Unganishwa

Search the region

23175 stories

Uncategorized · Chimpreports

Ugandans Returning from DRC to be Quarantined 21 Days

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Lula wins fourth term as Brazil president in shock comeback against Flavio Bolsonaro

Latest · News

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Waziri Homera ahimiza kasi ya utekelezaji wa mradi umeme Songea – Tunduru na Tunduru Masasi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Meridianbet Wakuletea Play With Kevin Yenye Zawadi Nono Zaidi Ya Tsh. Bilioni 3.7

MASHABIKI wa burudani za kidijitali wana sababu mpya ya kuongeza msisimko kupitia Meridianbet , ambayo kwa kushirikiana na Pragmatic Play imezindua kampeni ya PLAY with KEVIN, yenye thamani ya jumla ya TSh. 3,750,000,000/= katika zawadi. Hii ni fursa inayowaleta pamoja wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni katika safari ya burudani inayohitaji ushiriki na bahati ya kufungua zawadi. Kama ilivyo kwa mashindano makubwa ya michezo, kila hatua ni muhimu, na safari hii herufi tano za jina KEVIN ndizo funguo za kuelekea kwenye zawadi. Kupitia kampeni hii, wachezaji wanatakiwa kucheza michezo teule ya Pragmatic Play ili kupata nafasi ya kukusanya herufi K-E-V-I-N. Kila dau linaweza kutoa herufi kwa bahati, hivyo kufanya kila hatua kuwa sehemu ya safari ya kukamilisha jina hilo. Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia kiwango cha chini cha dau kinachotumika kwa kila mchezo unaoshiriki, kwani masharti ya mchezo husika ndiyo yanayoongoza ushiriki katika kampeni hii. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Msisimko unafikia hatua nyingine pale mchezaji anapofanikiwa kukusanya herufi zote tano na kukamilisha neno KEVIN. Baada ya hapo, hatua inayofuata ni kuchagua sanduku moja kati ya masanduku ya zawadi ili kufichua zawadi ya Chips za bure atakazopata kwa bahati. Hapo ndipo burudani inapochukua sura mpya, kwani zawadi itakayofichuliwa inategemea matokeo ya bahati nasibu. Kwa hiyo, safari hii inachanganya burudani ya michezo ya kidijitali na msisimko wa kusubiri kujua kilichofichwa ndani ya sanduku ulilochagua. Katika zawadi zinazoweza kupatikana, wachezaji wana nafasi ya kushinda vifurushi viwili vilivyotajwa vya Chips. Kundi la kwanza linajumuisha zawadi 10 za Chips zenye thamani ya TSh. 600 kila moja, sawa na jumla ya TSh 6,000, huku kundi la pili likiwa na zawadi 50 za Chips zenye thamani ya TSh. 600 kila moja, sawa na jumla ya TSh. 30,000. Ni muhimu kufahamu kuwa mchezaji anaweza kushinda zawadi zisizozidi mbili katika kipindi chote cha kampeni. Kupitia ushirikiano huu na Pragmatic Play, Meridianbet inaendelea kuwapa wateja wake nafasi ya kufurahia burudani mbalimbali za kidijitali kupitia kampeni zenye vipengele vya kipekee. PLAY with KEVIN inakualika kujaribu bahati yako, kukusanya herufi tano na kufichua zawadi yako.

Sun, 25 Oct 2026 04:53:00 +0000
Health · Issa Michuzi

Benki ya Exim Tanzania Yatoa Elimu na Huduma za Uchunguzi wa Saratani ya Matiti Bila Malipo

