Search the region
23174 stories
WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI NGORONGORO WATAKIWA KUSIMAMIA MPANGO MKAKATI WA SHIRIKA
Wajumbe wa Bodi ya zabuni ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kuoanisha na mpango mkakati mpya wa miaka mitano wa mamlaka hiyo ulioanza kutekelezwa hivi karibuni. Mwenyekiti wa Bodi hiyo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi anayesimamia rasilimali watu na utawala Salma Chissonga ametoa kauli hiyo katika kikao cha kawaida cha Bodi ya zabuni kinachoendelea Jijini Mwanza. Chissonga amesema kuwa mahitaji yote ya manunuzi ya Mamlaka lazima iangalie mipango ya taasisi kupitia mpango wa miaka mitano sambamba na kusimamia thamani ya fedha ya kila mradi unaofanyiwa manunuzi Pamoja na mambo mengine kikao hicho kinatarajia pia kupitia miongozo mbalimbali ya manunuzi inayotolewa na Serikali yenye lengo la kuhakikisha watanzania pia wananufaika na manunuzi ya umma.
Tue, 03 Nov 2026 10:48:33 +0000dfcu Bank Unveils Inaugural Report to Society, Highlighting Its Impact Across Uganda
Read the full report from the original source.
RecentlyAirtel Nigeria’s $1 billion comeback comes with a growing mobile money business
Read the full report from the original source.
RecentlyPSC Chairperson asks state agencies to comply with HR instruments
Heads of State agencies have been urged to ensure strict compliance with laws, policies and guidelines governing human resource management and disciplinary control. Public Service Commission (PSC) Chairperson Francis Mej
RecentlyTanzania pledges to work closely with UNICEF in providing quality healthcare and nutrition
DODOMA: CHIEF Medical Officer Prof Bruno Sunguya has stressed the need to strengthen cooperation between the Ministry of Health and…
RecentlyRC ATAKA HALMASHAURI KUZINGATIA UANDIKISHAJI WANANCHI BIMA YA AFYA KWA WOTE.
Jane Mwakyoma, MKUU wa mkoa wa Rukwa Charles Makongoro amezitaka Halmashauri zote nne za mkoa wa Rukwa kuzingatia utaratibu wa uandikishaji wananchi katika mfuko wa Bima ya Afya kwa wote ili kuhakikisha wananchi wengi wanajiunga na kunufaika na huduma za matibabu kupitia mfuko huo. Akitoa wito huo wakati wa uzinduzi rasmi wa Bima ya Afya kwa wote awamu ya pili, uliyofanyika stendi ya mabasi soko matora Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga,Makongoro alisema uandikishaji wa wananchi katika mfuko wa Bima ya Afya kwa wote uzingatie mahitaji na malengo yaliyokusudiwa na serikali kufikia dira ya 2050. Pia alisema vituo vya Afya vinatakiwa kuhakikisha mahitaji ya dawa na vifaa tiba yanakadiliwa kwa usahihi na utafiti ufanyike kuhakikisha dawa zilizoisha muda wake zinachukuliwa hatua kabla hazijaondolewa na muda wake kuisha na kuagiza katika bohari ya dawa(MSD). " huduma bora haziwezi kupatikana bila dawa wala vifaa tiba lazima muwe makini kuhakikisha dawa na vifaa tiba zinapatikana kulingana na mahitaji" alisisitiza Makongoro. Aidha aliwataka NHIF kuhakikisha madai yanawasilishwa kwa usahihi,wakati na kulipwa kwa wakati ili kuviwezesha vituo vya Afya na Hospitali kuagiza dawa na vifaa tiba kwa wakati. Awali mganga mkuu wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga Robert Nelson Lwebangila alisema huduma ya bima ya Afya kwa wote kwa wananchi waliojiunga na Bima hiyo awamu ya kwanza imesaidia wananchi kupata msamaha wa matibabu ikiwa ni pamoja na gharama zamatibabu kupungua. Alisema awamu ya pili ya uandikishaji wananchi katika Bima ya Afya itakwenda kuwafikia wananchi wengi zaidi ili kupata msamaha huo wa matibabu. Pia alisema kwa sasa wanapata faida kutokana na wananchi kutumia Bima ya afya ambapo wanapata mapato kupitia mfuko wa Bima ya Afya kwa wote na kuwataka wananchi ambao bado hajajiandikisha kujiandikisha ili kupata Bima ya Afya kwa wote. Kwa upande wao wananchi walionufaika na Bima ya Afya walimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hatua hiyo ya kuwawezesha wananchi kujiandikisha katika mfuko wa Bima ya Afya kwa wote itakayowasaidia kupata matibabu kirahisi. Walisema awali kabla ya kupata bima ya Afya walikuwa wanashindwa kutibiwa kutokana na gharama za matibabu kuwa kubwa lakini kwa kupata bima hiyo inakwenda kutatua changamoto ya kushindwa kupata huduma za matibabu.
Tue, 03 Nov 2026 10:35:21 +0000Tanzania lawmakers press government over water losses, shortages in major cities
Read the full report from the original source.
RecentlyMbarara Referral Hospital restricts caregivers to tackle ward congestion
KAMPALA - Mbarara Regional Referral Hospital (MRRH) has introduced strict guidelines limiting the number of caregivers and visitors allowed in its wards as part of efforts to address overcrowding, improve patient...
RecentlyKenya’s fertility rate declining as Embu, Kiambu women record lowest birth rate
Read the full report from the original source.
