Search the region
23365 stories
Tuju to politicians: Leave my children alone
He alleged that senior political figures had approached his children and asked them to persuade him to cooperate so that the case could be concluded.
RecentlyCHAGULA: WANAWAKE WASIKATE TAMAA KIBIASHARA
*Awatakaka kuongeza ubunifu Na Mwandishi Wetu WAJASIRIAMALI nchini, hususan wanawake, wametakiwa kuongeza juhudi na ubunifu katika shughuli zao za kiuchumi badala ya kukata tamaa na kulalamika wanapokutana na changamoto za kibiashara. Wito huo umetolewa na mfanyabiashara Olivia Chagula wakati akizungumza na kundi la wajasiriamali wanawake katika eneo la Madale, Dar es Salaam, kwa lengo la kuwatia moyo na kuwahamasisha kuendelea kujituma ili kuongeza kipato. Chagula, ambaye aliwahi kugombea nafasi ya Ubunge wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, alisema amedhamiria kuwafikia wanawake wengi katika maeneo mbalimbali ili kuwahamasisha kujitegemea kiuchumi kupitia shughuli za ujasiriamali. “Maono yangu ni kuwafikia akina mama wengi katika maeneo yetu, wilaya yetu na wilaya nyingine ili kuwapa moyo wa kuendelea kupambana katika shughuli zao za kiuchumi,” alisema Chagula. Aliongeza kuwa juhudi za wanawake katika kufanya kazi na kujishughulisha na shughuli za uzalishaji mali ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza uchumi na kuboresha maisha ya wananchi. Alisema ataendelea kutumia shughuli zake za kibiashara kuwahamasisha wanawake wajasiriamali kuongeza juhudi, kutafuta fursa mpya na kuimarisha biashara zao ili waweze kujipatia kipato na kuboresha maisha yao. Katika hatua nyingine, Chagula aliipongeza Serikali kwa kutoa tahadhari kuhusu uwezekano wa kunyesha kwa mvua kubwa za El Niño, akiwataka wananchi kuzingatia maelekezo yanayotolewa na mamlaka husika ili kujikinga na madhara yanayoweza kujitokeza. Alisisitiza umuhimu wa wananchi kufuatilia taarifa rasmi za hali ya hewa na kuchukua hatua za tahadhari kwa wakati.
Thu, 29 Oct 2026 13:10:23 +0000Billionaire Rai expands with Sh4.2 billion Nandi sugar factory
Read the full report from the original source.
RecentlyKimara amshukuru Rais Samia kwa msaada wa kisheria, aitaka timu kuhudumia wananchi kwa weledi
Read the full report from the original source.
RecentlyAfrica urged to boost domestic funding for food security as climate risks mount
Latest · Africa
RecentlyUlega : Samia Legal Aid ni mkombozi kwa wanyonge, asisitiza Mafia isiche nyuma
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania-Angola’s ties see a new dawn in Dar-Luanda directs flights
DAR ES SALAAM: Tanzania and Angola have agreed to strengthen transport and trade links by connecting their railway networks and…
RecentlyTanzania, Angola affirm commitment to regional peace and better healthcare
Read the full report from the original source.
RecentlyVW logs €5.86 billion Q3 operating loss on Porsche writedown
Read the full report from the original source.
RecentlyCMSA yataka tija mifuko ya uwekezaji mitaji na dhamana
Read the full report from the original source.
RecentlyGermany news: Merz says North Korea threatening Europe's freedom
Read the full report from the original source.
Recently#OutToLunch: Make cylinders of 1kg, 2kg if gas is to replace charcoal
By Denis Jjuuko On a trip to northern Uganda some…
RecentlyGen. Muhoozi Orders PLU Members to Stop Discussing President Museveni’s NRM CEC Paper
KAMPALA — Chief of Defence Forces Gen. Muhoozi Kainerugaba has directed members of the Patriotic League of Uganda (PLU) to stop discussing a paper recently presented by President Yoweri Museveni…
RecentlyMuhoozi orders psychiatric evaluation for any UPDF officer to be promoted to General, annual fitness checks for senior officers
KAMPALA — Chief of Defence Forces Gen. Muhoozi Kainerugaba has announced plans to introduce mandatory psychiatric evaluations for Uganda People’s Defence Forces (UPDF) officers before promotion to the rank of…
RecentlyTanzania, Angola move to strengthen trade through rail, air links
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Angola have agreed to strengthen trade and economic cooperation by improving transport connectivity, including linking…
RecentlyRuto to Russia: Invest in African factories, not just raw material exports
President Ruto has urged Russia to invest in African manufacturing, technology and skills, saying the continent must move beyond raw material exports to create jobs and boost industrial growth.
Thu, 29 Oct 2026 15:29:39 +0300Jubilee Mourns Nominated Taita Taveta MCA Margaret Kawuki
Latest · County News
RecentlyHeavy debris hampers Eastleigh rescue mission
Members of the public, particularly families waiting for news of their relatives, have been asked to remain patient as the delicate operation continues.
RecentlyFIA becomes Africa’s first financial intelligence unit to earn global data security certification
Uganda's Financial Intelligence Authority (FIA) has received an international certification for the way it protects sensitive financial information. Finance Minister Henry Musasizi said it is the first financial intellig
RecentlyWazazi watakiwa kulea watoto kwenye maadili mazuri
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 553 of 1169 · 23365 stories