Search the region
22421 stories
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 23/11/2026
Azam TV
2026-11-23T20:07:34+00:00Museveni Meets Uganda’s ICC Judicial Candidate Rosette Muzigo-Morrison
Read the full report from the original source.
RecentlyPamoja Trust Foundation launches initiative aimed at strengthening police reforms
Read the full report from the original source.
RecentlyRotary Rwanda entrain de mobiliser $US 5 millions pour l’achat d’un appareil de dépistage du cancer
Read the full report from the original source.
RecentlyEspi: Mourinho's unlikely game changer at Real Madrid
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda urges African countries to invest in local pharmaceutical industries to secure health independence
Read the full report from the original source.
RecentlyDenmark: Top court backs hardline law against 'non-Westerners'
Read the full report from the original source.
RecentlyLes Présidents congolais Tshisekedi et kenyan Ruto réconciliés par le Togo et le Congo-Brazza
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda’s Prime Minister calls for greater African ownership of health financing
Read the full report from the original source.
RecentlyPerezida Kagame yasezeye kuri Ambasaderi wa Zimbabwe ushoje ikivi
Read the full report from the original source.
RecentlyIEBC seeks extra Ksh.12B to fund 2027 General Election
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda Foreign Minister Nduhungirehe meets Rwandan diaspora in Denmark
Read the full report from the original source.
RecentlyCitrine Investment Bank obtient une licence d’opérer au Rwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyTRA YASISITIZA MAHUSIANO YA KIJAMII NA WAFANYABIASHARA KARIAKOO
Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesisitiza umuhimu wa kuimarisha mahusiano na ushirikiano na wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, ikieleza kuwa uhusiano mzuri kati ya pande hizo ni nguzo muhimu katika kujenga mazingira bora ya biashara na kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato. Wito huo umetolewa na Kamishna wa Kodi za Ndani, Eva Raphael Magoti, akizungumza katika hitimisho la maombolezo ya aliyekuwa mfanyabiashara wa Kariakoo na Mwenyekiti wa Kijiwe cha Raha Square, Marehemu Rweyemamu Erasto, ambapo viongozi wa TRA na wafanyabiashara walishiriki kumuaga. Magoti amesema TRA haitakiwi kuhusishwa na wafanyabiashara katika masuala ya kodi pekee, bali inapaswa kuwa na mahusiano ya karibu nao katika shughuli mbalimbali za kijamii ili kujenga mshikamano na kuimarisha ushirikiano. Amesema taasisi hiyo itaendelea kushirikiana na wafanyabiashara katika masuala yenye maslahi kwa jamii, akisisitiza kuwa kujenga Taifa kunahitaji hiari, umoja na mahusiano mazuri baina ya taasisi na wananchi. Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Kariakoo, Haji Manara, amewataka wafanyabiashara kuendeleza ushirikiano na TRA, akieleza kuwa mahusiano mazuri yaliyopo yamechangia Mkoa wa Kikodi Kariakoo kufanya vizuri na kuwa kinara katika ukusanyaji wa mapato. Manara amesema ushirikiano huo umesaidia kutatua kwa haraka changamoto mbalimbali za kikodi zinazowakabili wafanyabiashara, huku akiwataka kuendeleza mchango na kazi nzuri zilizoachwa na marehemu Rweyemamu katika kuwakilisha maslahi yao. Katika tukio hilo, TRA kupitia Kamishna wa Kodi za Ndani ilikabidhi Sh milioni mbili kwa familia ya marehemu kama rambirambi na mchango wa kusaidia utekelezaji wa mikakati ya Kamati ya Msiba ya kumuenzi. Aidha, Manara amewaalika viongozi wa TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo kushiriki Maulid maalum ya kuliombea Soko la Kariakoo, yatakayofanyika Jumapili, Novemba 29, 2026, katika Soko Jipya la Kariakoo.
