Search the region
23273 stories
South Africa’s FirstRand eyes Kenya bank buyout
Read the full report from the original source.
Recently666: ‘Devil’s number’ nearly costs learner exams
The mother told officers she had confined the child because her assessment number contained the digits 666, which she associated with the devil.
RecentlyRwanda Launches InteGo! National Lottery to Support Public-Benefit Initiatives
Read the full report from the original source.
RecentlyWAREMBO Kuchuana Katika Fainali za Kumpata Mrembo wa Kanda ya Mashariki Novemba 6 , 2026
Na Mwandishi wetu, Mkuranga WAREMBO watachuana katika fainali za kumpata Mrembo wa Kanda ya Mashariki Novemba 6 , 2026 shindano lililopangwa kufanyima Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani. Mkurugenzi wa Miss Eastern Zone Yusuf Hassan amesema mrembo atavikwa taji atapata zawadi ya gari na tiketi ya kushiriki fainali za kumpata Miss Tanzania 2026. Kambi ya warembo itakuwa boza katika kisiwa cha Kuruti kilichopo Mkuranga zawadi mbalimbali zitatolewa kwa washiriki wengine. Mkurugenzi Yusuph amesema hayo leo tarehe 27 Oktoba 2026 alipozungumza na Waandishi wa Habari Mkuranga Mkoa wa Pwani. Amesema warembo hao wanatarajiwa kuungia kambini hivi karibuni ambapo watatumia usafiri wa bahari wakitokea Sea Cliff Masaki Jijini Dar es Salaam na kwenda hadi Kisiwa cha Vikuruti kilichopi Mkuranga. Mkurugenzi Yusuph ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia Idara ya Utamaduni na Michezo na kuhakikisha vijana wanafaidika na mikopo ya makundi maalumu. Aidha shukrani zingine zimfikie Mkuu wa Mkoa wa Pwani Stanslaus Nyongo kutokana na maelekezo aliyowapatia pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga. Wasanii nyota mbalimbali wanatarajia kutumbuiza akiwemo msanii wa Lebo ya WCB D-Voice ,Isha Mashauzi,Yammy Tz ,Dogo Parten, wasanii wazawa wa Mkuranga na Mkoa wa Pwani Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheriakwa ujumla na wengine wengi . Amesema anamshkuru mdau mkubwa wa shindano hilo BOSS BOSS, Adey na wengine wengi. Amesema tayari wameanza kuuza tiketi ambapo zinapatikana kwa njia ya mtandao na kawaida zinazouzwa kwa shilingi 20,000, 50,000 (VIP) na 100,000 (VVIP) tiketi hizo zinauzwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Halmashauri ya Mkuranga na ofisi zote za utamaduni Mkoani hapa. Sehemu zingine zinazouzwa tiketi hizo ni Parachichi,BOSSBOSS Vikindu na Samaki Sport Morogoro.
Tue, 27 Oct 2026 18:34:30 +0000The young Kenyan making big finance calls at Amazon
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto heads to Russia, seeks trade deals, investment
Ruto will advance Kenya's economic and strategic interests, focusing on market access, investment and partnerships to support economic transformation.
RecentlyEdouard Bamporiki yagarutse mu nshingano, Uwacu Julienne muri Guverinoma
Read the full report from the original source.
