Search the region
23363 stories
ULEGA AWAAGIZA WATAALAMU KUSAIDIA WANYONGE KUPATA HAKI
Na Victor Masangu, Pwani WAZIRI wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, amewaagiza wataalamu wanaoshiriki Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia awamu ya pili kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kuhakikisha wananchi wote wanapata haki bila ubaguzi, hususan wenye uwezo mdogo kiuchumi na makundi ya wanyonge. Ulega ametoa agizo hilo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia awamu ya pili katika Mkoa wa Pwani, uliofanyika katika viwanja vya stendi ya zamani ya Maili Moja, Wilaya ya Kibaha. Uzinduzi huo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM), wabunge, wawakilishi wa taasisi mbalimbali pamoja na wananchi. Amesema ni muhimu kwa wataalamu hao kuhakikisha wananchi wanapata huduma za kisheria kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi, ili kuwawezesha kutatua changamoto zinazowakabili na kupata haki zao. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amesema kampeni hiyo itakuwa mkombozi kwa wananchi wa maeneo ya pembezoni ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisheria, hususan migogoro ya ardhi. Amesema huduma hizo za bure zitasaidia kuwawezesha wananchi, hasa wanawake na watoto, kupata msaada wa kisheria na kutatua changamoto zinazowakabili. Kwa upande wake, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Edwin Swale, amempongeza Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuanzisha kampeni hiyo inayolenga kuwasaidia wananchi kupata haki zao. Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia awamu ya pili inalenga kuwafikia wananchi na kuwapatia huduma za kisheria bila malipo katika masuala mbalimbali, yakiwemo migogoro ya ardhi, mirathi, ukatili wa kijinsia na utatuzi wa changamoto nyingine za kisheria.
Thu, 29 Oct 2026 11:14:09 +0000Kwiso Movie Nights Returns with V&A Sherry for a Cinema and Cocktail Experience
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto urges Russia to invest in African industries, technology transfer
Latest · News
RecentlyTanzania attends Africa-Russia Summit, Putin opens it with call for global order based on fairness, equality
MOSCOW: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has attended the opening of the Third Africa-Russia Summit of Heads of State and Government,…
RecentlyHAKUNA KUPOA: NGORONGORO YAZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imezindua kituo maalum cha huduma kwa wateja kwa lengo la kuwahudumia wadau mbalimbali wa Uhifadhi, utalii na maendeleo ya jamii kwa karibu kinachojulikana Kama Wateja Experiences Centre. Akizundua kituo hicho Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro, Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo amepongeza menejimenti ya Ngorongoro kwa ubunifu na hatua ya uanzishwaji wa kituo hicho ili kuboresha huduma kwa wateja, kutangaza mazao ya utalii na kuongeza uzoefu usiosahaulika kwa wateja wanaotembelea eneo la hifadhi ya Ngorongoro. Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro Abdul-Razaq Badru ameeleza kuwa wateja watakaotembelea kituo hicho elimu ya Vivutio vya utalii vilivyopo Ngorongoro na gharama zake, huduma za vibali vya kwenda hifadhini, fursa za uwekezaji, kuunganisha wadau wa utalii na watalii wakiwa Ngorongoro, kupata mafunzo kwa waongoza utalii kuhusu mifumo ya malipo na vivutio vinavyopatikana, kupokea maoni na mrejesho wa wadau kuhusu huduma wanazopata Ngorongoro. Meneja Utalii na Masoko wa SACC, Mariam Kobelo, amesema kufunguliwa kwa kituo hicho ni sehemu ya mkakati wa shirika kuboresha miundombinu na huduma za utalii ambapo Arusha kama kitovu cha utalii ofisi hiyo itakuwa One Stop Centre ya huduma zote za wageni, ikiwa ni maandalizi ya kupokea maelfu ya wageni wa AFCON 2027. Kituo hicho kitatoa taarifa kuhusu maajabu yaliyopo Ngorongoro, huduma wanazohitaji kuzijua wateja na jinsi wateja wanavyoweza kuelezea mabadiliko ambayo wanahitaji kuyaona.
Thu, 29 Oct 2026 11:09:14 +0000Gen. Elwelu’s wife: My husband not planning rebellion
KAMPALA - Patricia Apolot, the prominent Ugandan kickboxer married to retired Lieutenant General Peter Elwelu, has publicly rejected claims that her husband is involved in forming a rebel group, saying he...
RecentlyRais Dk Samia ampokea Rais wa Angola
Read the full report from the original source.
RecentlyCourt summons Sakaja over Sh76.7m legal fees debt
Justice Francis Gikonyo has ordered Sakaja to respond to contempt proceedings as ex-finance chief Charles Kerich is summoned over unpaid legal fees.
RecentlyHigh Court blocks TSC from enforcing social media rules for teachers
Latest · News
RecentlyECB head Christine Lagarde to step down in February
Read the full report from the original source.
RecentlyGermany news: Volkswagen posts 3rd quarter losses of nearly €6 bln
Read the full report from the original source.
RecentlyRDC : la médiation de la C64 se heurte à la méfiance de l’UDPS
Read the full report from the original source.
RecentlyDPP charges Yala clinician in alleged defilement of minor
The DPP says the clinician faces a defilement charge after reviewing an inquiry file submitted by police to the prosecution office
RecentlyKenya Kabaddi teams close in on Commonwealth Games finals
Latest · Kabaddi
RecentlyTaita Taveta nominated MCA Margaret Kawuki dies
Jubilee described Kawuki as a dedicated public servant who championed democracy, equality and women's rights throughout her service
RecentlyBodi ya Utalii yazindua kampeni ya Code Plus 255
Read the full report from the original source.
RecentlyUS sanctions Rwanda's defence ministry over DR Congo conflict
Fighting has continued in eastern DR Congo since early 2025, when M23 seized the cities of Goma and Bukavu. Rwanda denies backing M23.
RecentlyDPP recommends defilement charges against Yala clinician over alleged abuse of 14-Year-Old
Latest · News
RecentlyRuto eyes Russia partnership on AI, smart cities
Ruto says Russia’s integrated approach to housing, infrastructure and public services offers lessons for Kenya’s urban development plans
RecentlyKocha huyu anaweza kuibeba Yanga
Soma zaidi hapa
RecentlyPage 556 of 1169 · 23363 stories