Search the region
23220 stories
EXCLUSIVE: Moses Mulimira Engages Saudi Health Attaché, Bill Gates Ahead of 2027 Global Health Summit
Read the full report from the original source.
RecentlyPassaris proposes gender-neutral toilets amid washroom debate
Passaris said leadership must uphold everyone's rights and dignity regardless of sex, gender or gender identity, while also taking into account concerns raised
RecentlyMSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KIBAHA APANIA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA KUPITIA WAWEKEZAJI WA NDANI
Na Victor Masangu,Kibaha Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Dkt.Nicas Mawazo amewahakikishia wawekezaji ambao ni wazawa kuwapatia maeneo kwa ajili ya uwekezaji mbali mbali kwa lengo la kuweza kutoa fursa za ajira kwa vijana na kukuza uchumi wa nchi. Kauli hiyo ameitoa wakati wa halfa ya uzinduzi rasmi wa sehemu maalumu iliyojengwa kwa ajili ya michezo mbali mbali ya kubahatisha iliyopo karibu na stendi ya zamani kata ya maili moja katika jengo la kontena bar Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Sehemu hiyo ambayo ni mradi mkubwa wa Casino ya Kisasa ambayo inamilikiwa na kampuni inayotambulika kwa jina la Cleopatra Tanzania yenye lengo la kuwapa fursa watu wa aina mbali mbali kucheza michezo ya kubahatisha. Akizungumza katika uzinduzi huo Mstahiki Meya Dkt. Mawazo amempongeza mkurugenzi mkuu wa CLEOPATRA Juma Mlali kwa kuweza kuwekeza katika mradi huo ambao utasaidia katika upatikanaji wa fursa za ajira kwa vijana na watu wengine. Aidha amebainisha kwamba uwekezaji huo ni mkubwa na ni moja ya hatua za kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kukuza uchumi kupitia uwekezaji ambao wameufanya. Kadhalika Mstahiki Meya amesema kuwa akiwa meza kuu Mkurugenzi Mtendaji wa CLEOPATRA CASINO Juma Mlali amemweleza kuwa anatamani wapate eneo ili waweze kuwekeza kwa kujenga Kiwanda . "Mimi nashukuru nimeshiriki katika halfa ya uzinduzi huu na kiukweli nimefurahishwa na juhudi zilizofanywa katika uwekezaji huu pia nawakaribisha sana ofisini ili tuweze kuwakopesha na kuwapa eneo la uwekezaji,"amebainisha Mstahiki Meya Naye mkurugenzi mkuu wa CLEOPATRA amebainisha kwamba wanajivunia kwa kutoa ajira kwa vijana wengi katika mikoa yote nchini ."Tuna matawi nchi nzima na tumetoa ajira 400 na kwa upande wa uwekezaji tutaanza kujenga Kiwanda kwa ajili ya kutengeneza vinywaji mbalimbali" amebainisha Mkurugenzi Mlali. Kwa upande wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa CLEOPATRA Asha Simba amesema kwa sasa wana maduka yapatayo zaidi ya 53 ambayo yapo katika mikoa mbali mbali ya Tanzania. Nao baadhi ya vijana ambao walishiriki katiks uzunduzi huo wamepongeza juhudi za uwekezaji huo wa kuwepo na sehemu ya kisasa ambayo imetengwa kwa ajili ya michezo ya kubahatisha ambapo wameweza kupata fursa za ajira.
