Search the region
23151 stories
Gabonese Football: Regularizing Clubs Opens the Door to Private Investors
Read the full report from the original source.
RecentlyDe Zerbi hails 'complete' Spurs after historic win at Chelsea
Read the full report from the original source.
RecentlyMbadi: Ruto has more Gen Z support than Sifuna
The CS made a bold claim about Ruto’s standing among different age groups, saying the President enjoyed substantial support among young voters
RecentlyTreasury eyes Sh42bn toll deals for Nairobi, Mombasa bypasses
Read the full report from the original source.
RecentlyIndia, South Africa push back against growing US pressure
Latest · World
RecentlyGarissa youth warned against fraudulent overseas recruitment agents
Read the full report from the original source.
RecentlyYAS YAWAJENGEA UWEZO WANAWAKE 150 MWANZA KUINGIA MASOKO YA KIMATAIFA
Mafunzo ya biashara, usafirishaji wa bidhaa na malipo salama yalenga kuwasaidia wajasiriamali wanawake kupanua masoko yao nje ya nchi. Mwanza, Tanzania – Wanawake wajasiriamali 150 kutoka Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wamepatiwa mafunzo ya namna ya kupanua biashara zao na kufikia masoko ya kimataifa kupitia teknolojia na ujuzi wa biashara, katika juhudi za kuongeza fursa zao za kiuchumi na ushindani wa bidhaa zinazozalishwa nchini. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania kwa kushirikiana na taasisi ya Apps and Girls, yamelenga kuwajengea washiriki uwezo wa kutafuta wateja nje ya nchi, kuelewa taratibu za kusafirisha bidhaa na kutumia njia salama za kupokea malipo kutoka kwa wanunuzi wa kimataifa. Hatua hiyo inalenga kuwasaidia wanawake wajasiriamali kuona fursa za kibiashara zaidi ya masoko wanayoyafikia kwa sasa, huku wakijengewa uelewa wa vitendo unaoweza kuwasaidia kujiandaa kuingia katika biashara ya kimataifa. Akizungumza wakati wa warsha hiyo, Meneja wa Mahusiano ya Nje wa Yas Tanzania, Rukia Mtingwa, amesema kampuni hiyo inaamini kuwa kuwawezesha wanawake kwa kuwapatia maarifa na ujuzi sahihi ni hatua muhimu katika kukuza biashara zao na kuwafungulia milango ya fursa mpya za kiuchumi. “Lengo letu ni kumuinua mwanamke mjasiriamali kiuchumi kwa kumpatia maarifa na ujuzi utakaomwezesha kukuza biashara yake na kuvuka mipaka ya eneo alilopo. Tunataka wanawake waone kuwa bidhaa zao zinaweza kupata wateja katika masoko ya nje ya nchi, ikiwa watajipanga vizuri na kutumia fursa zinazopatikana kupitia teknolojia,” amesema Mtingwa. Amesema Mwanza ni mkoa wa pili kufikiwa na mafunzo hayo baada ya Dar es Salaam, huku Yas Tanzania ikijipanga kufika katika mikoa mingine kwa awamu ili kuwafikia wanawake wengi zaidi wenye nia ya kukuza biashara zao. Kwa upande wake, Mwanzilishi Mwenza wa Apps and Girls, Maria Nyangi, amesema mafunzo hayo yanalenga kuwajengea wanawake uwezo wa kuendesha biashara kwa kujiamini zaidi, kuelewa mahitaji ya wateja na kutumia mbinu zinazoweza kuongeza uwezekano wa bidhaa zao kupata soko. Amesema pamoja na kuwa na bidhaa bora, wajasiriamali wanahitaji kujua namna ya kuziwasilisha kwa wateja, kuwashawishi kufanya manunuzi na kujenga uhusiano wa kibiashara unaoweza kusaidia biashara zao kukua kwa muda mrefu. Katika kuimarisha uelewa wa washiriki kuhusu fursa za biashara na mahitaji ya kisheria, Afisa Masoko wa Bodi ya Nyama Tanzania, Kanda ya Ziwa, Patrick Muro, amewahimiza wanawake kuchangamkia fursa zilizopo katika tasnia ya nyama, akieleza umuhimu wa kutambua fursa zinazoweza kuwasaidia kupanua shughuli zao za kiuchumi. Naye Dotto Emmanuel kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko amesisitiza umuhimu wa wafanyabiashara kujisajili kwa mujibu wa sheria na kuzingatia taratibu zinazohusika na biashara zao, hatua inayoweza kuwasaidia kufanya shughuli zao katika misingi rasmi na kujiandaa kwa fursa pana zaidi za kibiashara. Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo wameishukuru Yas Tanzania kwa kudhamini mafunzo hayo, wakisema yamewaongezea maarifa na hamasa ya kutimiza ndoto zao za kuuza bidhaa katika masoko ya nje ya nchi. Wamesema elimu waliyoipata imewawezesha kutambua kuwa kupanua biashara hakutegemei tu kuwa na bidhaa, bali pia kuelewa mahitaji ya soko, kupata wateja, kufahamu taratibu za usafirishaji na kuhakikisha malipo yanafanyika kwa usalama. Kupitia ushirikiano huo, Yas Tanzania na Apps and Girls zinaendelea kuweka msisitizo katika kuwawezesha wanawake kwa maarifa yanayoweza kuwasaidia kutumia fursa za teknolojia na biashara, kukuza shughuli zao na kuongeza ushiriki wao katika uchumi.
Sun, 25 Oct 2026 03:30:00 +0000Almost 1,000 arrested as clashes follow another day of mass protests across France
NATIONAL NEWS · 4 hours ago
RecentlyOPINION: One country, two systems: Why Hong Kong’s future is tied to China’s development
Latest · Fifth Estate
RecentlyBrazil votes in tight runoff between Lula and Bolsonaro
Read the full report from the original source.
Recently22 Dead in Head-On Bus-Lorry Collision Along Mombasa Road
NATIONAL NEWS · 4 hours ago
RecentlyPhoto exhibition in Kenya to mark 81st anniversary of Taiwan’s restoration
Latest · World
RecentlyTANESCO kufunga transfoma mpya kuimarisha hali ya upatikanaji wa umeme Kigamboni
Read the full report from the original source.
RecentlyNo LeBron, no problem as Sixers roll on
Read the full report from the original source.
RecentlyTwo rescued after Nairobi building collapse with five still missing
Kenya · 4 hours ago
RecentlyDCP sets tough entry conditions for defectors
The party has barred politicians who campaigned for UDA in Ol Kalou and ruled out direct nominations, setting tough entry rules ahead of the 2027 polls.
RecentlyQui sont les "citoyens palestiniens d'Israël" et pourquoi pourraient-ils détenir la clé pour destituer Netanyahu ?
Le mécontentement a traditionnellement été un facteur ayant réduit la participation électorale des Arabes israéliens. Toutefois, lors de ces élections, il existe une forte volonté de battre la coalition de droite actuell
RecentlyIndia news: Andhra, Odisha brace for severe storm
Read the full report from the original source.
RecentlySaudi Arabia looks to US for an AI edge as Yemen's Houthis up pressure
Read the full report from the original source.
RecentlyLet Ruto lead, Wahome tells Uhuru
Lands CS invokes Raila Odinga's cooperation with Ruto as an example of political reconciliation after electoral competition.
RecentlyPage 639 of 1158 · 23151 stories