Unganishwa

Search the region

23065 stories

Uncategorized · The Star Kenya

Kuppet maintains boycott threat days to KCSE

The union is demanding a minimum flat rate of Sh4,000 per day to supervise the exams

Recently
Uncategorized · The Citizen

Dodoma’s Sh37.5 billion gas project targets 40pc energy savings

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Germany news: Nord Stream sabotage suspect's trial opens

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Gusaza ni mu mutwe: Abahoze ari ba Miss Sierra Leone bakanyujijeho mu Murwa Mukuru Freetown

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Uncertainty as Kuppet maintains boycott threat days to KCSE

The union is demanding a minimum flat rate of Sh4,000 per day to supervise the exams

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Huyu ndiye Mwalimu Nyerere ninayemfahamu

Soma zaidi hapa...

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Papa Leo XIV arwaye kanseri

Read the full report from the original source.

Recently
Technology · SoftPower News

UCC Launches Cyber Stars Competition as Uganda Steps Up Cybersecurity Efforts

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

WAZIRI DEUS SANGU AFANYA ZIARA YA KIKAZI SUMBAWANGA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela, Mhe. Deus Sangu, tarehe 13 Oktoba, 2026, amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, mkoani Rukwa. Katika ziara hiyo, Mhe. Sangu amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Mwalimu Kwangula Missana, pamoja na viongozi wengine, akiwemo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Bwana Ephraim Konta.

Wed, 14 Oct 2026 06:46:34 +0000
Uncategorized · PML Daily

Centenary Bank, Catholic Church to plant 12,000 trees in Busoga

Centenary Bank, the Catholic Church and Good Forests Foundation Uganda (GFU) have started planting 12,000 trees in Busoga sub-region. The project is part of a five-year programme to grow 500,000 trees...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ebola: WHO tells Kenyans to remain alert, not panic

WHO pledges to work within Kenya’s response structure until health authorities are confident of no new cases

Recently
Uncategorized · Daily News

VP heads to Mbeya to inspect progress of Iganjo power, 29km TANZAM highway projects

MBEYA: VICE President Deogratius Ndejembi is expected to visit Mbeya Region on October 16 for a one-day working tour to…

Recently
National · Issa Michuzi

MADIWANI WAMTAKA MKANDARASI WA MIRADI YA TACTIC KUONGEZA KASI UJENZI WA SOKO, BARABARA KIBAHA

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Madiwani wa Kamati ya Mipango Miji ya Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wamemtaka mkandarasi anayetekeleza miradi ya maendeleo kupitia Programu ya TACTIC kuongeza kasi ya ujenzi ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati na kuwanufaisha wananchi. Agizo hilo limetolewa Oktoba 13, 2026, na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Judith Mluge, wakati wa ziara ya madiwani kukagua miradi ya maendeleo katika eneo la Makaburi ya Pangani na Kata ya Tangini. Katika ziara hiyo, madiwani wamekagua miradi inayohusisha ujenzi wa miundombinu ya soko, barabara na eneo la mapumziko na burudani (Recreation Area), inayolenga kuboresha huduma kwa wananchi na kuchochea shughuli za kiuchumi. Mluge ameeleza ni muhimu utekelezaji wa miradi hiyo kusimamiwa kwa karibu ili kuhakikisha kazi zinafanyika kwa viwango vinavyotakiwa na kukamilika ndani ya muda uliopangwa. Amesisitiza kuwa kukamilika kwa miradi hiyo kutaboresha mazingira ya biashara, kurahisisha usafiri na kuwapatia wananchi maeneo bora ya mapumziko, hatua itakayochangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Manispaa ya Kibaha.

Wed, 14 Oct 2026 06:43:12 +0000
Uncategorized · Iwacu

En mémoire de Maître François NYAMOYA 4 janvier 1958 – 26 septembre 2026

C’est avec une profonde tristesse, mais aussi avec une immense gratitude pour la vie qu’il a menée, les combats qu’il a portés et l’héritage qu’il nous laisse, que la famille de Maître François Nyamoya annonce que ses obsèques se tiendront le 17 octobre en Belgique.

Wed, 14 Oct 2026 06:41:55 +0000
Uncategorized · CEO East Africa

Centenary Bank, Catholic Church and GFU Join Forces to Grow 12,000 Trees in Busoga

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Robot seized by German police after allegedly groping teenage girl

Police said the robot's owner and his companion are believed to have streamed the incident live on social media.

