Unganishwa

Search the region

23139 stories

National · DW Rwanda

Greenland's parliament ratifies Trump's US security agreement

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Gov't targets 1.5 million acres under irrigation to boost food security

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kenya's Phoebe Okowa elected Judge of the ICJ

Professor Okowa was among nine candidates has been elected to the International Court of Justice (ICJ) for the 2027-2036 term.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 03/11/2026

Azam TV

2026-11-03T19:41:27+00:00
Uncategorized · The Star Kenya

Phoebe Okowa elected Judge of the ICJ

Professor Okowa was among nine candidates has been elected to the International Court of Justice (ICJ) for the 2027-2036 term.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Vidéo — Le Sahel est riche en or. Alors pourquoi cette richesse fait débat ?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Ibiciro by’amata bigarutse mu Nteko, umworozi agurirwa litiro kuri 400 akagera mu itase y’ugiye kuyanywa ageze ku 2000FRW

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

UN rights mission condemns Russia attack on Ukraine aid centre

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Phoebe Okowa elected to International Court of Justice

Professor Okowa was among nine candidates has been elected to the International Court of Justice (ICJ) for the 2027-2036 term.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Ethiopia: Violence in the north is pushing health system to the brink, WHO chief warns

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Family planning use falls to 61pc among married women in Kenya – KNBS

Latest · Capital Health

Recently
Uncategorized · The Standard

Kenya's Phoebe Okowa elected ICJ Judge for nine-year term

Kenyas Prof Phoebe Okowa elected Judge of the International Court of Justice after securing majority votes in UN organs, to serve a nine-year term.

Tue, 03 Nov 2026 22:19:08 +0300
Uncategorized · Citizen Digital

Postmortem reveals actress Regina Re's mother died from multiple stab wounds

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

WANAFUNZI PICHANDEGE, VIZIWAZIWA WATAKIWA KUTOA TAARIFA ZA UKATILI, WASIOGOPE VITISHO

Na Mwamvua Mwinyi, WANAFUNZI wa shule za msingi na sekondari katika Kata za Pichandege na Viziwaziwa, Manispaa ya Kibaha, wametakiwa kutokubali vitisho wanapofanyiwa vitendo vya ukatili, ulawiti, ubakaji na unyanyasaji, bali watoe taarifa kwa polisi, viongozi wa serikali za mitaa na kata, walimu pamoja na wazazi ili hatua za kisheria zichukuliwe. Wito huo umetolewa Novemba 3, 2026 na timu ya wataalamu wa sheria na ustawi wa jamii kupitia Awamu ya Pili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid), Manispaa ya Kibaha, inayoongozwa na Wakili Revocatus Thadeo Mathew, iliyofika katika shule za sekondari za Filbert Bay, East Coast na Pichandege pamoja na shule za msingi na sekondari katika Kata ya Viziwaziwa. Akitoa elimu kuhusu masuala ya ukatili wa kijinsia, Wakili wa Serikali Modykauye Benedict alisema ukatili dhidi ya watoto hauwahusu wasichana pekee, bali wavulana pia wanaweza kuwa waathirika wa vitendo hivyo. Aliwataka wanafunzi kutokubali vitisho vinavyotolewa na watu wanaowafanyia ukatili, huku akiwahimiza kuwa na utaratibu wa kutoa taarifa wanapoona dalili za ukatili badala ya kusubiri madhara yatokee. “Msioogope kutoa taarifa za vitendo vya ukatili, msiharibu vielelezo kwa sababu vitasaidia kutoa ushahidi wakati wa kesi za ukatili, ili tukomeshe vitendo hivi visiendelee,” alisema. Kupitia kampeni hiyo, wanafunzi katika kata hizo wamepatiwa elimu kuhusu ukatili wa kijinsia, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuwajengea uelewa wa kutambua, kujikinga na kutoa taarifa dhidi ya vitendo hivyo katika jamii. Watoa huduma ya msaada wa kisheria wa Mama Samia wamewafundisha wanafunzi kutambua aina mbalimbali za ukatili wa kijinsia, haki zao na namna ya kuchukua hatua wanapokumbana na vitendo hivyo, huku wakisisitiza umuhimu wa kutoa taarifa kwa mamlaka husika. Sambamba na elimu hiyo, watoa huduma walitoa mafunzo kwa Mabaraza ya Usuluhishi ya Kata za Pichandege na Viziwaziwa kuhusu namna bora ya kushughulikia na kutatua migogoro inayojitokeza katika jamii kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizowekwa. Aidha, wananchi walipata fursa ya kuwasilisha changamoto mbalimbali zinazowakabili, kusikilizwa na kupatiwa ushauri pamoja na ufafanuzi wa masuala ya kisheria, yakiwemo migogoro ya ardhi, mirathi, ndoa, familia na haki za watoto. Akifafanua kuhusu kampeni hiyo, Wakili Revocatus Thadeo Mathew alisema wananchi wanapata fursa ya kueleza kero zao na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa sheria, hatua inayolenga kuongeza uelewa wa haki zao na kuimarisha upatikanaji wa haki katika jamii. Huduma hizo zinaendelea kutolewa katika kata mbalimbali za Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kwa lengo la kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu haki zao, kuimarisha upatikanaji wa haki na kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii.

