Unganishwa

Search the region

23065 stories

Uncategorized · SoftPower News

CCBA Invests in Africa’s Leadership Potential Through EDGE

Read the full report from the original source.

Recently
Business · HabariLeo

TNCC yasisitiza uaminifu kuimarisha biashara

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Sanlam Allianz top owner to sell 4.8pc stake on IRA rules

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ex-Governor Francis Kimemia dumps Jubilee for DCP

The former Nyandarua governor becomes the latest high-profile politician to join the opposition outfit as Gachagua steps up efforts to consolidate Mt Kenya

Recently
Uncategorized · Daily News

ICGLR calls for inclusive strategies that facilitate women’s access to economic opportunities

DAR ES SALAAM: WOMEN MPs from the Forum of Parliaments of the International Conference on the Great Lakes Region (FP-ICGLR)…

Recently
National · Issa Michuzi

NDEJEMBI AKUTANA NA RAIS MUSEVENI KUJADILI MAENDELEO YA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA EACOP

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), linalounganisha Hoima nchini Uganda na Chongoleani, Tanga nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda, yakilenga kuimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati, hususan katika sekta ya mafuta na gesi. Mkutano huo umehudhuriwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Ngwaru Maghembe; Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Meja Jenerali Marco Gaguti; Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia mafuta na gesi, Dkt. James Mataragio; Kamishna wa Mafuta na Gesi, Goodluck Shirima, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Makame.

Wed, 04 Nov 2026 14:21:15 +0000
Uncategorized · Business Daily

Elderly dominate SHA coverage amid out-of-pocket medical expenditure pressure

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · BBC Rwanda

Rwanda: Umurwi wa basketball wa APR wakuwe muri BAL kubera ibihano vya Amerika, bivugwa na NBA

Amerika yafatiye ibihano igisirikare c’Urwanda kubera uruhara rwaco mu ntambara yo mu buseruko bwa RD Congo.

Recently
Uncategorized · Capital FM

UDA drops Keroche, installs Maina as deputy leader in Senate

Latest · News

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Legendary Fisherman Cash 'Em All Na Uvuvi Unaoweza Kukuletea Ushindi

KUNA watu wanaopenda uvuvi kwa sababu ya kupata samaki wakubwa, lakini kwa wengine, furaha halisi ipo kwenye safari yenyewe, uvumilivu na msisimko wa kusubiri samaki anase chambo. Sasa fikiria safari hiyo ikiingia kwenye ulimwengu wa kasino na badala ya kuvua samaki, unakutana na pesa, zawadi na jackpot zinazokusubiri. Hiyo ndiyo burudani inayopatikana kupitia mchezo wa Legendary Fisherman Cash 'Em All, unaopatikana Meridianbet, ambapo kila mzunguko unakupa nafasi ya kuingia kwenye ulimwengu wa kipekee wa uvuvi wenye ladha ya kasino. Mchezo huu unamleta mbele mvuvi mwenye sigara mdomoni na mwonekano wa mtu aliyepambana na samaki wakubwa kwa miaka mingi. Ni mhusika anayekupa taswira ya mvuvi mkongwe mwenye visa vingi vya kusimulia, hasa kuhusu samaki waliowahi kumponyoka dakika za mwisho. Muonekano wake unaendana kikamilifu na mazingira ya mchezo, huku akionekana kama alama kuu ya safari hii ya kuvutia. Kwa mashabiki wa michezo ya kasino mtandaoni wanaopenda mandhari yenye ubunifu, Legendary Fisherman Cash 'Em All inakuletea burudani inayochanganya uvuvi na msisimko wa kutafuta zawadi. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Hata hivyo, kinachoufanya mchezo huu kuwa wa kipekee zaidi ni kipengele cha Cash 'Em All, ambacho ndicho kivutio kikubwa cha safari nzima. Alama za pesa zinapoanza kujitokeza kwenye mchezo, msisimko unaongezeka huku ukikutana na viwango vitatu tofauti vya zawadi ambavyo ni Bronze, Silver na Gold. Kila kiwango kina matokeo yake, hivyo wachezaji wanapata sababu nyingine ya kufuatilia kinachoendelea kwenye skrini. Ni kama mvuvi anayesubiri kuvuta samaki mkubwa baada ya kuhisi chambo kimeshikwa, kwani hapa kila hatua inaleta matarajio mapya. Siri nyingine ya mchezo huu ipo kwenye Mystery Symbols na Level Up Symbols, ambazo zinaweza kusaidia kuboresha kipengele cha Cash 'Em All na kuongeza msisimko wa mchezo. Pia kuna Progression Meter inayofuatilia maendeleo kadiri unavyoendelea kucheza mizunguko mbalimbali. Hii inakupa sababu ya kufuatilia kila kinachotokea, huku ukisubiri kuona namna vipengele hivyo vinavyoweza kubadilisha uzoefu wako wa kucheza. Kama ilivyo kwenye uvuvi, uvumilivu na kufuatilia kila hatua ni sehemu ya safari. Sasa ni wakati wa kuacha simulizi za samaki waliokupita na kuingia kwenye burudani ya kidijitali kupitia Meridianbet. Legendary Fisherman Cash 'Em All inakusubiri na safari yake ya kipekee ya uvuvi wa pesa, jackpot na vipengele mbalimbali vya kusisimua. Fungua akaunti yako Meridianbet, chagua mchezo huu kwenye kasino mtandaoni na ufurahie burudani yake.

