Search the region
23026 stories
Eastleigh building collapse: Rescuers discover three more bodies in rubble
Read the full report from the original source.
RecentlyWanawake vyombo vya ulinzi washiriki mkutano wa ICGLR
Read the full report from the original source.
RecentlyHong Kong activist Joshua Wong sentenced to 10 more years
Read the full report from the original source.
RecentlyWorker killed by falling debris during demolition in Ruiru
According to police, the incident occurred when a falling concrete slab struck the worker as the demolition was underway
RecentlyNew report reveals crime rise, sexual violence hotspots
Read the full report from the original source.
RecentlyMugabe’s son arrested over ‘assault’ during luxury car smuggling probe
Africa · 4 hours ago
RecentlyURSB launches mobile app for business registration services
KAMPALA – The Uganda Registration Services Bureau (URSB) has launched a mobile application, URSB Connect, which it says will let clients access its services without visiting its offices. The app gives...
RecentlyWhich toilet? When a child's need is a tough balance between privacy and safety
Read the full report from the original source.
RecentlyMan found dead with ear chopped off in Vihiga
Police found the body inside the house and established the deceased had sustained horrific injuries, a deep cut
RecentlyWizara ya Nishati, AfDB wajadili ufadhili wa mradi wa umeme wa 400kV Kisongo – Same – Segera
Read the full report from the original source.
RecentlyMultiChoice Uganda cuts DStv prices in nationwide sales drive
KAMPALA – MultiChoice Uganda has revised its DStv subscription prices and replaced its packages with three new tiers, as it launches a nationwide sales drive. The new packages are DStv Starter...
RecentlyUbalozi wa Tanzania washiriki maonyesho ya utalii Canada
Read the full report from the original source.
RecentlyHon. Twalla Fadil: Why PLU’s Online Registration Strategy Marks a New Chapter in Uganda’s Political Mobilisation
The launch and rapid adoption of the online registration strategy by the Patriotic League of Uganda (PLU) marks an interesting development in how political mobilisation, civic mapping and grassroots engagement…
RecentlySudhir Ruparelia Unveils Paradise Island Resort, Calls It ‘a New Chapter in Uganda’s Luxury Tourism
KAMPALA — Ugandan businessman and Ruparelia Group Chairman Dr. Sudhir Ruparelia has announced the launch of Paradise Island Resort, a 19-acre private island development on Lake Victoria designed to elevate…
RecentlyWhat Democrats can, can't do with their new power
There's the matter of reining in Trump's foreign policy, which could be difficult, despite Democrats' majority
RecentlySamia Legal Aaid: Wosia si kujichulia kifo, ni kinga ya migogoro ya familia
Read the full report from the original source.
RecentlyWAWEKEZAJI WAIOMBA TRC KUONGEZA UFANISI KATIKA KUSAFIRISHA MIZIGO NA SHEHENA
Na Mwandishi Wetu, Morogoro WAWEKEZAJI wafanyabiashara na wasafirishaji wa mizigo mkoani Morogoro wameitaka Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuongeza kasi na ufanisi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia Reli ya Kisasa ya SGR ili kupunguza gharama za biashara na kuchochea ukuaji wa uchumi. Wamesema pamoja na kuongezeka kwa mahitaji ya usafirishaji wa mizigo kwa njia ya reli, bado kuna umuhimu wa kuboresha miundombinu na huduma zinazotolewa ili kuhakikisha wafanyabiashara na wawekezaji wanapata huduma kwa wakati na kwa uhakika. wamesema hatua hiyo itasaidia kupunguza muda wa kusafirisha mizigo kutoka eneo moja kwenda jingine, kupunguza gharama za uendeshaji wa biashara na kuongeza ushindani katika sekta ya usafirishaji nchini. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Katibu Tawala wa Mkoa huo, Dkt. Mussa Ali Mussa, kwa kushirikiana na Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia masuala ya biashara, Beatrice Njau, wameeleza changamoto zinazokabili miundombinu ya reli na kusisitiza umuhimu wa kuzitatua ili kuongeza ufanisi wa huduma. Mwakilishi wa Bandari Kavu ya Free Zone Mkoa Morogoro Mansoor Hilari Hilari amesema kuboreshwa kwa miundombinu hiyo kutakuwa na mchango mkubwa katika kurahisisha shughuli za kiuchumi, hususan kwa wafanyabiashara na wawekezaji wanaotegemea usafiri wa reli kusafirisha bidhaa zao. Kwa upande wake, mwakilishi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Raphael Bwire, amesema shirika hilo linaendelea na juhudi za kupanua na kuboresha miundombinu ya reli ili kuongeza uwezo wa kuhudumia mahitaji ya usafirishaji wa mizigo yanayoendelea kukua. Amesema hatua hizo ni sehemu ya jitihada za kuimarisha huduma za reli na kuhakikisha zinakidhi mahitaji ya wananchi, wafanyabiashara na sekta mbalimbali za kiuchumi. Naye Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Nahodha Mussa Mandia, amesema bodi hiyo itaendelea kuishauri Serikali kuhusu umuhimu wa kuboresha miundombinu ya reli ili kuimarisha mfumo mzima wa usafirishaji hasa katika usafirishaji wa makasha kutoka Bandari ya Dar es Salaam na kuweka kwenye Bandari ya Free Zone mkoani Morogoro. Amesema uwekezaji katika miundombinu ya usafirishaji ni muhimu katika kuchochea biashara, kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa mizigo na kuvutia wawekezaji zaidi.