RecentlyHOMERA ATANGAZA MAPINDUZI YA UMEME VITONGOJINI, AIPONGEZA REA KWA UTEKELEZAJI
WAZIRI wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Homera, amepongeza juhudi za Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, katika kusimamia utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini, huku akitangaza kuongezwa kwa kasi ya operesheni ya kuwasha umeme katika kila kitongoji nchini. Waziri Homera amesema operesheni hiyo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuhakikisha huduma ya umeme inawafikia wananchi katika maeneo yote nchini, sambamba na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii, hususan katika maeneo ya vijijini. Akizungumza wakati akiwasha umeme Kitongoji cha Lindi B, Wilaya ya Namtumbo, na Kitongoji cha Nakanyonyo, Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma, amesema Wakuu wa Mikoa wataendelea kushiriki katika kuwasha umeme kwenye miradi iliyokamilika ili kuhakikisha wananchi wanaanza kunufaika na huduma hiyo kwa wakati. Ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuongeza kasi ya matumizi ya miundombinu ya umeme iliyokamilika, huku Serikali ikiendelea kutekeleza miradi mipya katika vitongoji ambavyo bado havijafikiwa na huduma hiyo. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa umeme mkoani Ruvuma, Waziri Homera amesema mkoa huo una jumla ya vitongoji 3,691, ambapo vitongoji 2,235 tayari vimefikiwa na umeme, sawa na takribani asilimia 61 ya vitongoji vyote. Amesema Serikali imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 224.7 katika miradi mbalimbali ya umeme inayotekelezwa na REA mkoani humo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupanua wigo wa upatikanaji wa nishati hiyo kwa wananchi. Kwa mujibu wa Waziri Homera, vitongoji 799 vipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji wa miradi ya kuviunganishia umeme, huku vitongoji 657 vikiwa bado havijafikiwa na huduma hiyo na havipo katika miradi inayoendelea kutekelezwa. Amefafanua kuwa kukamilika kwa miradi inayoendelea kutasaidia kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme katika vitongoji vya Mkoa wa Ruvuma kutoka asilimia 61 ya sasa hadi takribani asilimia 82. Amesema ongezeko hilo linatarajiwa kufungua fursa zaidi za shughuli za kiuchumi, ikiwemo biashara, uzalishaji mali na utoaji wa huduma za kijamii, hivyo kuboresha maisha ya wananchi wa maeneo ya vijijini. Aidha, Waziri Homera amewataka wananchi kuendelea kuiombea Wizara ya Nishati ili iweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi, akisisitiza kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha azma ya kufikisha umeme kila kitongoji inafikiwa. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy, amesema kasi ya utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini imeendelea kuongezeka na kwamba Wakala hautarudi nyuma katika kutimiza dhamira ya Serikali ya kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na huduma ya umeme. Mhandisi Saidy amesisitiza kuwa Wakala utaendelea kuongeza juhudi za kusogeza huduma ya umeme katika maeneo ambayo bado hayajafikiwa, sambamba na kufungua fursa mpya za kiuchumi, kuongeza uzalishaji na kuboresha ustawi wa wananchi wa vijijini.
Tue, 27 Oct 2026 18:20:43 +0000Meridianbet Imekuja na TSh Bilioni 3 Za Mystery Multiplier
MSISIMKO wa kasino mtandaoni unaendelea kupanda huku Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni, ikiandaa fursa ya kipekee kwa wapenzi wa burudani kupitia kampeni ya Mystery Multiplier. Hii ni promosheni inayowaletea wachezaji nafasi ya kupata zawadi za pesa taslimu wanaposhiriki michezo ya kasino ya Wazdan. Fikiria ukiwa umeingia kucheza mchezo unaoupenda, halafu ghafla unakutana na zawadi ya pesa taslimu. Huo ndio msisimko unaoletwa na Mystery Multiplier, kampeni inayofanya kila mchezo kuwa na mvuto wa kipekee. Kinachofanya Mystery Multiplier kuvutia zaidi ni ukubwa wa zawadi zilizowekwa mezani. Kampeni hii ina jumla ya Mystery Boxes 4,000, huku thamani ya jumla ya zawadi za pesa taslimu ikifikia hadi TSh bilioni 3. Kila kisanduku kinaweza kuwa na zawadi ya TSh 750,000, TSh 300,000, TSh 75,000, TSh 30,000 au TSh 15,000. Hii ina maana kuwa wachezaji wana nafasi ya kukutana na zawadi tofauti kulingana na matokeo ya kampeni. Jambo la kuvutia ni kwamba kiwango cha dau si kigezo cha ukubwa wa fursa hii, kwani dau lolote linalokidhi masharti linaweza kukupa nafasi ya kupata zawadi. Kampeni hii ilianza Oktoba 23 na itaendelea hadi Novemba 1, 2026, ikiwa sehemu ya juhudi za Meridianbet kuwapa wateja wake burudani yenye promosheni zinazovutia. Kampuni hii pia imeweka wazi dhamira yake ya kutoa zawadi zenye thamani ya zaidi ya TSh bilioni 12. Hii inaifanya Mystery Multiplier kuwa sehemu ya msimu wenye msisimko kwa wapenzi wa kasino wanaotaka kuchunguza michezo mbalimbali na kufurahia promosheni zinazopatikana kwenye jukwaa hilo. Meridianbet haiishii kwenye Mystery Multiplier pekee, bali inawaletea wapenzi wa michezo jukwaa lenye chaguo mbalimbali za kasino na michezo ya kubashiri ya soka na ligi tofauti. Kwa mashabiki wanaopenda kufuatilia mechi huku wakichambua matokeo yanayowezekana, Meridianbet inatoa nafasi ya kuchunguza masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na burudani ya kasino. Mystery Multiplier inalenga kuongeza msisimko kwa wachezaji wa michezo ya Wazdan wanaoshiriki kampeni hii, huku zawadi zake zikiweka mvuto wa ziada kwenye uzoefu wa kasino. Sasa, kwa wapenzi wa kasino mtandaoni wanaotaka kushiriki Mystery Multiplier , Meridianbet inawaalika kutembelea tovuti yake ya meridianbet.co.tz, kupakua app au kupiga *149*10# ili kujisajili . Ukiwa mpenzi wa michezo, unajua kuwa msisimko mara nyingi huanzia kwenye matarajio, lakini maamuzi bora huanzia kwenye maamuzi sahihi.