Mon, 26 Oct 2026 15:08:17 +0000Chlöe and Monaleo Turn Timbaland’s “Main Attraction” Into A Sonic Tour de Force
Entertainment · 6 hours ago
RecentlyBALOZI OMAR AMEIAGIZA TRA KUJIWEKA TAYARI KUTOA HUDUMA BANDARI YA MANGAPWANI
Na. Benny Mwaipaja, Mangapwani, ZANZIBAR. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Shirika la Bandari Zanzibar, kuanza mapema maandalizi ya vifaa, mifumo na watumishi watakaohitajika kutoa huduma katika Bandari Jumuishi ya Mangapwani ili kuhakikisha inaanza kufanya kazi kwa ufanisi mara tu ujenzi wake utakapokamilika. Mhe. Balozi Omar ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara yake katika Mradi wa Ujenzi wa Bandari Jumuishi ya Mangapwani, Zanzibar, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo wa kimkakati na kujionea hatua zilizofikiwa, pamoja na kutathmini maandalizi ya taasisi zitakazohusika katika utoaji wa huduma bandarini hapo.ikiwemo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Amesema Bandari ya Mangapwani ni miundombinu muhimu ya kimkakati kutokana na uwezo wake wa kuhudumia meli kubwa ujenzi wake utakapo kamilika mwaka 2028, hivyo inatarajiwa kuwa kituo muhimu cha shughuli za forodha na chanzo cha mapato ya Serikali kupitia ushuru wa forodha. “Pamoja na ujenzi wa miundombinu ya bandari, ni muhimu taasisi zote zinazohusika na utoaji wa huduma kuhakikisha zinapanga kwa pamoja mahitaji yao ili kuepusha bandari kukamilika huku vifaa na mifumo muhimu ya uendeshaji ikiwa haijakamilika” alisema Mhe. Balozi Omar Aidha, amesisitiza umuhimu wa Shirika la Bandari Zanzibar na TRA kuoanisha ratiba zao za utekelezaji ili kuhakikisha huduma zinatolewa kwa wakati na shughuli za bandari zinafanyika kwa ufanisi. Mhe. Balozi Omar alieleza kuridhishwa na taarifa ya maendeleo ya mradi iliyobainisha kuwa ujenzi umefikia takribani asilimia 20, hatua inayolingana na matarajio ya utekelezaji kwa kipindi husika, huku mkandarasi akiendelea na kazi katika eneo la mradi. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar, Bw. Akif Ali Khamis, amesema Bandari Jumuishi ya Mangapwani ni miongoni mwa miradi muhimu inayotarajiwa kuchochea ukuaji wa uchumi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kwa kuimarisha shughuli za biashara na usafirishaji wa shehena ya mizigo. Alisema ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ni muhimu katika kuhakikisha bandari hiyo inakuwa kitovu cha biashara na inatoa mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi. Bw. Khamis alieleza kuwa ziara ya Waziri wa Fedha imekuwa fursa ya taasisi husika kujadili maendeleo ya ujenzi, kutambua changamoto zinazoweza kujitokeza na kuweka mikakati ya mapema ya kukamilisha maandalizi ya miundombinu na huduma zitakazohitajika bandarini hapo. Alitaja baadhi ya mahitaji muhimu kuwa ni miundombinu ya kuhifadhi mizigo, vifaa vya ukaguzi wa mizigo ikiwemo midaki (scanners), pamoja na mifumo na vifaa vya TRA, vitakavyowezesha shughuli za forodha na usafirishaji wa mizigo ya transshipment kufanyika kwa ufanisi na bila usumbufu usio wa lazima. “Bandari hii ya Mangapwani inatarajiwa kukamilika Septemba 2028 na kukabidhiwa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, na awamu ya kwanza itakuwa na uwezo wa kuhudumia takribani makontena 250,000 hadi 300,000 kwa mwaka, pamoja na tani 500,000 hadi milioni moja za mizigo ya kawaida isiyohifadhiwa kwenye makontena” alisema Bw. Khamis. Aliongeza kuwa bandari hiyo ina uwezo wa kupanuliwa katika awamu zijazo kupitia upanuzi wa maeneo ya kuhifadhi mizigo na miundombinu mingine, hatua itakayoongeza uwezo wake wa kuhudumia biashara na mizigo kwa kadiri mahitaji yatakavyoongezeka. Bw. Khamis alisema ujenzi wa bandari hiyo unatarajiwa kuimarisha uwezo wa Zanzibar katika kuhudumia biashara ya kimataifa, kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa mizigo na kufungua fursa mpya za uwekezaji, na Kukamilika kwa mradi huo, sambamba na maandalizi ya mapema ya taasisi zinazohusika, kunatarajiwa kuweka mazingira bora ya uendeshaji wa bandari na kuongeza mchango wake katika mapato na ukuaji wa uchumi wa nchi. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar, Bw. Akif Ali Khamis (kulia), wakati alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Bandari Jumuishi ya Mangapwani, Zanzibar, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo wa kimkakati na kujionea hatua zilizofikiwa, pamoja na kutathmini maandalizi ya taasisi zitakazohusika katika utoaji wa huduma bandarini hapo ikiwemo Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kushoto), akizungumza jambo wakati alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Bandari Jumuishi ya Mangapwani, Zanzibar, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo wa kimkakati na kujionea hatua zilizofikiwa, pamoja na kutathmini maandalizi ya taasisi zitakazohusika katika utoaji wa huduma bandarini hapo. Wa pili kushoto ni Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Bw. Mcha Hassan Mcha, na Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar, Bw. Akif Ali Khamis (kulia). (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Zanzibar)
Mon, 26 Oct 2026 15:05:45 +0000Big Development: High Court Reverses TAT Decision in Favour of URA in Shs13.9bn Rice Importers’ Interest Dispute
Read the full report from the original source.
