Unganishwa

Search the region

23337 stories

Uncategorized · Jamhuri Media

Posta Tanzania na TANESCO kuimarisha ubora wa huduma kwa wateja

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Maroc: Communiqué du Cabinet Royal

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Le mandat de la Minurso n’a pas été reconduit par le Conseil de Sécurité des Nations Unies lors de sa réunion de ce jour

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

SERIKALI KUZINDUA SERA MPYA YA VIWANDA NA JASIRIAMALI NDOGO NA ZA KATI JIJINI DODOMA-MHE KAPINGA

📌 Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa sera hizo; 📌 Waziri Kapinga afanya mkutano na waandishi wa habari kueleza hatua ya maandalizi iliyofikiwa; 📌Asema Serikali inalenga kuongeza mchango wa sekta ya viwanda hadi kufikia asilimia 15 kwenye pato la Taifa; 📌 Asema Sera ya maendeleo endelevu ya viwanda na Sera ya maendeleo ya jasirimali dogo na kati kuinua biashara bunifu la makundi yote. DAR ES SALAAM Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara inatarajia kuzindua sera mbili mpya zinazolenga kuimarisha maendeleo ya sekta ya viwanda na jasiriamali ndogo na za kati nchini ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuongeza uzalishaji, ajira, uongezaji thamani wa malighafi za ndani na ushindani wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya ndani na nje ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Oktoba 31, 2026, katika Ukumbi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), jijini Dar es Salaam, Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amesema Sera hizo ni Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda ya Mwaka 2025 na Sera ya Maendeleo ya jasiriamali ndogo na za Kati ya Mwaka 2003 (Toleo la Mwaka 2025). Amesema Sera hizo zimefanyiwa mapitio ili kuendana na mahitaji ya sasa ya kiuchumi na kuweka mazingira wezeshi ya biashara, uwekezaji na uzalishaji nchini na kuongeza kuwa zitaimarisha pia mchango wa sekta ya viwanda katika uchumi wa Taifa. Mhe Kapinga aliongeza kuwa Serikali inalenga kuongeza mchango wa sekta hiyo hadi kufikia asilimia 15 ya Pato la Taifa, sambamba na kuongeza uzalishaji, uongezaji thamani wa malighafi za ndani na ushindani wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya ndani na nje ya nchi. Waziri Kapinga amesema Wizara imejipanga vizuri kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais ya kuhakikisha kila sekta inajipanga na kujiratibu upya ili kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa Taifa. Aidha, Waziri Kapinga amesema Serikali inaendelea kuimarisha na kuitangaza nembo ya Made in Tanzania kwa lengo la kuongeza utambuzi na kuaminika kwa bidhaa zinazozalishwa nchini, kukuza matumizi ya bidhaa za ndani na kupanua fursa za masoko kwa wazalishaji wa Kitanzania. Amesema hatua hiyo ni muhimu katika kuhamasisha wananchi kuthamini bidhaa za ndani na kuimarisha ushindani wake katika masoko ya kimataifa. Kwa upande wa maendeleo ya wajasiriamali wadogo na wa kati, Waziri Kapinga amesema Sera husika inalenga kuboresha miundombinu wezeshi, kuongeza upatikanaji wa mitaji, kukuza matumizi ya teknolojia na ubunifu pamoja na kurahisisha upatikanaji wa masoko kwa bidhaa na huduma zinazozalishwa na wajasiriamali hao ma hatua hiyo inalenga kuwawezesha wajasiriamali kukuza biashara zao, kuongeza tija na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa Taifa. Kwa upande wa Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda, amesema inalenga kuongeza thamani ya mazao na rasilimali zinazozalishwa nchini kupitia uimarishaji wa mnyororo wa thamani, kuendeleza viwanda vya kimkakati, kuongeza uzalishaji wa bidhaa zenye ubora na kuimarisha uwezo wa viwanda vya ndani kushindana katika masoko. Aidha, sera hiyo inalenga kuchochea uwekezaji katika sekta ya viwanda na kuongeza fursa za ajira kwa wananchi. Kuelekea uzinduzi huo, Wizara ya Viwanda na Biashara imeandaa maonesho na kliniki za biashara Novemba 2 na kongamano la wadau wa sekta ya Viwanda na Biashara wanatarajia kukutana Novemba 3, 2026, kwa lengo la kuwapa wadau wa sekta ya viwanda na biashara fursa ya kujifunza kuhusu sera hizo, kujadili masuala ya utekelezaji na kuelewa mchango wao katika kuimarisha maendeleo ya viwanda na ujasiriamali nchini. Uzinduzi rasmi wa Sera hizo utafanyika Novemba 4, 2026, jijini Dodoma, ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi.

