Unganishwa

Search the region

22432 stories

Uncategorized · BBC Afrique

"Rose la vie chère" : qui est l'activiste malienne condamnée le 17 août à Bamako, et pourquoi Amnesty lance une campagne pour elle

Sidibé Rokiatou Doumbia, plus connue sous le surnom de « Rose Vie Chère », a été condamnée le lundi 17 août 2026 par la chambre criminelle de la Cour d’appel de Bamako à dix ans de réclusion, dont trois ans avec sursis,

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Manafwa District Faces Fresh Corruption Storm As Residents Demand Balaam Barugahara’s Return Over Alleged Abuse Of Office And Political Interference

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

CHIMP SPORT: Kalyowa Survives FUFA Ban in Match-Fixing Scandal

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Museveni to Sheikh Mohamud: Somalia Must Embrace Democracy, Inclusive Governance for Lasting Peace

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Caveats Placed on Tooro Kingdom Land Titles

FORT PORTAL: Tooro Kingdom is struggling to generate revenue from its land after two individuals placed caveat..

Recently
Uncategorized · Chimpreports

UPDF Denies Role in DRC Aircraft Shot Down by Rebels

The Uganda People’s Defence Forces (UPDF) has denied involvement in a military aircraft shot down by rebels in..

Recently
National · Issa Michuzi

Serikali yaelekeza Sh bilioni 200 kuwawezesha vijana kiuchumi

Na Avila Kakingo, Michuzi TV SERIKALI imeelekeza shilingi bilioni 200 zilizotengwa kwa ajili ya uwezeshaji wa vijana kutolewa kwa uwazi na bila upendeleo ili kuwawezesha vijana wa mijini na vijijini, wakiwemo wenye ulemavu, kuanzisha na kukuza biashara zao. Wito huo umetolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, aliyesisitiza kuwa mafanikio ya fedha hizo yanapaswa kupimwa kwa idadi ya biashara zitakazoanzishwa, zilizokua na ajira zitakazozalishwa, badala ya matumizi yasiyo na tija. Amesema hayo wakati wa hafla ya kuwasilisha mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita, kipindi cha pili, katika sekta ya Maendeleo ya Vijana, iliyofanyika Ukumbi wa Super Dome, Masaki, jijini Dar es Salaam. Amesisitiza kuwa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) linapaswa kusimamia mpango wa kuunganisha mifuko na programu 75 za uwezeshaji wananchi kiuchumi kuwa mfuko mmoja utakaorahisisha upatikanaji wa mitaji na dhamana, hususan kwa vijana wasiokidhi masharti ya mikopo katika taasisi za fedha. Aidha, ameonya dhidi ya matumizi ya fedha hizo kulipia posho za watumishi au kununua magari, akitaka zielekezwe moja kwa moja katika shughuli za kiuchumi za vijana. Pia amezitaka Wizara, taasisi za umma na halmashauri kuhakikisha vijana wanaotekeleza zabuni wanalipwa kwa wakati ili kuepusha kukwama kwa biashara zao. Katika hatua nyingine, amesema taasisi za umma zimeahidi kutoa takribani nafasi 600 za mafunzo kwa vitendo ambazo zitatangazwa baada ya taratibu za uratibu kukamilika, ikiwa ni hatua ya awali kuelekea lengo la kupata nafasi 10,000 katika mashirika ya umma na 20,000 katika sekta binafsi. Vilevile, ameitaka Serikali na wadau kutumia mashindano ya AFCON 2027 kama fursa ya kiuchumi kwa vijana kwa kuwawezesha kupata mafunzo ya muda mfupi yatakayowaandaa kutoa huduma mbalimbali kwa wageni watakaohudhuria mashindano hayo.

Mon, 23 Nov 2026 16:14:21 +0000
Uncategorized · The Citizen

Inside the leading causes of death among Tanzanians

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Posta eyes Sh1bn in ceding 300 branches to State

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Turkey: Authorities search for lioness on the loose in Istanbul

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Manafwa District In Fresh Corruption Controversy As Residents Accuse CAO Of Being A Puppet of Political Leaders, Demand Balaam’s Return

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MAVUNDE AWASILI DR CONGO KUSHIRIKI MKUTANO WA MAKUTANO MINING 2026

Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Mtumba, Mhe. Antony Peter Mavunde, amewasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo), kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Madini wa MAKUTANO MINING 2026. Mhe. Mavunde amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Mhe. Salum Mshana, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya ushiriki wa Tanzania katika mkutano huo.