RecentlyCourt dismisses Nicco Movers' bid to overturn PSV license suspension
Read the full report from the original source.
RecentlyQatar Airways partners with African culinary talent Chef Dieuveil Malonga
Read the full report from the original source.
RecentlyAPA acquires two insurance firms in Tanzania
Read the full report from the original source.
RecentlyVictoire tactique du Real Madrid au Camp Nou
Imagine le Camp Nou ce dimanche 25 octobre 2026. Une lumière d'hiver qui tombe à pic sur la pelouse, et surtout cet air électrique à la veille du Ballon d'Or. On sentait que tout allait se jouer là, que Paris n'était pas digéré, que Madrid venait pour tuer. Quatre-vingt-dix mille gorges qui voulaient oublier. Parce que mardi 20 octobre 2026, le Barça s'était fait gifler là où ça fait mal. Au Parc des Princes. 4-2 contre Paris. Pas une défaite, une humiliation. La première de sa saison. Neuf victoires en neuf journées de Liga jusque-là, une forteresse à domicile, et d'un coup le vernis qui craque. En face, Madrid débarque en costume sombre. Sur le banc, un revenant : José Mourinho. Treize ans sans Clasico. Toujours le même visage fermé, le même manteau. En tribune, Vinicius, suspendu, ronge son frein.
Mon, 26 Oct 2026 14:48:11 +0000L’Union africaine salue le courage et le professionnalisme du contingent burundais
Le Représentant spécial du Président de la Commission de l’Union africaine pour la Somalie (SRCC), l’Ambassadeur El Hadji Ibrahima Diene, a effectué une visite de travail, le 7 octobre 2026, au Secteur 5 de l’AUSSOM, tenu par le contingent burundais et basé...
Mon, 26 Oct 2026 14:40:21 +0000Chicken Hot Run Yakusogezea Joto La Ushindi Meridianbet
MASHABIKI wa michezo ya kasino mtandaoni yenye msisimko, sasa ni wakati wa kuongeza spidi ndani ya Meridianbet . Safari mpya ya kusisimua imewadia kupitia Chicken Hot Run, mchezo unaotengenezwa na Expanse Studios na kuleta mchanganyiko wa kasi, umakini na changamoto zinazohitaji maamuzi ya haraka. Huu si wakati wa kusinzia, kwani kila sekunde ina nafasi ya kubadilisha matokeo ya safari yako. Katika Chicken Hot Run, kazi yako ni kukimbia kwa kasi, kukwepa vikwazo vinavyokukabili na kukusanya vitu muhimu vinavyojitokeza njiani. Kila hatua inakupa changamoto mpya inayokulazimisha kuwa makini na kufanya maamuzi kwa wakati sahihi. Unapokuwa uwanjani, unaweza kuwa na nafasi nyingi za kufunga bao, lakini sekunde moja ya kupoteza umakini inaweza kubadilisha kila kitu. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Uzuri wa Chicken Hot Run ni namna unavyokuweka ndani ya safari yenye msisimko kuanzia mwanzo hadi mwisho. Unapoendelea kukimbia, vikwazo vinahitaji umakini zaidi, huku hamu ya kufika mbali ikikupa sababu ya kujaribu tena. Ni kama mshambuliaji anayepambana kuvuka safu ya ulinzi ili kufika langoni, ambapo kila uamuzi una umuhimu wake. Kukwepa kwa wakati, kukusanya vitu vinavyopatikana njiani na kuendelea mbele kunakupa nafasi ya kujaribu kuongeza alama zako. Meridianbet inaendelea kuwaletea wapenzi wa burudani michezo mbalimbali inayochanganya ubunifu na msisimko, na Chicken Hot Run ni sehemu ya burudani hiyo. Kupitia ubunifu wa Expanse Studios , mchezo huu unakualika kuingia kwenye ulimwengu wa mbio zenye changamoto, ambapo umakini na maamuzi ya haraka ni sehemu muhimu ya uzoefu wako. Sasa ni wakati wa kuwasha moto na kuipa kasi safari yako kupitia Chicken Hot Run ndani ya Meridianbet. Jiunge na burudani hii, kimbia, kwepa vikwazo na kusanya vitu muhimu huku ukijaribu kufikia alama ya juu zaidi. Kila hatua ni changamoto mpya, na kila jaribio ni nafasi ya kuona unachoweza kufanya. Tembelea Meridianbet , chunguza mchezo huu na ufurahie burudani hii.
