Unganishwa

Search the region

23275 stories

Sports · Issa Michuzi

Anfield Kuwaka Moto, Liverpool Kukipiga na Arsenal

MABINGWA wa soka nchini England, Liverpool, wanatarajiwa kukutana na bingwa mtetezi Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) utakaopigwa Jumapili katika uwanja wa Anfield. Mchezo huo unaanza saa 19:30 usiku na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu hizo na umuhimu wa alama tatu katika mbio za ligi. Liverpool wanaingia katika mchezo huu wakilenga kutumia faida ya kucheza nyumbani kupata ushindi mbele ya mashabiki wao. Kikosi hicho kinahitaji kuwa makini katika safu ya ulinzi huku kikitafuta nafasi za kushambulia kwa kasi, hasa pale Arsenal wanapopanda mbele kutafuta mabao. Pia usisahau, mchezo huu unapatikana Meridianbet, ambako machaguo ni mengi na nafasi za kujaribu bahati yako hazikosekani. Jisajili leo, chagua odds zako na ufurahie msisimko wa mchezo! Kwa upande wa Arsenal , kikosi hicho kitakuwa na jukumu la kuthibitisha ubora wake kwa kutafuta ushindi ugenini. Kocha Mikel Arteta anatarajiwa kusisitiza nidhamu ya kiufundi, umiliki wa mpira na kutumia nafasi zitakazopatikana katika eneo la ushambuliaji. Hata hivyo, taarifa za kabla ya mchezo zinaonyesha kuwa baadhi ya wachezaji muhimu, akiwemo Bukayo Saka, wanakabiliwa na changamoto za majeraha. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Eneo la kiungo linaweza kuwa moja ya sehemu zitakazoamua matokeo ya mchezo huo, huku timu zote zikihitaji kudhibiti kasi ya mpira na kuzuia wapinzani kupata nafasi za wazi. Liverpool wanaweza kutegemea kasi ya mashambulizi yao, wakati Arsenal wakitafuta mianya kupitia pasi za haraka na ushirikiano wa washambuliaji wao. Ufanisi wa kutumia nafasi na umakini wa mabeki vitakuwa muhimu kwa pande zote mbili. Kwa ujumla, pambano hilo linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na historia ya timu hizo na malengo yao katika msimu huu wa EPL . Liverpool watataka kutumia vyema uwanja wao wa Anfield, lakini Arsenal wana uwezo wa kuondoka na matokeo mazuri iwapo watatumia nafasi zao kwa ufanisi.Anfield Kuwaka Moto, Liverpool Kukipiga na Arsenal MABINGWA wa soka nchini England, Liverpool, wanatarajiwa kukutana na bingwa mtetezi Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) utakaopigwa Jumapili katika uwanja wa Anfield. Mchezo huo unaanza saa 19:30 usiku na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu hizo na umuhimu wa alama tatu katika mbio za ligi. Liverpool wanaingia katika mchezo huu wakilenga kutumia faida ya kucheza nyumbani kupata ushindi mbele ya mashabiki wao. Kikosi hicho kinahitaji kuwa makini katika safu ya ulinzi huku kikitafuta nafasi za kushambulia kwa kasi, hasa pale Arsenal wanapopanda mbele kutafuta mabao. Pia usisahau, mchezo huu unapatikana Meridianbet, ambako machaguo ni mengi na nafasi za kujaribu bahati yako hazikosekani. Jisajili leo, chagua odds zako na ufurahie msisimko wa mchezo! Kwa upande wa Arsenal , kikosi hicho kitakuwa na jukumu la kuthibitisha ubora wake kwa kutafuta ushindi ugenini. Kocha Mikel Arteta anatarajiwa kusisitiza nidhamu ya kiufundi, umiliki wa mpira na kutumia nafasi zitakazopatikana katika eneo la ushambuliaji. Hata hivyo, taarifa za kabla ya mchezo zinaonyesha kuwa baadhi ya wachezaji muhimu, akiwemo Bukayo Saka, wanakabiliwa na changamoto za majeraha. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Eneo la kiungo linaweza kuwa moja ya sehemu zitakazoamua matokeo ya mchezo huo, huku timu zote zikihitaji kudhibiti kasi ya mpira na kuzuia wapinzani kupata nafasi za wazi. Liverpool wanaweza kutegemea kasi ya mashambulizi yao, wakati Arsenal wakitafuta mianya kupitia pasi za haraka na ushirikiano wa washambuliaji wao. Ufanisi wa kutumia nafasi na umakini wa mabeki vitakuwa muhimu kwa pande zote mbili. Kwa ujumla, pambano hilo linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na historia ya timu hizo na malengo yao katika msimu huu wa EPL . Liverpool watataka kutumia vyema uwanja wao wa Anfield, lakini Arsenal wana uwezo wa kuondoka na matokeo mazuri iwapo watatumia nafasi zao kwa ufanisi.

