Unganishwa

Search the region

23383 stories

Uncategorized · Isango Star

INGINGO Z'INGENZI Z'IMPAMVU YO GUSABA GUHINDUZA AMAZINA

Fri, 30 Oct 2026 10:06:18 +0200
Uncategorized · SoftPower News

Uganda’s FIA Becomes First African Financial Intelligence Unit to Secure ISO Certification

Read the full report from the original source.

Recently
National · Jamhuri Media

Wadau Mwanza wapata elimu kuhusu rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la EAC

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Doumbia’s two-goal tease, then back to nothing

DAR ES SALAAM: FOR a brief moment, Ibrahim Doumbia, Simba’s divisive striker, had the football world believing that his goal…

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania’s quartet seek to turn qualification into knockout success

TANZANIA’S continued presence in African club competitions has raised expectations, but the challenge facing Simba SC, Young Africans (Yanga SC),…

Recently
Uncategorized · Isango Star

Netanyahu yasabwe gutangaza ko Qatar ari umwanzi wa Israel

Naftali Bennett wahoze ari Minisitiri w’Intebe wa Israel, yashinje Benjamin Netanyahu gukoresha ibirego by’uko Qatar yaba yarivanze mu matora y’abadepite kugira ngo ateze urujijo kandi ateshe agaciro icyizere abaturage bafitiye amatora, amusaba gutangaza ko icyo gihugu ari umwanzi wa Israel.

Fri, 30 Oct 2026 09:55:39 +0200
Uncategorized · SoftPower News

CAF Reinstates AFCON Every Two Years, Confirms 2027 Uganda-Kenya-Tanzania Edition

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Tribunal clears way for registration of Ukombozi Alliance

NATIONAL NEWS · 6 hours ago

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Deworming drug mix-up leaves one child dead, 16 hospitalised in Butebo

A two-year-old boy has died, and 16 other children have been hospitalised after health workers at Kabwangasi health centre III in Butebo district reportedly mistakenly…

Recently
Uncategorized · The Citizen

How Africa can create jobs with smart urban planning

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

China’s Civil Service Rush Exposes Deepening Crisis of Youth Unemployment

China’s civil service examination has become more than a contest for secure government employment. The extraordinary rush to join the state bureaucracy offers a revealing snapshot of the pressures facing the...

Recently
Uncategorized · The Nile Post

JMS Launches 10 AI-Powered Digital X-Ray Systems to Expand TB Screening in Uganda

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Daily News

Can Russia–Africa Summit deliver jobs, trade and investment?

MOSCOW: ON Wednesday and yesterday, Moscow hosted the Third Russia–Africa Summit and the Russia–Africa Economic and Humanitarian Forum, focusing on…

Recently
Uncategorized · PML Daily

MPs urge EAC partner states to sign and ratify ICT network protocol

Parliament's Committee on Foreign Affairs has called on Uganda's representatives in the East African Legislative Assembly (EALA) to push East African Community (EAC) partner states that have not yet signed and...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

How ‘mole’ politics could shape Kenya’s 2027 race

Political defections and accusations of divided loyalties revive suspicions of betrayal as rival camps position themselves ahead of the 2027 General Election

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania’s 25-year roadmap to financially sustainable public entities

DAR ES SALAAM: For decades, government support has helped sustain public institutions responsible for delivering essential services, building infrastructure and…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

