Search the region
23337 stories
RDC : le général des FARDC François Kamanzi rejoint le FRN de Kabila
Read the full report from the original source.
RecentlyUganda Pushes for Bigger Share of $465bn Global Coffee Market as AU Unveils New Strategy
Read the full report from the original source.
RecentlyJanet Museveni Urges Collective Effort to Equip Young Ugandans With Life Skills
Read the full report from the original source.
RecentlyGachagua: We cannot allow Ruto to harass our candidate
DCP leader Rigathi Gachagua has urged opposition principals to restrain their supporters and cease giving conditions in the quest to pick a single candidate to unseat President William Ruto.
Wed, 28 Oct 2026 22:12:07 +0300Briefs: ODM split over written Ruto pact ahead of 2027
The push for a written pre-election pact with Ruto has opened a new fault line within ODM, exposing growing divisions over the party’s approach 2027 polls.
RecentlyRwandan Security Force donates furniture to Mocímboa da Praia Health Post
Read the full report from the original source.
RecentlyBriefs: ODM split over written Ruto pact ahead of 2027
The push for a written pre-election pact with Ruto has opened a new fault line within ODM, exposing growing divisions over the party’s approach 2027 polls.
RecentlyUwacu Julienne a été nommée Ministre de la Fonction Publique et Bamporiki Secrétaire exécutif du « Club de l’Unité»
Read the full report from the original source.
RecentlyOlympia Capital share jumps 198pc after Ndindi Nyoro deal
Read the full report from the original source.
RecentlyOcean’s ability to absorb carbon is weakening as climate change intensifies, UN warns
Read the full report from the original source.
RecentlyKRA eyes M-Pesa invoices for small and micro traders
Read the full report from the original source.
RecentlyIGAD: Funding gaps undermine climate resilience
Workneh Gebeyehu says East African governments must secure predictable financing so communities can act before droughts, floods and other shocks cause damage.
RecentlyBaryomunsi Calls for Integrated Approach to Tackle Diseases
Read the full report from the original source.
RecentlyNetanyahu's bloc leading Israel polls but short of majority
With 85% of ballots counted, Netanyahu's Likud party and its far-right and ultra-Orthodox Jewish allies were on track to win 53 seats in the 120-seat Knesset.
RecentlyAtwine Calls for Unified Action Against Communicable and Non-Communicable Diseases
Read the full report from the original source.
RecentlyVETA, TBL partner to train 300 youths in farm machinery
DAR ES SALAAM: THE Vocational Education and Training Authority (VETA) has partnered with Tanzania Breweries Plc (TBL) to train 300…
RecentlyAdaptation Fund approves nearly US$35 million to advance locally led climate resilience across the Horn of Africa and Rwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya takes more than half of African ClimateTech funding
Read the full report from the original source.
RecentlyMAKAMU WA RAIS ATAKA VIJANA WASIWE WATAZAMAJI SEKTA YA GESI NA MAFUTA
DAR ES SALAAM, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, ameiagiza Wizara ya Nishati kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuandaa mpango mkakati utakaowawezesha vijana na kampuni za Kitanzania kunufaika na fursa za ajira, zabuni na uwekezaji katika miradi ya mafuta na gesi asilia nchini. Makamu wa Rais ametoa maagizo hayo leo, Oktoba 28, 2026, wakati wa hafla ya utiaji saini wa leseni nne za utafutaji wa mafuta na gesi asilia katika vitalu vya Mnazi Bay North, West Songo Songo, Eyasi - Wembere na Lindi- Mtwara, iliyofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam. Makamu wa Rais