Search the region
22424 stories
La FERWAFA soutient la réélection de Gianni Infantino pour un nouveau mandat à la tête de la FIFA
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda advances trade, investment and cooperation at Nordic-African Foreign Ministers’ Meeting in Norway
Read the full report from the original source.
RecentlyI&M Capital Urges Ugandans to Tap Global Financial Markets for Long-Term Wealth Creation
Read the full report from the original source.
RecentlyTipsport Casino App Tricks für echte Gewinner
Read the full report from the original source.
RecentlyStávky Olybet bez zbytočných okolkov
Read the full report from the original source.
RecentlyUN chief calls for AI risk management framework within a year
Read the full report from the original source.
RecentlyEbola: Qatar Lifts Travel Restrictions on Ugandans
Read the full report from the original source.
RecentlyDR Congo Army Reports Missing Aircraft as Rebels Claim Minembwe Shootdown
Read the full report from the original source.
RecentlyUN Under-Secretary-General for Peace Operations Lacroix visits Rwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyA memorial in commemoration of the 1994 Genocide against the Tutsi unveiled in Sweden
Read the full report from the original source.
RecentlyEACC raises alarm over clearance of candidates with integrity concerns ahead of 2027 polls
Read the full report from the original source.
RecentlyNews Brief: Inside Sh42bn prison revamp
These are the stories making the headlines in the Star
RecentlySERIKALI YAPONGEZA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MAZIWA CHA ASAS KWA KUONGEZA THAMANI YA MAZIWA NA KUTOA AJIRA
NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Pius Chaya, amepongeza uwekezaji mkubwa uliofanywa na Kiwanda cha ASAS Dairies, akisema umechangia kuongeza thamani katika mnyororo wa uzalishaji na uchakataji wa maziwa mkoani Iringa na nchini kwa ujumla, sambamba na kupanua wigo wa fursa za ajira, hususan kwa vijana na wanawake. Naibu Waziri Dkt. Pius Chaya ameyasema hayo leo, wakati akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani Iringa, ambapo ametembelea Kiwanda cha ASAS Dairies kilichopo mjini Iringa kwa lengo la kujionea shughuli za uzalishaji na kutathmini mchango wa kiwanda hicho katika kukuza sekta ya maziwa nchini. Ziara ya Naibu Waziri huyo mkoani Iringa inalenga kutathmini na kukagua hali ya uwekezaji, kubaini fursa zilizopo pamoja na changamoto zinazowakabili wawekezaji ili kuweka mikakati ya kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji mkoani humo. Katika ziara hiyo, Dkt. Chaya ametembelea Kiwanda cha ASAS Dairies, kinachojihusisha na uchakataji wa maziwa, ambapo amepata fursa ya kujionea shughuli za uzalishaji, uwezo wa kiwanda pamoja na mchango wake katika kukuza uchumi kupitia kuongeza thamani ya mazao ya mifugo na kutoa ajira kwa wananchi. Aidha, ziara hiyo ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi, kutambua mahitaji ya wawekezaji na kuweka mazingira rafiki yatakayochochea uwekezaji katika sekta mbalimbali, hatua inayotarajiwa kuongeza uzalishaji, ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla. Naye mmoja wa wakurugenzi wa Kiwanda cha ASAS Dairies, Ahmed Asas, amesema kuwa wao kama sehemu ya wadau muhimu katika sekta binafsi, wana wajibu wa kushirikiana na Serikali katika kutekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo, hususan kufanikisha malengo yaliyowekwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Kiwanda cha ASAS Dairies kimetoa ajira kwa zaidi ya watu 400, ambapo asilimia 60 ya wafanyakazi hao ni wanawake, hatua inayochangia kuwawezesha kiuchumi wanawake pamoja na kuongeza fursa za ajira kwa wananchi.
Mon, 23 Nov 2026 19:01:48 +0000EWURA YAKUTANISHA WADAU KUJADILI USALAMA NA UENDELEZAJI WA SEKTA YA GESI ASILIA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewakutanisha wadau wa gesi asilia iliyokandamizwa (CNG), wakiwemo watoa huduma na watumiaji, katika semina inayolenga kuongeza uelewa kuhusu usalama, ubora na ufanisi wa huduma za gesi asilia nchini. Semina hiyo imefunguliwa na Meneja wa EWURA Kanda ya Mashariki, Mhandisi Lorivii Long’idu, aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Bw. Salum Mnuna. Semina hiyo ilihudhuriwa na wadau kutoka Wizara ya Nishati, wamiliki na waendesha vituo vya CNG, wataalamu wa ukaguzi na ufungaji wa mifumo ya gesi kwenye magari, UDSM, DIT, TBS, TPDC, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Bodi ya Wakandarasi Tanzania, EWURA CCC, CRDB Bank pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo. Akizungumza wakati wa ufunguzi, Mhandisi Long’idu amesisitiza umuhimu wa wadau kuzingatia viwango na taratibu za usalama katika shughuli zote za CNG ili kulinda maisha, mali na kuhakikisha huduma zinatolewa kwa ubora unaotakiwa. Aidha, ameeleza kuwa EWURA inafanya mapitio ya viwango vya bei kikomo na faida kwa watoa huduma za CNG, baada ya takribani miaka 15 bila mabadiliko, ili kuzingatia mabadiliko ya gharama za uwekezaji na uendeshaji. Mapendekezo hayo yanatarajiwa kuanza kutumika Desemba 2026. Amewahimiza wadau kutoa maoni kuhusu mapendekezo hayo ili kuhakikisha maamuzi yatakayofikiwa yanazingatia maslahi ya watoa huduma na watumiaji, gharama halisi za uendeshaji pamoja na uwezo wa wananchi kumudu huduma hizo. Ameongeza kuwa EWURA itaendelea kushirikiana na wadau katika kuhakikisha sekta ya gesi asilia inakua kwa kuzingatia usalama, ubora, uwajibikaji na uendelevu wa huduma kwa manufaa ya wananchi na Taifa kwa ujumla.
Mon, 23 Nov 2026 19:03:33 +0000Health Leaders Retreat Opens at Kyankwanzi as Atwine Challenges Officials on Performance
Read the full report from the original source.
RecentlyDes marins ghanéens de retour après 15 mois dans le détroit d'Ormuz
Read the full report from the original source.
Recently15 arrested in Katani demos that paralyse transport for hours
Police Commander Owuoth said one suspect was caught using a tractor to supply protesters with stones to block Quarry and Katani roads
RecentlyBurkina-Guinée, quand l’orpaillage illégal divise deux alliés
Read the full report from the original source.
RecentlyTajikistan withdraws from ICC, follows US call
Read the full report from the original source.
RecentlyL'exploitation des travailleuses burundaises dans les pays du Golfe
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 42 of 1122 · 22424 stories