Unganishwa

Search the region

23203 stories

Uncategorized · The Standard

Trials intersex children undergo in quest for identity, acceptance

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

The gambler: Running from his shadow? Sakaja seeks ODM shelter as critics close in

Sakajas move from UDA to ODM raises questions about his 2027 re-election bid amid criticism of his City Hall record.

Tue, 03 Nov 2026 00:00:00 +0300
Uncategorized · Watchdog Uganda

BREAKING: Former Deputy CDF Peter Elwelu Arrested in Soroti, UPDF Confirms

KAMPALA – The Uganda People’s Defence Forces (UPDF) has confirmed the arrest of retired General Peter Elwelu, a former Deputy Chief of Defence Forces (CDF), over alleged involvement in subversive…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Mixed Reactions as UPDF Announces Arrest of Retired Gen Peter Elwelu in Soroti

Security forces have arrested retired Lieutenant General Peter Elwelu in Soroti City, according to a statement published on X by UPDF Acting Director of Defence Public Information, Col. Chris Magezi.…

Recently
Uncategorized · Kigali Today

U Rwanda rwerekanye imbaraga rwashyize mu ngabo ziteguye gutabara

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Independent Uganda

BREAKING: Army announces Gen Peter Elwelu arrest

Soroti, Uganda | THE INDEPENDENT | Renegade retired Uganda Peoples’ Defence Forces (UPDF) offic…

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Western Sahara: UN ‘stands ready’ to keep supporting peace efforts as MINURSO mission ends

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Uganda begins to withdraw troops from Somalia after 20 years

The first group of Uganda People’s Defence Forces (UPDF) troops withdrawn from Somalia has arrived in the country, marking the beginning of a phased exit…

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Democrats get boost from sour mood on Trump, Republicans

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Trump to remove Rwanda and South Africa from US trade deal

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

KCSE candidates relocated in Moyale after stray bullets hit school

Two KCSE centres in Moyale moved over border clashes; 7 hospitalised candidates and 5 in correctional facilities to sit exams under special arrangements, CS Ogamba says.

Mon, 02 Nov 2026 22:56:15 +0300
Uncategorized · Jamhuri Media

Dkt. Kijaji aongoza mazungumzo ya kukuza Utalii wa Tanzania nchini Uingereza

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

DKT. KIJAJI AONGOZA MAZUNGUMZO YA KUKUZA UTALII WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Hassan Abbasi, ametua jijini London, Uingereza, kwa ajili ya kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya WTM London 2026 yanayotarajiwa kufanyika Novemba 3–5, 2026. Katika siku ya kwanza ya ziara yake, akiwa katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Kijaji leo Novemba 2, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa utalii kwa lengo la kujadili fursa na mikakati ya kukuza na kuitangaza Tanzania kama kituo cha utalii katika soko la kimataifa. Katika mazungumzo hayo, Dkt. Kijaji amepokea wasilisho kuhusu utalii kutoka kwa Bw. Tim Henshall, Afisa anayeshughulikia masuala ya Utalii katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza (Tanzania High Commission UK). Aidha, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Craig Rix, Mtendaji Mkuu wa Gecko Publishing, ambapo wamejadili fursa za kuitangaza Tanzania kupitia machapisho ya Gecko Publishing, ikiwemo jarida la Travel Africa Magazine, ili kuongeza mwonekano wa vivutio vya utalii vya Tanzania katika masoko ya kimataifa. Katika kikao kingine, Dkt. Kijaji amekutana na Bw. George Bartlam, Meneja wa Mauzo ya Ubia wa Klabu ya Soka ya Brentford (Brentford Football Club) ambayo kwa sasa inashika nafasi ya 6 katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ambapo wamejadili uwezekano wa kutumia klabu hiyo kuitangaza Tanzania. Vikao hivyo vimehudhuriwa pia na Mwakilishi wa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Bw. Patrick Mwakalobo na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Dkt. Thereza Mugobi. Mazungumzo hayo ni sehemu ya juhudi za Wizara ya Maliasili na Utalii za kupanua wigo wa ushirikiano na wadau wa kimataifa, kubuni njia bunifu za kuitangaza Tanzania na kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchini.

Mon, 02 Nov 2026 19:55:59 +0000
Business · CEO East Africa

dfcu Bank Unveils 16.9% Home Loan Offer to Boost Home Ownership

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · CEO East Africa

President Trump Strikes Rwanda and South Africa off AGOA List

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KIGOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatatu, Novemba 2, 2026, ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma. Dkt. Mwigulu, ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, ameongoza kikao hicho kilichofanyika katika Ofisi za CCM za mkoa huo.

Mon, 02 Nov 2026 19:44:09 +0000
Sports · Azam TV Videos

Simba SC 3-2 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League 02/11/2026

Ilikuwa ni funga nikufunge, Simba ikitangulia, kisha kutokea nyuma na kushinda mechi dhidi ya Namungo FC, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Anicet Oura amefunga mawili huku lingine likifungwa na Rushine de Reuck kwa penati wakati magoli mawili ya Namungo yakitoka kwa Raymond Lulendi.

2026-11-02T19:27:45+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 02/11/2026

Azam TV

2026-11-02T19:33:55+00:00
Uncategorized · Issa Michuzi

DC NKURLU ATOA TUMAINI LA AJIRA KWA WAHITIMU WA JESHI LA AKIBA VIWANDANI NA MAKAMPUNI YA ULINZI

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha MKUU wa Wilaya ya Kibaha, Fadhil Emmanuel Nkurlu, amewahakikishia vijana 83 waliohitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Akiba kuwa wilaya itawasiliana na makampuni ya ulinzi na viwanda ili kuwapa kipaumbele katika ajira na kupunguza makali ya ukosefu wa ajira. Nkurlu ametoa ahadi hiyo wakati akifunga mafunzo ya awali ya Jeshi la Akiba kundi namba 19 mwaka 2026, yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Miembesaba, Kibaha mkoani Pwani, Novemba 2, mwaka huu. Amewataka wahitimu hao kuwa wazalendo, waadilifu na tayari kulitumikia taifa, akisisitiza kuwa mafunzo waliyopata yanapaswa kuwa chachu ya kulinda amani na usalama wa raia pamoja na mali zao, badala ya kutumika kuwatisha wananchi. "Mafunzo mliyopata yasiwe vitisho mitaani, msiende kutoa mkwala mitaani, nendeni mkawe mabalozi mitaani katika masuala ya amani na usalama kwa raia na mali zao," amesema Nkurlu. Aidha, amewaasa vijana hao kujiepusha na matumizi ya dawa za kulevya na vitendo vinavyokiuka maadili, huku akiwataka kutumia mafunzo hayo kwa manufaa ya jamii. Kwa upande wake, Mshauri wa Jeshi la Akiba Wilaya , Lt col Katumbi Chinguku amesema mafunzo hayo yalianza Julai mwaka huu, ambapo yalifunguliwa Julai 6 yakiwa na vijana 97. Chinguku amesema vijana 83 wamehitimu mafunzo hayo, huku 14 wakiacha kutokana na sababu mbalimbali. Wahitimu hao wameiomba serikali kuwasaidia kupata ajira ili waweze kujikimu kimaisha, wakieleza kuwa kurejea uraiani bila fursa za ajira kutawaacha katika hali ya kuhangaika.

Mon, 02 Nov 2026 19:38:18 +0000
Uncategorized · Chimpreports

Trump Moves to Expel Rwanda, South Africa from AGOA Programme

Read the full report from the original source.

Recently

Page 456 of 1161 · 23203 stories