Sat, 31 Oct 2026 12:26:42 +0000
Uncategorized · The Ankole Times

GO BACK TO UNIVERSITY! Don Questions RDC Dignity, Urges Kanungu Deputy RDC Rugaju to Resign After Reported Arrest

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Moving from food quantity to nutritious food as 310 million people face hunger in Africa

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

Benki ya Exim Tanzania Yaunga Mkono Uhifadhi wa Mazingira na Maendeleo ya Jamii Kilolo

Benki ya Exim Tanzania imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kushirikiana na jamii katika kuchochea maendeleo endelevu kupitia udhamini wake Mkuu wa Kitonga Marathon 2026, mbio zilizolenga kuhamasisha uhifadhi wa mazingira na kutangaza fursa mbalimbali za kiuchumi zilizopo katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa. Mbio hizo zilizofanyika chini ya kaulimbiu “Tunza Mazingira, Wekeza Kilolo” ziliwakutanisha washiriki na wadau mbalimbali kwa lengo la kuhamasisha utunzaji wa mazingira, ushiriki wa jamii na kuangazia fursa za maendeleo zilizopo wilayani humo, ikiwemo katika sekta za kilimo, utalii na biashara za wenyeji. Kama Mdhamini Mkuu, Benki ya Exim iliunga mkono mbio hizo kama sehemu ya dhamira yake pana ya kushirikiana na jamii na wadau katika masuala yanayochangia maendeleo endelevu. Akizungumzia udhamini huo, Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu, alisema udhamini huo unaakisi imani ya Benki kwamba jukumu lake haliishii katika kutoa huduma za kifedha pekee, bali linajumuisha pia kuunga mkono mipango inayowaunganisha wadau katika kutekeleza vipaumbele vya pamoja vya maendeleo. “Mbio za Kitonga zinatoa fursa ya kuitangaza zaidi Kilolo na uwezo wake wa kiuchumi, huku zikihamasisha uwajibikaji wa pamoja katika uhifadhi wa mazingira. Sisi Exim Bank tunaamini kuwa maendeleo endelevu yanahitaji ushirikiano kati ya jamii, wafanyabiashara na wadau wengine. Udhamini wetu wa mbio hizi unaakisi dhamira yetu ya kushirikiana na jamii tunazozihudumia na kuchangia juhudi zinazolenga kuleta maendeleo katika maeneo yao,” alisema Kafu. Udhamini huo ni sehemu ya jitihada za Benki ya Exim Tanzania za kuchangia maendeleo ya jamii kupitia mpango wake wa uwajibikaji kwa jamii, Exim Cares. Kupitia mpango huo, Benki inaunga mkono shughuli mbalimbali zinazolenga kuboresha maisha ya jamii katika sekta za afya, elimu, uhifadhi wa mazingira, ubunifu na elimu ya masuala ya fedha. Mwaka 2026, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 29 tangu kuanzishwa kwake, Benki ya Exim ilifanya shughuli za usafi katika jamii zinazozunguka matawi yake nchini. Mkoani Iringa, timu ya tawi la Benki hiyo ilikabidhi vifaa vya usafi katika Hospitali ya Wilaya ya FLERIMO ili kusaidia kuboresha usafi katika hospitali hiyo. Benki ya Exim Tanzania ilifungua tawi lake mkoani Iringa mwaka 2009. Tawi hilo hutoa huduma za kifedha kwa watu binafsi, wafanyabiashara, kampuni na taasisi, kulingana na mahitaji yao. Ushiriki wa tawi hilo katika Mbio za Kitonga unaonyesha namna Benki inavyoendelea kushirikiana na jamii inayohudumia pamoja na wadau wengine katika kuunga mkono mipango inayochangia maendeleo ya mkoa huo. Kupitia Tawi lake la Iringa, Benki ya Exim Tanzania inaendelea kuwahudumia watu binafsi, wafanyabiashara na kampuni kwa kuwapatia huduma mbalimbali za kifedha. Wakazi na wamiliki wa biashara mkoani humo wanaweza kutembelea tawi hilo kupata maelezo kuhusu bidhaa na huduma za Benki, pamoja na ushauri kuhusu huduma zinazoweza kukidhi mahitaji yao ya kifedha.

