Unganishwa

Search the region

22447 stories

Uncategorized · Daily News

Rosatom eyes Africa after synchronising nuclear project with Bangladesh’s national power grid

DHAKA, BANGLADESH: Unit 1 of Rooppur Nuclear Power Plant (NPP), a project executed by the Rosatom, has been successfully synchronised…

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Two Health Centres Receive Ambulances as Lango MPs Call for Unity Beyond Party Politics

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

U Rwanda rushobora kubyaza imyanda ingufu rugendeye ku bunararibonye bwa Danemark

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

NBAA KUWAKUTANISHA WAHASIBU

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inatarajia kuwakutanisha Wahasibu, Wakaguzi na wadau mbalimbali wa Taaluma ya Uhasibu katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Wahasibu 2026 utakaofanyika Novemba 24 hadi 27, 2026, jijini Dar es Salaam, kujadili mchango wa Taaluma ya Uhasibu katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Akizungumza na waandishi wa Habari, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) CPA Prof. Sylvia Temu amesema mkutano huo utajumuisha shughuli za kijamii na kitaaluma, ambapo Novemba 24, Bodi hiyo itakabidhi vifaa tiba kwa Hospitali ya Mwananyamala na Hospitali ya Taifa ya Rufaa ya Watoto ya CCBRT jijini Dar es Salaam. Amesema vifaa hivyo vimenunuliwa kupitia michango ya wahasibu mbalimbali waliojitokeza kuunga mkono juhudi za kuboresha huduma za afya nchini, akieleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya mchango wa wataalamu hao katika kusaidia jamii. Amesema mkutano rasmi utaanza Novemba 25 na kufunguliwa na Waziri wa Fedha, Balozi Hamisi Mussa Omar, huku mada kuu ikijikita katika mchango wa Wahasibu na Wakaguzi wa hesabu katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Ameeleza kuwa dira hiyo inalenga kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wenye thamani ya dola trilioni moja za Marekani ifikapo mwaka 2050, huku pato la mtu mmoja mmoja likitarajiwa kufikia angalau dola 7,000. Pia inalenga kuimarisha elimu na uelewa wa matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) ili kuongeza uwezo wa wananchi kutumia na kuendeleza teknolojia katika shughuli za maendeleo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti huyo, siku ya pili ya mkutano, Novemba 26, itajadili masuala mbalimbali ya kitaaluma pamoja na afya ya mwili na akili, uwiano kati ya kazi na maisha binafsi na umuhimu wa wataalamu kutenga muda kwa ajili ya familia zao. Washiriki pia watapata fursa ya kushiriki michezo mbalimbali na kupata elimu ya afya kutoka kwa wataalamu. Pia jioni ya tarehe 26 Novemba kutakuwa na hafla ya utoaji Tuzo kwa Taasisi za Umma, kampuni binafsi na Taasisi zisizo za kiserikali zilizofanya vizuri katika kuandaa taarifa bora za hesabu. Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa mkutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam. Amesema mchakato wa kupata washindi wa Tuzo hizo una ushindani mkubwa na unazingatia usiri, huku tathmini ikifanywa na wataalamu huru wenye ujuzi na uzoefu katika Taaluma ya Uhasibu na uandaaji wa taarifa za hesabu. Ameongeza kuwa majina ya washindi yataendelea kuwa siri hadi wakati wa kutangazwa, akizihimiza Taasisi zote zilizoshiriki kuhudhuria hafla hiyo ili kushuhudia kutangazwa kwa washindi. Mkutano huo unatarajiwa kuwa jukwaa la kujadili mustakabali wa Taaluma ya Uhasibu nchini, kubadilishana uzoefu na kuimarisha mchango wa Wahasibu na Wakaguzi wa hesabu katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya taifa. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA CPA Prof. Sylvia Temu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano mkuu wa 39 wa  mwaka wa Wahasibu 2026 utakaofanyika katika ukumbi wa mkutano wa APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Mon, 23 Nov 2026 14:53:02 +0000
Uncategorized · Iwacu

Semaine dédiée aux ex-combattants : Certains restent dans la détresse

Soins médicaux irréguliers, manque d’eau et d’électricité, manque de terres à cultiver, alimentation insuffisante, absence de pension d’invalidité pour les ex- mouvements politiques armés (MPA), … Tels sont quelques défis auxquels font face les ex-combattants handicapés de guerre des sites de Zege et Kibogoye.

Mon, 23 Nov 2026 14:49:50 +0000
Uncategorized · DW Afrique

Vidéo — Il a commencé le patinage à 25 ans. Aujourd'hui, c'est un champion.

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

5 façons surprenantes d'augmenter votre taux de fer

Nos taux de ce minéral essentiel dépendent non seulement de la quantité que nous consommons, mais aussi de la manière dont nous l'absorbons.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Nyoro says polling station livestreams are ‘non-negotiable’ in 2027

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Governors push back on paybill order, cite gaps in SHA coverage

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

‘I had a better life in Iran’: Afghan women forced home struggle to rebuild

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

FONERWA imaze gukusanya miliyoni 364 z’amadolari mu bikorwa byo kurengera ibidukikije

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Vidéo — Mali : expulsés de Guinée, des orpailleurs face à un nouveau départ

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Presidential villa suffers water and power cuts, Nigerian leader says

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto to flag off first Turkana oil exports on Dec 2

The crude will be transported by road to Mombasa as Kenya prepares to begin exports from the South Lokichar basin, with no pipeline yet in place

Recently
Uncategorized · Kigali Today

U Rwanda rukeneye miliyari 12 z’amadolari yo guhangana n’ihindagurika ry’ibihe kugeza mu 2035

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Mauaji Ngumoha aivunja rekodi ya Owen

ILIKUWA siku ya burudani iliyowalazimu ma-DJ wa uwanja kurejea nyimbo za zamani zilizowahi kuteka hisia za mashabiki. Wimbo wa Three Little Birds wa Bob Marley ulipigwa baada ya kipenga cha...

Recently
Sports · Mwanaspoti

Yamal aweka rekodi mbaya LaLiga

LAMINE Yamal ameweka rekodi isiyopendeza katika historia ya Ligi Kuu Hispania (LaLiga), baada ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kukosa penalti tatu katika mashindano hayo.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

Man United, Chelsea aibu tupu

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

2027 Election: EACC pledges to publish names of candidates with questionable integrity

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Will your savings be enough to offer retirement security?

Read the full report from the original source.

Recently

Page 48 of 1123 · 22447 stories