Unganishwa

Search the region

23215 stories

Uncategorized · Watchdog Uganda

South Sudan: Security Advisor Tut Gatluak, Upper Nile Governor Face Arrest Threat over Alleged $3M Election Fund Heist

By Watchdog Uganda correspondent JUBA — Questions are mounting over the political survival of South Sudan’s Security Advisor Tut Gatluak…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Urban Ratib takes African entertainment influence to digital revolution as QR ambassador

KAMPALA, UGANDA — Smiling from ear to ear as he celebrates his latest achievement with QR Revolution, Urban Ratib cuts the image of a man whose influence goes beyond the…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Amb. Nekesa donates land to build NRM district offices in Busia

The National Resistance Movement (NRM) National Treasurer, Amb. Barbara Nekesa Oundo, has donated land to the ruling party to construct offices in Busia district. Amb. Nekesa handed over a freehold…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Ethnic clashes over water kill 25 in Chad

Read the full report from the original source.

Recently
Health · Issa Michuzi

SGA YAUNGANISHA SHUKRANI KWA WATEJA NA HUDUMA ZA AFYA KWA JAMII

Kampuni ya SGA Security imeunganisha maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja na kampeni ya Pink October kupitia shughuli za Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) zilizofanyika mwezi Oktoba katika mikoa mitano nchini. Katika kampeni hiyo, kampuni ilishirikiana na taasisi za afya kutoa huduma za uchunguzi wa afya bila malipo kwa wananchi katika maeneo ya Dar es Salaam, Mbeya, Dodoma, Arusha na Mwanza. Zoezi hilo lilianza Oktoba 9 jijini Dar es Salaam katika eneo la Tanganyika Packers, karibu na Soko la Kawe, kwa kushirikiana na Zahanati ya Kawe, na kuendelea katika Stendi ya Kabwe, Mnada Mpya, Soko la Tengeru na Soko la Samaki, kwa ushirikiano na Hospitali za Meta, Dodoma General, Levolosi na Bugando. Aidha, SGA Security iliunga mkono zoezi la uchangiaji damu katika maeneo yote matano kwa lengo la kusaidia kupunguza uhaba wa damu hospitalini na kuokoa maisha ya wagonjwa, wakiwemo wagonjwa wa saratani na wanawake wanaojifungua. Sambamba na shughuli hizo, kampuni iliadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kutembelea baadhi ya wateja wake muhimu katika ofisi zao, kuwashukuru kwa kuendelea kuiamini na kuimarisha ushirikiano kupitia mazungumzo na hafla fupi za kukata keki. Akizungumzia mipango hiyo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa SGA Security, Jonathan Geleta, alisema kuridhika kwa wateja na ustawi wa jamii ni vipaumbele muhimu vya kampuni. “Wateja wetu ni sehemu muhimu ya mafanikio yetu, na ustawi wa jamii tunazozihudumia unaendelea kuwa kipaumbele. Kupitia mipango hii, tunaimarisha uhusiano wetu na wateja huku tukichangia afya na ustawi wa jamii katika maeneo mbalimbali nchini,” alisema Geleta. SGA Security, yenye uzoefu wa zaidi ya miaka 42 nchini Tanzania, hutoa huduma za kiusalama zikiwemo ulinzi, usafirishaji wa fedha na vitu vya thamani, huduma za dharura na mifumo ya kisasa ya usalama wa kielektroniki. Kupitia shughuli hizo, kampuni inaendelea kuunganisha utoaji wa huduma za kiusalama na kuthamini wateja pamoja na kuchangia ustawi wa jamii.

Mon, 02 Nov 2026 16:53:08 +0000
Uncategorized · Azam TV Videos

Goli la Ngushi | Mashujaa FC 1-0 Pamba Jiji FC | NBC PL 02/11/2026

Goli pekee kutoka kwa Cripin Ngushi dakika ya 21 limeipa alama tatu Mashujaa FC ikiwa nyumbani, dhidi ya Pamba Jiji FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma.

2026-11-02T16:37:11+00:00
Uncategorized · Rwanda Inspirer

Do couples married for less than five years lose the right to an equal share of property after divorce?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

KenGen appoints Prof Mosonik as board chairman

Mosonik brings more than 35 years of executive experience in the public and private sectors, with expertise spanning telecommunications engineering.

