Search the region
23117 stories
National water grid anchors Samia’s water drive
TANZANIA: A YEAR after President Dr Samia Suluhu Hassan was sworn in for her second term on November 3, 2025,…
RecentlyUS midterms: Democrats win House and Senate from Republicans
Read the full report from the original source.
RecentlyFaith Odhiambo: Okowa’s re-election inspires young women
Okowa was re-elected for a full 9-year term at world's highest court, a development Odhiambo said was a proud moment for Kenya and country's legal profession
RecentlyPWANI YAAHIDI USHIRIKIANO KUIMARISHA BANDARI KAVU YA KWALA
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Mkoa wa Pwani imesema iko tayari kutoa ushirikiano katika kuimarisha Bandari Kavu ya Kwala na kuongeza matumizi ya reli katika usafirishaji wa makasha ya mizigo, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, wakati wa mazungumzo yake na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), iliyofanya ziara mkoani humo kwa lengo la kukagua miundombinu ya reli na huduma za usafirishaji wa makasha kwenda Bandari Kavu ya Kwala. Nyongo amesema kuimarishwa kwa Bandari Kavu ya Kwala pamoja na kuongeza uwezo wa usafirishaji wa mizigo kupitia reli kutasaidia kupunguza msongamano wa magari makubwa na foleni katika Jiji la Dar es Salaam. Amesema Mkoa wa Pwani kwa sasa unapokea wawekezaji wengi wanaokuja kuwekeza katika sekta ya viwanda, hali inayochochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi na kuongeza mahitaji ya huduma bora za usafirishaji. Amesema kutokana na kasi hiyo ya maendeleo, kuna umuhimu wa kuimarisha miundombinu ya barabara na reli ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo na kukidhi mahitaji yanayoongezeka. Aidha, amelitaka Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuimarisha uwezo wake wa kusafirisha makasha na shehena nyingine kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Bandari Kavu ya Kwala, ili wafanyabiashara na wasafirishaji waweze kuchukua mizigo yao Kwala na kuisafirisha kwenda maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi. Amesema matumizi makubwa ya reli katika usafirishaji wa mizigo yatapunguza idadi ya magari makubwa yanayoingia na kutoka Dar es Salaam, hivyo kupunguza msongamano na kuongeza ufanisi wa shughuli za usafirishaji. Nyongo amesema uanzishwaji na uimarishaji wa Bandari Kavu ya Kwala ni miongoni mwa vipaumbele vya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa lengo la kukuza uchumi na kuboresha huduma za usafirishaji nchini. “Tunataka watendaji waumize vichwa katika kuhakikisha miundombinu ya reli inatumika kikamilifu na kuleta tija iliyokusudiwa. Changamoto zinapojitokeza, watendaji wanapaswa kuwa wa kwanza kuzishughulikia,” amesema Nyongo. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Uwakala wa Meli (TASAC) Nahodha Mussa Mandia, amesema ziara hiyo imelenga kukagua miundombinu ya bandari kavu iliyopo mkoani Pwani ili kutathmini hali yake, uwezo wa kuhudumia shehena na mchango wake katika kurahisisha shughuli za usafirishaji na biashara. Amesema ziara hiyo pia inalenga kubaini fursa zilizopo katika bandari Kavu ya Kwala, katika kupunguza msongamano wa shehena na magari katika Bandari ya Dar es Salaam, Amesema kuondosha mizigo na makasha katika Bandari ya Dar es Salaam kunaongeza ufanisi wa huduma wa katika kuhudumia Meli Naye, Meneja wa Stesheni ya Ruvu wa TRC, Dawa Onyango, amesema shirika hilo linaendelea kuboresha huduma za reli, ambapo kwa sasa reli hiyo ina uwezo wa kuhudumia makasha 100 ya mizigo kutoka Bandari za Tanga na Dar es Salaam.
Wed, 04 Nov 2026 06:33:30 +0000A response to Yusuf Serunkuma on Kizza Besigye
I have read Yusuf Serunkuma’s open letter to Gen. Salim Saleh, published in The Observer on October 28, 2026, under the title “Dear Gen. Saleh,…
RecentlyPSG fly out of blocks to hit sorry Villarreal for six in Champions League
Read the full report from the original source.
RecentlyFrom Intelligence Boss TO Luzira Prisoner: The Untold Political Fall Of Gen. Sejusa
Read the full report from the original source.
RecentlyWomen must be at the heart of Great Lakes peace
DAR ES SALAAM: THE call by Tanzania for greater participation of women in peacebuilding, conflict resolution and regional decision-making is…
RecentlyPastor, go to the ICU with Gashumba
I go for this meeting with a pastor friend. He needs my assistance on some church-related matters, and I am hoping he gives me an…
RecentlyBungoma Drug Bust: 170kg Cannabis Seized After Suspect Flees Fatal Crash
NATIONAL NEWS · 4 hours ago
Recently21 Drivers Arrested in NTSA Night Crackdown Along Kakamega-Mumias Road
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyBayern skeleton crew sink Atletico in Champions League
Read the full report from the original source.
RecentlyKCSE enter day 3 amid fresh cheating concerns
A university student has been arrested in Bungoma for allegedly circulating examination papers on Telegram as investigators probe suspected malpractice incident
RecentlyKenyan Court Demands Answers Beyond Police Denial in Mwaipaya’s Case
Read the full report from the original source.
RecentlyThe Attrition Trap: Why Delay Is Costing Ukraine More Than It Can Bear
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania Media Leaders: Justice for Attacked Journalists Remains Elusive
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya Police Chief Denies Holding Mwaipaya, But Court Still Has No Answer on Where He Is
Read the full report from the original source.
RecentlyForeign MPs Demand Lissu Fair-trial Guarantee as Police Warn of Disorder Ahead of Friday’s Verdict
Read the full report from the original source.
Recently‘The Lives Of Our Loved Ones Were Of Great Value’: Memorial Held To Remember Tanzanians Who Lost Their Lives During the 2025 Election Crisis
Read the full report from the original source.
RecentlyPower expansion brings hope to rural communities
MOROGORO: TANZANIA’s electricity sector recorded several milestones during President Samia Suluhu Hassan’s first year in her second term, including expanded…
RecentlyPage 419 of 1156 · 23117 stories