Thu, 05 Nov 2026 05:05:05 +0000Fans sing along to AFRIGO classics at Johnnie Walker-backed tribute
MASAKA - Fans sang along to Afrigo’s songs on Saturday night, as the band and Eddy Yawe paid tribute to departed founder- Moses Matovu, at Garden Courts Hotel. Afrigo fans from all...
RecentlyDkt. Kijaji atembelea banda la Tanzania WTM London, ahimiza makampuni kutumia fursa kuitangaza nchi
Read the full report from the original source.
RecentlyPROF.SEDOYEKA AWATAHADHARISHA WANAFUNZI MATUMIZI YA AI
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WANAFUNZI wa vyuo vikuu nchini wametakiwa kutumia teknolojia ya akili bandia (AI) kama nyenzo ya kuboresha ujifunzaji na tafiti zao badala ya kuitegemea kuwaandikia kazi za kitaaluma, hali inayoweza kudhoofisha uwezo wao wa kufikiri kwa kina na kufanya tafiti huru. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Profesa Eliamani Mathew Sedoyeka, aliyesema matumizi sahihi ya AI yanaweza kuongeza ufanisi wa tafiti kwa kuwasaidia wanafunzi kubaini mapungufu, kupata taarifa na kuboresha ubora wa kazi zao za kitaaluma. Hata hivyo, amesema kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanafunzi, hususan wa masomo ya uzamili, kutumia teknolojia hiyo kuwaandikia tasnifu na makala za kitaaluma badala ya kufanya utafiti na kuandaa kazi hizo wenyewe. Amesema mwenendo huo unaweza kuathiri ubora, uhalisia na uaminifu wa tafiti za kitaaluma, huku akisisitiza umuhimu wa wanafunzi kuitumia AI kama nyenzo ya kuwaongezea maarifa badala ya kuchukua nafasi ya uwezo wao wa kufikiri na kuchambua mambo. Ameongeza kuwa mifumo ya uchunguzi wa kazi za kitaaluma kama Turnitin inaweza kusaidia katika kukagua uhalisia wa kazi hizo na kubaini masuala yanayohitaji uchunguzi zaidi. Profesa Sedoyeka amewataka wanafunzi na wahadhiri kujifunza matumizi sahihi ya teknolojia hiyo ili kunufaika na maendeleo ya kidijitali bila kupoteza misingi ya utafiti, ubunifu na fikra huru. Kwa upande wake, mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili ya Uongozi, Sharfani Zuberi, amesema matumizi yasiyo sahihi ya AI yanaweza kuwafanya wanafunzi kuwa tegemezi kwa teknolojia hiyo na kushindwa kutumia uwezo wao binafsi katika kutatua changamoto za kitaaluma. Amesema ni muhimu wanafunzi kuitumia kama nyenzo ya kuongeza uelewa na kurahisisha mchakato wa kujifunza na kufanya tafiti, badala ya kuifanya kuwa mbadala wa maarifa na uwezo wao. Naye mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili ya Mipango na Usimamizi wa Miradi, Imtihal Salum Taufiq, amesema katika utafiti wake unaohusu miundombinu ya barabara na mchango wake katika kuboresha mtiririko wa magari na usalama barabarani, amekutana na changamoto mbalimbali. Amezitaja baadhi ya changamoto hizo kuwa ni pamoja na kupata ushirikiano kutoka kwa baadhi ya wadau wa Serikali na jamii, pamoja na changamoto za kiteknolojia zinazoweza kuathiri utekelezaji wa utafiti wake.
Thu, 05 Nov 2026 05:00:40 +0000Page 388 of 1152 · 23026 stories