Unganishwa

Search the region

23375 stories

Uncategorized · Chimpreports

Exclusive: Museveni Signals Readiness to Step Down in 2031, Explains Why Muhoozi Should Succeed Him

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MWANRI: MAJENGO YA KISASA MTUMBA YAENDANE NA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Na Janeth Raphael – MichuziTV Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Ndugu Agrey Mwanri, amewataka watumishi wa Serikali wanaofanya kazi katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, kuhakikisha uwekezaji katika majengo na miundombinu ya kisasa unaendana na utoaji wa huduma bora, zenye ufanisi na zinazokidhi mahitaji ya wananchi. Mwanri ametoa wito huo leo, Oktoba 29, 2026, wakati wa ziara ya kutembelea baadhi ya majengo ya wizara na taasisi za Serikali zilizopo Mtumba, akisisitiza kuwa majengo ya kisasa pekee hayatoshi bila uwajibikaji na utendaji bora wa watumishi. Amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali katika miundombinu hiyo unapaswa kuonekana kupitia huduma zinazotolewa kwa wananchi, hivyo kuwataka watumishi kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uadilifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma. Aidha, amesisitiza kuwa wananchi wanapaswa kupewa kipaumbele kwa kusikilizwa, kuhudumiwa kwa heshima na kupata huduma kwa wakati, kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizowekwa. Ameeleza kuwa mazingira bora ya kufanyia kazi yanapaswa kuwa chachu ya kuongeza tija na ufanisi katika utendaji wa Serikali, badala ya kuishia katika mwonekano mzuri wa majengo na miundombinu pekee. Ziara hiyo ni sehemu ya kutembelea majengo ya wizara na taasisi za Serikali zilizopo Mji wa Serikali Mtumba, huku msisitizo ukiwa ni kuhakikisha uwekezaji katika miundombinu unaambatana na huduma bora zinazogusa maisha ya wananchi. Mji wa Serikali Mtumba ni eneo lililotengwa kwa ajili ya makao ya wizara na taasisi mbalimbali za Serikali, kwa lengo la kuboresha mazingira ya utendaji kazi na kurahisisha uratibu wa shughuli za Serikali.

Thu, 29 Oct 2026 15:59:18 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU APIGIA CHAPUO NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA

* Asema ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wanaoshiriki Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali walipe kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito. Ametoa wito huo leo (Alhamisi, Oktoba 29, 2026), wakati akitoa hotuba kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kikao kilichofanyika Ikulu ya Kremlin, jijini Moscow, Urusi. Waziri Mkuu amewaeleza wakuu wa nchi waliohudhuria mkutano huo kwamba suala hilo linapaswa kupewa kipaumbele muhimu kwa sababu Rais Samia Suluhu Hassan amejitolea kutetea jambo hilo katika bara lote la Afrika. “Hii ni sababu muhimu ambayo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amejitolea kutetea katika bara lote la Afrika. Tukiamua kushughulikia changamoto hii siyo tu tutakuwa tunakidhi hitaji la mazingira; bali ni kipaumbele muhimu cha maendeleo ambacho kinaokoa maisha ya mamilioni ya watu, kinawezesha na kukomboa wakati ambao unatumiwa na wanawake, na zaidi ya yote tutakuwa tunalinda mifumo yetu ya ikolojia ya misitu isiyoweza kuundwa upya pindi ikiharibiwa,” amesema. Ametumia fursa hiyo kuwakumbusha viongozi hao kuhusu Azimio la Nishati la Dar es Salaam la mwaka 2025 ambalo lilikuja na mpango kabambe unaolenga kutoa umeme wa kuaminika kwa Waafrika milioni 300 ifikapo 2030. “Ili kufikia malengo haya ya kikanda, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakaribisha kwa dhati ushirikiano wa kimkakati katika matumizi ya amani ya nishati ya nyuklia, ikitumia utaalam wa Urusi unaotambulika duniani kote katika teknolojia ya hali ya juu ya nishati.”

