Unganishwa

Search the region

23367 stories

Uncategorized · The Star Kenya

Court: Ruto can't reserve affordable houses for teachers, police

The judge held that although the President has constitutional powers to direct government functions, they dont extend to changing parliament legislation

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MINI LED KWENYE BOKSI HAITOSHI: MAMBO MATATU YA KUANGALIA KABLA YA KUNUNUA TV

Unapoingia dukani kununua televisheni, jina “Mini LED” linaweza kukuvutia kwa ahadi ya picha bora. Lakini televisheni mbili zenye jina hilo zinaweza kuonyesha picha tofauti. Kinacholeta tofauti ni namna taa zake zilivyopangwa na jinsi mwanga unavyodhibitiwa. Mini LED hutumia taa ndogo sana kuangaza paneli ya televisheni. Udogo wake huwezesha kuweka taa nyingi nyuma ya skrini na kuzigawa katika maeneo yanayoweza kudhibitiwa kwa kujitegemea. Mfumo huo ukitekelezwa vizuri, sehemu nyeusi za picha zinaweza kuonekana nyeusi zaidi huku sehemu angavu zikionekana vizuri na kwa undani. Kwa mnunuzi, kuna mambo matatu ya kuuliza. Kwanza, televisheni ina hardware local dimming? Huu ni uwezo wa kupunguza au kuongeza mwanga wa makundi ya taa katika maeneo tofauti nyuma ya skrini. Ni tofauti na kutegemea programu kuchakata picha bila udhibiti huru wa maeneo hayo. Pili, ina dimming zones ngapi? Haya ni maeneo ya mwanga yanayodhibitiwa kwa kujitegemea. Katika mazingira yanayolingana, maeneo mengi zaidi yanawezesha udhibiti wa mwanga ulio wa kina zaidi. Hata hivyo, idadi hiyo inapaswa kuangaliwa pamoja na namna mfumo mzima unavyofanya kazi. Tatu, taa zimepangwaje? Full Array Local Dimming, au FALD, husambaza taa nyuma ya paneli na kudhibiti mwanga kwa maeneo. Kwa mujibu wa TCL, mfumo wa FALD ni msingi wa televisheni zake za Mini LED. Kampuni hiyo inawahimiza wanunuzi kuuliza kuhusu udhibiti wa mwanga, idadi ya maeneo na mpangilio wa taa wanapolinganisha bidhaa za chapa yoyote. Kabla ya kufanya uamuzi, soma zaidi ya jina kwenye boksi. Uliza kuhusu teknolojiainayotengeneza picha utakayoangalia nyumbani. 2. Mwezi mweupe, anga jeusi: Tofauti ya Mini LED

Thu, 29 Oct 2026 09:30:00 +0000
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Le bétail errant considéré comme sans propriété

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

“It has to touch the lives of people”: the Gates Foundation’s challenge to Africa’s AI builders

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Duale hands over newly equipped wards at KNH

Duale said the government remained committed to positioning KNH as a centre of specialised treatment, medical innovation, research and training.

Recently
Health · HabariLeo

Sagini apongeza hospitali Mbeya kwa ubunifu

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Six kiosques avec des marchandises partis en fumée au centre Rubona, en commune Mugina

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Tinubu to 'pray for Nigeria' during Saudia trip

The visit would provide Tinubu with an opportunity for "spiritual reflection, devotion and prayers for Nigeria's peace, unity, stability and continued progress"

Recently
Business · HabariLeo

Kilimo chachangia mapato ya serikali Kigoma

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Azam TV Videos

Pamba Jiji 0-1 Singida BS | Highlights | NBC Premier League | 29/10/2026

Azam TV

2026-10-29T13:38:41+00:00
Uncategorized · Citizen Digital

Eight suspected gang members arrested in Kasarani

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Motorist ordered to pay Sh1.1m for damaged Nairobi Expressway barriers

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Kenya shuts avocado exports by sea

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Backing for UN call to end Cuba embargo falls to 20-year low

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

PSC: Beware of fake appointment letters

The letters, which falsely claim to communicate appointments made by PSC, contain forged signatures, fake reference numbers and counterfeit stamps.

