Search the region
23220 stories
Former TV host Regina Re detained over mother's murder
A court has allowed police to detain former quiz show host Regina Wambui Gitau and three relatives for 10 days as investigators probe her mother's killing in Loresho, Nairobi.
Mon, 02 Nov 2026 17:57:28 +0300Somalia faces test of sustaining state-building gains as UN political mission closes
Latest · Africa
RecentlyWANAWAKE WAPEWE NGUVU YA MAAMUZI KULINDA AMANI MAZIWA MAKUU – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi, amezitaka nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu kuwapa wanawake nafasi yenye ushawishi katika maamuzi, mazungumzo ya amani na utatuzi wa migogoro, huku akisisitiza maazimio yaambatane na hatua zinazotekelezeka na kupimika. Ametoa wito huo alipomwakilisha Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufungua Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Wabunge Wanawake wa Ukanda wa Maziwa Makuu, unaofanyika Novemba 2–5, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam. Mhe. Ndejembi amesema wanawake ni viongozi, wapatanishi na wajenzi wa amani, hivyo ni muhimu kuondoa mila kandamizi, ubaguzi na vikwazo vya kiuchumi vinavyopunguza ushiriki wao. Amesisitiza kuwa Tanzania inaendelea kuwawezesha wanawake kupitia fursa za uongozi, elimu, masoko, mitaji na mikopo yenye masharti nafuu. Rais wa Jukwaa la Mabunge la Ukanda huo na Spika wa Bunge la Angola, Adão de Almeida, amesisitiza ushiriki kamili wa wanawake katika kujenga amani ya kudumu. Kwa upande wake, mwenyeji wa mkutano, Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ametaka mahitaji ya wanawake na wasichana yazingatiwe katika sheria, sera na bajeti. Mkutano huo unahudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwamo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Judith Suminwa Tuluka; Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Huang Xia; Dkt. Gertrude Mongella na Spika mstaafu Anne Makinda. Pia unawakutanisha maspika, wabunge, mawaziri, mabalozi, wawakilishi wa mashirika ya kimataifa, washirika wa maendeleo na asasi za kiraia. Kauli mbiu ya mkutano ni “Ukanda wa Maziwa Makuu Wenye Amani na Maendeleo.”
Mon, 02 Nov 2026 10:09:42 +0000Muteti summons IG Kanja after State fails to produce missing Tanzanian activist
Latest · Africa
RecentlyDC ARUMERU AUNGANA NA NABII Prof. GEORDAVIE KUPAMBANA NA UKATILI
Na. Vero Ignatus, Michuzi Tv- Arusha Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Neema Lugangira, amelitaka Kanisa la Ngurumo ya Upako kushirikiana na Serikali pamoja na wadau wengine katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia, hususan vinavyoelekezwa kwa wanawake na watoto wilayani hapo huku akisisitiza kuwa jukumu hilo ni la kila mwanajamii. Lugangira ametoa wito huo Novemba 1, 2026, wakati akitoa salamu za Serikali katika Ibada Maalum ya awamu ya kwanza ya ujenzi wa madhabahu iliyofanyika katika Kanisa la Ngurumo ya Upako, Chuo Kikuu cha Manabii, lililopo Kisongo wilayani Arumeru, Arusha. Katika salamu zake, Lugangira amesema Serikali inatambua mchango wa Nabii Mkuu Prof. Geordavie katika jamii, akibainisha kuwa huduma zake zimevuka mipaka ya nchi na kuchangia pia katika kukuza sekta ya utalii kutokana na wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaofika nchini kwa ajili ya ibada zake. "Kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan, tunatambua kazi kubwa anayofanya Nabii Mkuu, kazi yake imevuka mipaka mpaka kwenye utalii, maana wageni wengi wanakuja nchini kwa ajili ya ibada zake," amesema Lugangira. Amesisitiza kuwa mapambano dhidi ya ukatili yanahitaji ushirikiano wa viongozi wa dini, Serikali na jamii kwa ujumla, huku akilitaka kanisa kushiriki pia katika juhudi za kutangaza utalii na michuano ya AFCON. Kwa upande wake, Nabii Mkuu Prof. Geordavie ameahidi kuendelea kushirikiana na viongozi wa Serikali katika shughuli mbalimbali