Unganishwa

Search the region

23273 stories

Uncategorized · DW Rwanda

German police investigating after needles found in Halloween candy

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Mtunisia aitaja Yanga CAF

Soma zaidi hapa

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Bulgaria's Yotova projected to win presidential runoff

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Bulgaria's Yotova secures decisive win in presidential runoff

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Binance resumes withdrawals after more than Ksh.778.7 billion stolen in hack

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Burundi Forum

Des scientifiques chinois créent un catalyseur pour transformer l’air de Mars en carburant

Une avancée publiée dans le Journal of Deep Space Exploration révèle que des scientifiques chinois ont mis au point un catalyseur capable de transformer le dioxyde de carbone de l’atmosphère martienne en méthanol, un carburant liquide polyvalent. Voici ce que cela signifie....

Sun, 01 Nov 2026 21:32:19 +0000
Uncategorized · The Standard

New twist to row over Moi's family land in Eldoret

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

BLOOD AND IRON! Chinese Investor Scummed in Namayingo Multi-Billion Gold Fraud Appeals to Museveni, Col Nakalema as Fraudsters Return For More

COCO Mining Uganda Ltd says its investment in a gold mining project on Sigulu Island is under threat following alleged fraud, intimidation and fresh demands for millions of dollars by…

Recently
Uncategorized · The Standard

Bomas billions: Secret contract reveals kickback clauses, excesses

A leaked Bomas contract raises questions over Sh41.9 billion project costs, alleged inflated prices and Sh2.57 billion in discretionary payments.

Mon, 02 Nov 2026 00:00:00 +0300
Uncategorized · Citizen Digital

'I am not threatened by Methu,' Malala denies being sidelined by Gachagua

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Russia's new suspected radar in Kaliningrad could spy deep into Europe

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA TATU WA (IPCC)

TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tatu wa Wataalamu wa Kundi la Kwanza la Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi (IPCC), utakaofanyika kuanzia Novemba 2 hadi 6, 2026, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha PAPU jijini Arusha. Mkutano huo, unaotarajiwa kuwakutanisha washiriki takribani 300 kutoka sehemu mbalimbali duniani, ni sehemu ya maandalizi ya Taarifa ya Saba ya Tathmini ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi (AR7). Akizungumzia umuhimu wa mkutano huo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa IPCC, Dkt. Ladislaus Chang’a, alisema kuwa mwenyeji wa mkutano huo ni fursa muhimu kwa Tanzania kuonesha mchango wake katika sayansi ya hali ya hewa na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa. Alisema mkutano huo pia utaimarisha ushirikiano kati ya wataalamu wa Tanzania, Afrika na mataifa mengine, pamoja na kutoa fursa za kiuchumi kwa watoa huduma mbalimbali nchini. Mkutano huo utafunguliwa rasmi Novemba 2, 2026, na Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB). Aidha, Novemba 4, 2026, kutakuwa na shughuli maalumu ya uhamasishaji katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Afrika ya Nelson Mandela (NM-AIST) na Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), kwa lengo la kuongeza uelewa wa wadau kuhusu kazi za IPCC na mchakato wa maandalizi ya taarifa za tathmini ya mabadiliko ya tabianchi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TMA inaendelea kuimarisha mchango wa nchi katika juhudi za kimataifa za kuzalisha na kutumia taarifa sahihi za kisayansi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa na tabianchi.

Sun, 01 Nov 2026 20:04:14 +0000
Uncategorized · Rwanda News Agency

JOJ Dakar 2026 : Tête-à-tête entre les Présidents rwandais et sénégalais

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

La météo prévoit des précipitations supérieures à la normale attendues en Novembre

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

JKCI yaweka teknolojia mbele ya maandalizi AFCON 2027

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Ladha Mpya Na Msisimko Mpya Wa 25 Magic Plums Watua Meridianbet