Tue, 03 Nov 2026 19:15:53 +0000
Uncategorized · Rwanda Inspirer

EAC pushes quality standards to help small businesses compete in wider markets

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Second body found 11 days after Eastleigh building collapse

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

HAYATI SAMUEL SITTA ALITUACHIA DIRA YA UONGOZI, TUIISHI - MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewataka Viongozi kuuenzi urithi wa aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Samuel John Sitta kwa kuishi misingi ya uadilifu, uwajibikaji na kujenga Taasisi imara. Makamu wa Rais ametia ujumbe huo Novemba 3, 2026, katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwenye kumbukizi ya miaka 10 ya kifo cha Samuel John Sitta na uzinduzi wa kitabu kinachoelezea maisha na safari yake ya uongozi. Makamu wa Rais amesema Hayati Samuel Sitta anakumbukwa kwa kutanguliza maslahi ya Taifa, kulinda hadhi ya Bunge na kusimamia heshima kwa taratibu na kanuni. Amesisitiza kuwa viongozi wanapaswa kuyatafsiri mafunzo hayo katika utendaji wao wa kila siku. “Uongozi wa kweli si njia ya kujitafutia umaarufu, hadhi au manufaa binafsi bali ni wajibu, utumishi, na ni kujitoa kwa ajili ya wengine,” amesema. Aidha, amewahimiza Watanzania, hususan viongozi, vijana na wanafunzi, kukisoma kitabu hicho chenye kurasa 217 ili kujifunza kuhusu utumishi wa umma, uzalendo na umuhimu wa Taasisi imara katika kulijenga Taifa. "Taifa linalokumbuka wajenzi wake huhifadhi utambulisho wake; Taifa linaloheshimu utumishi huwahamasisha wengine kutumikia; na, Taifa linalohifadhi historia yake hulinda mustakabali wake" amesema Makamu wa Rais. Kwa upande wake, Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azan Zungu, amesema Sitta ataendelea kukumbukwa kwa uchapakazi, uzalendo na mchango wake katika Bunge na Taifa kwa ujumla. Kwa upande wake Mjane wa Hayati Sitta, Mhe. Margaret Sitta, amemwelezea kuwa mpenda haki aliyethamini ubunifu, uwajibikaji na falsafa ya “viwango na kazi.” Hafla hiyo imewakutanisha viongozi mbalimbali, familia na watu waliowahi kufanya kazi na Sitta, huku ujumbe mkuu ukiwa kuendeleza urithi wake kwa vitendo na kutanguliza maslahi ya wananchi.

Tue, 03 Nov 2026 19:10:09 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Rising Lionesses stun Australia in extra time to claim historic Olympic gold

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

CJ Koome, DCI Amin trade blame over rising political goonism ahead of 2027 polls

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Second body recovered from collapsed Eastleigh building

Read the full report from the original source.

Recently

Page 427 of 1157 · 23139 stories