zinazolenga kuleta maendeleo na ustawi wa jamii, akieleza kuwa kanisa litaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali. Ametoa ahadi hiyo baada ya kupokea salamu za Rais na pongezi kutoka kwa viongozi wa Serikali waliohudhuria ibada hiyo, huku akimshukuru Mkuu wa Wilaya ya Arumeru kwa ushirikiano na nidhamu aliyoonyesha kwa watumishi wa Mungu. Naye Mbunge wa Arumeru Magharibi, Dkt. Johannes Lukumai, ameishukuru Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua za kusamehe madeni ya baadhi ya taasisi za dini na kupunguza kodi kwa mashirika ya dini, akisema hatua hizo zimeleta faraja kwa wananchi. "Nampongeza Nabii Mkuu kwa kazi kubwa anayofanya hapa nchini na duniani. Hakuna kitu muhimu kama amani, naomba uendelee kutangaza amani, kuiombea nchi yetu na kumuombea Rais wetu aendelee kuwa na afya njema," amesema Dkt. Lukumai. Ibada hiyo imehudhuriwa na maelfu ya waumini pamoja na wageni kutoka mataifa mbalimbali, yakiwemo Canada, New Zealand, Afrika Kusini, Chile, Bulgaria, Mexico, Marekani, Poland, Sweden, Denmark, Urusi, Uruguay, Argentina, Korea Kusini, Vietnam na Uganda, jambo linaloonesha mwitikio wa kimataifa wa huduma hiyo.
Mon, 02 Nov 2026 15:33:22 +0000Hali ya hewa itakavyokuwa kwa siku 10
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri vipindi vya mvua vinavyoambatana na ngurumo za radi katika baadhi ya maeneo ya Kanda ya Ziwa na magharibi mwa nchi, huku maeneo ya Pwani ya...
RecentlyKipngetich retires from Jubilee Holdings after 9 years
Read the full report from the original source.
RecentlyDes barricades pour l’engrais, la révolte des paysans
La distribution des engrais organo-minéraux de la société Fomi ravive les tensions et le désarroi chez les agriculteurs. Entre files d’attente, quotas jugés dérisoires et hantise de pénuries passées, des agriculteurs désespèrent. Certains, notamment ceux de Matongo, manifestent leur colère dans la rue.
Mon, 02 Nov 2026 15:26:25 +0000Ichung’wah dismisses Rigathi’s three-region alliance
The Majority Leader says Mt Kenya cannot win a presidential election on its own, urging the region to build alliances with other communities
RecentlyPanic Grips Corrupt Officials as Anti-Corruption Crusader Balam Plans Lango Region Tour
Read the full report from the original source.
RecentlyWorld Bank, UN to fund Sh10bn KenGen battery storage facilities
Read the full report from the original source.
RecentlyKAPERE’S FINAL JOURNEY: NUP Leaders Receive Body of Comedian Who Dreamed of Becoming a Councillor
Read the full report from the original source.
Recently« C'est Gaza ou rien » : comment le soutien américain à Israël est devenu un sujet brûlant de la campagne électorale
Les inquiétudes concernant le soutien américain à Israël mobilisent désormais les électeurs des deux camps, dans l'une des courses électorales les plus serrées de ces élections de mi-mandat aux États-Unis.
RecentlyKwa Tshisekedi iyo babonye uri mwiza bakwita Umunyarwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyJakakimba Says He Will Contest Suba North MP Seat on ODM Ticket After Moving from UDA
Kenya · Quick read
RecentlyFake nuclear warnings issued after Ukrainian, Russian apps hacked
Ukraine's widely used app sent red-level air raid warnings across the country, with additional warnings of radiation, chemical attacks
RecentlyWHO convenes first Africa Health Data Forum in Nairobi to drive coordinated action
Africa · 3 hours ago
RecentlyCheruiyot under fire over ‘Tandika Katiba’ jibe at Sifuna
Latest · News
RecentlyMuturi accuses Gachagua of political bullying, warns opposition risks losing 2027 poll
Read the full report from the original source.
RecentlyNew York City Marathon: Top 5 women finishers
In the women's division, Sheila Chepkirui of Kenya claimed victory with a time of 2:24:36, followed closely by USA's Jessica McClain at 2:24:42
RecentlyPage 463 of 1161 · 23220 stories