amesema ni muhimu kuhakikisha Watanzania, hususan vijana na wanawake, wanapewa kipaumbele katika ajira, mafunzo, teknolojia na zabuni, huku kampuni za ndani zikiwezeshwa kushiriki kikamilifu katika mnyororo wa thamani wa sekta hiyo. Aidha, ameitaka Wizara ya Nishati kuimarisha mifumo ya tathmini, ufuatiliaji na usimamizi wa leseni hizo, sambamba na kuhakikisha kunakuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha, uwajibikaji na ongezeko la mapato ya Serikali kupitia kodi, mrabaha na mgao wa faida. Ameielekeza TPDC kushirikiana na wawekezaji wenye uwezo wa kifedha, ujuzi na teknolojia ili kuongeza tija katika shughuli za utafutaji na uendelezaji wa mafuta na gesi asilia, huku akiwataka wadau kutanguliza uzalendo kwa Tafa, uadilifu, uchapa kazi na maslahi ya Taifa mbele. Makamu wa Rais amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji, yanayozingatia uwazi, kutabirika kwa mifumo ya kisheria, ushindani wa haki na ulinzi wa maslahi ya Taifa. Makamu wa Rais amesema, pamoja na lengo la kukuza pato la Taifa kufikia dola za Marekani trillioni 1 kama iliyoainishwa kwenye dira ya Taifa ya 2050. Matarajio mengine ya leseni hizo katika ugunduzi wa mafuta na gesi asilia ni ongezeko la mapato ya Serikali kupitia mrabaha, kodi na mgao wa faida. Amesema uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi unatarajiwa kuchangia uzalishaji wa Megawati 70,000 (zitakazohitajika ifikapo 2050), na kukuza ujuzi, teknolojia, kuongeza ajira na kupanua fursa kwa kampuni za Tanzania zinazotoa huduma katika sekta hiyo. Ametaka uwepo wa usimamizi madhubuti, nidhamu ya matumizi ya fedha na uwajibikaji. Ametoa rai kwa taasisi zote zinazohusika na uwekezaji huu kuhakikisha Watanzania, hususan wanawake na vijana wanapewa fursa za ajira, mafunzo, teknolojia na zabuni. Vilevile, ni muhimu kuimarisha ushiriki wa kampuni za Kitanzania katika mnyororo wa thamani wa mafuta na gesi. Makamu wa Rais amesema lengo la Serikali ya Awamu ya Sita ni kuanzisha Kituo cha umahiri cha kuendeleza ujuzi unaohitajika katika sekta ya mafuta na gesi asilia ili kujenga rasilimali-watu yenye ujuzi na itakayowezesha kuleta ustawi wa Uchumi jumuishi na endelevu. Awali, Waziri wa Nishati, Dkt. Juma Zuberi Homera, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza uwekezaji katika miradi ya kimkakati ya nishati, akisema hatua ya TPDC kukabidhiwa leseni na kumiliki vitalu vyake ni mafanikio makubwa katika kuimarisha uwezo wa Taifa wa kutafuta na kuendeleza rasilimali za mafuta na gesi. Amesema dhamira ya Serikali ni kuhakikisha gesi asilia inayoendelezwa inatumika katika shughuli mbalimbali, zikiwemo matumizi ya majumbani, usafiri, uzalishaji wa umeme na viwandani, huku wananchi na kampuni za ndani zikinufaika na uwekezaji huo. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Mhandisi Mussa Makame, amesema vitalu vinne vilivyohusika katika utiaji saini viko katika hatua mbalimbali za utekelezaji, ikiwemo ukusanyaji wa taarifa za mitetemo kwa ajili ya shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia. Amesema shirika hilo litahakikisha wananchi wanashirikishwa kikamilifu, kampuni za ndani zinapewa kipaumbele kulingana na uwezo na utaalamu wao, pamoja na kutekeleza miradi ya uwajibikaji kwa jamii (CSR) ili uwekezaji huo uwe na manufaa ya moja kwa moja kwa wananchi.
Wed, 28 Oct 2026 18:41:51 +0000Magoli | Azam FC 4-0 Mbeya City | NBC Premier League 28/10/2026
#NBCPL Chuma zote nne hizi hapa... Wafungaji ni Iddy Seleman, Feisal Salum, Hassan Mubiru na Kipre Emmanuel. FT: Azam FC 4-0 Mbeya City LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #AzamFCVSMbeyaCity #AzamFC #mbeyacityfm
2026-10-28T18:33:45+00:00Page 567 of 1167 · 23337 stories