Unganishwa

Search the region

23288 stories

Uncategorized · Daily News

129 years of Juventus: legacy that continues

ON November 1, 2026, Juventus will celebrate their 129th anniversary by facing Napoli, one of their fiercest rivals in Italian…

Recently
Uncategorized · Daily News

TRADE EXPANSION: Tanzania eyes new export markets

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Simba, Yanga kwenye mtego wa panya

Soma zaidi hapa

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

MTN, CBS partners to promote Buganda heritage, business

MTN Uganda and Central Broadcasting Service (CBS FM) have signed a three-year partnership aimed at promoting cultural participation, audience engagement and business opportunities within communities.…

Recently
Uncategorized · The Citizen

Arusha to host 300 climate scientists as El Niño raises concerns over extreme weather in Tanzania

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Police arrest five suspected of stealing phones during ODM Jacaranda rally

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Nyong’o vows to guard Baby Pendo Park from grabbers

Nyong’o said the county would not surrender the approximately 3.4-acre public facility, which was transformed from a dumpsite into a recreational park

Recently
Business · Issa Michuzi

MADIWANI SIMANJIRO KUFUATILIA MAPATO YA MADINI

Na Mwandishi Wetu, Simanjiro MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, wameazimia kufuatilia kwa karibu mapato yatokanayo na shughuli za uchimbaji wa madini ili kuhakikisha yanachangia ipasavyo maendeleo ya wilaya hiyo. Azimio hilo limefikiwa katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika katika makao makuu ya wilaya hiyo, yaliyopo Orkesumet. Katika kikao hicho, madiwani wamemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo kuiwezesha Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango kukutana na Afisa Madini Mkazi wa Mirerani (RMO), George Kaseza, kwa lengo la kupata taarifa sahihi kuhusu mapato yatokanayo na madini ya graphite na madini mengine. Diwani wa Kata ya Ngorika, Albert Msole, amesema kuwa mbali na kufuatilia mapato hayo, madiwani wanataka kuhakikisha kampuni za uchimbaji madini zinatimiza wajibu wao wa uwajibikaji kwa jamii (CSR) kwa kuchangia shughuli za maendeleo katika wilaya hiyo. Msole amesisitiza kuwa kampuni zinazoshindwa kutekeleza wajibu huo zinapaswa kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria na taratibu zinazotawala sekta ya madini. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Kaleya Melita Mollel, amesema suala la uwajibikaji kwa jamii kwa kampuni za uchimbaji madini linapaswa kupewa kipaumbele ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali zilizopo katika maeneo yao. "Tutakwenda kwa RMO Mirerani na kupatiwa taarifa sahihi za mapato yatokanayo na graphite na madini mengine ili kufuatilia uwajibikaji kwa jamii kwa wachimbaji," amesema Mollel.

Sun, 01 Nov 2026 13:20:24 +0000
Uncategorized · The Standard

CS Ruku, MP Barasa and comedian Eric Omondi scoop awards

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

DPR Korea: Isolation deepens even as the country changes, says UN rights official