Benki ya Exim Tanzania kupitia programu ya Exim Cares, imefanya zoezi la uhamasishaji kuhusu saratani ya matiti lililowapa fursa wafanyakazi na wanajamii inayowazunguka kupata elimu na huduma ya uchunguzi wa saratani ya matiti bila malipo katika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam. Zoezi hilo ni sehemu ya maadhimisho ya Mwezi wa Uhamasishaji kuhusu Saratani ya Matiti, unaoadhimishwa kila Oktoba, kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu ugonjwa huo na kuhimiza utambuzi wa mapema. Kupitia wataalamu kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, washiriki walipata elimu kuhusu dalili na mabadiliko yanayoweza kuashiria saratani ya matiti, umuhimu wa tathmini ya kitabibu na hatua za kuchukua wanapobaini mabadiliko yasiyo ya kawaida, huku juhudi zikilenga pia kupunguza hofu na dhana potofu zinazoweza kuchelewesha upatikanaji wa huduma za afya. Kwa mwaka 2026, Mwezi wa Uhamasishaji kuhusu Saratani ya Matiti unaambatana na kaulimbiu “Kila simulizi ni ya kipekee, kila hatua ina thamani”, inayosisitiza umuhimu wa taarifa sahihi, huduma zinazofaa na msaada kwa watu walioathiriwa na ugonjwa huo. Hatua hiyo inakuja wakati saratani ya matiti ikiendelea kuwa changamoto ya afya duniani na nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Saratani (IARC), katika makadirio yake ya mwaka 2024, visa vipya takribani milioni 2.43 vya saratani ya matiti vilitokea duniani. Nchini Tanzania, wanawake takribani 3,024 walikadiriwa kugundulika na ugonjwa huo, huku vifo 1,492 vikikadiriwa kutokana na saratani ya matiti katika mwaka huo. Aidha, kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), kiwango cha kuishi kwa angalau miaka mitano baada ya kugundulika na saratani ya matiti kilikadiriwa kuwa asilimia 77.8 duniani, ikilinganishwa na asilimia 39.1 katika Kanda ya Afrika ya WHO, kwa wanawake waliogundulika kati ya mwaka 2017 na 2021. Takwimu hizi zinasisitiza umuhimu wa utambuzi wa mapema na upatikanaji wa huduma za uchunguzi na matibabu kwa wakati ili kuboresha matokeo ya matibabu na kupunguza vifo. Akizungumzia ushiriki wa benki katika juhudi hizo, Meneja Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Kauthar D’souza, alisema afya na ustawi wa wafanyakazi wa benki na jamii kwa ujumla ni sehemu muhimu ya mchango wa benki kupitia mpango wa Exim Cares. “Afya ya jamii inahitaji ushirikiano na hatua za pamoja. Kupitia Exim Cares, tunaunga mkono juhudi zinazowasaidia wafanyakazi wetu na jamii kupata taarifa sahihi kuhusu afya na kuelewa umuhimu wa kuchukua hatua kwa wakati. Tunaamini kuwa kuongeza uelewa kuhusu saratani ya matiti ni sehemu muhimu ya kuhimiza utunzaji wa afya na upatikanaji wa huduma zinazofaa,” alisema D’souza. ''Kwa mujibu wa WHO, takribani asilimia 80 ya saratani ya matiti hutokea kwa wanawake wasio na vihatarishi maalumu vinavyojulikana isipokuwa kuwa mwanamke na kuongezeka kwa umri. Hivyo, kutokuwa na historia ya saratani ya matiti katika familia hakumaanishi kuwa mtu hawezi kupata ugonjwa huo, jambo linalosisitiza umuhimu wa kufahamu mabadiliko ya mwili na kutafuta ushauri wa kitaalamu inapohitajika'', aliongeza. Kwa upande wake, Dactari Maguha Stephano, mwakilishi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road alisema kuwa kuelimisha jamii na kuhamasisha watu kutafuta huduma za afya mapema ni sehemu muhimu ya juhudi za kukabiliana na saratani ya matiti. “Ni muhimu jamii kupata taarifa sahihi kuhusu saratani ya matiti na kutoruhusu hofu au dhana potofu kuwazuia kutafuta huduma za afya. Watu wanapaswa kufahamu mabadiliko ya miili yao na kutafuta ushauri wa kitaalamu wanapobaini mabadiliko yasiyo ya kawaida, kama vile uvimbe kwenye titi au kwapani, au mabadiliko kwenye ngozi ya titi au chuchu. Tathmini ya kitabibu kwa wakati husaidia kuharakisha utambuzi na hatua zinazofaa,” alisema. Exim Cares ni programu ya uwajibikaji kwa jamii ya Benki ya Exim Tanzania inayolenga kuboresha maisha kupitia juhudi katika sekta za afya, elimu, mazingira, ubunifu na elimu ya fedha. Katika sekta ya afya, benki imekuwa ikiunga mkono kampeni za uchangiaji damu kwa kushirikiana na Huduma ya Taifa ya Damu Salama (NBTS), kuimarisha huduma za afya hospitalini kupitia msaada wa vifaa tiba na kuboresha mazingira kwaajili ya wagonjwa wenye changamoto ya afya ya akili. Juhudi hizi zinaonesha dhamira ya benki katika kuendeleza afya na ustawi wa jamii. Benki ya Exim Tanzania inawahimiza wafanyakazi wake na jamii kwa ujumla kufanya utunzaji wa afya kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, kupata ushauri wa kitaalamu kuhusu uchunguzi unaofaa na kutochelewa kutafuta huduma za afya wanapobaini mabadiliko yasiyo ya kawaida. Meneja Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Kauthar D’souza, akiwa katika hatua moja wapo ya uchunguzi wa saratani ya matiti wakati wa zoezi la uhamasishaji lililoandaliwa na benki hiyo kupitia programu ya Exim Cares kwa kutumia wataalamu kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Oktoba 2026. Zoezi hilo liliwapa wafanyakazi wa benki na wanajamii inayowazunguka kupata elimu na huduma ya uchunguzi bila malipo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Mwezi wa Uhamasishaji kuhusu Saratani ya Matiti, unaoadhimishwa kila Oktoba, kwa lengo la kuhamasisha utambuzi wa mapema na matumizi ya taarifa sahihi za afya

Mon, 26 Oct 2026 04:55:17 +0000
Uncategorized · Capital FM

15-year-old girl, 16-year-old brother killed in ordinance explosion in Garissa

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Lula remporte les élections au Brésil, mais se retrouve face à un Congrès hostile et un pays divisé

