Search the region
23312 stories
DfB Pokal : le Borussia Dortmund s'est fait peur face au Werder Brême
Read the full report from the original source.
RecentlyMon frère a acheté une capsule radioactive sans savoir ce qu'elle contenait et tout a basculé
Lorsque des éboueurs ont trouvé une étrange capsule brillante, personne ne s'est rendu compte qu'elle était hautement radioactive et qu'elle détruirait la vie de tous ceux qui la toucheraient.
RecentlySolidarité, développement et mobilisation au cœur des activités du CNDD-FDD
Read the full report from the original source.
RecentlyKwiso Movie Nights returns with V&A Sherry for cinema and cocktails experience
Film enthusiasts in Kampala will have an opportunity to combine a movie screening with a social evening on Friday, October 30, as Kwiso Movie Nights returns in partnership with V&A Sherry...
RecentlyMP Bisaso Calls for Stronger, Practical Protection of Ugandans Abroad
KAMPALA — Mr Hajji Abdul Bisaso, Member of Parliament for Kassanda South and a member of Parliament’s Committee on Foreign Affairs, has called for stronger, practical measures to protect Ugandans…
RecentlyUPPC Makes Uganda Gazette Freely Accessible Online
The Uganda Printing and Publishing Corporation (UPPC), the official Government Printer, has made the E-Gazette freely accessible online, eliminating cost barriers and improving public access to official government public
RecentlyLes agriculteurs appelés à utiliser les fertilisants organiques pour accroître la production
Read the full report from the original source.
RecentlyIsrael election: Netanyahu-led bloc in slight lead as count continues
Read the full report from the original source.
RecentlyKindege Cha Aviator Kukupaisha Hadi Kwenye Umilionea
KILA siku, wapenzi wa burudani na michezo ya mtandaoni hutafuta kitu kipya kinachoweza kuwapa msisimko wa kipekee. Katika ulimwengu wa michezo ya kasino mtandaoni, Meridianbet imekuja na Aviator , mchezo unaochanganya kasi, umakini na maamuzi ya haraka. Hapa, kindege kinapopaa angani, macho yanabaki kwenye skrini kufuatilia safari yake huku kizidishi cha ushindi kikibadilika kila sekunde. Ni mchezo unaovutia kwa namna yake, ukimpa mchezaji uzoefu wa kusisimua kila raundi inapoanza. Kinachoufanya Aviator kuwa na mvuto wa kipekee ni urahisi wa namna unavyochezwa. Kindegе kinapoanza kupaa, kizidishi huongezeka kadiri safari inavyoendelea, na mchezaji anatakiwa kuamua wakati wa kutoa dau lake kabla safari haijakatika. Kadiri kizidishi kinavyopanda, ndivyo uwezekano wa kupata malipo makubwa kwa dau lililofanikiwa unavyoweza kuongezeka. Lakini hapo ndipo changamoto ilipo, kwani hakuna anayejua kwa uhakika ni wakati gani kindege kitasimama. Aviator si mchezo wa kukaa tu na kutazama, bali ni burudani inayokuweka karibu na kila tukio linaloendelea angani. Kila raundi huleta mwanzo mpya na maamuzi mapya, jambo linaloufanya mchezo huu kuwa na mvuto kwa wanaopenda kasi, ushindi kila wanapochea pamoja na changamoto za papo hapo. Mbali na Aviator , Meridianbet inakupa nafasi ya kucheza michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na masoko ya kubashiri mechi za soka kutoka mashindano tofauti duniani. Kwa mashabiki wanaofuatilia ligi kubwa, mechi za kimataifa na matukio ya kusisimua uwanjani, kuna burudani nyingi za kuchagua kulingana na mapendeleo yao. Jisajili kupitia tovuti rasmi ya Meridianbet au kupiga *149*10#. Sasa, safari ya kindege cha Aviator inakualika kuingia katika ulimwengu wa kasi na maamuzi ya papo hapo kupitia Meridianbet. Hapa, kila raundi ina hadithi yake, kila sekunde huleta matarajio mapya, na kila safari huja na matokeo yasiyotabirika. Meridianbet inakuletea burudani ya mtandaoni inayochanganya michezo ya kasino na msisimko wa soka la kimataif, jisajili sasa.