BURUDANI ya kasino mtandaoni inaendelea kupata sura mpya, na safari hii Meridianbet imekuja na mchezo unaovutia kwa jina, muonekano na vipengele vyake. 25 Magic Plums, uliotengenezwa na Wazdan, sasa unapatikana kwa uzinduzi wa kipekee wa mapema hadi Novemba 10, 2026. Hii ni fursa kwa wapenzi wa michezo ya kasino kugundua mchezo mpya unaochanganya picha angavu, matunda yenye mvuto na vipengele vinavyoongeza msisimko wa uchezaji. Mchezo huu unakukaribisha katika ulimwengu wa rangi na mizunguko inayobeba matarajio ya tukio linalofuata. Muonekano wake umeundwa kuvutia macho huku mfumo wake wa uchezaji ukiwa na vipengele mbalimbali vinavyoweza kubadilisha mwenendo wa mchezo. Kama mashabiki wa michezo wanavyofurahia mashindano mapya na mbinu tofauti za timu zao, wapenzi wa kasino wanaweza kuchunguza kile kinachoutofautisha 25 Magic Plums na michezo mingine. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jisajili leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Mojawapo ya vivutio vyake ni Chance Level, kinachosaidia kufupisha njia kuelekea mchezo wa bonasi. Pia kuna nafasi ya kulenga Grand Jackpot yenye thamani ya mara 1,000 ya dau husika, kipengele kinachoongeza matarajio katika safari ya uchezaji. Cash Out ni kipengele kingine kinachoongeza matukio katika mchezo wa kawaida, na kufanya uzoefu wa kucheza kuwa na vipengele zaidi vya kuchunguza. Mchanganyiko wa Chance Level, Cash Out na Grand Jackpot unaipa 25 Magic Plums utambulisho wake wa kipekee. Kupitia Meridianbet, wapenzi wa burudani wanaweza kufahamu mchezo huu mpya na kuchunguza vipengele vyake katika mazingira ya michezo ya kasino mtandaoni. Meridianbet inakualika kuifahamu 25 Magic Plums wakati wa uzinduzi wake wa mapema, unaoendelea hadi Novemba 10, 2026. Tembelea jukwaa la Meridianbet na ugundue burudani hii mpya kwa kila mpenda kasino mtandaoni . 25 Magic Plums imewasili Meridianbet , ikikuletea ladha mpya ya burudani ya kasino.

Sun, 01 Nov 2026 04:00:00 +0000
Uncategorized · PML Daily

Uganda mourns comedian Kapere Lufotose

KAMPALA — Uganda’s entertainment industry is mourning comedian Yokana Mbuuse, popularly known as Kapere Lufotose, whose death has drawn tributes from political leaders, fellow entertainers and fans. Kapere reportedly die

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

COP31: Who Will Answer for Kenya’s Climate Money?

