Search the region
23092 stories
Havi to LSK: Lead demos to police HQ over missing lawyer
Havi wants advocates to march to police headquarters as the LSK seeks a court order compelling police to produce Abdi dead or alive.
RecentlyRais Samia apiga kura uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Chamwino
Read the full report from the original source.
Recently'Good people are winning elections,' Sifuna weighs in on US midterms
Sifuna lauds Democratic Partys performance in 2026 United States midterm elections, saying he was pleased to see leaders who care about ordinary citizens winning.
Wed, 04 Nov 2026 11:44:20 +0300Former Arua LCV chairperson, son remanded over abuse of office, theft
Former Arua District Local Government LCV Chairperson Alfred Okuonzi and his son, Stephen Pariyo, have been remanded to Luzira Prison over charges of abuse of office and theft involving a…
RecentlyUganda Must Train More Pharmacists, Not Fewer, Says Victoria University Vice-Chancellor
Kampala — Uganda should open the doors wider for pharmacy training instead of restricting student numbers on the claim that the country already has enough pharmacists, according to Prof. Lawrence…
RecentlyNRM National Treasurer Amb. Nekesa Donates Land for Busia Party Headquarters
Read the full report from the original source.
RecentlyHavi to LSK: Lead demo to police HQ over missing city lawyer
Havi wants advocates to march to police headquarters as the LSK seeks a court order compelling police to produce Abdi dead or alive.
RecentlyTanzania Comedy Festival coming to Dar with countless fortunes
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Comedy Festival is scheduled to take place in Dar es Salaam on November 27 this…
RecentlyTANGA NA MKAKATI WA KUINUA ZAO LA MACHUNGWA
NA: DK. REUBENI LUMBAGALA Mkoa wa Tanga ni maarufu kwa uzalishaji wa matunda nchini. Machungwa ni miongoni mwa matunda yanayozalishwa kwa wingi katika wilaya za Muheza, Korogwe na Handeni mkoani humo. Wakulima wa zao hili hufanya jitihada kubwa za uzalishaji, lakini bado hawajafaidi vya kutosha jasho lao. Wakulima hutegemea baada ya kuvuna, wauze machungwa kwa bei nzuri ambayo itarejesha gharama za uendeshaji. Aidha, wakulima hao hutegemea kupata faida kwani kwao kilimo hicho ni ajira kwa ajili ya kuendesha maisha yao na kufanya mambo mengine ya maendeleo kama kusomesha watoto, kujenga nyumba, kufungua biashara, kununua vyombo vya moto za usafiri, kutaja kwa uchache. Miongoni mwa changamoto katika kilimo cha machungwa ni bei ndogo na kukosa soko la uhakika. Hili limesababisha wakulima kuuza machungwa yao mashambani kwa madalali. Kwa kufanya hivyo, wakulima wamejikuta wakiuza machungwa yao kwa bei ndogo huku madalali wakinufaika pasi na kumwaga jasho kama walivyomwaga wakulima. Kutokana na changamoto hizi, serikali ya mkoa wa Tanga chini ya uongozi wa Mkuu wa Mkoa, Balozi Dk. Batilda Buriani, umejizatiti kuinua zao hili ili libadili hali za maisha ya wakulima na kuchangia katika maendeleo. Novemba 1, 2026, katika kikao cha viongozi wa mkoa na wilaya, Dk. Buriani alisema, mkoa wa Tanga huzalisha asilimia 60 ya machungwa yote nchini, hivyo ni muhimu kuweka mazingira mazuri ya biashara hiyo ili iwanufaishe wakulima. "Tumepiga marufuku madalali kununua machungwa mashambani, machungwa yatauzwa katika vituo maalum, hii itasaidia machungwa kuuzwa kwa bei nzuri," amesema Dk. Buriani. Katika hatua nyingine, Dk. Buriani amesema, serikali mkoani humo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), watajenga vituo vinne ambapo wanunuzi wa machungwa watakwenda kununua moja kwa moja katika vituo hivyo kwa bei elekezi. Kimsingi, ujenzi wa vituo hivi na kuwa na bei elekezi ya machungwa ni mkakati mzuri wa kuinua zao hili. Ni wakati muafaka sasa kwa wakulima kufaidi jasho lao na kuona fahari kulima machungwa kwani sasa kilimo hicho kitalipa na chenchi itabaki.
Wed, 04 Nov 2026 09:02:36 +0000Umukozi wa Amerika yarahaye Ethiopia amakuru y'ibanga kugira afashe mu kwica abarwanyi muri Tigray
Umunyamerika yavukiye muri Ethiopia yemeye imbere y'ubutungane ko yahaye Ethiopia amakuru y'iperereza y'ibanga akomeye kandi yari akingiwe cane, harimwo n'ayo yari yizeye ko yashobora gufasha mu gutera, gutumbereza no kw
RecentlyZurcher: Democrats tear up Trump's political map on historic night
Two Senate races that a year ago were thought to be battlegrounds turned out to be slam-dunks for the Democrats.
RecentlyScholarships must deliver more than degrees as Kairuki challenges beneficiaries to drive national development
UK: International scholarships should be measured not only by the academic qualifications recipients acquire but also by the practical solutions…
RecentlyAmbassador invites Algerian investors to explore Tanzania’s expanding opportunities across key economic and industrial sectors
ALGERIA: Tanzania is seeking to translate its longstanding friendship with Algeria into stronger commercial partnerships, inviting Algerian companies to explore…
RecentlySuivez les résultats des élections de mi-mandat aux États-Unis
Read the full report from the original source.