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Un délai de trois mois accordé aux habitants pour contribuer à l’aménagement des routes

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Capital FM, Kenya Airways ink deal covering travel, lifestyle and sustainability

Latest · Aviation

Recently
Uncategorized · Daily News

TAWLA backs Tanzania’s newly launched framework to promote healthier food choices

DODOMA: THE Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) has reaffirmed its commitment to supporting stronger nutrition policies and legal safeguards to…

Recently
Technology · UBC

Building Trust in Financial Governance: FIA earns ISO Cybersecurity Standard and Unveils Client Charter

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

DC MWAKIBETE ATAKA TARURA KILOLO KUFANYIA KAZI MAAGIZO YA TAHADHARI YA EL NINO

Na Matukio Daima Media, Kilolo MKUU wa Wilaya ya Kilolo, Fredy Atupele Mwakibete, amefanya ziara ya kushtukiza katika Daraja la Isoliwaya–Igunga, lililopo Kata ya Ilula, Tarafa ya Mazombe, kwa lengo la kukagua utekelezaji wa agizo alilolitoa kwa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilolo, la kuondoa mchanga ulioziba daraja hilo. Katika ziara hiyo, Mwakibete aliyeambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya, alieleza kutoridhishwa na hali aliyokuta katika eneo hilo, akisema kuwa licha ya kutoa agizo kwa TARURA kuharakisha kazi ya kuondoa mchanga ulioziba daraja hilo, hakukuwa na shughuli yoyote iliyokuwa ikiendelea wakati wa ukaguzi huo. Mkuu huyo wa wilaya alisema alikuwa ameelekeza TARURA kuanza kazi hiyo Oktoba 28, mwaka huu, kutokana na umuhimu wa daraja hilo kwa shughuli za kiuchumi na kijamii za wananchi wa Kata ya Ilula na maeneo yanayolizunguka. Kutokana na hali hiyo, Mwakibete alitoa agizo jipya kwa TARURA kuhakikisha kazi hiyo inaanza kabla ya Oktoba 30, 2026, akisisitiza kuwa hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kuondoa changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa msimu wa mvua. Alisema maandalizi ya kukagua maeneo hatarishi wakati wa mvua ni sehemu ya maelekezo yaliyotolewa na Makamu wa Rais, na kwamba Wilaya ya Kilolo tayari imebaini maeneo yanayoweza kuathiriwa na mvua na imeanza kuchukua hatua za kukabiliana na changamoto hizo. Alisisitiza kuwa ni muhimu kwa TARURA kutekeleza agizo hilo kwa wakati ili kuhakikisha wananchi wanaotumia daraja hilo hawaendelei kupata usumbufu, hasa mvua zitakapoanza kunyesha kwa wingi. Mwakibete alisema Serikali inaendelea kutekeleza majukumu yake kwa kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi, ikiwemo miundombinu ya barabara na madaraja, ili kurahisisha usafiri na usafirishaji wa bidhaa na huduma muhimu. Aliongeza kuwa hatua za kuimarisha miundombinu hiyo ni muhimu katika kulinda usalama wa wananchi na kuendeleza shughuli za kiuchumi, hususan maeneo ya vijijini ambako barabara na madaraja ni kiungo muhimu cha kufikia masoko, huduma za afya, shule na maeneo mengine ya uzalishaji. Kwa upande wao, baadhi ya wananchi wa Kata ya Ilula wamepongeza hatua ya Mkuu wa Wilaya ya Kilolo ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake kwa kutembelea eneo hilo na kujionea hali halisi ya daraja hilo. Wananchi hao walisema wamekuwa wakikabiliwa na changamoto katika daraja hilo kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano, hali ambayo imekuwa ikiwapa usumbufu katika shughuli zao za kila siku, hasa wanapotaka kusafiri na kusafirisha bidhaa zao. Wamesema wana matumaini kuwa agizo lililotolewa litatekelezwa kwa wakati ili kuondoa changamoto hiyo na kuwawezesha kuendelea na shughuli zao bila vikwazo vinavyoweza kusababishwa na hali ya daraja hilo. Wananchi hao pia wameitaka TARURA kuhakikisha inatekeleza maelekezo yaliyotolewa kwa haraka, ili eneo hilo liwe salama na liweze kupitika kwa urahisi wakati wote, hususan katika kipindi cha mvua. Ziara hiyo inaonesha umuhimu wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa maagizo ya Serikali kwa taasisi zinazohusika na miundombinu, ili kuhakikisha hatua zinazochukuliwa zinakwenda sambamba na mahitaji ya wananchi na kuzuia changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa msimu wa mvua.

Thu, 29 Oct 2026 13:39:05 +0000

Page 551 of 1169 · 23367 stories