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Issa Michuzi

Anfield Kuwaka Moto, Liverpool Kukipiga na Arsenal

MABINGWA wa soka nchini England, Liverpool, wanatarajiwa kukutana na bingwa mtetezi Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) utakaopigwa Jumapili katika uwanja wa Anfield. Mchezo huo unaanza saa 19:30 usiku na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu hizo na umuhimu wa alama tatu katika mbio za ligi. Liverpool wanaingia katika mchezo huu wakilenga kutumia faida ya kucheza nyumbani kupata ushindi mbele ya mashabiki wao. Kikosi hicho kinahitaji kuwa makini katika safu ya ulinzi huku kikitafuta nafasi za kushambulia kwa kasi, hasa pale Arsenal wanapopanda mbele kutafuta mabao. Pia usisahau, mchezo huu unapatikana Meridianbet, ambako machaguo ni mengi na nafasi za kujaribu bahati yako hazikosekani. Jisajili leo, chagua odds zako na ufurahie msisimko wa mchezo! Kwa upande wa Arsenal , kikosi hicho kitakuwa na jukumu la kuthibitisha ubora wake kwa kutafuta ushindi ugenini. Kocha Mikel Arteta anatarajiwa kusisitiza nidhamu ya kiufundi, umiliki wa mpira na kutumia nafasi zitakazopatikana katika eneo la ushambuliaji. Hata hivyo, taarifa za kabla ya mchezo zinaonyesha kuwa baadhi ya wachezaji muhimu, akiwemo Bukayo Saka, wanakabiliwa na changamoto za majeraha. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Eneo la kiungo linaweza kuwa moja ya sehemu zitakazoamua matokeo ya mchezo huo, huku timu zote zikihitaji kudhibiti kasi ya mpira na kuzuia wapinzani kupata nafasi za wazi. Liverpool wanaweza kutegemea kasi ya mashambulizi yao, wakati Arsenal wakitafuta mianya kupitia pasi za haraka na ushirikiano wa washambuliaji wao. Ufanisi wa kutumia nafasi na umakini wa mabeki vitakuwa muhimu kwa pande zote mbili. Kwa ujumla, pambano hilo linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na historia ya timu hizo na malengo yao katika msimu huu wa EPL . Liverpool watataka kutumia vyema uwanja wao wa Anfield, lakini Arsenal wana uwezo wa kuondoka na matokeo mazuri iwapo watatumia nafasi zao kwa ufanisi.Anfield Kuwaka Moto, Liverpool Kukipiga na Arsenal MABINGWA wa soka nchini England, Liverpool, wanatarajiwa kukutana na bingwa mtetezi Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) utakaopigwa Jumapili katika uwanja wa Anfield. Mchezo huo unaanza saa 19:30 usiku na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu hizo na umuhimu wa alama tatu katika mbio za ligi. Liverpool wanaingia katika mchezo huu wakilenga kutumia faida ya kucheza nyumbani kupata ushindi mbele ya mashabiki wao. Kikosi hicho kinahitaji kuwa makini katika safu ya ulinzi huku kikitafuta nafasi za kushambulia kwa kasi, hasa pale Arsenal wanapopanda mbele kutafuta mabao. Pia usisahau, mchezo huu unapatikana Meridianbet, ambako machaguo ni mengi na nafasi za kujaribu bahati yako hazikosekani. Jisajili leo, chagua odds zako na ufurahie msisimko wa mchezo! Kwa upande wa Arsenal , kikosi hicho kitakuwa na jukumu la kuthibitisha ubora wake kwa kutafuta ushindi ugenini. Kocha Mikel Arteta anatarajiwa kusisitiza nidhamu ya kiufundi, umiliki wa mpira na kutumia nafasi zitakazopatikana katika eneo la ushambuliaji. Hata hivyo, taarifa za kabla ya mchezo zinaonyesha kuwa baadhi ya wachezaji muhimu, akiwemo Bukayo Saka, wanakabiliwa na changamoto za majeraha. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Eneo la kiungo linaweza kuwa moja ya sehemu zitakazoamua matokeo ya mchezo huo, huku timu zote zikihitaji kudhibiti kasi ya mpira na kuzuia wapinzani kupata nafasi za wazi. Liverpool wanaweza kutegemea kasi ya mashambulizi yao, wakati Arsenal wakitafuta mianya kupitia pasi za haraka na ushirikiano wa washambuliaji wao. Ufanisi wa kutumia nafasi na umakini wa mabeki vitakuwa muhimu kwa pande zote mbili. Kwa ujumla, pambano hilo linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na historia ya timu hizo na malengo yao katika msimu huu wa EPL . Liverpool watataka kutumia vyema uwanja wao wa Anfield, lakini Arsenal wana uwezo wa kuondoka na matokeo mazuri iwapo watatumia nafasi zao kwa ufanisi.

