taasisi ya World Travel Awards kwa kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa hafla hiyo muhimu, akieleza kuwa nchi ipo tayari kuhakikisha wageni kutoka sehemu mbalimbali duniani wanapata uzoefu wa kipekee wa utalii wa Tanzania. Amesema Serengeti nayo ipo tayari kupokea wageni zaidi ya 500 wanaotarajiwa kuhudhuria hafla hiyo kutoka mataifa mbalimbali duniani, huku akisisitiza kuwa tukio hilo ni fursa muhimu ya kuitangaza Tanzania, kuongeza muonekano wake kimataifa na kuimarisha nafasi yake katika soko la utalii duniani. Aidha, Dkt. Kijaji ametoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi na uongozi wake katika kuifungua Tanzania na kuimarisha diplomasia, akisema kazi kubwa inayofanyika chini ya uongozi wake imechangia kwa kiasi kikubwa kuitangaza Tanzania na kuiweka katika nafasi nzuri zaidi katika jukwaa la kimataifa la utalii. Hafla hiyo ilihudhuriwa pia na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania, Dkt. Thereza Mugobi.
Fri, 06 Nov 2026 08:23:39 +0000Mahakama yakataa hoja za Jamhuri kuhusu kauli za Lissu
Soma hapa...
RecentlyGuinée : pourquoi l’armée a fermé les mines d'or de Siguiri ?
Read the full report from the original source.
RecentlyGermany news: Trial of alleged 'Reichsbürger' group ringleaders begins
Read the full report from the original source.
RecentlyUlinzi Starlets target seventh straight win against Bungoma Queens
Read the full report from the original source.
RecentlyWATCH LIVE: LSK holds peaceful march over Abshir Ahmedsadak Abdi’s abduction and disappearance
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania invites Algerians to explore expanding oppo
DAR ES SALAAM: TANZANIA is seeking to translate its longstanding friendship with Algeria into stronger commercial partnerships, inviting Algerian companies…
RecentlyPage 355 of 1149 · 22961 stories