Sun, 01 Nov 2026 04:30:00 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

WABIA WA KIGENI MUHIMU KUWAJENGEA UWEZO WACHIMBAJI WAZAWA

Na George Maziku, Geita Imeelezwa kuwa kampuni za kigeni za uchimbaji madini ni muhimu katika kuwajengea uwezo wa kiufundi na kifedha wachimbaji wa kitanzania, hivyo wanapaswa kukaribishwa vizuri badala ya kujengewa chuki. Hayo yameelezwa na mwakilishi wa mkurugenzi wa mgodi wa Peter Kisula Kawe and Partiners, Naomi Mabula alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake hivi karibuni. Mgodi huo uliopo katika kijiji cha Kelezia, kata ya Igulwa, wilaya ya Bukombe, mkoani Geita, uliingia mkataba wa ubia na kampuni ya Tanzania-Zambia Ding Tai Mining inayomilikiwa na raia wa China. Mabula alisema kuwa mara baada ya kupewa leseni ya utafiti na uchimbaji madini katika kijiji cha Kelezia, waliamua kutafuta mbia wa kushirikiana nao kwakuwa uwezo wao wa kifedha, kiufundi na kiteknolojia ulikuwa mdogo hivyo wasingezalisha kwa ufanisi. "Uamuzi wa kutafuta wabia kutoka nje ili kushirikiana katika uchimbaji ulitokana na ukweli kwamba sisi uwezo wetu wa kuchimba ulikuwa mdogo tusingeweza kucbimba kwa ufanisi. Hawa wachina tunaendelea nao vizuri, wanafuata vipengele vyote vya mkataba vinavyowahusu, nasi kwa upande wetu tunatimiza majukumu yetu ya kimkataba, kwa ujumla pande zote za mkataba tunanufaika", alifafanua Mabula. Aliongeza, "Ushauri wangu kwa wacbimbaji wenzetu waliopewa leseni na serikali ni kwamba wawe makini wanapotafuta wabia wa kushirikiana nao kwa kuajiri wanasheria wazuri ili kulinda kikamilifu maslahi yao", alishauri Mabula. Akizungumzia kuhusu usalama wa mgodi huo hususani katika kipindi hiki cha mvua, Mhandisi mkuu wa mgodi huo Moses Andrew aliwahakikishia usalama wafanyakazi, wamiliki wa migodi na mitambo ya uchenjuaji waliopo jirani, na jamii nzima inayozunguka mgodi huo. Mhandisi huyo alisema kuwa mgodi wake umechukua tahadhari zote za kiusalama ikiwemo kuchimba na kuimarisha mitaro mikubwa inayozunguka eneo lote la mgodi, kuimarisha mabwawa wanayotumia kuchenjulia dhahabu, pamoja na kuendelea kutoa mafunzo ya kiusalama kwa wafanyakazi wote wa mgodi wake. "Hatutegemei kupata ajali ya kiusalama, tumejiandaa vizuri sana na tumechukua hatua zote muhimu za kuhakikisha usalama kwa wafanyakazi wetu wote, majirani zetu wote wanaofanya kazi za madini kama sisi, na jamii yote ya hapa Kelezia. Ninawaambia wasihofu kuhusu usalama wao", alibainisha mhandisi huyo. Akifafanua zaidi kuhusu usalama wa mgodi wake, mhandisi huyo alisema kuwa pamoja na matumizi ya kemikali kali zinazotumika kurutubisha na kuchenjua dhahabu, lakini hakuna madhara yanayoweza kusababishwa na kemikali hizo kwani mifumo iliyowekwa hairuhusu maji yenye sumu kutawanyika. "Hayo maji yenye sumu yamedhibitiwa kikamilifu yasitawanyike kwasbabu yamebeba dhahabu nyingi, kuyaacha yatawanyike kiholela ni hasara kubwa. Isitoshe kiwango cha sumu kinachotumika kimeruhusiwa kisheria, ni cha kiwango cha chini ili kuepuka madhara kama kwa bahati mbaya itatokea ajali", alifafanua mhandisi Andrew. "Lakini pia mvua zinapunguza ukali wa kemikali hivyo naendelea kuwahakikishia usalama watu wote wanaotuzunguka, tupo vizuri na tumejiandaa vizuri sana kukabili kiashiria chochote cha kuhatarisha usalama katika mgodi wetu", alisisitiza Andrew.

