Search the region
23329 stories
Oil, gas industry must benefit Tanzanians, says VP
Read the full report from the original source.
RecentlyPerezida wa AU asaba Uburusiya kongera ishoramari muri Afurika
Perezida w’Umuryango w'Ubumwe bwa Afurika (AU), Evariste Ndayishimiye, arasaba amasosiyete y’ Uburusiya gushora imari mu bisata by’ingufu, ibikorwa remezo, inganda ndetse n’ikoranabuhanga muri Afurika.
RecentlyMADUKA SITA YA DAWA MAFIA YAKUTWA YAKIUZA DAWA ZISIZOSAJILIWA
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Mashariki, imebaini kuwa maduka 19 kati ya 38 ya dawa muhimu yaliyokaguliwa katika Wilaya ya Mafia hayakuwa na watoa huduma wenye sifa zinazotakiwa kisheria, sawa na asilimia 50 ya maduka yote yaliyokaguliwa. Hali hiyo imeibua wasiwasi kuhusu usalama wa wananchi wanaopata huduma za dawa kutoka kwa watu wasio na sifa zinazotakiwa kisheria. Matokeo hayo yamebainika katika ukaguzi maalumu uliofanywa na TMDA kwa kushirikiana na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia kuanzia Oktoba 11 hadi 23, 2026. Ukaguzi huo ulilenga kuhakikisha kuwa maduka ya dawa na maeneo yanayotoa huduma zinazohusiana na dawa na vifaa tiba yanaendesha shughuli zake kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo husika. Akitoa mrejesho wa ukaguzi huo kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa aliyeongoza timu hiyo, Japhari Saidi, alisema kuwa mbali na ukosefu wa watoa huduma wenye sifa, ukaguzi ulibaini ukiukwaji mwingine wa sheria na taratibu zinazosimamia uendeshaji wa maduka ya dawa muhimu. Alisema maduka 10 yalibainika kufanya biashara bila vibali vinavyotakiwa, kinyume na Kifungu cha 18 cha Sheria ya Dawa na Vifaa Tiba, Sura ya 219, sawa na asilimia 26.3 ya maduka yaliyokaguliwa. Aidha, maduka 13 yalikutwa yakiuza dawa ambazo haziruhusiwi kuuzwa katika maduka ya dawa muhimu, sawa na asilimia 34.2. Maduka mengine sita yalibainika kuuza dawa zisizosajiliwa, kinyume na Kifungu cha 22 cha sheria hiyo, sawa na asilimia 15.8. Katika ukiukwaji mwingine, maduka matatu yalikutwa yakitoa huduma za kitabibu, ikiwemo vipimo vya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU), kinyume na matakwa ya sheria. Kufuatia matokeo hayo, TMDA ilichukua hatua za kiudhibiti kwa mujibu wa sheria, ikiwemo kuondoa dawa ambazo hazikustahili kuuzwa katika maduka hayo na kuyaelekeza maduka yasiyokuwa na watoa huduma wenye sifa kusitisha huduma hadi yatakapokidhi matakwa ya kisheria. Vilevile, faini za papo kwa papo zilitolewa kwa makosa yaliyostahili hatua hiyo, ambapo jumla ya Sh milioni 2.9 zilitozwa. Kufikia Oktoba 25, 2026, faini zote zilikuwa zimelipwa. Kwa upande wake, Mfamasia wa Wilaya ya Mafia, Kurwa Lucas, aliipongeza TMDA kwa ushirikiano wake na halmashauri hiyo, akiahidi kuendelea kufuatilia utekelezaji wa maelekezo yaliyotolewa kwa wamiliki wa maduka husika. Alisema ufuatiliaji huo utasaidia kuhakikisha maduka yanafuata matakwa ya kisheria na kutoa huduma zinazokidhi viwango vinavyotakiwa. Hatua hizo zinalenga kulinda afya za wananchi wa Mafia dhidi ya madhara yanayoweza kusababishwa na dawa zisizosajiliwa, uuzaji wa dawa zisizoruhusiwa na utoaji wa huduma na watu wasio na sifa zinazotakiwa kisheria.
Wed, 28 Oct 2026 16:50:50 +0000Security Council LIVE: Women and girls face greater dangers in war
Read the full report from the original source.
RecentlyTHE MITH to celebrate Ugandan music and identity at So UG Experience
Ugandan hip-hop artist THE MITH is set to celebrate the country’s music, culture and identity through a live event scheduled for November 14 at Kati Kati Grounds in Kampala. Dubbed…
RecentlyPresident Museveni, EU Envoy for Great Lakes Region Discuss Regional Peace and Security
President Yoweri Kaguta Museveni today met the European Union Special Representative for the Great Lakes Region, Mr. Johan Borgstam, at State House, Entebbe, where they discussed regional peace and security,…
RecentlyTap, pay, go: Mastercard and Interswitch bring Google Pay to Nigeria
Read the full report from the original source.
RecentlyAbapolisi bashya 1,652 basoje amahugurwa i Gishari
Abapolisi bashya 1,652, barimo abagore 337, basoje icyiciro cya 22 cy’amahugurwa y’ibanze y’abapolisi bato, cyabereye mu ishuri rya Polisi y’u Rwanda i Gishari, mu Karere ka Rwamagana.
Wed, 28 Oct 2026 18:18:26 +0200Eastleigh building search 80 per cent complete
The disaster management chief said specialised acoustic life detectors had also been deployed to establish whether people remained trapped beneath the debris
RecentlyEntrepreneur who lost and rebuilt a multi-million-shilling gym
Read the full report from the original source.
RecentlyWAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA PAMOJA WA URUSI NA AFRIKA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 28, 2026, ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi, ambapo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo. Akizungumza katika ufunguzi, Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kuwa majadiliano ya mkutano huo yatajikita kwenye kukuza mahusiano kati ya nchi za Afrika katika sekta za nishati, Viwanda, kilimo pamoja na usafirishaji. Aidha, amesema maeneo mengine yatakayopewa kipaumbele ni elimu, Afya, Sayansi na Teknolojia, Tamaduni, vyombo vya habari pamoja na masuala yanayohusu vijana.
Wed, 28 Oct 2026 16:33:21 +0000''Ce sera une cérémonie qui va toucher le monde entier, une cérémonie pour toucher l'humain'', Khady Niang, Directrice de Cérémonies JOJ Dakar 2026
À quelques heures de l’ouverture officielle des Jeux olympiques de la jeunesse (JOJ) Dakar 2026, Khady Niang, directrice des cérémonies au sein du comité d’organisation, explique à BBC News Afrique ce que représente cet
RecentlyKickoff countdown: Ruto inspects Raila Odinga Stadium
Bayern Munich, Ajax have already confirmed the January 5 match to open Raila Odinga Stadium that would mark a significant milestone in Kenya's efforts
RecentlyTAFITI, USHIRIKIANO VYATAJWA KUWA CHACHU MAENDELEO SEKTA YA MIFUGO.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, amewataka wataalamu wa mifugo kutumia matokeo ya tafiti kutatua changamoto zinazowakabili wafugaji na kuongeza tija katika uzalishaji wa mifugo na mazao yake nchini. Ameyasema hayo wakati akifungua Kongamano la 49 la Kitaaluma na Mkutano Mkuu wa 50 wa Chama cha Wataalamu wa Mifugo Tanzania (TSAP) Mkoani Iringa, Oktoba 28, 2026, ameeleza kuwa Serikali inalenga kuhakikisha Tanzania inafikia utoshelevu wa chakula, hususan protini inayotokana na nyama, maziwa, mayai na samaki kabla ya mwaka 2050. Aidha, amewataka kutambua kuwa wanaposhughulikia uimarishaji wa minyororo ya thamani, ni muhimu kufikiri zaidi namna ya kuongeza ubora wa bidhaa zinazotokana na mazao ya wanyama na samaki na kuwezesha upatikanaji wa masoko bora, salama, na ya uhakika. Mwenyekiti wa TSAP, Dkt. Zabron Nziku, ameiomba Serikali kuimarisha ushirikiano na chama hicho ili kuhakikisha matokeo ya tafiti yanatumika kuboresha sera na kutatua changamoto za wafugaji. Amesema chama hicho, kilichoanzishwa mwaka 1973, kina takribani wanachama 1,000 na maandalizi ya kuanzisha jarida lake la kisayansi yamefikia asilimia 85. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Benjamin Sitta, amewataka wataalamu kuwasilisha tafiti zenye majibu ya haraka kwa changamoto za wafugaji, amesema licha ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye mifugo mingi barani Afrika, bado kuna changamoto za mifugo kudhoofika na matumizi ya mbinu za jadi za ufugaji. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia sekta ya mifugo, Dkt. Fabian Madele, amesema Serikali inatambua mchango wa vyama vya kitaaluma na inataka tafiti na ubunifu kuelekezwa katika kutatua changamoto za mifugo na uvuvi kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Mkurugenzi wa kampuni ya ASAS ya usindikaji wa maziwa na mdhamini mkuu wa jukwaa hilo Fuad Abri, amesema tafiti na utaalamu ni muhimu katika kuendeleza sekta ya mifugo na uchumi wa taifa, huku akiahidi kuendelea kuwaunga mkono wataalamu, akitoa mfano wa biashara ya kuku kutoka Brazil na Congo kwenda Zanzibar, akisema masuala kama hayo yanahitaji majibu ya kitaalamu ili kusaidia wadau kufanya maamuzi sahihi kuhusu uzalishaji na biashara ya mifugo. Amesema utafiti ni kiungo muhimu kati ya changamoto za wafugaji na suluhisho zake, huku Waziri akiwataka wataalamu kutumia sayansi, teknolojia na ubunifu kuboresha uzalishaji, afya ya mifugo na upatikanaji wa masoko, pamoja na kujiandaa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, kongamano hilo limefanyika chini ya kaulimbiu isemayo “Sayansi, Teknolojia, Ubunifu na Ujasiriamali kwa Minyororo Endelevu ya Thamani ya Mifugo na Samaki.”
Wed, 28 Oct 2026 16:27:37 +0000Ex-EACC boss Halakhe Waqo among nine shortlisted for IEBC CEO post
Read the full report from the original source.
RecentlyPouvoir et profits : le business des passeurs en Libye
Read the full report from the original source.
RecentlyAs Uganda’s digital loans hit Ugx 4.8 trillion, Centenary Bank, Airtel Uganda and gnuGrid move to capture growing credit demand
Read the full report from the original source.
RecentlyEnergy Minister Musenero extends new mineral licensing suspension by three months as government prepares tougher rules
Read the full report from the original source.
RecentlyMfuko wa SELF waendelea kupanua huduma za Mikopo kwa ananchi
Read the full report from the original source.
RecentlyMzize alivyohitimisha siku 489 Yanga
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 570 of 1167 · 23329 stories