RecentlyKoome to police: Arrest sponsors of goons
The Chief Justice said the sponsors of goons were the people who should be held accountable for the growing cases of political violence
RecentlyEn costume et bottes : Comment Joseph Kabila est passé de président à chef rebelle
Que signifie pour la RDC le lancement d'un nouveau mouvement rebelle par Joseph Kabila ?
RecentlyTennis sensational Okutoyi breaks new ground with historic WTA debut in Africa
Latest · Sports
RecentlyKihara Kariuki: Jurist whose words flowed like poetry
He was a man of precision, both in his words and appearance, often seen in impeccably tailored pinstriped suits that reflected his understated sense of style
RecentlyMWIGULU, MKUYU AFRICA WAWATAKA VIJANA KUIJENGA TANZANIA
Na Mwandishi Wetu, Moscow WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuwa wazalendo na kupenda nchi yao kwa vitendo, hususan kwa kutumia maarifa, ujuzi na fursa mbalimbali katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya kiteknolojia nchini. Dkt. Mwigulu alitoa wito huo wakati wa Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika na Urusi (Russia–Africa Summit), uliofanyika jijini Moscow, Urusi, ambapo alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika mkutano huo, Waziri Mkuu alipata nafasi ya kukutana na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Tanzania walioshiriki mkutano wa kibiashara kati ya Tanzania na Urusi, uliofanyika pembezoni mwa mkutano huo kwa lengo la kukuza ushirikiano wa biashara na uwekezaji katika sekta za nishati, kilimo, madini, ujenzi na miundombinu. Aliwataka wafanyabiashara hao kutumia maarifa, teknolojia na fursa walizozipata nchini Urusi kuchochea maendeleo ya Tanzania na kujenga uchumi imara unaowezesha vijana kujitegemea badala ya kutegemea ajira pekee. Miongoni mwa wafanyabiashara vijana walioshiriki mkutano huo ni mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa MKUYU Africa, Juneid Othman, ambaye anaendelea kuwekeza katika maono ya kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza katika maendeleo ya majengo ya kisasa na miji yenye miundombinu bora barani Afrika. Juneid ni miongoni mwa vijana wa Kitanzania wanaotumia majukwaa ya kimataifa kutafuta maarifa, teknolojia na washirika wa kibiashara kwa lengo la kukuza uwekezaji na kuchangia maendeleo ya sekta ya ujenzi nchini. Akieleza mipango yake, Juneid amesema kupitia ushirikiano na wabia mbalimbali katika sekta ya nyumba na ujenzi, wanatarajia kujenga zaidi ya nyumba 3,000 za kisasa kwa ajili ya kuuza na kupangisha katika miji mbalimbali nchini. Amesema maono yake ni kuona miji ya Tanzania ikipiga hatua katika kuwa na majengo ya kisasa ya makazi na biashara yanayoweza kushindana na miji mikubwa duniani, ikiwemo Dubai, huku yakichangia upatikanaji wa makazi bora na kuboresha mandhari ya miji. Mbali na sekta ya ujenzi, Juneid amekuwa akishiriki pia katika kupanua fursa za uwekezaji kupitia jukwaa la MILIKI MALI, linalotoa elimu kuhusu mali isiyohamishika na masuala ya fedha, pamoja na Tanzania Brokers Association Board (TBAB), linalolenga kuimarisha taaluma ya udalali na uwazi katika sekta hiyo. Akizungumza kuhusu ushiriki wake katika mkutano huo, Juneid ameishukuru Serikali kwa kuwapa vijana fursa ya kushiriki majukwaa ya kimataifa kupitia uratibu wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF). Amesema ushiriki huo umewapa fursa ya kujifunza matumizi ya teknolojia mbalimbali zinazoweza kuharakisha maendeleo ya kiuchumi, pamoja na kujenga mahusiano na wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali ambao wanaweza kuleta mitaji na kuchochea ukuaji wa uchumi nchini. Chini ya uongozi wa Juneid, MKUYU Africa inalenga kuwa miongoni mwa kampuni zinazoongoza Afrika Mashariki katika ujenzi wa miradi mikubwa ya makazi na majengo ya biashara yenye miundombinu ya kisasa. Mkurugenzi wa MKUYU Afrika Juneid Othman (wa Tatu kushoto) akiwa katika picha Ya pamoja na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mwigulu Nchemba baada ya mkutano
Tue, 03 Nov 2026 10:19:55 +0000EXCLUSIVE: Shs 348m Fuel Scandal Rocks Uganda Export Authority
Read the full report from the original source.
RecentlySpooky Season Wrapped: The Best Celebrity Halloween Looks Of 2026
Latest · Entertainment
RecentlyKihara Kariuki: Jurist whose words flowed like poetry
He was a man of precision, both in his words and appearance, often seen in impeccably tailored pinstriped suits that reflected his understated sense of style
RecentlyTazama matokeo ya mtihani darasa la saba 2026
Read the full report from the original source.
RecentlyMchungaji Msigwa amkosoa Lema, amtaka kujitathmini
Soma hapa...
RecentlyRIB yataye muri yombi abantu bakekwaho kwiba insinga z’amashanyarazi
Urwego rw’Igihugu rw’Ubugenzacyaha (RIB) rwerekanye abantu 11 bakekwaho kugira uruhare mu bujura bw’ibikorwaremezo, by’umwihariko insinga z’amashanyarazi, zirimo izo mu bwoko bwa copper, bivugwa ko zingana na toni imwe n’igice (1.5), zifite agaciro ka miliyoni 20 z’amafaranga y’u Rwanda.
Tue, 03 Nov 2026 12:07:39 +0200Page 443 of 1159 · 23174 stories