PPRA:ZABUNI ZENYE THAMANI YA SHILINGI TRILIONI 42.6 ZIMETOLEWA KUPITIA NeST

Na Said Mwishehe,Michuzi TV MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema zabuni 430,643 zenye thamani ya Sh.trilioni 42.6 zimetolewa kupitia Mfumo wa Ununuzi wa Umma kwa Njia ya Kielektroniki (NeST). Hayo yamesemwa leo Oktoba 29,2026 na Mkurugenzi Mkuu wa PPRA, Dennis Simba, alipokuwa akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu mafanikio ya mfumo huo ulioanza kutumika rasmi Septemba 2023 kusimamia na kurahisisha michakato ya ununuzi wa umma nchini. Amesema asilimia 70 ya bajeti yote ya Serikali hutumika kupitia ununuzi wa umma, hivyo matumizi sahihi ya mfumo huo yana umuhimu mkubwa katika kuhakikisha fedha zinazotengwa kwa miradi na huduma za umma zinatumika kwa ufanisi na kuleta thamani halisi kwa fedha. Amefafanua matumizi ya NeST yamechangia kuongezeka kwa uzingatiaji wa sheria za ununuzi wa umma kutoka asilimia 65 mwaka wa fedha 2023/24 hadi asilimia 76 mwaka 2024/25, kabla ya kufikia asilimia 79 mwaka 2025/26. Simba amesema mfumo huo pia umewezesha kuzuia uchapishaji wa zaidi ya kurasa milioni 288.57 za nyaraka za zabuni, hatua iliyosaidia kuokoa takribani Shilingi bilioni 27.64 pamoja na kupunguza gharama na muda wa wazabuni kushiriki zabuni kwa kuondoa ulazima wa kusafiri kuwasilisha nyaraka katika taasisi husika. Akizungumza kuhusu kuimarisha usalama wa michakato hiyo, amesema NeST sasa imeunganishwa na mifumo zaidi ya 30, ikiwemo ya benki, malipo, hifadhi za jamii na leseni.”Hatua hiyo imesaidia kurahisisha uhakiki wa nyaraka na kupunguza uwezekano wa matumizi ya nyaraka za kughushi.” Pia mfumo huo umeunganishwa na Benki ya NMB kwa ajili ya uhakiki wa dhamana za zabuni, huku benki za TCB na CRDB zikiwa katika hatua za mwisho za kuunganishwa. Kupitia Bank Security Portal iliyoanza kutumika Oktoba Mosi mwaka huu, zaidi ya benki 36 zimeunganishwa ili kuwezesha utoaji na uhakiki wa dhamana hizo. Katika kukuza ushiriki wa wazawa, Mkuu Mkuu huyo wa PPRA amesema Sheria ya Ununuzi wa Umma inaweka upendeleo kwa wazabuni wa ndani, ambapo zabuni zenye thamani isiyozidi Sh.bilioni 50 zimetengwa kwa wazawa pekee. “Wazabuni wa ndani wanaweza kupata upendeleo wa hadi asilimia 10 katika zabuni zinazohusisha ushindani wa kimataifa, huku bidhaa za ndani zikipata upendeleo wa hadi asilimia 15 dhidi ya bidhaa kutoka nje.” Ameongeza sheria hiyo pia inaelekeza taasisi za umma kutenga asilimia 30 ya bajeti zao za ununuzi kwa makundi maalumu, yakiwemo vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu, ili kuongeza ushiriki wao katika fursa za kiuchumi zinazotokana na matumizi ya fedha za umma. Akieleza zaidi Simba amesema hadi sasa makundi maalumu 33,659 yamesajiliwa kwenye NeST, yakiwemo vikundi vya vijana 16,133, wanawake 16,070, wazee 767 na watu wenye ulemavu 689. “Makundi hayo yamepata zabuni zenye thamani ya jumla ya Shilingi bilioni 82.34 kupitia mfumo huo,” alisema Simba Ameongeza vijana wamepata zabuni zenye thamani ya Shilingi bilioni 44.74, wanawake Shilingi bilioni 33.15, wazee Shilingi bilioni 3.78 na watu wenye ulemavu Shilingi milioni 680.21. “PPRA inalenga kuongeza idadi ya makundi maalumu yaliyo tayari kushiriki zabuni hadi 300,000, kwa kuzingatia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,” amesema Simba na kuongeza vikundi hivyo vinaweza kupata zabuni moja yenye thamani ya hadi Sh.milioni 500. Amefafanua  mpango huo unalenga kupanua fursa za kazi na ajira kwa Watanzania wasiokuwa na uwezo wa kuanzisha kampuni binafsi huku akieleza katika kurahisisha upatikanaji wa fursa hizo, PPRA imeanzisha programu ya simu ya NeST Tenderer inayopatikana kupitia Play Store na App Store. “Mtumiaji anaweza kujisajili kwenye mfumo, kuomba zabuni na kufuatilia malipo yake kupitia simu janja bila kulazimika kufika ofisini.NeST imeendelea kutambuliwa kimataifa. “Tumepata tuzo ya mfumo bora wa ununuzi wa umma barani Afrika mwaka 2024 na kutambuliwa mwaka huu miongoni mwa mifumo 20 bora ya Serikali mtandao duniani katika tuzo za WSIS. Pia, Septemba 21, 2026, ilichaguliwa miongoni mwa mifumo 15 bora ya Serikali ya kidijitali duniani katika tuzo za Digital@UNGA2026.” Mwisho