Recently
Business · Issa Michuzi

NSSF NI FURSA YA VIJANA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

-Ni wakati wa kufunga Kongamano la Wiki ya Vijana mkoani Rukwa Na Mwandishi Wetu, Sumbawanga Vijana nchini wametakiwa kutumia fursa zinazotolewa na Serikali na taasisi mbalimbali, ikiwemo Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), ili kujikwamua kiuchumi na kujiandaa kwa maisha ya sasa na ya baadaye. Wito huo umetolewa Oktoba 12, 2026, na Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na Uwezeshaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Ali Suleiman Ameir, wakati akifunga Kongamano la Vijana lililofanyika katika Ukumbi wa Nazareth, wilayani Sumbawanga, mkoani Rukwa. Kongamano hilo lilihudhuriwa na vijana zaidi ya 1,000 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Vijana kuelekea kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mkoani Rukwa. Mhe. Ameir alisema vijana wanapaswa kutafuta na kutumia fursa zilizopo, kuongeza ujuzi na kutumia vipaji na uwezo wao kujiajiri au kuajiriwa. Alisisitiza pia umuhimu wa kuweka akiba na kujiunga na mifumo ya hifadhi ya jamii ili kuwa na maandalizi mazuri ya kukabiliana na changamoto za maisha. Alieleza kuwa vijana waliojiajiri na walioajiriwa wanapaswa kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii, ikiwemo NSSF na ZSSF, kupitia programu zinazowafaa, kama vile Hifadhi Skimu na Weka Tuweke, kwa kuzingatia masharti ya kila mpango. Aidha, alizitaka Serikali, taasisi na wadau wengine kuhakikisha kuwa mazingira ya kiuchumi na kijamii yanawezesha vijana kupata fursa za kujikwamua na kutimiza malengo yao. Kupitia Hifadhi Skimu, NSSF inatoa fursa kwa wananchi waliojiajiri, wakiwemo waendesha bodaboda, wakulima, wavuvi, wafugaji, wachimbaji wadogo wa madini, mama na baba lishe, wasanii na wajasiriamali wengine, kujiunga na mfumo wa hifadhi ya jamii na kupata mafao kwa mujibu wa masharti ya mpango huo. Awali, Meneja wa NSSF Mkoa wa Rukwa, Nsengiyuva Msechu, aliwahimiza vijana kujiunga na Hifadhi Skimu mapema na kufanya uchangiaji kuwa sehemu ya mipango yao ya kifedha, akieleza kuwa utaratibu huo unaweza kuwasaidia kuimarisha usalama wao wa kifedha wanapokabiliwa na changamoto mbalimbali za maisha. Msechu alisema mwanachama anayechangia kiwango cha chini cha shilingi 30,000 kwa mwezi kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo anaweza kupata mafao ya matibabu kwa ajili yake mwenyewe, huku anayechangia shilingi 52,200 kwa mwezi akipata fursa ya kupata mafao hayo kwa ajili yake na familia yake, kwa kuzingatia masharti ya mpango husika. Aliongeza kuwa NSSF imerahisisha taratibu za kujiunga na kuchangia kupitia mifumo ya kidijitali, ikiwemo simu za mkononi na njia mbalimbali za malipo ya kifedha, ili kuwawezesha wanachama kuchagua njia inayowafaa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa. Kwa upande wao, baadhi ya vijana walioshiriki kongamano hilo waliishukuru NSSF kwa kutoa elimu ya hifadhi ya jamii, wakieleza kuwa elimu hiyo imewasaidia kuelewa umuhimu wa kuweka akiba, kujiunga na mifumo ya hifadhi ya jamii na kupanga maisha yao ya sasa na ya baadaye.

Wed, 14 Oct 2026 06:34:46 +0000
Uncategorized · The Citizen

Tanzania’s Saqware wins Sadc insurance leadership position

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Iwacu

Primus Ligue 2026-2027 : le match Vision FC – Kayanza United change de demeure

Il y a des lettres qui ne sont que des lettres. Et il y en a d'autres qui déplacent les montagnes. Celle que la Fédération de Football du Burundi a signée ce 12 octobre 2026 sous la référence FFB/COC/067/2026 appartient à la seconde catégorie. Une délocalisation. Un exil de quelques kilomètres qui change tout.

Wed, 14 Oct 2026 06:37:29 +0000
Uncategorized · The Citizen

27 years without Nyerere: How would he view Tanzania today?

Read the full report from the original source.

Recently

Page 671 of 1154 · 23065 stories