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

WAZIRI MKUU AAGIZA MPANGO WA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI KATIKA ELIMU

▪️︎ Asema Serikali inathamini mchango wa taasisi za dini katika maendeleo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, kuandaa mpango wa kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na taasisi za dini katika elimu, kwa kuzingatia uzoefu wa ushirikiano uliopo katika sekta ya afya. Ametoa maelekezo hayo leo (Jumapili, Novemba 1, 2026), wakati akimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya uzinduzi wa nyumba mpya ya ibada ya Bethel ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Nshara, wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro. “Mheshimiwa Waziri, utaenda ukae na wenzako. Kaa na Waziri wa Afya,” amesema. Dkt. Mwigulu ameelekeza wataalamu wa wizara hizo kuangalia namna ya kuimarisha ushirikiano katika elimu na kuandaa mpango utakaowasilishwa kwa Mheshimiwa Rais kwa ajili ya kupata ridhaa ya Serikali. Maelekezo hayo yamefuatia maelezo kuhusu ujenzi wa kampasi ya Machame ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo), kinachomilikiwa na KKKT, Dayosisi ya Kaskazini, pamoja na ombi la kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Kanisa katika kutoa elimu. Akifikisha salamu za Mheshimiwa Rais, Waziri Mkuu amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango wa taasisi za dini katika maendeleo ya Taifa na itaendelea kushirikiana nazo katika kutoa huduma kwa wananchi. Amesema historia ya maendeleo ya Tanzania haiwezi kutenganishwa na mchango wa Kanisa, hususan katika elimu na afya, ambako taasisi za dini zimekuwa zikihudumia wananchi bila kujali imani zao. “Hauwezi ukayataja maendeleo ya nchi yetu hii kwa ustadi wowote ule bila kutaja mchango wa Kanisa,” amesema. Dkt. Mwigulu amewapongeza washarika wa Nshara, viongozi wa Kanisa, kamati ya ujenzi na wadau wote waliofanikisha ujenzi wa nyumba hiyo ya ibada, akisema wamefanya kazi kubwa inayostahili kupongezwa. Kuhusu mazingira, Waziri Mkuu amehimiza wananchi kuchukulia kwa uzito utunzaji wa miti na athari za mabadiliko ya tabianchi. Amemwelekeza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, kufuatilia hoja ya ukataji miti iliyowasilishwa katika ibada hiyo, kwa kushirikiana na viongozi na wadau husika. Aidha, amemwelekeza Mkuu wa Mkoa kufanyia kazi ombi la kufungwa taa za barabarani katika eneo la kanisa na kufuatilia hoja za miundombinu zilizowasilishwa na Mbunge wa Hai. Kwa upande wake, Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, amewapongeza washarika na wadau waliofanikisha ujenzi huo, huku akisisitiza umuhimu wa malezi bora, mazungumzo katika familia na upatanishi katika jamii. Naye Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo, ameomba ushirikiano wa Serikali na Kanisa katika elimu na afya uendelezwe. Amesema uzoefu huo ni msingi wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP), unaolenga kutoa huduma kwa wananchi. Akizungumza kwa niaba ya Kamati ya Ujenzi, Mjumbe wa Kamati hiyo, Freeman Mbowe, amesema wananchi walitenga eneo la ekari 50 kwa ajili ya maendeleo ya elimu na kulikabidhi kwa KKKT, Dayosisi ya Kaskazini. Ameeleza matarajio yao ya kuona chuo hicho kinatoa elimu bora inayozingatia sayansi na teknolojia. Kwa mujibu wa risala ya Usharika wa Nshara, nyumba hiyo ya ibada imejengwa kwa zaidi ya miaka kumi kwa gharama zinazokadiriwa kufikia Sh. bilioni 6.5 na ina uwezo wa kuketisha waumini 2,000 kwa ibada. Ibada ya uzinduzi na kubariki nyumba hiyo imeongozwa na Askofu Dkt. Shoo, huku Askofu Dkt. Malasusa akitoa mahubiri.

Sun, 01 Nov 2026 13:01:55 +0000
Uncategorized · Watchdog Uganda

FAHIM MUYINGO: African Youth Day 2026: Reflecting, Reimagining and Repositioning The African Youth Charter- A Call to Action for a More Empowered African Generation

Every 1st of November, Africa celebrates African Youth Day, a moment to recognise the energy, creativity, resilience and immense potential of its young population. It is also an opportunity to…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Balaam Barugahara Likens Himself to John the Baptist After Securing Continental Award

Nairobi/Kampala – Uganda’s Minister of Local Government, Hon. Balaam Barugahara Ateenyi, has framed his recent continental recognition through biblical humility, drawing parallels between his leadership journey and that

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Iran designates Britain's navy as "terrorist, hostile"

The decision, effective Sunday, was based on a resolution adopted by Iran's Supreme National Security Council, the ministry said in a statement

Recently
Uncategorized · The Citizen

Mbowe challenges Mwigulu over Hai development projects as Malasusa calls for reconciliation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tanzania to transform Arusha city in Sh64.5 billion plan ahead of AFCON

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

NHC unveils Sh64.5bn plan to transform Arusha city centre ahead of AFCON 2027

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Burundi Forum

Burundi / Génocide contre les Hutu de 1972-1973 : le président Ndayishimiye blesse les Barundi

Le président Ndayishimiye (CNDD-FDD) refuse de signer un décret de reconnaissance du génocide contre les Hutu du Burundi en 1972-1973, pourtant reconnu par le Parlement depuis 2024. Bujumbura, 21/10/2026 (BdiAgnews) — Les Hutu au Burundi, au sein de l’Ubumu, soit l’Économie-Tambour (le...