Le président Lula a remporté une victoire surprise, mais il devra faire face à un Congrès hostile et à un pays polarisé.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Police rescue 59 Ethiopians, including four-year-old child, in Marsabit smuggling operation

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Nabakooba, Attorney General assure Matugga landowners of full compensation before relocation as govt acquires 600 acres for Dei BioPharma

MATUGGA — Lands Minister Judith Nabakooba and Attorney General Sam Mayanja have assured landowners in Matugga, Wakiso District, that they will be fully compensated before relocating to make way for…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

MATHIAS LUTWAMA: How Museveni’s NUSAF 4 Program is a Miracle Cure For Growth Deficit

Owing to the new glorious times, per the sanctified agenda of His Excellency President Museveni, that is transiting Uganda from a class of peasantry to a middle income economy, the…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto: Gen Z revolt sponsors peddling fake livestream ban

Ruto questioned why anyone would seek to abolish live streaming of poll results, insisting transparency in the process was critical to safeguarding democracy

Recently
Uncategorized · UBC

PRAU Crowns 50th Anniversary Celebrations with 10th PRAU Excellence Awards

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Tuzo ya Ballon d’Or ina wenyewe

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Issa Michuzi

Pesa Hiyoo; Manchester United dhidi ya Bournemouth

MACHO ya mashabiki wa soka yataelekezwa kwenye dimba la Old Trafford leo Jumapili, Oktoba 25, 2026, ambapo Manchester United itakuwa mwenyeji wa Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England (EPL), utakaopigwa saa 17:00. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku kila timu ikihitaji matokeo mazuri ili kujiimarisha katika msimamo wa ligi. Manchester United inaingia katika mchezo huo ikiwa na dhamira ya kutumia faida ya kucheza nyumbani kupata pointi tatu muhimu. Kikosi hicho kinahitaji kuonyesha umakini katika safu ya ulinzi na ubunifu katika ushambuliaji ili kuweza kuwadhibiti wapinzani wao. Kwa upande wa Bournemouth, timu hiyo haitakuwa tayari kwenda Old Trafford kwa ajili ya kujilinda pekee, hasa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sunderland katika mchezo wake uliopita wa ligi. Wachezaji kama Marcus Tavernier na Evanilson wanatarajiwa kuwa miongoni mwa silaha muhimu za kuisumbua ngome ya Manchester United. Hata hivyo, Bournemouth italazimika kuwa makini katika ulinzi ili kuepuka kuruhusu wenyeji kupata mabao kwa urahisi. Hali ya Manchester United katika michezo ya hivi karibuni inaonyesha kuwa bado inahitaji kuboresha matokeo yake. Katika mechi tano za mwisho za ligi kabla ya pambano hili, United imepata sare nne na kupoteza mchezo mmoja, huku ikitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Leeds United. Hali hiyo inaongeza umuhimu wa mchezo wa Jumapili, kwani ushindi mbele ya mashabiki wake unaweza kuipa timu hiyo nguvu mpya na kuimarisha matumaini yake ya kupanda katika msimamo wa ligi. Kwa ujumla, pambano hili linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na mahitaji ya pointi kwa timu zote mbili. Manchester United itategemea faida ya uwanja wa nyumbani na ubunifu wa safu yake ya ushambuliaji, wakati Bournemouth itajaribu kutumia nafasi za kushambulia na makosa ya wapinzani. Swali kubwa ni kama United itaweza kurejea kwenye ushindi au Bournemouth itaondoka Old Trafford na matokeo mazuri. Majibu yatapatikana baada ya dakika 90 za mchezo huo wa EPL.

Sun, 25 Oct 2026 04:32:00 +0000
Uncategorized · UBC

PRAU Crowns 50th Anniversary Celebrations with 10th PRAU Excellence Awards

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kalonzo claims people are being paid to divide opposition, defends Gachagua visit

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Joto kali, mvua na upepo waharibu mamia ya nyumba

Read the full report from the original source.

Recently
National · Capital FM

Opposition Leaders Warn Elections Bill Could Undermine Transparency Ahead of 2027 Poll

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · Isango Star

Lula da Silva yongeye gutorerwa kuyobora Brazil, umuhungu wa Bolsonaro ntiyemera ibyavuye mu matora

Luiz Inácio Lula da Silva yongeye gutorerwa kuyobora Brazil muri manda y’imyaka ine, nyuma yo gutsinda Flavio Bolsonaro n’amajwi 51,8% kuri 48,2% mu matora ya Perezida yabaye ku wa 25 Ukwakira (10) 2026. Flavio Bolsonaro, umuhungu wa wahoze ari Perezida wa Brazil, Jair Bolsonaro, yatangaje ko agiye gusaba ko amatora aseswa, avuga ko hari ibikeneye gusobanurwa ku byavuye mu matora.

Mon, 26 Oct 2026 06:12:16 +0200
Uncategorized · CEO East Africa

Inside the Private Wealth of Deceased Former Bank of Uganda Governor Emmanuel Tumusiime-Mutebile

Read the full report from the original source.

Recently

Page 629 of 1159 · 23175 stories