Sat, 31 Oct 2026 08:00:00 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU AREJEA NCHINI AKITOKEA URUSI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini leo, Oktoba 31, 2026, akitokea Moscow, Urusi, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika na Urusi, uliofanyika Oktoba 28–29, 2026. Mkutano huo ulilenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, ushirikiano wa kiuchumi na biashara, pamoja na kupanua fursa za ushirikiano katika sekta mbalimbali kati ya Urusi na nchi za Afrika.

Sat, 31 Oct 2026 12:21:07 +0000
Uncategorized · The Ankole Times

MPs DECLARE WAR ON BALAAM! Alebtong Legislators Threaten Impeachment Over Arrests and Interdictions Ahead of November Visit

Read the full report from the original source.

Recently
National · Jamhuri Media

Jaji Mwambegele Awasisitiza Makarani Uchaguzi Nonde Kuzingatia Sheria

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

New Peasants Party Secretary General Sets Release of Political Prisoners as Condition for Government Talks

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Arsenal boss Arteta fires 'Disneyland' warning at Dowman after Fleetwood red card

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Murkomen to Kalonzo after heckling: You are welcome in government

Murkomen said the Wiper leader deserved respect and invited him to work with the broad-based government.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Mvua ya mawe yabomoa nyumba zaidi ya 70 Kigoma, wananchi wakosa makazi

Zaidi ya nyumba 70 za makazi pamoja na makanisa mawili zimeezuliwa na kubomolewa na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, na...

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Que font les forces militaires dans les écoles iraniennes ?

Les autorités iraniennes expliquent que ces programmes s'inscrivent dans le cadre de l'éducation patriotique, de la défense nationale et de la formation d'une génération conforme aux principes de la révolution du pays.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Kenya, Russia wakubaliana kusitisha uandikishaji Wakenya jeshini

Rais wa Russia, Vladimir Putin, amekubaliana na Rais wa Kenya, William Ruto, kusitisha uandikishaji wa raia wa Kenya katika jeshi la Russia, huku serikali ya Nairobi ikianza kufuatilia fidia kwa...

Recently
Uncategorized · Capital FM

Journalists Trained on Responsible Election Reporting Ahead of 2027 Polls

Latest · 2027 KENYA ELECTIONS

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Why North Korea's 'elite' hackers are suspect in major Binance hack

If the accusations are true, the record-making heist shows how powerful suspected North Korean hackers have become.

Recently
Uncategorized · CEO East Africa

Uganda’s Agricultural Credit Facility Hits UGX1.52 Trillion, but Who Gets the Money?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Driver escapes as police intercept vehicle ferrying 282kg of suspected bhang in Kisumu

Latest · County News

Recently

Page 510 of 1167 · 23337 stories