Search the region
22998 stories
TARURA Sumbawanga yafungua barabara mpya inayounganisha kata za Milanzi na Pito
Read the full report from the original source.
RecentlyWRRB YABAINISHA NAMNA INAVYOTEKELEZA MAAGIZO YA MAKAMU WA RAIS YA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeeleza hatua inazochukua kutekeleza maagizo ya Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi, kuhusu kuongeza fursa za ajira kwa vijana nchini. Maagizo hayo yalitolewa hivi karibuni jijini Arusha wakati wa Mkutano wa Watendaji Wakuu wa Taasisi za Serikali, ambapo Makamu wa Rais alielekeza kila mkuu wa taasisi kuhakikisha anaweka mpango madhubuti wa kuongeza fursa za ajira kwa vijana. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu mchango wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda ya Mwaka 2025 na Marejeo ya Sera ya Maendeleo ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati ya Mwaka 2003, Toleo la Mwaka 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa WRRB, Bw. Asangye Bangu, amesema zaidi ya vijana 3,000 wamepata fursa za ajira kupitia mfumo huo kwa kufanya kazi katika maghala mbalimbali nchini. Bw. Bangu amesema Mfumo wa Stakabadhi za Ghala umeendelea kuwa kichocheo cha ajira kwa vijana, hususan katika shughuli za upokeaji, uhifadhi, upimaji na usimamizi wa bidhaa ghalani, hatua inayochangia kuongeza ushiriki wao katika shughuli za kiuchumi. Aidha, amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la mwamko wa vijana kushiriki mafunzo yanayowawezesha kupata ujuzi wa kufanya kazi katika maghala yanayotumia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala. “Awali tulikuwa tunapata washiriki kati ya 15 hadi 20 katika mafunzo haya, lakini sasa idadi imeongezeka hadi kufikia vijana 150 wanaohudhuria mafunzo kwa wakati mmoja. Hii inaonesha namna vijana wanavyozidi kutambua fursa zilizopo katika Mfumo wa Stakabadhi za Ghala,” amesema Bw. Bangu. Ameeleza kuwa WRRB itaendelea kuimarisha utoaji wa mafunzo na kuhamasisha vijana kuchangamkia fursa zinazotokana na kupanuka kwa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika sekta mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali za kuongeza ajira na kukuza uchumi wa wananchi.
Thu, 05 Nov 2026 09:49:58 +0000Read article: DENIS TUKAHIKAHO: From Congested Skies to Carbon War- AS- ICAO & EU ETS Clash over Aviation Carbon Rules
Read the full report from the original source.
RecentlyMan arrested for posing as police officer on Jogoo Road
Read the full report from the original source.
RecentlyNearly half of Kenyan children under two at risk of malnutrition, survey finds
The latest Kenya Mini Demographic and Health Survey by the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows that 47 per cent of children aged 6-23 months are given sweet beverages.
RecentlyHow Sh6.8bn pension hole leaves TUK workers in retirement uncertainty
Read the full report from the original source.
RecentlyFour Acquitted in Murder of US-Based Couple Killed During Kenya Vacation in Nyamira
News · 4 hours ago
RecentlyKalonzo arrives in Kisumu for 2-day campaign blitz
The team is set to hold rallies and meet-the-people engagements in Migori and Homa Bay counties as the opposition intensifies efforts to challenge Ruto
RecentlyKimara asisitiza upatikanaji chakula kwa wanafunzi shuleni
Read the full report from the original source.
RecentlyMESHA set to hold 6th African Conference of Science Journalists in April 2027
Read the full report from the original source.
RecentlySafaricom net profit jumps 36% to Sh58.2 billion as Ethiopian losses contract
Read the full report from the original source.
RecentlyCourt allows Gachagua to withdraw petitions challenging his impeachment
Gachagua opted to discontinue two impeachment-related cases after arguing that the High Court's substantive judgment had resolved the issues they raised
RecentlyPM orders NFRA to expedite procedures for selling agricultural produce
Read the full report from the original source.
RecentlyNARO turns to private investors as development funding declines
KAMPALA - The National Agricultural Research Organisation (NARO) is seeking private sector investors to commercialise some of its research facilities and assets as it looks to reduce dependence on government funding...
RecentlyFrance braces for fresh protests as unions strike over higher wages
Read the full report from the original source.
RecentlyFuel prices: Why developing economies are paying the most at pump
Developing economies are bearing a disproportionate burden of the global fuel price shock triggered by disruptions to shipping through the Strait of Hormuz. According to…
RecentlyPharmacy Board Warns Against Using Cetirizine for Vaginal Tightening, Dryness
News · 4 hours ago
RecentlyMpanzu, Barker wachomoza tuzo Oktoba
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania pledges to bolster social protection systems for older people
TUNDUMA: THE Tanzanian government has pledged to continue strengthening social protection systems and services aimed at improving the welfare of…
RecentlyDr Kijaji hails participation of 30 Tanzanian firms at WTM tourism exhibition in UK
LONDON: THE Minister for Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji, has visited Tanzania’s pavilion at the World Travel Market…
RecentlyPage 378 of 1150 · 22998 stories