Fri, 30 Oct 2026 07:43:52 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

PPRA:ZABUNI ZENYE THAMANI YA SHILINGI TRILIONI 42.6 ZIMETOLEWA KUPITIA NeST

-Yaeleza jinsi mfumo wa kidijitali ulivyoookoa bilioni 27.64/-, wafungua fursa kwa vijana Na Said Mwishehe,Michuzi TV MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema zabuni 430,643 zenye thamani ya Sh.trilioni 42.6 zimetolewa kupitia Mfumo wa Ununuzi wa Umma kwa Njia ya Kielektroniki (NeST). Hayo yamesemwa leo Oktoba 29,2026 na Mkurugenzi Mkuu wa PPRA, Dennis Simba, alipokuwa akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu mafanikio ya mfumo huo ulioanza kutumika rasmi Septemba 2023 kusimamia na kurahisisha michakato ya ununuzi wa umma nchini. Amesema asilimia 70 ya bajeti yote ya Serikali hutumika kupitia ununuzi wa umma, hivyo matumizi sahihi ya mfumo huo yana umuhimu mkubwa katika kuhakikisha fedha zinazotengwa kwa miradi na huduma za umma zinatumika kwa ufanisi na kuleta thamani halisi kwa fedha. Amefafanua matumizi ya NeST yamechangia kuongezeka kwa uzingatiaji wa sheria za ununuzi wa umma kutoka asilimia 65 mwaka wa fedha 2023/24 hadi asilimia 76 mwaka 2024/25, kabla ya kufikia asilimia 79 mwaka 2025/26. Simba amesema mfumo huo pia umewezesha kuzuia uchapishaji wa zaidi ya kurasa milioni 288.57 za nyaraka za zabuni, hatua iliyosaidia kuokoa takribani Shilingi bilioni 27.64 pamoja na kupunguza gharama na muda wa wazabuni kushiriki zabuni kwa kuondoa ulazima wa kusafiri kuwasilisha nyaraka katika taasisi husika. Akizungumza kuhusu kuimarisha usalama wa michakato hiyo, amesema NeST sasa imeunganishwa na mifumo zaidi ya 30, ikiwemo ya benki, malipo, hifadhi za jamii na leseni.”Hatua hiyo imesaidia kurahisisha uhakiki wa nyaraka na kupunguza uwezekano wa matumizi ya nyaraka za kughushi.” Pia mfumo huo umeunganishwa na Benki ya NMB kwa ajili ya uhakiki wa dhamana za zabuni, huku benki za TCB na CRDB zikiwa katika hatua za mwisho za kuunganishwa. Kupitia Bank Security Portal iliyoanza kutumika Oktoba Mosi mwaka huu, zaidi ya benki 36 zimeunganishwa ili kuwezesha utoaji na uhakiki wa dhamana hizo. Katika kukuza ushiriki wa wazawa, Mkuu Mkuu huyo wa PPRA amesema Sheria ya Ununuzi wa Umma inaweka upendeleo kwa wazabuni wa ndani, ambapo zabuni zenye thamani isiyozidi Sh.bilioni 50 zimetengwa kwa wazawa pekee. “Wazabuni wa ndani wanaweza kupata upendeleo wa hadi asilimia 10 katika zabuni zinazohusisha ushindani wa kimataifa, huku bidhaa za ndani zikipata upendeleo wa hadi asilimia 15 dhidi ya bidhaa kutoka nje.” Ameongeza sheria hiyo pia inaelekeza taasisi za umma kutenga asilimia 30 ya bajeti zao za ununuzi kwa makundi maalumu, yakiwemo vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu, ili kuongeza ushiriki wao katika fursa za kiuchumi zinazotokana na matumizi ya fedha za umma. Akieleza zaidi Simba amesema hadi sasa makundi maalumu 33,659 yamesajiliwa kwenye NeST, yakiwemo vikundi vya vijana 16,133, wanawake 16,070, wazee 767 na watu wenye ulemavu 689. “Makundi hayo yamepata zabuni zenye thamani ya jumla ya Shilingi bilioni 82.34 kupitia mfumo huo,” alisema Simba Ameongeza vijana wamepata zabuni zenye thamani ya Shilingi bilioni 44.74, wanawake Shilingi bilioni 33.15, wazee Shilingi bilioni 3.78 na watu wenye ulemavu Shilingi milioni 680.21. “PPRA inalenga kuongeza idadi ya makundi maalumu yaliyo tayari kushiriki zabuni hadi 300,000, kwa kuzingatia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,” amesema Simba na kuongeza vikundi hivyo vinaweza kupata zabuni moja yenye thamani ya hadi Sh.milioni 500. Amefafanua mpango huo unalenga kupanua fursa za kazi na ajira kwa Watanzania wasiokuwa na uwezo wa kuanzisha kampuni binafsi huku akieleza katika kurahisisha upatikanaji wa fursa hizo, PPRA imeanzisha programu ya simu ya NeST Tenderer inayopatikana kupitia Play Store na App Store. “Mtumiaji anaweza kujisajili kwenye mfumo, kuomba zabuni na kufuatilia malipo yake kupitia simu janja bila kulazimika kufika ofisini.NeST imeendelea kutambuliwa kimataifa. “Tumepata tuzo ya mfumo bora wa ununuzi wa umma barani Afrika mwaka 2024 na kutambuliwa mwaka huu miongoni mwa mifumo 20 bora ya Serikali mtandao duniani katika tuzo za WSIS. Pia, Septemba 21, 2026, ilichaguliwa miongoni mwa mifumo 15 bora ya Serikali ya kidijitali duniani katika tuzo za Digital@UNGA2026.”