Mon, 23 Nov 2026 15:56:55 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

Le géant technologique Nvidia réintègre Jensen Huang à son poste de PDG 11 jours après sa démission

Les actions du géant de l'intelligence artificielle ont bondi de près de 30 % après l'annonce du retour de Huang en début de séance boursière.

Recently
Uncategorized · The Nile Post

Alupo Urges African Countries to Take Charge of Health Financing

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Vote tallying: Why Opposition wants Bomas out

Disputed presidential election results in 2007, 2017 and 2022 have revived questions about the credibility of the national tallying process having the final say

Recently
Uncategorized · The Citizen

How loopholes in SIM registration are fuelling phone scams

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

China’s Deyu lands in Dar in mission to deepen diplomatic ties, upgrade TAZARA standards

DAR ES SALAAM: CHINA’S Deputy Foreign Minister, Miao Deyu, has arrived in Tanzania for an official visit aimed at strengthening…

Recently
Business · Jamhuri Media

PURA yaokoa bilioni 8.86/- kupitia usimamizi wa mafuta na gesi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

𝐌𝐀𝐊𝐀𝐌𝐔 𝐖𝐀 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐀𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐌𝐀𝐀𝐃𝐇𝐈𝐌𝐈𝐒𝐇𝐎 𝐘𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐌𝐎𝐉𝐀 𝐖𝐀 𝐒𝐄𝐊𝐓𝐀 𝐘𝐀 𝐕𝐈𝐉𝐀𝐍𝐀,

-𝐀𝐒𝐈𝐒𝐈𝐓𝐈𝐙𝐀 𝐌𝐈𝐅𝐔𝐊𝐎 𝐍𝐀 𝐏𝐑𝐎𝐆𝐑𝐀𝐌𝐔 𝟕𝟓 𝐙𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀𝐉𝐈 𝐙𝐈𝐔𝐍𝐆𝐀𝐍𝐈𝐒𝐇𝐖𝐄 𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐌𝐅𝐔𝐊𝐎 𝐌𝐌𝐎𝐉𝐀. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, ametoa wito kwa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kusimamia kuunganishwa kwa mifuko na programu 75 za uwezeshaji wananchi kiuchumi kuwa mfuko mmoja. Amesema mfuko huo unapaswa kurahisisha upatikanaji wa mitaji na dhamana, hasa kwa vijana ambao hawakidhi masharti ya kukopa katika taasisi za fedha. Makamu wa Rais ametoa rai hiyo alipokagua maonesho ya vijana, kabla ya kushiriki Hafla ya kitaifa ya kuwasilisha mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita, kipindi cha pili katika sekta ya Maendeleo ya Vijana, iliyofanyika Ukumbi wa Super Dome Masaki. Akihutubia katika hafla hiyo, Makamu wa Rais amesema, shilingi bilioni 200 zilizotengwa na Serikali kwa ajili ya uwezeshaji wa vijana zitolewe bila upendeleo na ziwafikie vijana wa mijini na vijijini, wakiwemo wenye ulemavu. Makamu wa Rais, ameonya matumizi ya fedha hizo katika kulipa posho za watumishi au kununua magari. Amesema mafanikio ya mpango huo yapimwe kwa kuangalia biashara zilizoanzishwa, zilizokua na ajira zilizozalishwa. Pia ametoa rai kwa Wizara, Taasisi za Umma na Halmashauri kuwalipa kwa wakati vijana wanaotekeleza zabuni ili ucheleweshaji wa malipo usikwamishe biashara zao. Makamu wa Rais amesema tayari Taasisi za umma zimeahidi kutoa takribani nafasi 600 za mafunzo kwa vitendo, zitakazotangazwa hivi karibuni taratibu za uratibu zitakapokamilika. Nafasi hizo ni hatua ya awali kuelekea lengo la kupata angalau nafasi 10,000 katika mashirika ya umma na 20,000 katika sekta binafsi. Makamu wa Rais ametoa wito wa Mashindano ya Afcon 2027 kutumika kama fursa kwa vijana, kupitia uwezeshaji wa mafunzo ya muda mfupi ili waweze kuhudumia wageni na kufanya shughuli mbalimbali katika mashindano hayo.

Mon, 23 Nov 2026 15:47:31 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Mandera residents to get clearance certificates in under 5 minutes

The new system, introduced by DCI has reduced the processing time from at least 14 working days to less than five minutes.

Recently

Page 45 of 1122 · 22432 stories