Tue, 27 Oct 2026 06:11:00 +0000NBCPL | ''Goli limenipa morali sana'' - Clement Mzize
#NBCPL: ''Goli hili limenipa morali sana'' Mshambuliaji wa Yanga SC, Clement Mzize akizungumza baada ya kukabidhiwa Tuzo yake ya 'Man of the Match' FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC Hewani muda huu ni Dodoma Jiji vs JKT Tanzania LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #YangaSCVSMashujaaFC #YangaSC #MashujaaFC
2026-10-27T18:04:09+00:00Ruto heads to Russia for 3rd Russia–Africa Economic Forum
Ruto will advance Kenya's economic and strategic interests, focusing on market access, investment and partnerships to support economic transformation.
RecentlyYanga burudani imerudi
YANGA imerudi katika njia ya ushindi baada ya kuichapa Mashujaa mabao 2-1, lakini mashabiki wakaibua hoja, soka la burudani limerejea.
RecentlyNBCPL | Walichokizungumza Makocha baada ya Yanga SC kubeba alama tatu mbele ya Mashujaa FC
#NBCPL: ''Plan yetu imefanya vizuri'' Kocha Mkuu wa Mashujaa FC, Amani Josiah akizungumzia dakika 90 ambazo zimemalizika kwa kudondosha alama tatu ugenini akisema wapinzani wao walitumia makosa yao na kufanikiwa kupata ushindi. Kwa upande wa Yanga SC, Kocha Simon Dladla amesema wachezaji wamekuwa na morali na walizidi baadhi ya makosa waliokuwa wakifanya wapinzani wao. FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC Inafuata Dodoma Jiji vs JKT Tanzania saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #YangaSCVSMashujaaFC #YangaSC #MashujaaFC
2026-10-27T17:53:32+00:00Flavio Bolsonaro flees Brazil for US amid investigation — reports
Read the full report from the original source.
RecentlyKNH performs first surgery at new satellite theatre
KNH’s new satellite theatre will handle selected dental and paediatric surgeries to ease pressure on the main theatre and reduce patient waiting times.
RecentlySassuolo Kukipigania Pointi Tatu na Lazio
KIPINDI ambacho wewe unajiuliza wapi utapiga pesa! wenzako wanajinyakulia Mkwanja kutoka kwa mabingwa wa Odds Kubwa , leo tayari hela ipo kwenye Mchezo wa ligi kuu ya Italia, Serie A , kati ya Sassuolo na Lazio unatarajiwa kupigwa leo Jumanne, Oktoba 27, 2026, katika dimba la Mapei Stadium, mjini Reggio Emilia. Timu hizo zinakutana katika raundi ya tisa ya ligi hiyo, kila moja ikiwa na malengo ya kupata matokeo mazuri na kuimarisha nafasi yake kwenye msimamo wa ligi. Sassuolo inaingia katika mchezo huo ikihitaji kurejea kwenye matokeo mazuri baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha katika michezo yake ya hivi karibuni. Kikosi hicho kinahitaji kutumia vizuri faida ya kucheza nyumbani ili kuongeza ushindani na kupata pointi muhimu. Uwezo wa washambuliaji wake kutumia nafasi zitakazopatikana unaweza kuwa jambo muhimu katika kuamua hatima ya mchezo huo. Jisajili sasa Kwa upande wa Lazio , kikosi hicho kinaingia kwenye mchezo huu kikiwa na mwendelezo mzuri wa matokeo. Baada ya kucheza mechi nane za ligi bila kupoteza, Lazio ilikuwa na pointi 22 kabla ya mchezo huu, ikishinda saba na kutoka sare moja. Ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Parma katika mchezo uliopita umeongeza matumaini ya kuendelea kuwania nafasi za juu katika msimamo wa Serie A . Kocha wa Sassuolo, Alberto Aquilani, anatarajiwa kutegemea uzoefu na uwezo wa Domenico Berardi kuongoza mashambulizi, huku timu hiyo ikihitaji kuboresha uimara wa safu yake ya ulinzi. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kwa upande wa Lazio , kocha Gennaro Gattuso anaweza kutegemea wachezaji kama Mattia Zaccagni, Gustav Isaksen na Kenneth Taylor kuongeza makali ya ushambuliaji. Hata hivyo, hali za majeraha na utimamu wa wachezaji zinaweza kuathiri uchaguzi wa vikosi vya mwisho. Suka jamvi leo kwenye mchezo huu. Kwa kuzingatia mwenendo wa timu hizo, Lazio inaingia ikiwa na matokeo bora zaidi, lakini Sassuolo inaweza kutumia faida ya uwanja wa nyumbani kufanya mchezo kuwa mgumu. Historia ya michezo yao pia inaonyesha kuwa Lazio imekuwa na mafanikio zaidi katika baadhi ya mechi za hivi karibuni, ingawa matokeo ya mwisho yatategemea maandalizi, nidhamu ya ulinzi na matumizi ya nafasi za kufunga.