Mon, 23 Nov 2026 19:41:21 +0000WAZIRI: SEKTA BINAFSI NI NGUZO MUHIMU KUTEKELEZA DIRA 2050
NA MWANDISHI WETU WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Leonardo Akwilapo, amesema sekta binafsi ni nguzo muhimu katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano katika usimamizi wa ardhi, uendelezaji wa miji ya kisasa, makazi bora na ukuaji wa uchumi. Akizungumza Novemba 11, 2026, jijini Dar es Salaam, katika kikao kazi na kampuni za upangaji, upimaji na uendelezaji wa milki, Waziri huyo amesema ardhi ni rasilimali muhimu inayobeba shughuli mbalimbali za kiuchumi ikiwemo kilimo, viwanda, ujenzi wa nyumba, ofisi na uwekezaji wa biashara. Amesema Dira ya Taifa ya 2050 imeipa sekta ya ardhi nafasi muhimu kutokana na uwezo wake wa kuchochea maendeleo ya wananchi na kufikia malengo ya uchumi, hivyo ni lazima kuweka mifumo imara ya usimamizi na kuimarisha ushiriki wa sekta binafsi. Waziri amesema serikali haiwezi kutekeleza Dira ya 2050 peke yake, kwa kuwa sekta binafsi imepewa nafasi kubwa katika kuchochea shughuli za kiuchumi, hivyo ni muhimu kushirikiana katika ubunifu wa miji ya kisasa, ujenzi wa makazi ya gharama nafuu, kuboresha makazi yaliyopo na kuimarisha usalama wa milki. Amesema ushirikiano huo unapaswa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za kitaaluma, huku akisisitiza kuwa serikali na sekta binafsi ni washirika wanaojenga nyumba moja na wanapaswa kuzungumza kwa uwazi, kukosoana na kutatua changamoto kwa lengo la kuleta maendeleo. Katika hatua nyingine, Waziri amesema serikali ipo katika maandalizi ya kuanzisha Mamlaka ya kusimamia sekta ya milki nchini, ambayo itakuwa na nguvu za kisheria za kuratibu na kusimamia shughuli za sekta hiyo, akieleza kuwa muswada wake unatarajiwa kuwasilishwa Bungeni katika nusu ya pili ya mwaka 2027 baada ya kukamilisha hatua za mashauriano na wadau. Amesema kuanzishwa kwa mamlaka hiyo kutasaidia kuimarisha usimamizi wa sekta ya milki, kudhibiti ukiukwaji wa maadili ya kitaaluma, udanganyifu na migogoro ya ardhi, pamoja na kuweka mfumo wa pamoja wa utendaji kwa wadau wanaohusika. Aidha, amesema serikali inaendelea na programu ya urasimishaji wa makazi yaliyopangwa kiholela na kuzuia uanzishwaji wa makazi mapya yasiyozingatia mipango miji, akibainisha kuwa changamoto ya makazi yasiyopangwa imeendelea kuathiri mandhari ya miji, upatikanaji wa huduma na maendeleo endelevu. Waziri ametoa rai kwa sekta binafsi kushirikiana na serikali katika kuboresha makazi chakavu na kuhuisha maeneo ya mijini yenye thamani kubwa, bila kuathiri haki za wananchi katika maeneo yao, huku akisisitiza umuhimu wa kuzingatia mipango miji na matumizi sahihi ya ardhi. Ameongeza kuwa serikali pia inafuatilia changamoto za ukusanyaji wa kodi ya pango la ardhi, baada ya kubainika kuwa baadhi ya wananchi wanaotaka kulipa wanakabiliwa na vikwazo vya kupata namba za malipo, akielekeza uchunguzi kubaini kama tatizo linatokana na mifumo ya kiteknolojia, watendaji au sababu nyingine. Waziri amesema sekta ya milki ina mchango wa takribani asilimia 4.4 katika Pato la Taifa, hivyo kuna haja ya kuimarisha usimamizi wake ili kuongeza mapato ya serikali, kuvutia uwekezaji na kukuza uchumi, huku akisisitiza kuwa serikali itaendelea kushirikiana na wadau kuhakikisha sekta hiyo inakuwa na mazingira bora ya kufanya kazi. Pia amesema kwamba Serikali inathamini mchango wa sekta binafsi katika maendeleo ya ardhi, milki na makazi nchini, na kwamba ushirikiano wa karibu, uwazi, uwajibikaji na kuzingatia taaluma ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya taifa.
Mon, 23 Nov 2026 19:45:47 +0000Rwanda Foreign Minister attended a conference on Genocide prevention in Sweden
Read the full report from the original source.
RecentlyEbola outbreak climbs to 11,645 cases as deaths near 5700-CDC
Read the full report from the original source.
RecentlyLa FERWAFA soutient la réélection de Gianni Infantino pour un nouveau mandat à la tête de la FIFA
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda advances trade, investment and cooperation at Nordic-African Foreign Ministers’ Meeting in Norway
Read the full report from the original source.
RecentlyI&M Capital Urges Ugandans to Tap Global Financial Markets for Long-Term Wealth Creation
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 41 of 1122 · 22421 stories