Unganishwa

Search the region

23188 stories

Uncategorized · DW Rwanda

US midterm election: Why it's important and races to watch

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Abanyamerika baraja mu matora ashobora kugira uruhara rukomeye mu kurangiza ikigabane ca Trump ku butegetsi

Abatora benshi bavuga ko ikibazo kibahanze kurusha ibindi ari izimba ry’ubuzima.

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Descente du premier ministre burundais dans certains lieux commerciaux de la ville de Bujumbura

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

If hackers can control freezer, how vulnerable is other tech?

Supermarkets across Europe hit by a suspected cyberattack affecting fridges and freezers, raising concern about vulnerabilities of internet-connected hardware

Recently
Uncategorized · Capital FM

Acting TSC CEO Mitei among five shortlisted for top job

News · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Iwacu

Chronique sur les messages de haine Bubezi/Kayanza: Attention à l’autoglorification dans le mal

Des habitants de la colline et sous-colline Bubezi en commune Kayanza dénoncent les comportements de personnes qui se vantent d’avoir fait du mal à autrui. Ils mettent en garde contre les risques de frustration, de vengeance et de conflits sociaux.

Tue, 03 Nov 2026 07:56:23 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

Qui remportera les élections de mi-mandat ? Comment se gagnent et se perdent les élections américaines

Une analyse approfondie des principaux sondages, des courses électorales et des enjeux d'une élection qui marquera les deux dernières années du mandat présidentiel de Trump.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Trump to remove Rwanda and South Africa from US trade deal

US Trade Representative Jamieson Greer said an annual review had found that both countries were engaging in practices inconsistent with programme's requirements

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Aux midterms, le risque d'un vote sanction pour Donald Trump

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Woman Killed by Suspected Stray Bullet in Moyale Amid Ethiopia Conflict

NATIONAL NEWS · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

North Korea denies being behind record $6.3bn Binance hack

Business · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto, Uhuru mourn Ex-AG Paul Kihara Kariuki

Ruto and Uhuru have mourned former Attorney General Paul Kihara Kariuki, praising his distinguished service and contribution to Kenya’s legal institutions

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MIAKA 50 YA CCM: TANGA YAJA NA NYUMBA 36 NA MATREKTA 40

Na Mwandishi Wetu, TANGA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdurahmani, amesema kuwa ujenzi wa chama imara unahitaji uwepo wa watendaji wenye mazingira mazuri ya kufanyia kazi, ikiwemo kuwa na makazi ya kudumu katika ofisi za chama wilayani. Abdurahmani amesema kuwa ili CCM iendelee kuwa na uwezo wa kusimamia majukumu yake, watendaji wa chama katika ngazi za wilaya wanapaswa kuishi katika nyumba za CCM ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao bila changamoto zinazotokana na gharama za kupanga makazi. Amesema kuwa katika kutekeleza azma hiyo, walianzisha mradi wa ujenzi wa nyumba 36 za watendaji wa CCM katika Mkoa wa Tanga, wenye thamani ya Shilingi bilioni tatu, ambapo hadi sasa tayari Shilingi bilioni 1.5 zimepatikana na ujenzi unaendelea katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Akizungumza mbele ya mlezi wa CCM Mkoa wa Tanga, Rabia Abdallah Hamid, mwenyekiti huyo amesema kuwa katika awamu ya kwanza na ya pili alitoa Shilingi milioni 500 kwa kila awamu, huku awamu ya tatu akipata Shilingi milioni 500 nyingine zilizolenga kuendeleza ujenzi huo. Amesema fedha hizo zimefanya jumla ya mchango wake kufikia Shilingi bilioni 1.5 kati ya Shilingi bilioni tatu zinazohitajika kukamilisha mradi huo. “Nilipoeleza kuwa ninakuja kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na kuhakikisha najenga nyumba 36 katika mkoa huu, wengi hawakuamini, lakini nilikuwa na dhamira ya kweli ya kuhakikisha jambo hilo linatekelezwa,” amesema Abdurahmani. Aidha, amesema uwepo wa mlezi wa mkoa huyo umempa nafasi ya kumkabidhi Shilingi milioni 500 zilizopatikana katika awamu ya tatu ili aweze kujionea maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo. Katika hatua nyingine, Abdurahmani amesema Mkoa wa Tanga umeanza maandalizi ya kuadhimisha miaka 50 ya kuzaliwa kwa CCM, itakayofanyika Februari 5, 2027, kwa kutekeleza miradi mbalimbali yenye kulenga kuimarisha shughuli za chama na kuchangia maendeleo ya wananchi. Amesema kuwa katika kuadhimisha miaka hiyo, ameamua kuelekeza nguvu pia katika kuwawezesha wakulima kwa kutafuta matrekta 40 yatakayosaidia shughuli za kilimo katika wilaya za mkoa huo. Kwa mujibu wa Abdurahmani, matrekta hayo yanatarajiwa kugawanywa kwa wilaya, kila wilaya ikipata matrekta matano, yatakayotumika kutoa huduma za kulima mashamba kwa wakulima kwa gharama ya nusu ya bei ya kawaida. Ameeleza kuwa mkulima anayelipa Shilingi 60,000 kwa hekta moja atalipia Shilingi 30,000 kupitia mpango huo, hatua ambayo amesema inalenga kupunguza gharama za uzalishaji na kuwawezesha wakulima kuongeza tija katika shughuli zao. Amesema mpango huo ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Rais na Mwenyekiti wa CCM katika kuwawezesha wakulima kupitia ruzuku ya mbolea na hatua nyingine za kuboresha sekta ya kilimo. Akihitimisha hotuba yake, Abdurahmani amemuomba mlezi wa CCM Mkoa wa Tanga kufikisha salamu kwa Katibu Mkuu wa CCM na kumweleza azma ya mkoa huo, huku akimkaribisha atakapopata nafasi kuja kuzindua rasmi mpango wa matrekta kabla ya kuanza kusambazwa katika wilaya husika.

Tue, 03 Nov 2026 07:37:22 +0000
Uncategorized · KBC

President Ruto mourns former Attorney-General Kihara Kariuki

Head of state honours the late jurist for his decades of service and contribution to the development of Kenya's justice system.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tanzania’s top banks grow lending by Sh4.14 trillion as profits climb

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

EACC advertises deputy CEO job

The position was left vacant following Abdi Mohamud's appointment as its chief executive in January 2025 succeeding Twalib Mbarak

Recently
Sports · UBC

Embassy of Uganda in Berlin and VfB Pankow Partner to Promote Uganda’s Tourism through Football

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

What Putin put on the table for Africa at Russia Summit

From grain supplies and nuclear power to scholarships, artificial intelligence and military cooperation, Russian President Vladimir Putin has outlined an ambitious package of economic and…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Who was ex-AG Paul Kihara Kariuki?

From stage actor and accomplished lawyer to High Court judge, Court of Appeal president and AG, Kariuki’s five-decade career shaped Kenya’s legal institutions

Recently
Uncategorized · KBC

Former AG Paul Kihara passes on

Chief Justice Martha Koome has mourned Former Attorney General Paul Kihara for his contribution to Kenya’s justice system. In a statement, Koome eulogised Justice Kihara as an accomplished jurist, an…

Recently

Page 449 of 1160 · 23188 stories