Search the region
23151 stories
Company awarded Shs 100m over Umeme power disconnection in 2012
The Court of Appeal has awarded Edroch Plastics Co. Limited Shs 100 million in damages after overturning a High court decision that dismissed the company’s…
RecentlyCe que l'on sait du crash dramatique d'un avion privé en Floride qui a fait 9 morts
Des enquêteurs du Conseil national de la sécurité des transports des États-Unis ont fait état des premiers éléments concernant le crash tragique d'un jet privé, qui a coûté la vie à tous ses occupants.
RecentlyContent creators call for digital media courses in universities
Business · Quick read
RecentlySpeaker blocks debate on detained UPDF generals
Speaker of Parliament Jacob Oboth-Oboth has directed MPs to refrain from debating the detention of two retired senior military officers, arguing that “matters of military…
RecentlyUkuta wa chuma! Declan Rice aizima Liverpool
ARSENAL imeendelea kuthibitisha kuwa ni moja ya timu zinazowania kwa nguvu ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kuifunga Liverpool bao 1-0 kwenye Uwanja wa Anfield, huku kiungo Declan Rice...
RecentlyTen Hag: Man United inashuka daraja
ALIYEKUWA kocha wa Manchester United, Erik ten Hag, ameibua hofu kubwa kwa mashabiki wa klabu hiyo baada ya kuonya kuwa timu hiyo inaweza kushuka daraja endapo itaendelea na mwenendo wake mbaya...
RecentlyLes Américains aux urnes pour un référendum sur Donald Trump
Read the full report from the original source.
RecentlyWhat did China’s billions build in Uganda?
Exim Bank has financed major projects across Uganda’s transport, energy and oil sectors, becoming one…
RecentlyAfrica urged to close women’s health research gap beyond maternal care
Latest · Capital Health
RecentlyPacifique Ndabihawenimana : l’unique étendard du Burundi à l’école des grands.
Seul sur trente-quatre. Seul pour tout un pays. Du 18 au 23 novembre 2026 au Caire, parmi les 35 arbitres centraux d'élite convoqués pour les phases de poules de la Champions League et de la Confederation Cup, la CAF ne validera qu'un seul nom : Pacifique Ndabihawenimana . Une consécration historique à l'aube d'une révolution, la VAR, dont il sera le témoin sans en être l'acteur.
Tue, 03 Nov 2026 15:11:17 +0000UCSAF YAENDELEA KUPANUA HUDUMA ZA MAWASILIANO, MINARA 2,199 YAKAMILIKA
-Wananchi milioni 32 wanufaika na mradi wa minara 758 wenye thamani ya Sh.bilioni 126 Na Said Mwishehe,Michuzi TV SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imeendelea kupanua upatikanaji wa huduma za mawasiliano nchini kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali inayolenga kufikisha huduma za simu na intaneti katika kata na vijiji ambavyo havina mawasiliano ya uhakika hasa vijijini. Hayo yamesemwa leo Novemba 3,2026 jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Albert Richard, alipokuwa akielezea utekelezaji wa miradi mbambali mbele ya wahariri na waandishi wa habari nchini. Amesema hatua ni sehemu ya jitihada za Serikali za kujenga Tanzania ya kidijitali kwa kuwekeza katika miundombinu ya mawasiliano, teknolojia ya habari na mifumo inayowawezesha wananchi kupata huduma kwa urahisi. Amesema kwamba mfuko huo umeendelea kutekeleza miradi katika sekta za mawasiliano ya simu, utangazaji, posta na teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA), kwa lengo la kuhakikisha wananchi wanapata huduma hizo bila kujali maeneo wanayoishi. “Katika miradi ya mawasiliano ya simu, UCSAF imepanga kujenga jumla ya minara 2,324 kupitia awamu mbalimbali, ambapo minara 2,199 imejengwa katika mikoa 31 ya Tanzania Bara na Zanzibar. Kata 2,053 zimefikiwa na huduma hizo. “Miongoni mwa miradi mikubwa iliyotekelezwa ni ujenzi wa minara 758 wenye thamani ya Sh126 bilioni. Mradi huo umelenga kufikisha huduma za mawasiliano katika kata 713 na vijiji 1,401 vyenye jumla ya wananchi wanaokadiriwa kufikia milioni 32,”amesema Mhandisi Richard. Ameongeza minara yote 758 imekamilika na kuwashwa, ikiwa ni matokeo ya ushirikiano kati ya Serikali na kampuni za simu zinazoshiriki katika ujenzi na utoaji wa huduma za mawasiliano katika maeneo husika. Pia amesema kupitia mradi huo, minara 169 imekabidhiwa kwa Airtel, 34 kwa Viettel, 261 kwa Yas, 104 kwa TTCL na 190 kwa Vodacom, hatua inayowawezesha wananchi kupata huduma za mawasiliano kutoka kwa watoa huduma mbalimbali. Wakati huo huo amesema UCSAF inaendelea kutekeleza mradi wa awamu ya 10 wa ujenzi wa minara 287 katika kata 287 kwa gharama ya Sh29 bilioni. Mradi huo ulizinduliwa Desemba 5, 2025 na unatarajiwa kutekelezwa ndani ya miezi 15. “Hadi sasa minara 65 kati ya 287 imewashwa, sawa na asilimia 23 