Wed, 28 Oct 2026 04:30:00 +0000AC Milan dhidi ya Bologna; Mkwanja upo Italy leo
KWANINI ukose hela leo! Jisali hapa na kwa dau lolote leo unaweza kuwa miongoni washindi kwenye mchezo wa Mabingwa wa kihistoria wa soka la Italia, AC Milan, wanatarajiwa kushuka dimbani kuvaana na Bologna katika mchezo wa Ligi Kuu ya Italia, Serie A, utakaopigwa Jumanne, Oktoba 28, saa 20:30 usiku. AC Milan chini ya kocha Ruben Amorim wanaingia kwenye mchezo huo wakitafuta kutumia vizuri faida ya kucheza mbele ya mashabiki wao na kuendeleza harakati za kupambana na timu zinazowania nafasi za juu. Kikosi hicho kinahitaji kuwa makini katika umiliki wa mpira, kujenga mashambulizi yenye madhara na kutumia nafasi zitakazopatikana ili kupata ushindi muhimu. Kwa upande wa Bologna , timu hiyo itahitaji kuonyesha nidhamu ya hali ya juu ili kuweza kuikabili AC Milan katika uwanja wa San Siro. Bologna wanapaswa kuwa imara katika safu ya ulinzi na kutumia mashambulizi ya kushtukiza kutafuta mabao. Uwezo wao wa kuhimili presha ya wenyeji unaweza kuwa na mchango mkubwa katika kuamua matokeo ya mchezo huo. Katika rekodi za hivi karibuni za ligi, AC Milan wameonyesha mwendelezo mzuri zaidi kuliko Bologna. Kabla ya mchezo huu, Milan walikuwa nafasi ya nne wakiwa na pointi 15 baada ya mechi saba, Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Huku Bologna wakiwa nafasi ya 15 na pointi tano. Hata hivyo, takwimu hizo haziondoi uwezekano wa Bologna kufanya vizuri, kwani matokeo ya soka huamuliwa na kiwango cha timu ndani ya dakika 90. Jisajili hapa Kwa ujumla, pambano hilo linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku AC Milan wakilenga kutumia faida ya uwanja wa nyumbani na Bologna wakisaka matokeo yatakayowainua katika msimamo wa Serie A .
Wed, 28 Oct 2026 06:30:00 +0000Gaza: Families brace for fourth winter in tents as aid operations remain stymied
Read the full report from the original source.
RecentlyEntebbe Airport Handles 153,968 Passengers as Cargo Traffic Grows
Read the full report from the original source.
RecentlySoaring fuel and prices force Ugandans into daily survival mode
Across Kampala’s busy streets and neighbourhood trading centres, ordinary Ugandans quietly wage a daily battle against a relentless economic squeeze. With global supply chain pressures,…
RecentlyTANZANIA YAANISHA VIPAUMBELE VYA KITAIFA KUELEKEA MKUTANO TABIANCHI
Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Latifa Mohammed Khamis akizungumza jambo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Dkt. Richard Muyungi wakati wa ufunguzi wa kikao cha Makatibu Wakuu kilichofanyika leo Oktoba 27, 2026 Jijini Dar es Salaam kujadili maandalizi ya Tanzania kuelekea Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama Wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP 31). Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Kemilembe Mutasa akizungumza jambo wakati wa wa ufunguzi wa kikao cha Makatibu Wakuu kilichofanyika leo Oktoba 28, 2026 Jijini Dar es Salaam kujadili maandalizi ya Tanzania kuelekea Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama Wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP 31). Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na maendeleo endelevu (IUCN), Bw. Ghaamid Abdulbasat akizungumza wakati wa kikao cha Makatibu Wakuu kilichofanyika leo Oktoba 28 2026 Jijini Dar es Salaam kujadili maandalizi ya Tanzania kuelekea Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama Wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP) 31. TANZANIA imeainisha vipaumbele vya kitaifa vitakavyoongoza majadiliano ya Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP 31) unaotarajia kufanyika tarehe 9-20 Novemba mwaka huu nchini Uturuki. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Latifa Mohammed Khamis wakati akifungua kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu maandalizi ya Tanzania kuelekea Mkutano wa (COP 31). Dkt. Latifa amesema wakati wa majadiliano ya mkutano huo, Tanzania inatarajia kuwasilisha vipaumbele vinavyohusiana na fedha za tabianchi, kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na upunguzaji wa uzalishaji wa gesi chafuzi. Ametaja vipaumbele vingine kuwa ni utekelezaji wa Makubaliano ya Paris, uhamishaji wa teknolojia, kujenga uwezo, masoko ya kaboni chini ya Ibara ya 6, pamoja na hasara na uharibifu unaotokana na mabadiliko ya tabianchi. “Ni muhimu kuhakikisha kuwa msimamo wetu unaakisi vipaumbele vya Tanzania Bara na Zanzibar, pamoja na mahitaji ya sekta za kilimo, maji, nishati, afya, miundombinu, misitu, mifumo ya ikolojia, bahari na uchumi wa buluu” amesema Dkt. Latifa. Ameeleza kuwa vipaumbe hivyo vitatoa fursa kwa Tanzania kuendeleza ajenda za nishati safi, usalama wa chakula, uchumi wa buluu, uhifadhi wa mazingira, viwanda vya kijani na ushiriki wa vijana. Ameeleza kuwa kuelekea mkutano huo ni muhimu kwa wataalamu kukamilisha mpango kazi ikihusisha maandalizi ya mikutano ya pembezoni, mikutano ya uwili na shughuli zitakazofanyika katika jengo la maonesho la Tanzania. Awali akimkaribisha mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Kemilembe Mutasa amesema maelekezo yaliyotolewa katika kikao hicho yatawekewa mpango wa utekelezaji wenye majukumu yaliyo wazi, muda maalumu na utaratibu wa ufuatiliaji. “Ni muhimu kwa Makatibu Wakuu kupitia matokeo ya majadiliano haya, kutoa maelekezo ya Serikali na kukubaliana kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kukamilisha maandalizi ya kitaifa kwa wakati” amesema Kemilembe. Aidha amewataka washiriki wa mkutano huo ikiwemo Wizara, Idara na Taasisi za Serikali, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wadau wengine kuimarisha ushirikiano katika kutekeleza majukumu yao kwa wakati ili kufanikisha malengo ya ushiriki wa Tanzania katika mkutano huo. Kwa upande wake, Mwakilishi wa Shirika la kimataifa la uhifadhi wa mazingira na maendeleo endelevu (IUCN), Bw. Ghaamid Abdulbasat amesema Shirika hilo limeendelea kuimarisha ushirikiano na Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais katika utekelezaji wa ahadi za mikataba ya kimataifa ya mabadiliko ya tabianchi. Akitolea mfano amesema Shirika hilo kwa linashirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais inatekeleza Programu ya Urejeshaji ya kidunia (TRI) inayolenga kurejesha uoto wa asili katika ardhi iliyoharibika takribani hekta milioni 5.2 ifikapo mwaka 2030 katika mabonde ya Ruaha Mkuu na Ziwa Rukwa, katika mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa.
Wed, 28 Oct 2026 12:28:59 +0000Les journalistes appelés à mieux accompagner la mise en œuvre de la Vision 2040-2060
Read the full report from the original source.
Recently80,000 Lives Impacted: dfcu Urges SMEs to Digitise Records to Boost Creditworthiness
Read the full report from the original source.
RecentlyKadaga Pushes for Stronger Kenya-Uganda Tourism Cooperation at Mombasa Summit
Read the full report from the original source.
RecentlyHalakhe Waqo among 9 shortlisted for IEBC CEO
The nine candidates for position of IEBC Secretary and Chief Executive Officer set for interviews scheduled for November 12 and 13
RecentlyCaution remains high, despite delay in East Africa El Niño
Read the full report from the original source.
RecentlyHalakhe Wako among 9 shortlisted for IEBC CEO
The nine candidates for position of IEBC Secretary and Chief Executive Officer set for interviews scheduled for November 12 and 13
RecentlyPage 576 of 1166 · 23312 stories