Fri, 30 Oct 2026 07:46:23 +0000
Uncategorized · PML Daily

MPs urge EAC partner states to sign and ratify ICT network protocol

Parliament's Committee on Foreign Affairs has called on Uganda's representatives in the East African Legislative Assembly (EALA) to push East African Community (EAC) partner states that have not yet signed and...

Recently
Business · Issa Michuzi

BOT, TAREWU ZAKUBALIANA KUWANOA WANACHAMA 7,000 WA MAPATO NCHINI

BENKI Kuu ya Tanzania (BOT), kupitia chuo chake kilichopo Mwanza, imeingia makubaliano ya miaka mitano na Chama cha Wafanyakazi Wakusanya Mapato Tanzania (TAREWU) kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha na uwekezaji kwa wanachama zaidi ya 7,000 wa chama hicho kote nchini. Makubaliano hayo yanalenga kuwawezesha wanachama kusimamia vizuri mapato na vipato vyao, kutunza fedha, kufanya maamuzi ya uwekezaji yanayotokana na taarifa sahihi na kutumia fursa za uwekezaji kuongeza thamani ya mitaji yao. Akizungumza baada ya kusainiwa kwa makubaliano hayo, Gavana wa BOT, Emmanuel Tutuba, alisema ushirikiano huo utawezesha Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania kilichopo Mwanza kutoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Alisema chuo hicho kina wataalamu wenye ujuzi katika masuala ya elimu ya fedha na kitatoa mafunzo kulingana na utaratibu utakaowekwa kwa kushirikiana na TAREWU. Tutuba alisema wataalamu wa chuo hicho watakuwa tayari kuwafuata watumishi katika maeneo yao ya kazi au sehemu watakazokutana kwa ajili ya mafunzo, ili kuhakikisha wanapata maarifa yatakayowasaidia kuboresha usimamizi wa fedha zao. Alisema kupata kipato kikubwa pekee hakumaanishi kuwa mtu atakuwa na maisha bora ikiwa hana elimu ya kukitunza na kukitumia kwa tija. “Lengo zaidi ni kuhakikisha kwamba kila Mtanzania ananufaika na elimu ya fedha, na kwa namna tulivyojipanga kupitia Chuo cha BOT hapa Mwanza ni kwamba elimu hii itawafikia watu mbalimbali,” alisema. Aliongeza kuwa ushirikiano huo ni sehemu ya juhudi za kueneza elimu ya fedha kwa makundi mbalimbali ya jamii, huku akieleza kuwa mikataba inayosainiwa na wadau wa ndani na nje inaonesha imani waliyonayo kwa BOT na chuo chake kutokana na uwezo wake wa kutoa mafunzo katika eneo hilo. Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa TAREWU, Dk.Michael Marere, alisema makubaliano hayo yanaendana na Mpango Mkakati wa pili wa chama hicho wa mwaka 2026 hadi 2030, unaolenga kuhakikisha wanachama wote wanapata elimu ya fedha bila kumuacha mtu nyuma. Marere alisema moja ya changamoto wanazotaka kuzitatua kupitia ushirikiano huo ni namna wanachama wanavyoweza kutumia mapato na vipato vyao kuanzisha uwekezaji unaozalisha na kukuza mitaji yao. Alisema chama hicho kinaamini kipato kinachopatikana kutokana na jasho la mfanyakazi ni kama mbegu inayopaswa kuwekezwa katika eneo sahihi ili kuleta matokeo yanayotarajiwa. “Katika kuhakikisha wanachama wetu wanapanda mbegu hiyo sehemu sahihi, tumeona ni muhimu tuungane na BOT kupitia chuo chao hiki kuhakikisha kwamba wanachama wetu wanaweka kipato chao sehemu stahiki na wanapata rejesho stahiki kwa uwekezaji wao,” alisema. Alieleza kuwa licha ya wanachama hao kufanya kazi katika sekta ya ukusanyaji wa mapato, bado wanahitaji elimu itakayowawezesha kuwa na nidhamu ya fedha katika maisha yao binafsi, ikiwamo kujua namna ya kupata, kutunza na kuwekeza fedha. Marere alisema kupitia makubaliano hayo, wanachama zaidi ya 7,000 watapata fursa ya kujifunza namna ya kufanya maamuzi sahihi ya kifedha kwa kutumia taarifa zinazotegemewa, badala ya kuhatarisha fedha walizozipata kwa juhudi zao katika uwekezaji usio na uelewa wa kutosha. Alisema mafunzo hayo pia yatawasaidia kutambua maeneo yanayofaa kwa uwekezaji, kuongeza thamani ya fedha zao na kuelewa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji na maeneo mengine ya kiuchumi. Akizungumzia mchango wa uwekezaji katika maendeleo ya taifa, Marere alisema TAREWU inatambua kuwa kufikiwa kwa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050, inayolenga kujenga uchumi wa dola trilioni moja, kunahitaji mchango wa Serikali pamoja na wananchi kupitia shughuli mbalimbali za kiuchumi na uwekezaji. Alisema watumishi wanaofanya kazi katika sekta ya mapato nao ni sehemu ya wachangiaji wa pato la Serikali, hivyo wanapaswa kuwa na uwezo wa kusimamia vizuri vipato vyao na kutumia fursa za uwekezaji kwa manufaa yao na taifa. Aliongeza kuwa manufaa ya elimu hiyo yataenea zaidi ya wanachama wenyewe, kwa kuwa wana familia, wenza na wategemezi ambao pia watanufaika na mabadiliko ya namna wanavyosimamia fedha zao. Marere alisema kupitia elimu hiyo, chama kinatarajia kuwawezesha wanachama kuboresha maisha yao, kuimarisha ustawi wa familia zao na kuchangia maendeleo ya jamii kwa ujumla. Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi Wakusanya Mapato Tanzania (TAREWU), Dk. Michael Marere (kushoto) na  Mkuu wa Chuo cha BoT Mwanza, Dk. Nicas Yabu (kulia), wakitiliana saini hati ya makubaliano (MoU), makubaliano onyesha nyaraka jijini Mwanza jana, baada ya kusaini ambapo chuo hicho kitawajengea uwezo wanachama wa chama hicho katika elimu ya fedha na ustawi wa kifedha.

Fri, 30 Oct 2026 07:38:10 +0000

Page 537 of 1170 · 23383 stories