Sun, 01 Nov 2026 12:38:55 +0000
Business · Issa Michuzi

LONDO AWAAGA KUNDI LA TISA LA TANZANIA KUELEKEA CHINA MAONESHO YA CIIE 2026

📌 Awaasa kutumia fursa za maonesho hayo kufungua masoko, uwekezani na teknolojia; 📌 Tanzania kutangaza bidhaa za kilimo, madini, uvuvi na utalii nchini China; DAR ES SALAAM Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Dennis Lazaro Londo (Mb), amelitaka kundi la Tanzania litakaloshiriki Maonesho ya 9 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (9th China International Import Expo – CIIE) kutumia jukwaa hilo kutafuta fursa za masoko, kuimarisha uhusiano wa kibiashara na kuvutia uwekezaji wenye tija kwa uchumi wa Taifa. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga washiriki hao iliyofanyika katika Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China jijini Dar es Salaam, Mhe. Londo amesema ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo ni fursa muhimu ya kuitangaza nchi kimataifa, kuonesha maendeleo yaliyofikiwa katika uzalishaji wa bidhaa zenye ubora na kuimarisha nafasi ya Tanzania katika biashara ya kimataifa. Amesema Maonesho ya 9 ya CIIE yanayotarajiwa kufanyika Novemba 5 hadi 10, 2026, jijini Shanghai, China, yatatoa fursa kwa Tanzania kushiriki katika maonesho ya nchi, biashara na kampuni, pamoja na vikao vya kuunganisha wafanyabiashara, majukwaa ya uwekezaji na shughuli za kubadilishana uzoefu. Kupitia jukwaa hilo,. Tanzania inalenga kutangaza mazingira wezeshi ya uwekezaji yanayojengwa na amani, utulivu na nafasi yake ya kimkakati kama kitovu cha biashara kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati na kuongeza kuwa itatumia maonesho hayo kutangaza bidhaa zake zikiwemo kahawa, chai, korosho na viungo, pamoja na fursa zilizopo katika sekta za madini, uvuvi na utalii, Aidha Mhe Londo alisema kuwa soko la China lenye zaidi ya watumiaji bilioni 1.4 lina fursa kwa bidhaa bora zinazozalishwa nchini, hivyo ni muhimu kwa washiriki kutumia muda huo kuanzisha mawasiliano na wanunuzi na wawekezaji wa kimataifa. Akitoa maelekezo kwa wajumbe wa kundi hilo kushiriki kikamilifu katika mikutano ya kibiashara kati ya kampuni na kampuni (B2B), kujenga mahusiano na wanunuzi na wawekezaji, pamoja na kuhakikisha wanawasilisha bidhaa za Tanzania kwa weledi, ubora na uadilifu na amewahimiza kutumia maonesho hayo kujifunza teknolojia za kisasa za uchakataji, viwango vya vifungashio na usimamizi wa mnyororo wa ugavi ili kuongeza thamani ya malighafi zinazozalishwa nchini. Mhe. Londo ameishukuru Serikali ya China kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania kwa ushirikiano na msaada uliotolewa katika maandalizi na usajili wa kundi hilo ma kusema kuwa ushirikiano huo unaonesha namna uhusiano wa kihistoria na kimkakati kati ya Tanzania na China unavyoendelea kuimarisha biashara, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi kwa manufaa ya wananchi wa nchi hizo mbili. Ameongeza kuwa Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na China katika kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kibiashara, huku akiwataka wajumbe wa delegesheni hiyo kurejea na matokeo yatakayochochea mikataba ya kibiashara, ushirikiano mpya wa uwekezaji na fursa za ajira kwa Watanzania.

Sun, 01 Nov 2026 12:37:52 +0000
Uncategorized · TechCabal East Africa

Build for Nigeria’s worst day, says OPay COO Dotun Adekunle

Read the full report from the original source.

Recently

Page 492 of 1165 · 23288 stories