Search the region
22505 stories
IKIBIRIRAHO , Ubwato bw’intambara bw’Uburusiya bwononekaye cane mu gitero bikekwa ko cakozwe na drone muri Libya
Abategetsi ba Libya ntibavuga uwoba ari inyuma y’ico gitero, ariko amakuru avuga ko abahinga ba Ukraine mu vy'amadrone bariko bakorera mu buseruko bwa Libya.
RecentlyAbamotari, abapolisi n’abacuruzi bo mu masoko bagiye guhugurwa mu gutabara indembe
Read the full report from the original source.
RecentlyKenyan women earn but struggle to save, build wealth
Federation of Kenya Employers found that women in formal employment take home only 68 per cent of what men in the same positions earn
RecentlySowah afichua siri ya kuiua Azam
Read the full report from the original source.
RecentlyGukemura ikibazo cya FDLR ni ingenzi mu kugarura amahoro mu karere k'ibiyaga bigari - Minisitiri Biruta
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto dilemma as Kindiki keeps trouncing rivals in DP race
DP enjoys commanding lead in opinion polls as allies push alternative candidates, exposing delicate succession politics within Kenya Kwanza.
RecentlyGuterres laments COP31 outcome, urges climate justice from Barbados
Read the full report from the original source.
RecentlyTerror cells alive in new neighbourhoods, state warns in Ruto report
Security agencies flag emerging radicalisation in six counties outside traditional hotspots as terror incidents rise with active shooter incidents up by 61%
RecentlyRunUp yegukanye igihembo cy’indirimbo ifite amashusho meza muri Afurika muri Galsen Urban Awards
Read the full report from the original source.
RecentlyPochettino demands response from 'painful' Man Utd debut
Read the full report from the original source.
RecentlyFrench protesters rally for sixth weekend over living costs, public services
Read the full report from the original source.
RecentlyUJUZI WA VIJANA WA KITANZANIA WANG’ARA KATIKA MASHINDANO YA OLIMPIKI YA UJUZI AFRIKA
Na Chalila Kibuda, Michuzi TV SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejivunia umahiri ulioonyeshwa na vijana wanaosoma elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi nchini katika mashindano ya kimataifa ya ufundi (Olympics) yaliyofanyika nchini Algeria. Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi wa Wizara hiyo, Dkt. Fredrick Salukele, amesema vijana walioshiriki mashindano hayo wameonyesha uwezo mkubwa, huku hakuna mshiriki wa Tanzania aliyeshika nafasi za mwisho katika mashindano hayo. Akizungumza mara baada ya kuwasili nchini, Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Fredrick Salukele, ambaye pia ni Mwakilishi Rasmi (Official Delegate), amesema ushiriki huo umeonesha kuwa Tanzania ina vijana wenye ujuzi na uwezo wa kushindana katika viwango vya kimataifa. Dkt. Salukele ameyasema hayo wakati wa kuwasili nchini akitokea Algeria akiwa ameambatana na wanafunzi, wakufunzi pamoja na watendaji wa Baraza la Taifa la Elimu na Mafunzo ya Ufundi (NACTVET) na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Amesema matokeo hayo yanaonyesha kuwa vijana wanaopata mafunzo ya ufundi nchini wana uwezo wa kushindana kimataifa, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa kuhakikisha vyuo vinakuwa na vifaa vya kutosha na vya kisasa. Tanzania iliwakilishwa na vijana watano walioshiriki katika fani za Uchomeleaji (Welding), Upakaji Rangi na Upambaji (Painting and Decorating), Usanifu na Utunzaji wa Mandhari (Landscape Gardening), Uokaji (Bakery) na Ufundi Bomba na Mifumo ya Joto (Plumbing and Heating). Amesema mashindano hayo pia yamekuwa fursa ya kujifunza na kubaini maeneo yanayohitaji kuboreshwa katika utoaji wa mafunzo ya ufundi ili vijana waweze kukabiliana na mahitaji ya soko la ajira na teknolojia inayobadilika. Vijana wa Kitanzania wameshiriki kikamilifu na kuonesha umahiri katika Mashindano ya Olimpiki ya Ujuzi Afrika (African Skills Olympics) yaliyofanyika jijini Oran, Algeria, kuanzia Novemba 16 hadi 20, 2026, na kurejea nchini leo, Novemba 22, 2026. Aidha, washiriki wote wa Tanzania walifanikiwa kukamilisha kikamilifu kazi walizopewa ndani ya muda uliopangwa. Amesema ushiriki wa vijana hao umekuwa sehemu muhimu ya washiriki kutoka Tanzania kujifunza na kubadilishana uzoefu na washiriki kutoka nchi mbalimbali za Afrika. “Vijana hawa wameonyesha uwezo mkubwa, na sasa ni jukumu lao kutumia ujuzi walioupata kujiajiri au kuajiriwa. Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya mafunzo ili vijana waweze kupata ujuzi unaohitajika,” amesema Dkt. Salukele. Kwa upande wake, Katibu Mtendaji wa NACTVET, Dkt. Mwajuma Lingwanda, ambaye pia ni Mwakilishi wa Kiufundi (Technical Delegate), amesema Tanzania imejifunza ushiriki wa viwanda na waajiri katika kufanikisha mashindano ya ujuzi kupitia uchangiaji wa vifaa, utaalamu na rasilimali fedha. Amesema baraza hilo linajivunia umahiri wa vijana wanaozalishwa katika vyuo vya kati, akieleza kuwa ujuzi wao ni muhimu katika kuchochea uzalishaji na kukuza uchumi wa Taifa. Ametoa wito kwa wadau wa sekta ya umma na binafsi kushirikiana katika kuendeleza mashindano ya ujuzi nchini. Amesema mashindano hayo yamekuwa changamoto na fursa ya kujifunza kwa taasisi zinazosimamia vyuo vya kati, hususan katika kuhakikisha mafunzo yanazingatia maendeleo ya teknolojia ya kisasa na mahitaji ya soko. Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la NACTVET, Bernadetta Ndunguru, amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeweka msisitizo katika maendeleo ya viwanda, hivyo kuna umuhimu wa kuandaa nguvu kazi yenye ujuzi itakayoweza kutekeleza malengo ya maendeleo ya Taifa na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Amesema mafunzo ya ufundi stadi ni sehemu muhimu ya mkakati wa Afrika wa kuandaa nguvu kazi yenye ujuzi, huku akiwahimiza vijana wanaochagua fani za ufundi kutumia fursa hizo na kupewa maarifa ya ujasiriamali ili waweze kujiajiri na kukuza shughuli zao za kiuchumi. Amesema makongamano yaliyofanyika sambamba na mashindano hayo yametoa fursa ya kushiriki mijadala ya kisera iliyosisitiza nafasi ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (TVET) katika kuwawezesha vijana kupata ajira, kujiajiri na kuwa wabunifu. Amesema nchi za Afrika zimekubaliana kuimarisha mifumo na mipango ya utekelezaji wa TVET ili kukuza uchumi wa bara hilo, akibainisha kuwa msisitizo huo unaendana na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inayolenga kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda, jambo linalohitaji kuwa na vijana wengi wenye ujuzi na umahiri unaokidhi mahitaji ya soko la ajira. Naye Mkurugenzi wa Mafunzo wa VETA, Dkt. Abdallah Ngodu, amesema ushiriki wa Tanzania katika mashindano hayo umewapa fursa ya kujifunza mbinu mpya za kuboresha utoaji wa mafunzo pamoja na kuimarisha mitaala ili iendane na mabadiliko ya teknolojia na mahitaji ya soko la ajira. Kwa upande wake, Emmanuel Paulo Saimoni ambaye ni miongoni mwa washindani amesema nafasi aliyopata imempa motisha ya kuendelea kujiimarisha katika fani yake, huku akitambua kuwa ana uwezo wa kushindana katika soko la ajira la kimataifa na kufanya vizuri. Katika mashindano hayo, mshiriki wa Tanzania, Emmanuel Paul kutoka Chuo cha VETA Dodoma, alishika nafasi ya nne kati ya washiriki 12 katika fani ya Usanifu na Utunzaji wa Mandhari, huku mshiriki Ikwabe Ibrahim wa fani ya Upakaji Rangi na Upambaji wa chuo cha VETA Dar es Salaam akishika nafasi ya saba kati ya washiriki 26.
Mon, 23 Nov 2026 03:16:34 +0000Tanzania na kitendawili bwawa la Olimpiki
Read the full report from the original source.
RecentlySiri ya kura 54 za Afrika kwa Infantino yafichuka!
Soma zaidi hapa
RecentlyBurundi / Allemagne : CNDD-FDD, Solingen — la mémoire des combattants
Burundi / Diaspora — Solingen, Düsseldorf (Allemagne), 21 novembre 2026. À Solingen, la section CNDD-FDD d’Allemagne a accueilli cette année la rencontre des sections du parti en Europe et ailleurs, pour la Journée du Combattant. Entre la minute de silence, les récits...
Mon, 23 Nov 2026 01:46:50 +0000Fadlu aandaa mtego wa mastraika Yanga
Soma zaidi hapa
RecentlyRekodi yamweka mtegoni Barker
Soma zaidi hapa
RecentlyInside Ol Kinyei Conservancy, the lion kingdom of the Mara
Every game drive in this community-owned rangeland funds jobs and leases that sustain conservation, leaving behind benefits that last beyond
RecentlyPS Omollo urges youth to reject political violence, warns against destruction of public property
Read the full report from the original source.
RecentlyCourt upholds NRM’s Mulindwa as Busongora South MP
The High court in Kasese has upheld the election of National Resistance Movement (NRM) candidate Mulindwa David Isimbwa as Busongora South County MP, dismissing a…
RecentlyPage 64 of 1126 · 22505 stories