Tue, 27 Oct 2026 18:05:00 +0000Niger-Tchad : pourquoi leurs relations se détériorent
Read the full report from the original source.
RecentlyTorino Kukabi COMO 1907, Vita Ya Pointi 3 Serie A
HUKU pointi tatu zinapiganiwa, wewe usikae kinyonge tandika jamvi lako leo wakati Klabu ya Torino itakuwa mwenyeji wa Como 1907 katika mchezo wa ligi kuu ya Italia, Serie A , utakaopigwa leo Jumanne, Oktoba 27, 2026, katika dimba la Stadio Olimpico Grande Torino. Mchezo huo wa raundi ya tisa unatarajiwa kuanza saa 22:45 usiku. Timu zote zinaingia kwenye pambano hilo zikiwa na matokeo mazuri katika michezo yao ya hivi karibuni, hali inayoongeza ushindani katika kuwania pointi tatu muhimu na kukupa wewe mteja wa meridianbet nafasi ya kushinda mkwanja leo. Klabu ya Torino , chini ya kocha Ignazio Abate, imekuwa katika kiwango kizuri baada ya kupata ushindi katika michezo yake mitatu mfululizo ya ligi. Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Parma na wa mabao 3-2 dhidi ya Monza umeongeza matumaini ya timu hiyo kuendelea kupanda kwenye msimamo wa ligi. Torino itahitaji kutumia vizuri faida ya uwanja wa nyumbani na kuwa makini katika safu ya ulinzi ili kuzuia mashambulizi ya Como. Kwa upande wa Como 1907 , kikosi kinachonolewa na Cesc Fàbregas kinaendelea kuonyesha ushindani mkubwa msimu huu. Timu hiyo imekusanya pointi 17 katika michezo yake minane ya awali na imekuwa ikicheza soka lenye umiliki mzuri wa mpira na mashambulizi ya haraka. Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sassuolo katika mchezo uliopita wa ligi umeongeza morali ya kikosi hicho, ambacho kinalenga kuendeleza matokeo mazuri hata kinapocheza ugenini. Katika upande wa wachezaji, Torino inahitaji mchango wa mshambuliaji Ché Adams pamoja na Giovanni Simeone katika kutafuta mabao, huku Nikola Vlašić akitarajiwa kusaidia kuunganisha safu ya kiungo na ushambuliaji. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Como nayo inaweza kutegemea uwezo wa Martin Baturina, Lucas da Cunha na mshambuliaji Tasos Douvikas kuisumbua ngome ya wenyeji. Hata hivyo, uimara wa safu ya ulinzi na matumizi ya nafasi zitakazopatikana vitakuwa muhimu kwa timu zote mbili. Historia ya mikutano yao ya hivi karibuni inaipa Como sababu ya kujiamini, baada ya kuifunga Torino mabao 5-1 katika mchezo wa ugenini msimu uliopita na kushinda 6-0 walipokutana tena. Pamoja na rekodi hiyo, Torino inaingia kwenye mchezo huu ikiwa katika kiwango bora zaidi ikilinganishwa na kipindi hicho. Hivyo, pambano hili linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku Torino ikitaka kulipiza kisasi na Como ikilenga kuendeleza mafanikio yake katika Serie A.
Tue, 27 Oct 2026 05:30:00 +0000Magoli | Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League 27/10/2026
#NBCPL: Alama tatu zimekwenda kwa ‘Wananchi’ Wafungaji upande wa Yanga ni Peter Shalulile na Clement Mzize na upande wa Mashujaa FC ni Crispin Ngushi. FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC Inafuata Dodoma Jiji vs JKT Tanzania saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #YangaSCVSMashujaaFC #YangaSC #MashujaaFC
2026-10-27T17:49:33+00:00EU proposes giving Frontex border agency new major powers
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 591 of 1164 · 23273 stories