Sun, 01 Nov 2026 04:30:00 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

WABIA WA KIGENI MUHIMU KUWAJENGEA UWEZO WACHIMBAJI WAZAWA

Na George Maziku, Geita Imeelezwa kuwa kampuni za kigeni za uchimbaji madini ni muhimu katika kuwajengea uwezo wa kiufundi na kifedha wachimbaji wa kitanzania, hivyo wanapaswa kukaribishwa vizuri badala ya kujengewa chuki. Hayo yameelezwa na mwakilishi wa mkurugenzi wa mgodi wa Peter Kisula Kawe and Partiners, Naomi Mabula alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake hivi karibuni. Mgodi huo uliopo katika kijiji cha Kelezia, kata ya Igulwa, wilaya ya Bukombe, mkoani Geita, uliingia mkataba wa ubia na kampuni ya Tanzania-Zambia Ding Tai Mining inayomilikiwa na raia wa China. Mabula alisema kuwa mara baada ya kupewa leseni ya utafiti na uchimbaji madini katika kijiji cha Kelezia, waliamua kutafuta mbia wa kushirikiana nao kwakuwa uwezo wao wa kifedha, kiufundi na kiteknolojia ulikuwa mdogo hivyo wasingezalisha kwa ufanisi. "Uamuzi wa kutafuta wabia kutoka nje ili kushirikiana katika uchimbaji ulitokana na ukweli kwamba sisi uwezo wetu wa kuchimba ulikuwa mdogo tusingeweza kucbimba kwa ufanisi. Hawa wachina tunaendelea nao vizuri, wanafuata vipengele vyote vya mkataba vinavyowahusu, nasi kwa upande wetu tunatimiza majukumu yetu ya kimkataba, kwa ujumla pande zote za mkataba tunanufaika", alifafanua Mabula. Aliongeza, "Ushauri wangu kwa wacbimbaji wenzetu waliopewa leseni na serikali ni kwamba wawe makini wanapotafuta wabia wa kushirikiana nao kwa kuajiri wanasheria wazuri ili kulinda kikamilifu maslahi yao", alishauri Mabula. Akizungumzia kuhusu usalama wa mgodi huo hususani katika kipindi hiki cha mvua, Mhandisi mkuu wa mgodi huo Moses Andrew aliwahakikishia usalama wafanyakazi, wamiliki wa migodi na mitambo ya uchenjuaji waliopo jirani, na jamii nzima inayozunguka mgodi huo. Mhandisi huyo alisema kuwa mgodi wake umechukua tahadhari zote za kiusalama ikiwemo kuchimba na kuimarisha mitaro mikubwa inayozunguka eneo lote la mgodi, kuimarisha mabwawa wanayotumia kuchenjulia dhahabu, pamoja na kuendelea kutoa mafunzo ya kiusalama kwa wafanyakazi wote wa mgodi wake. "Hatutegemei kupata ajali ya kiusalama, tumejiandaa vizuri sana na tumechukua hatua zote muhimu za kuhakikisha usalama kwa wafanyakazi wetu wote, majirani zetu wote wanaofanya kazi za madini kama sisi, na jamii yote ya hapa Kelezia. Ninawaambia wasihofu kuhusu usalama wao", alibainisha mhandisi huyo. Akifafanua zaidi kuhusu usalama wa mgodi wake, mhandisi huyo alisema kuwa pamoja na matumizi ya kemikali kali zinazotumika kurutubisha na kuchenjua dhahabu, lakini hakuna madhara yanayoweza kusababishwa na kemikali hizo kwani mifumo iliyowekwa hairuhusu maji yenye sumu kutawanyika. "Hayo maji yenye sumu yamedhibitiwa kikamilifu yasitawanyike kwasbabu yamebeba dhahabu nyingi, kuyaacha yatawanyike kiholela ni hasara kubwa. Isitoshe kiwango cha sumu kinachotumika kimeruhusiwa kisheria, ni cha kiwango cha chini ili kuepuka madhara kama kwa bahati mbaya itatokea ajali", alifafanua mhandisi Andrew. "Lakini pia mvua zinapunguza ukali wa kemikali hivyo naendelea kuwahakikishia usalama watu wote wanaotuzunguka, tupo vizuri na tumejiandaa vizuri sana kukabili kiashiria chochote cha kuhatarisha usalama katika mgodi wetu", alisisitiza Andrew.

Sun, 01 Nov 2026 19:21:42 +0000

Page 486 of 1164 · 23273 stories