Unganishwa

Search the region

23383 stories

Uncategorized · Daily News

Four clubs, one mission: Tanzania must raise bar

DAR ES SALAAM: SIMBA, Yanga, Azam and Singida Black Stars, now that you know your respective CAF inter-club group-stage opponents,…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

RAIS SAMIA NA RAIS WA ANGOLA WATUMIA USAFIRI WA SGR KUELEKEA DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa ameambatana na mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Angola, João Manuel Gonçalves Lourenço, wameanza safari ya kuelekea jijini Dodoma kwa kutumia treni ya SGR. Viongozi hao wameondoka katika Stesheni ya Magufuli jijini Dar es Salaam, kuelekea Dodoma kushiriki hafla ya uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba pamoja na barabara za lami, leo Oktoba 30, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mgeni wake Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola wakiwa katika Stesheni ya Magufuli tayari kwa safari ya kuelekea Jijini Dodoma kwa ajili ya uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba pamoja na barabara za lami, tarehe 30 Oktoba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa ndani ya Treni ya SGR pamoja na mgeni wake Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola Treni ya SGR wakati wakielekea Jijini Dodoma kwa ajili ya uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba pamoja na barabara za lami, tarehe 30

Fri, 30 Oct 2026 07:33:16 +0000
Uncategorized · Mwananchi

Latra yatangaza maboresho njia moja za daladala Dar, Pwani

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza maboresho ya baadhi ya njia za daladala na kuanzisha njia mpya katika Jiji la Dar es Salaam na Manispaa ya Kibaha, Mkoa wa Pwani, ikiwa ni...

Recently
Business · PML Daily

Museveni woos Egyptian investors

President Yoweri Kaguta Museveni has implored Egyptian investors to invest in Uganda’s economy, particularly in infrastructure development and value addition. The President made the appeal today while meeting the investo

Recently
Uncategorized · The Citizen

Digital shift boosts access to Sh42.6 trillion tender market

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

Read article: MICHAEL JJINGO: The Netflix case; cannibalise your products before the market does

Read the full report from the original source.

Recently
Business · PML Daily

Museveni woos Egyptian investors

President Yoweri Kaguta Museveni has implored Egyptian investors to invest in Uganda’s economy, particularly in infrastructure development and value addition. The President made the appeal today while meeting the investo

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Ugandan Veterinarian Dr Gladys Kalema-Zikusoka Named Among Top 5 CNN Heroes of 2026

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

CHIMP SPORT: Victoria Pearls Name Squad for 2026 Victoria Series

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

African Union targets digital independence with native AI initiative

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Sifuna set for unveiling of Linda Mwananchi secretariat

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Nairobi County lists 116 motorcycles facing possible auction

Owners have been given 14 days to identify and collect their property, failure to which the items risk being sold at a public auction

Recently
Uncategorized · Daily News

‘Make information of development projects public’

MWANZA: LOCAL government authorities have been urged to publicly disclose information about development projects to enable citizens to monitor public…

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Latra yatangaza maboresho njia moya za daladala Dar, Pwani

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza maboresho ya baadhi ya njia za daladala na kuanzisha njia mpya katika Jiji la Dar es Salaam na Manispaa ya Kibaha, Mkoa wa Pwani, ikiwa ni...

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Raia wa Poland na mkewe waliofungwa kwa bangi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

What new financial literacy rules mean for students

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Germany news: Merz in Asia warns against weaponizing trade

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

DC calls for preservation of community languages

MWANZA: UKEREWE District Commissioner Christopher Ngubiagai has called on researchers, scholars and cultural stakeholders to strengthen efforts to preserve community…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

LONDO AZINDUA MFUMO WA AMLINE KURAHISISHA UPATIKANAJI WA AJIRA NCHINI

📌 Mfumo huo unatumia Akili Mnemba kurahisisha upatikanaji wa takwimu na kumbukumbu 📌 Asema Dira  2050 inatoa malengo ya kurasimisha ajira zisizo rasmi kuwa rasmi hususani kwa vijana. Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Dennis Lazaro Londo (Mb), amezindua rasmi mfumo wa ajira kidijitali wa ujulikanao kama AMLine Workers Portal unaotumia teknolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence – AI) kuunganisha watu wanaotafuta ajira na waajiri. Mhe.Londo amesema,Teknolojia hii  ni sehemu ya juhudi za kutumia teknolojia kurahisisha upatikanaji wa fursa za ajira nchini kwa kampuni ya AMLine unaolenga  kuwaunganisha watafuta kazi na waajiri kupitia jukwaa moja la kidijitali, ambapo wanaotafuta ajira wanaweza kusajili taarifa zao za kitaaluma, ujuzi na uzoefu, huku waajiri wakitumia mfumo huo kutafuta wafanyakazi wenye sifa zinazokidhi mahitaji yao. Kupitia mfumo huo, mwajiri anaweza kusimamia mahudhurio ya wafanyakazi, upangaji wa kazi na malipo, pamoja na taarifa zinazohusu michango ya kisheria. Aliongeza kuwa  mfumo huo unalenga kupunguza muda na gharama za kuajiri, kurahisisha usimamizi wa wafanyakazi na kuongeza uwazi katika taratibu za ajira. Aidha, mfumo huo unalenga kusaidia kurasimisha ajira zisizo rasmi, ikiwemo kazi za muda, kwa kuwezesha utunzaji wa kumbukumbu za kazi na taarifa za wafanyakazi na pia unalenga kuboresha upatikanaji wa takwimu za nguvu kazi zinazoweza kusaidia katika upangaji wa mipango ya maendeleo na kurahisisha usimamizi wa masuala ya ajira Uzinduzi wa mfumo huu unaonesha nafasi ya teknolojia katika kuunganisha nguvu kazi na mahitaji ya soko la ajira, sambamba na Dira 2050 na  ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ukiwa muhimu katika kupanua fursa za kiuchumi kwa Watanzania, hususan vijana wanaoingia katika soko la ajira.

Fri, 30 Oct 2026 07:19:26 +0000
Uncategorized · Mwananchi

Maziwa yanavyotumika kukata pombe baa

Huenda siku za hivi karibuni, ukiingia katika baa umekuwa ukikutana na dumu la maziwa na kujiuliza linafanya nini humo.

Recently

Page 538 of 1170 · 23383 stories