Sun, 01 Nov 2026 19:21:42 +0000
Sports · Azam TV Videos

Highlights | Yanga 4-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | 01/11/2026

Azam TV

2026-11-01T18:59:00+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

NBCPL | Alichokizungumza Zimbwe baada ya kuwa nyota wa mchezo

#NBCPL ''Nilisajiliwa Yanga kuja kucheza'' Nyota wa mchezo wa leo, Mohamed Hussein anasema mashabiki wategemee mazuri zaidi ndani ya klabu hiyo kwa malengo ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC. FT: Yanga SC 4-0 Kagera Sugar Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #YangaSCVSKageraSugar #YangaSC #KageraSugar

2026-11-01T19:05:15+00:00
Uncategorized · The Star Kenya

No, thank you! Kalonzo says on joining government

Kalonzo dismissed reports suggesting that he was being sought to join the government, insisting that he would remain in the opposition.

Recently
Uncategorized · UBC

Uganda’s Young Athletes Show Fighting Spirit at Youth Olympic Games in Dakar

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Le Kenya inaugurera le stade international Raila-Odinga le 5 janvier 2027 avec un choc Bayern Munich-Ajax

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Le Ghana et le Nigeria portent les ambitions africaines en quarts

Read the full report from the original source.

Recently
National · Citizen Digital

Ecological disaster looms in Baringo as Lake Baringo risks spilling into Lake Bogoria

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Bulgaria exit polls: incumbent Yotova predicted to win

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

VITASA | NIGHT 2 REMEMBER | Vita ya Said Bwanga dhidi ya Said Chino

VITASA | NIGHT 2 REMEMBER : NI SAID BWANGA...!!! Usiku wa Kukumbukwa umekamilika na Said Bwanga ameibuka mshindi kwa pointi dhidi ya Said Chino. Pambano la raundi kumi. . Hapa The Sky Wave Hall, Msasani Beach , Dar es Salaam..na huu ni Usiku wa Vitasa, Night 2 Remember LIVE #AzamSports5HD #Vitasa #VitasaNight #FayHeroesPromotion #Night2Remember

2026-11-01T18:34:33+00:00
Uncategorized · Rwanda News Agency

Rwanda’s general Producer Price Index up 21.5 pct in September 2026

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Azam TV Videos

Magoli | Yanga 4-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | 01/11/2026

#NBCPL Chuma zote nne hizi hapa.! FT: Yanga SC 4-0 Kagera Sugar Uchambuzi unaendelea LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #YangaSCVSKageraSugar #YangaSC

2026-11-01T18:27:37+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

VITASA | NIGHT 2 REMEMBER | Ni Ndaro dhidi ya Baba Anjera

VITASA | NIGHT 2 REMEMBER Pambano la maonesho kati ya wasanii wawili @ndaro__ dhidi ya @baba_anjera , limemalizika mwa sare...(Exhibition Fight). Je, unadhani nani kaonewa!? Hapa The Sky Wave Hall, Msasani Beach , Dar es Salaam..na huu ni Usiku wa Vitasa, Night 2 Remember LIVE #AzamSports5HD

2026-11-01T18:30:20+00:00
Uncategorized · Rwanda News Agency

L’épidémie d’Ebola a déjà fait plus de 5.000 morts en RDC

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Museveni Warns MPs Against Inaccurate Reports on Digital Number Plates Project

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Rwanda marks the 10th Anniversary of the Kigali Amendment to the Montreal Protocol

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

Kabaka crowns Kyaggwe as first-time Masaza Cup champions

His Majesty the Kabaka of Buganda, Ronald Muwenda Mutebi II, presented Kyaggwe with their first Buganda Masaza Cup title at Muteesa II Stadium, Wankulukuku, on Saturday, 31 October, after they beat...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Moi University mourns ex-Dean David Mureithi

The celebrated 78-year-old administrator has left a void that alumni, staff and current students describe as the closing of an era

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Rwanda peacekeepers provide free medical care to 200 people in Central African Republic

Read the full report from the original source.

Recently

Page 487 of 1164 · 23275 stories