ya utekelezaji wa mradi huo, huku kazi zikiendelea ili kukamilisha miundombinu iliyobaki na kupanua upatikanaji wa huduma za simu na intaneti katika maeneo yaliyolengwa. Akizungumzia sekta ya utangazaji, amesema UCSAF imefadhili ujenzi wa vituo 11 vya kurushia matangazo ya Redio ya Taifa (TBC), ambavyo vimekamilika na kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Ujenzi wa vituo hivyo umegharimu Sh2.5 bilioni. Ameongeza mfuko huo pia unaendelea na ujenzi wa vituo vingine 26, vitakavyofanya jumla ya vituo vinavyojengwa kufikia 37, vyenye thamani ya Sh.bilioni 15.3, hatua inayolenga kuongeza usikivu wa matangazo ya redio katika maeneo mbalimbali nchini. Kuhusu uimarishaji redio za jamii amesema hadi Septemba 2026, UCSAF imewezesha uboreshaji na uanzishwaji wa studio tano pamoja na ujenzi wa minara saba ya redio za jamii kwa gharama ya takribani Sh5.7 bilioni. Aidha, miradi mingine 15 inaendelea kutekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh6.4 bilioni. Pia amesema mfuko huo pia umeendelea kuunga mkono Shirika la Posta Tanzania kwa kulipatia vifaa vya kisasa vinavyolenga kurahisisha utoaji wa huduma za posta kwa njia ya kidijitali.
Tue, 03 Nov 2026 15:06:47 +0000NCBA transfers 66pc stake to Nedbank Group
Read the full report from the original source.
RecentlyFootball: Spanish player dies after on-pitch collision
Read the full report from the original source.
RecentlyNot in our custody: IG Kanja says police not holding missing Tanzanian activist
Read the full report from the original source.
RecentlyJLAC: Livestreaming of 2027 polls remains intact
Murugara said those reports were misleading, arguing that Parliament had instead acted to protect the existing provision in line with the court's direction
RecentlyCHOGM 2026 : President Kagame attends King Charles’ reception
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania resorts to charge users of selected roads in raising funds for road construction, maintenance
DODOMA: THE Tanzanian government is considering various options for raising funds to finance road construction and maintenance, including charging users…
RecentlyVyakula vitano vinavyoweza kuboresha hali yako ya kihisia
Read the full report from the original source.
RecentlyRC PWANI AWAONYA WENYEVITI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA ARDHI
Na Victor Masangu, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amewaonya vikali wenyeviti wa serikali za mitaa na vitongoji wanaobainika kuchochea migogoro ya ardhi, akisema hawatasita kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Nyongo ametoa onyo hilo wakati wa kikao kazi cha kupitia andiko la Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa wa Pwani, kilichowakutanisha wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri na viongozi wa taasisi mbalimbali wezeshi. Amesema baadhi ya migogoro ya ardhi mkoani humo inachangiwa na baadhi ya wenyeviti wa serikali za mitaa na vitongoji, ambao badala ya kutatua changamoto hizo wamekuwa sehemu ya tatizo. "Tupo katika kikao hiki cha kupitia andiko la Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa wa Pwani, lakini kuna baadhi ya wenyeviti wa serikali za mitaa na vitongoji ambao wamekuwa chimbuko la migogoro ya ardhi. Wote watakaobainika tutawachukulia hatua, ikiwemo kuwaondoa," amesema Nyongo. Amesema kukamilika kwa mwongozo huo kutakuwa chachu ya kuvutia wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi, pamoja na kufungua fursa mbalimbali za kiuchumi na ajira kwa wananchi. Aidha, amewataka wakuu wa wilaya kuhakikisha wanasimamia ipasavyo maeneo yaliyopo katika maeneo yao ili kuzuia uvamizi wa ardhi na kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza. Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga, amesema anaamini mwongozo huo utachochea mabadiliko ya kiuchumi kupitia uwekezaji katika sekta mbalimbali. Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Idan Kitare, amepongeza mpango huo akisema utasaidia kuongeza tija katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji. Awali, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii Tanzania (ESRF), Profesa Fortunata Makene, amesema mwongozo huo utasaidia kuchochea mageuzi ya kiuchumi na kuongeza fursa za ajira. Mwongozo huo, utakapozinduliwa rasmi, unatarajiwa kuwa nyenzo muhimu ya kurahisisha uwekezaji na kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika Mkoa wa Pwani.
Tue, 03 Nov 2026 14:49:59 +0000Gishubi : après l’alerte au passage d’hommes armés, la population craint des arrestations arbitraires
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 433 of 1158 · 23151 stories