RecentlyNarok man gets life imprisonment for defiling 10-year-old daughter
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya commits to end cataract blindness by 2045
The government said eliminating avoidable vision impairment was critical to improving people's livelihoods and national development
RecentlyDC intervenes to restore peace in Arumeru
ARUSHA: ARUMERU District Commissioner Neema Lugangira has overseen the return of 52 livestock taken during a peace-breaking incident involving two…
RecentlyChina reaffirms commitment to strong, accountable leadership, national development
CHINA: The strength of a nation is measured not only by its economic achievements, natural resources or technological progress, but…
RecentlySERIKALI YAENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA MAKALI YA BEI ZA MAFUTA NCHINI
Na Mwandishi Wetu Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua za kupunguza makali ya ongezeko la bei za mafuta nchini, ikiwemo kutoa ruzuku ili kulinda watumiaji na kupunguzaathari za gharama za mafuta kwa shughuli za kiuchumi. Hatua hizo zinalenga kuhakikisha kuwa, pamoja nachangamoto zinazoendelea katika soko la dunia, wananchi wanaendelea kupata mafuta kwa uhakika nakwa bei himilivu. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), bei za mafuta nchinizimeongezeka kwa mwezi Novemba 2026 kutokana nakuongezeka kwa gharama za usafirishaji na bima, kulikosababishwa na kuendelea kwa mgogoro waMashariki ya Kati, ambako Tanzania huagiza sehemukubwa ya mafuta yake. Hali hiyo imejitokeza licha ya bei za mafuta yaliyosafishwa katika soko la dunia kupungua kidogo mwezi Oktoba ikilinganishwa na Septemba 2026. Katika kukabiliana na changamoto hizo, Serikali imefanya jitihada za kuweka ruzuku kwa lengo la kupunguza mzigo wa gharama kwa watumiaji wa mafuta na uchumi kwa ujumla, huku ikiendelea kuchukua hatua za kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa bidhaa hizo nchini. EWURA imetangaza bei kikomo za mafuta zitakazoanza kutumika tarehe 4 Novemba 2026, ambapo kwa Dar es Salaam, petroli itauzwa kwa bei isiyozidi Shilingi 4,083 kwa lita, dizeli Shilingi 4,128 na mafuta ya taa Shilingi 4,117. Licha ya ongezeko hilo, bei za mafuta hayo nchini ziko chini zikilinganishwa na baadhi ya nchi jirani katika ukanda wa Afrika Mashariki (EAC) na zile za Kusini mwa Afrika (SADC). Serikali imeeleza kuwa itaendelea kufuatilia mwenendo wa soko la mafuta duniani na kuchukua hatua za kupunguza athari zake kwa wananchi na shughuli za uzalishaji, usafirishaji na uchumi kwa ujumla. Kwa mujibu wa taarifa ya EWURA, kipaumbele cha serikali ni kuhakikisha mafuta yanaendelea kupatikanakwa uhakika nchini, huku gharama zake zikiendeleakuwa himilivu kwa wananchi na uchumi.
Wed, 04 Nov 2026 08:47:46 +0000STAKABADHI ZA GHALA ZAWEZESHA MAUZO YA KOROSHO YA SH BILIONI 682 NDANI YA WIKI TATU
ZAIDI ya tani 175,000 za korosho ghafi zimeuzwa kwa thamani ya Sh.bilioni 682 ndani ya wiki tatu za minada ya msimu wa 2026/27, huku zaidi ya tani 200,000 zikiwa zimekusanywa kupitia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, ameyasema hayo leo, Novemba 3, 2026 jijini Dodoma kwenye Maonesho ya kuelekea uzinduzi wa sera ya maendeleo endelevu ya viwanda ya mwaka 2025 na sera ya maendeleo ya wajasiriamali wadogo na wa kati ya mwaka 2003 toleo la mwaka 2025 Bw. Bangu amesema tangu kuanza kwa msimu huo Oktoba 12, mwaka huu hadi leo minada 20 ya korosho imefanyika kupitia mfumo huo ambao umeendelea kuwaunganisha wakulima na wanunuzi, kurahisisha upatikanaji wa masoko na kuwezesha biashara ya mazao kufanyika kwa uwazi na ushindani. "Hadi Novemba 1, 2026 tani za korosho 175,000 zenye thamani ya zaidi ya Sh.Bilioni 682 zimeuzwa kupitia Mfumo wa Stakabadhi za ghala kati ya tani 200,000 ambazo zimekusanywa kwa kipindi hicho,"amesema. Aidha, ameeleza kuwa mafanikio mengine ya mfumo huo yameendelea kuonekana pia katika mazao mengine ambapo ndani ya miezi minne kuanzia Julai mosi, 2026 mfumo huo umewezesha kupokelewa na kuuzwa kwa tani 217,000 za mbaazi, zaidi ya tani 164,000 za dengu, zaidi ya tani 26,000 za ufuta, tani 8,700 za kahawa na tani 8,252 za kakao. Amesisitiza kuwa mfumo huo una mchango mkubwa katika kuchochea maendeleo ya viwanda nchini kwa kuwezesha uhifadhi wa mazao katika ghala zenye leseni, usimamizi wa ubora na usalama wa bidhaa.
Wed, 04 Nov 2026 08:49:22 +0000Page 413 of 1155 · 23092 stories