Search the region
23362 stories
Amerika yafatiye ibihano minisiteri y'ingabo z'u Rwanda na banki ya gisirikare kubera intambara yo muri RD Congo
Repubulika ya Demokarasi ya Congo ishinja u Rwanda gufasha inyeshyamba za M23 no gusahura umutungo wayo wo mu burasirazuba bw'icyo gihugu bwibasiwe n'intambara, ikirego u Rwanda ruhakana.
RecentlyBurundi: au-delà du vote, le pays à construire
Chaque semaine, une question essentielle pour l’économie, l’État et les générations futures. ARTICLE N° 5 PRODUIRE BEAUCOUP NE SUFFIT PAS : OÙ RESTE LA VALEUR ? Un pays ne s’enrichit pas seulement par ce qu’il produit, mais par la part de valeur qu’il...
Thu, 29 Oct 2026 09:58:45 +0000Former USIU student sentenced to death over colleague's murder, Sh100,000 ransom demand
A former United States International University (USIU) student, Duncan Livingstone Kimathi, has been sentenced to death for the murder of fellow student Sarah Akello Aruwa in June 2012.
Thu, 29 Oct 2026 12:40:00 +0300KCB Foundation, NCPWD Partner to Streamline Scholarships for Learners with Disabilities
Banks · 3 hours ago
RecentlyNurses’ Union Demands Payment of July Stipends for Interns
Latest · Capital Health
RecentlyGermany news: Volkwagen posts 3rd quarter losses of nearly €6 bln
Read the full report from the original source.
RecentlyPayment providers must look beyond transactions, fintech executives say
Read the full report from the original source.
RecentlyStudy: Coca-Cola system contributes Sh465bn to COMESA economies
Latest · Africa
RecentlyGachagua: Why not local teams at Talanta opener?
The DCP leader has questioned the decision to feature Bayern Munich and Ajax at a stadium built with Kenyan taxpayers’ money
RecentlySongs as DRC medics celebrate Ebola patient recovery
Healthcare workers at a Doctors Without Borders-run centre in Mongbwalu celebrated with songs and dance as the last patient recovered and walked out.
RecentlyIndependent fuel dealers threaten to suspend purchases over wholesale prices
Business · Quick read
RecentlyPaystack’s Akinlade puts business infrastructure at centre of next growth phase
Read the full report from the original source.
RecentlyWAZIRI MKUU ATEMBELEA MAONESHO WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA PAMOJA WA URUSI NA AFRIKA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi. Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana kaulimbiu isemayo Jukwaa la Maendeleo Huru: Suluhisho la Juu la Urusi katika Sekta Muhimu za Kiuchumi na Kijamii “, yanaonesha mafanikio ya nchi hiyo katika maeneo yenye uwezo mkubwa wa ushirikiano na Afrika, zikiwemo sekta za viwanda, kilimo, nishati, usafirishaji, fedha, teknolojia za kidijitali na mawasiliano, huduma ya afya na elimu.
Thu, 29 Oct 2026 09:12:44 +0000SAMIA LEGAL AID KUWAFIKIA WANYONGE, KUONDOA VIKWAZO VYA UPATIKANAJI WA HAKI
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani WAZIRI wa Sheria na Katiba, Abdallah Ulega, amesema kampeni ya Samia Legal Aid ni mkombozi kwa wananchi wanyonge, kwa kuwa inawezesha kupata huduma za msaada wa kisheria bila malipo, hususan wanaoishi vijijini na maeneo ya pembezoni, ili wafahamu na waweze kudai haki zao kwa mujibu wa sheria. Aidha ameeleza kuwa Wilaya ya Mafia haipaswi kuachwa nyuma katika utekelezaji wa kampeni hiyo, akieleza kuwa ni sehemu ya Mkoa wa Pwani na hivyo wataalamu wa sheria wanapaswa kufika kutoa huduma kwa wananchi wake. Akifungua kampeni ya Samia Legal Aid awamu ya pili mkoani Pwani, inayotarajiwa kutekelezwa kwa siku 10 katika halmashauri tisa, Ulega alisema sheria haipaswi kuwa anasa kwa watu wenye uwezo wa kifedha pekee, bali haki inayopaswa kupatikana kwa kila mwananchi bila kujali kipato chake. Alieleza kampeni hiyo imekuwa sauti ya wanyonge, wakiwemo yatima, wazee, wajane, wanawake, watu wenye ulemavu na vijana, kwa kuwawezesha kupata msaada wa kisheria unaohitajika katika kutatua changamoto zinazowakabili. Kwa mujibu wa Ulega, awamu ya kwanza ya kampeni hiyo mkoani Pwani ilifikia watu 200,243, wakiwemo wanawake 101,967 na wanaume 98,276 sawa na asilimia 9 , hali iliyochangia Rais Dkt Samia kuelekeza wizara kurejea na kuendeleza kampeni hiyo kupitia awamu ya pili. Kadhalika amesema serikali inaandaa mpango utakaowezesha mawakili wa serikali kushughulikia mashauri ya wananchi ambayo hayana mgongano wa kimaslahi na serikali, hatua inayolenga kuongeza ushirikiano kati ya mawakili wa serikali na wa kujitegemea katika kupanua upatikanaji wa huduma za kisheria. Ameongeza kuwa serikali imejenga mfumo wa kidijitali utakaowawezesha wananchi kuwasilisha malalamiko na kufuatilia mrejesho kuhusu changamoto zao, huku ukilenga kuimarisha uratibu wa huduma za msaada wa kisheria ili zitolewe kwa wakati. Nae Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Edwin Enosy Swalle, aliitaka serikali kuendeleza kasi ya utoaji wa huduma hizo, hasa katika maeneo ya vijijini na pembezoni ambako wananchi wako mbali na mahakama na vyombo vya maamuzi. Naye Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, ameishukuru serikali kwa kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma za msaada wa kisheria, akisema kampeni hiyo itatoa fursa kwa wananchi kuwasilisha na kutafutiwa ufumbuzi wa migogoro ya ardhi, urithi, ukatili wa kijinsia, matunzo ya watoto na masuala ya ndoa. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Ushauri ya Msaada wa Kisheria, Jaji Mstaafu Crecencia Makuru, amewataka viongozi wa wilaya na wataalamu wa sheria kuhamasisha wananchi wenye uhitaji kujitokeza kwa wingi ili wapate huduma hizo kwa haki na usawa.
Thu, 29 Oct 2026 09:13:01 +0000Tanzania moves to establish national system for unclaimed assets
Read the full report from the original source.
RecentlyDar es Salaam moves closer to metropolitan authority as Government harmonises plans
Read the full report from the original source.
RecentlyThousands of children with disabilities risk missing out on inclusive education in Tanzania
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania weighs alternatives to Sh240 cashew levy as farmers’ debt burden comes under scrutiny
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania sets five priorities to secure climate finance at COP31
Read the full report from the original source.
RecentlyMbamba Bay Port nears completion as Tanzania targets regional trade growth
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 557 of 1169 · 23362 stories