Recently
Business · Issa Michuzi

SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA KUONGEZA KASI YA UKUAJI WA UCHUMI - WAZIRI KAPINGA

Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amesema sekta ya viwanda na biashara ni miongoni mwa nguzo muhimu za uchumi wa Taifa, ikichangia asilimia 15 ya Pato la Taifa na kutarajiwa kuendelea kukua kwa wastani wa asilimia sita kila mwaka. Waziri Kapinga ameyasema hayo Novemba 2, 2026, jijini Dodoma, wakati akifungua Maonesho ya bidhaa na huduma za viwanda na Biashara sambamba na Huduma za Kliniki za Biashara yanayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC), kuelekea uzinduzi wa Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda ya mwaka 2025 pamoja na Sera ya Maendeleo ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati ya mwaka 2003, Toleo la mwaka 2025, zitakazozinduliwa Novemba 4, 2026. Amesema maonesho hayo ni sehemu ya juhudi za Serikali kuimarisha sekta ya viwanda na biashara kwa kuweka mazingira yanayowezesha kukuza uzalishaji, kuongeza thamani ya bidhaa za ndani na kupanua masoko ya bidhaa za Tanzania. Waziri Kapinga amesisitiza kuwa ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ni muhimu katika kufikia azma ya kuwa na uchumi mkubwa zaidi, huku sekta ya viwanda na biashara ikiendelea kuwa chanzo muhimu cha ajira na fursa za kiuchumi kwa wananchi. Aidha, amewahimiza wananchi kutembelea maonesho hayo ili kujionea bidhaa zinazozalishwa nchini, teknolojia zinazotumika viwandani pamoja na ubunifu wa wajasiriamali na wafanyabiashara, akieleza kuwa Serikali inalenga kuhakikisha bidhaa za Tanzania zinaongezwa thamani ili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na kushindana katika masoko ya kimataifa. Katika maonesho hayo, taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara zimeshiriki, zikiwemo Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO), Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Wakala wa Vipimo (WMA), Tume ya Ushindani (FCC), Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Taasisi ya Utafiti wa Viwanda Tanzania (TIRDO), Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (TEMDO), Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), pamoja na taasisi nyingine za sekta hiyo. Aidha, Waziri Kapinga ametoa pongezi na shukrani kwa kampuni na wadau mbalimbali walioshiriki katika maonesho hayo na kuunga mkono maendeleo ya sekta ya viwanda na biashara, zikiwemo ALAF, Wilmar Pasta, KEDA, Lodhia, Pepsi, Coca-Cola, Goodwill na kampuni nyingine. Pia alitumia fursa hiyo kuwatambua na kuwashukuru wasanii waliojitokeza kushiriki na kuhamasisha wananchi pamoja na makundi mbalimbali kushiriki katika shughuli za ufunguzi wa maonesho hayo. Maonesho hayo pia yamehudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Biashara (CBE), viongozi waandamizi wa Wizara, wakurugenzi na wakuu wa taasisi zilizo chini ya Wizara pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya viwanda na biashara.

Mon, 02 Nov 2026 16:47:53 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Ambani hails Leopards players after derby victory over Homeboyz

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Kenya court summons police chief over missing Tanzanian activist

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KT Press

Tshisekedi’s New FDLR Delaying Tactic: Relocation Instead of Neutralization

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

No one company will make stablecoins mainstream, says Paga’s Tayo Oviosu

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

African banking giants build war chest for Kenya takeover deals

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

La Chine a contraint Mbappé à présenter des excuses, mais beaucoup ignorent la teneur exacte de ses propos

Ses propos sur le dirigeant chinois Mao ont suscité la colère, mais la censure a laissé beaucoup de gens se demander ce qui s'était exactement passé.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Can PSG win a third straight Champions League without injured Kvaratskhelia?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Court orders four suspects in Dorita Macharia murder case detained for 10 days

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Lissu directs family to give brother a fitting send-off

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Medical bills set to rise 13pc, signalling higher premiums

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Former Iganga Woman MP Olivia Kwagala Dies at 57 After Prolonged Illness

Read the full report from the original source.

Recently

Page 461 of 1161 · 23215 stories