Thu, 29 Oct 2026 16:31:34 +0000
Uncategorized · DW Afrique

Féminicides au Cameroun : avocats et ONG réclament une loi spécifique

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Tenue du conseil des ministres avec douze points à l’ordre du jour

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Man nabbed after wife’s body exhumed from shallow grave

DCI said a farmhand allegedly told investigators that his employer had killed the woman before instructing him to help bury her body.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Ugandan Veterinarian Gladys Kalema-Zikusoka Named Among Top 5 CNN Heroes of 2026

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Safaricom dismisses 118 staff for fraud, four times the 2021 level

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Amerika yahamije icyaha umunyarwanda umaze imyaka myinshi ahisha uruhare rwe muri Jenoside

Eric Nshimiye yashinjwe kubeshya inteko y'abacamanza kugira ngo yikingire ndetse anakingire mugenziwe wagize uruhare muri jenoside.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Uganda, IACO Push for Greater African Control of Coffee Value Chain

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

“It has to touch the lives of people”: the Gates Foundation’s challenge to Africa’s AI builders

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Iwacu

Serap Güler : « L’Allemagne soutient une paix régionale inclusive et durable »

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Museveni, EU Envoy Discuss Peace and Security in Great Lakes Region

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Rais Dk Mwinyi apendekeza ushirikiano wa karibu kati ya Zanzibar na JEJU, Korea Kusini

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Jiji la Arusha lachunguza kifo cha mgonjwa Kaloleni

Halmashauri ya Jiji la Arusha imeunda timu maalumu ya kuchunguza tuhuma za uzembe wa wahudumu wa afya katika Hospitali ya Kaloleni, zinazohusishwa na kifo cha Esther Mrema, mkazi wa Njiro jijini...

Recently
National · Mwananchi

Serikali kupiga marufuku pipi kwenye mikutano

Serikali imeagiza kuanzishwa kwa benki za mazao ya asili katika kila Mkoa nchini, huku ikipiga marufuku matumizi ya pipi katika maeneo yasiyo ya lazima ikiwemo kumbi za mikutano, sherehe na...

Recently
Sports · Azam TV Videos

Highlights | TRA United 1-1 Geita Gold | NBC Premier League | 29/10/2026

#NBCPL Magoli yote haya hapa...! FT: TRA United 1-1 Geita Gold Inafuata Namungo vs Polisi Tanzania saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD & #AzamSports2HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #ImenogaZaidi #FountainGateFCVSSimbaSC #TRAUnitedVSGeitaGold

2026-10-29T16:01:34+00:00
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Les chargés de la communication en formation pour valoriser les réalisations locales

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Governors raise alarm over delayed Ksh.8.9 billion health funding

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

PROF. MKUMBO: MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA YAKAMILIKA

NA Janeth Raphael - MichuziTv Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema maandalizi ya hafla ya uzinduzi wa majengo ya ofisi za wizara na taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, yamekamilika. Profesa Mkumbo ameyazungumza hayo leo katoka uwanja wa mashujaa Mtumba leo ambapo amesema maandalizi hayo yamekamilika huku shughuli za uzinduzi zikitarajiwa kuanza rasmi usiku wa leo, Oktoba 29, 2026, kwa matukio mbalimbali yatakayoashiria kuanza kwa hafla hiyo muhimu katika historia ya maendeleo ya nchi. Ameeleza kuwa miongoni mwa shughuli zitakazofanyika usiku wa leo ni upigaji wa fataki, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha hatua hiyo ya maendeleo na kuandaa mazingira ya shughuli kuu za uzinduzi zinazotarajiwa kufanyika kesho. Kwa mujibu wa Profesa Mkumbo, shughuli za kesho zitahusisha matukio makuu matatu, yakianza na uzinduzi wa barabara za lami zinazounganisha maeneo mbalimbali ndani ya Mji wa Serikali Mtumba, hatua inayolenga kuimarisha miundombinu ya usafiri na kurahisisha shughuli za kiutendaji katika eneo hilo. Tukio la pili litakuwa uzinduzi wa jengo la Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, litakalowakilisha majengo mengine ya ofisi za wizara na taasisi za Serikali yaliyojengwa katika Mji wa Serikali. Tukio la tatu litakuwa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Watanzania. Hotuba hiyo inatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya hafla hiyo, itakayoweka alama katika hatua za kuimarisha mazingira ya utendaji wa Serikali kupitia miundombinu ya kisasa ya kiutawala. Aidha, Profesa Mkumbo amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Dodoma kujitokeza kwa wingi kushiriki hafla hiyo, akisisitiza umuhimu wa Mji wa Serikali Mtumba kama alama ya maendeleo ya nchi. Uzinduzi huo unaashiria hatua muhimu katika uwekezaji wa Serikali kwenye miundombinu ya ofisi na barabara, kwa lengo la kuweka mazingira bora ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali.

Thu, 29 Oct 2026 16:01:33 +0000

Page 548 of 1169 · 23375 stories