Mon, 26 Oct 2026 06:00:00 +0000Court Upholds Kyarikunda’s Election as Mbarara Woman MP
Read the full report from the original source.
RecentlyIn Court, Riek Machar Denies Commanding White Army
Read the full report from the original source.
RecentlyMoH clears first 20 Ebola contacts to return home
The Ministry of Health said on Monday that the individuals were in good health and posed no risk to their families and communities
RecentlyLa Laliga Kumewaka, Sevilla Dhidi ya Osasuna
MACHO ya mashabiki wa soka nchini Hispania yataelekezwa katika dimba la Sevilla, ambapo Sevilla FC itakuwa mwenyeji wa CA Osasuna katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania (LaLiga), unaotarajiwa kuanza saa 17:00 Jioni. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku kila timu ikihitaji matokeo mazuri ili kuimarisha nafasi yake katika msimamo wa ligi. Sevilla wataingia katika mchezo huo wakitafuta kutumia faida ya kucheza nyumbani, ambako watahitaji kuungwa mkono na mashabiki wao ili kupata matokeo chanya. Timu hiyo inahitaji kuwa makini katika kutumia nafasi za kufunga na kuepuka makosa ya kujilinda ambayo yanaweza kuwapa wapinzani nafasi ya kupata mabao. Kwa upande wa Osasuna , timu hii unaingia kwenye mchezo huu huku ikiwa na matumaini ya kuendeleza matokeo mazuri baada ya kuifunga Racing Santander mabao 2-0 katika mchezo wake uliopita. Ushindi huo unaweza kuwapa wachezaji morali ya kupambana dhidi ya Sevilla, huku mshambuliaji Ante Budimir akiwa miongoni mwa wachezaji wanaoweza kuwa tishio kwa safu ya ulinzi ya wenyeji kutokana na uwezo wake wa kutumia nafasi za kufunga. Takwimu za msimu zinaonyesha Sevilla ikiwa na pointi 14 baada ya michezo tisa, huku Osasuna ikiwa na pointi 11 katika idadi hiyo hiyo ya michezo. Hata hivyo, Sevilla inahitaji kuboresha safu yake ya ulinzi baada ya kuruhusu mabao mengi katika baadhi ya michezo ya hivi karibuni, wakati Osasuna nayo italazimika kuwa imara ili kuzuia mashambulizi ya wenyeji. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kwa ujumla, pambano hili linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na umuhimu wa pointi tatu kwa timu zote mbili. Sevilla itajaribu kutumia faida ya uwanja wa nyumbani, lakini Osasuna inaweza kuwa mpinzani mgumu ikiwa itatumia vizuri nafasi zake za kushambulia.
Mon, 26 Oct 2026 05:00:00 +0000Kadogosa orders contractor to fast-track Kahama–Kakola road project
KAHAMA: The Minister for Works, Masanja Kadogosa, has directed the contractor building the Kahama–Bulyanhulu Junction–Kakola road to accelerate construction and…
RecentlyWomen ‘first to suffer’ under siege, first to step up as frontline responders in Sudan
Read the full report from the original source.
RecentlySifuna: Serbia, Brazil polls give me hope for '27 miracle
Sifuna says recent political developments abroad have encouraged him as opposition leaders prepare to challenge President Ruto
RecentlyWanafunzi Babati watakiwa kutoa elimu ya uhifadhi na mabadiliko ya tabia nchi vijijini
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 614 of 1161 · 23220 stories