Wed, 04 Nov 2026 05:30:00 +0000
Uncategorized · KBC

Oburu urges political tolerance, dialogue for national unity

Oburu says leaders must put national interests ahead of partisan considerations as Wetang’ula and Kingi lead MPs and Senators in a visit to his Nairobi home.

Recently
Uncategorized · Capital FM

High Court orders police to produce missing lawyer Abshir Abdi ‘dead or alive’

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

State: No public money for Bayern-Ajax friendly

Sports PS Elijah Mwangi Mwangi said strategic partners had come on board to finance the event, with the government offering support in marketing Kenya.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Wataalamu watakiwa kutumia teknolojia akili unde kuboresha utendaji

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Issa Michuzi

Aek Athens, Real Madrid, Vita Ya Pointi Tatu UCL

MASHABIKI wa soka duniani wanatarajia kushuhudia burudani nyingine ya Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati AEK Athens ya Ugiriki itakapokuwa mwenyeji wa miamba ya Hispania, Real Madrid katika mchezo wa hatua ya ligi utakaopigwa leo Jumatano, Novemba 4, 2026, kwenye dimba la OPAP Arena (Allwyn Arena), jijini Athens. Mchezo huu ni sehemu ya raundi ya nne, huku kila upande ukiwa na sababu muhimu ya kupigania pointi tatu. AEK Athens inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na jukumu la kutumia vizuri faida ya kucheza nyumbani na sapoti ya mashabiki wake. Baada ya kupata ushindi dhidi ya LASK katika mchezo wake wa kwanza, timu hiyo imepoteza michezo miwili iliyofuata dhidi ya Shakhtar Donetsk na Manchester City . Hivyo, kukutana na Real Madrid kunakuwa mtihani mkubwa huku wakihitaji matokeo yatakayowarudisha kwenye mstari wa ushindani. upande wa pili, Real Madrid inawasili Ugiriki ikiwa na rekodi nzuri ya mwanzo wa kampeni hii ya Ulaya. Los Blancos imekusanya ushindi dhidi ya Inter Milan, AS Roma na RB Leipzig , jambo linaloifanya kuingia katika mchezo huu ikiwa na alama tisa baada ya mechi tatu. Ikiwa na historia kubwa katika mashindano haya, Madrid haitaki kupoteza kasi yake katika mbio za kuwania nafasi za juu kwenye msimamo wa hatua hii ya ligi. Miongoni mwa mambo yanayoufanya mchezo huu kuwa na mvuto wa kipekee ni historia ya timu hizi kukutana katika mashindano ya Ulaya. Katika michezo yao minne iliyopita, kila timu imefanikiwa kupata ushindi mmoja huku michezo miwili ikiisha kwa sare. Aidha, mshambuliaji wa AEK Athens , Luka Jović, ana historia ya kuitumikia Real Madrid kati ya mwaka 2019 na 2022, hivyo mchezo huu utakuwa na ladha ya kipekee kwake dhidi ya aliyekuwa mwajiri wake. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kwa upande wa kiufundi, macho yatakuwa kwa safu ya ushambuliaji ya Real Madrid inayohusisha mastaa kama Kylian Mbappé, Vinícius Júnior na Jude Bellingham, huku AEK Athens ikihitaji nidhamu kubwa ya ulinzi na kutumia vizuri nafasi za kushambulia. Kwa Madrid , ushindi mwingine utaimarisha nafasi yake kwenye msimamo, lakini kwa wenyeji, kupata matokeo mbele ya mashabiki wao kutakuwa hatua muhimu katika kuendeleza matumaini yao ya kusonga mbele.

Wed, 04 Nov 2026 05:00:00 +0000
Uncategorized · Business Daily

Chinese carmakers ride on sales to double Kenya market share

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda Inspirer

Call for Longer TVET Internships and Review of Entry-Level Job Requirements in Rwanda

Read the full report from the original source.

Recently
Health · The Nile Post

Uganda Must Invest More in Disease Prevention to Achieve Tenfold Growth – Health Ministry PS Atwine

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Star Kenya

'Disaster': Angry Republicans blame Trump for defeat

Some Republicans focused their ire on Trump, arguing that his focus on his legacy and indifference to voter concerns cost the party control of Congress.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Keeper Owono ‘would never intentionally hurt anyone’

Latest · football

Recently

Page 402 of 1154 · 23065 stories