Search the region
23051 stories
University students decry lost learning time, rising costs amid lecturers’ strike
Read the full report from the original source.
RecentlyGeneral Assembly adopts pandemic declaration, but not by consensus
Read the full report from the original source.
RecentlyDuane Davis sentenced to 40 years in Tupac Shakur murder trial
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda and Russia to strengthen bilateral cooperation ahead of 3rd Russia-Africa Summit
Read the full report from the original source.
RecentlyGive Directly a déjà donné $US 150 millions à 285 mille ménages rwandais en dix ans pour les faire sortir de la pauvreté
Read the full report from the original source.
RecentlySh350mn Elgeyo Marakwet water project targets 12,000 households
Business · 6 hours ago
RecentlyRwanda Finance Minister met in Bangkok with President of Arab Bank for Economic Development
Read the full report from the original source.
RecentlyStandard Chartered–Absa Migration: What We Know So Far About the Expected 13 November Completion Date
Read the full report from the original source.
RecentlyGermany news: Left-leaning Berlin coalition talks break down
Read the full report from the original source.
RecentlyFormula 1 returns to Africa with 10-year agreement to race in Rwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyNo final rites for Ebola’s dead in new tough rule
These are the stories making headlines in the Star newspaper
RecentlyNyoro denies Methu’s claim of hotel talks on DCP
Nyoro appeared to respond to Methu’s recent remarks about an alleged political approach
RecentlyMagoli | Tanzania (W) 6-0 Botswana (W) | Kufuzu Olimpiki Wanawake 13/10/2026
TWIGA STARS: Timu ya taifa ya wanawake #TwigaStars imeichapa Botswana mabao 6-0 katika mchezo wa kuwania kufuzu Olimpiki 2028 itakayofanyika nchini Marekani. Wafungaji wa magoli hayo ni Aisha Juma Mnunka, Hasnath Ubamba, Ester Maseke, Opah Clement, Mary Siyame na Enekia Lunyamila.
2026-10-13T18:48:11+00:00Rwanda Foreign Minister pays a working visit to Mali
Read the full report from the original source.
RecentlyHoma Bay ‘chief goon’ linked to Linda Mwananchi rally chaos detained for 6 days
Read the full report from the original source.
RecentlyOburu family cautions against spread of 'fake news' regarding his health
Read the full report from the original source.
RecentlyIkimbilie Amusnet Cash Spin Race, Milioni 4 Zinasubiri Washindi
MASHABIKI wa michezo ya kasino mtandaoni wana sababu nyingine ya kuongeza msisimko kupitia Meridianbet , baada ya ujio wa shindano la Amusnet Cash Spin Race linaloanza Oktoba 10 hadi Oktoba 22, 2026. Hili ni shindano maalumu linalowapa wachezaji nafasi ya kushindana kwenye michezo teule ya sloti za Amusnet na kuwania sehemu ya zawadi nono ya jumla ya Shilingi Milioni 4 za Kitanzania. Kwa wapenzi wa burudani ya kasino, huu ni wakati wa kuingia kwenye mashindano, kufuatilia nafasi zao kwenye jedwali la msimamo na kuona kama wanaweza kufikia kilele cha msisimko. Kupitia Amusnet Cash Spin Race, kila raundi inaweza kuwa sehemu ya safari ya kupanda kwenyemsimamo. Ili kushiriki, mchezaji anatakiwa kucheza michezo ya sloti ya Amusnet inayoshiriki kwenye promosheni hii kwa dau la chini la Shilingi 500 kwa kila raundi. Kadiri mashindano yanavyoendelea, macho yote yatakuwa kwenye nafasi za washiriki na zawadi zinazowasubiri watakaomaliza katika nafasi za juu. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Msisimko unaongezeka zaidi ukitazama zawadi zilizowekwa mezani. Mshindi wa nafasi ya kwanza ataondoka na Shilingi Milioni 1, huku mshindi wa pili akijinyakulia Shilingi 800,000. Nafasi ya tatu nayo ina zawadi ya Shilingi 500,000, kiasi kinachofanya ushindani kuwa wa kuvutia zaidi. Hizi ni nafasi tatu za juu zinazotarajiwa kuvuta hisia za washiriki wanaolenga kumaliza kileleni mwa jedwali kabla ya muda wa mashindano kuisha. Lakini si washindi watatu wa kwanza pekee watakaonufaika na promosheni hii ya Meridianbet. Wachezaji watakaomaliza nafasi ya nne na ya tano watapata Shilingi 350,000 kila mmoja, huku nafasi ya sita hadi ya kumi zikilipwa Shilingi 100,000 kwa kila mshindi. Kwa upande mwingine, washiriki watakaomaliza nafasi ya 11 hadi ya 20 watajipatia Shilingi 50,000 kila mmoja. Kwa jumla, nafasi 20 zimetengwa kwa washindi, jambo linalofanya mbio hizi kuwa na zawadi zinazogusa kundi kubwa la washiriki watakaotimiza masharti na kushika nafasi zinazolipwa. Sasa nani ataibuka kinara wa Amusnet Cash Spin Race na kutwaa zawadi ya Shilingi Milioni 1? Mashindano haya yanakupa nafasi ya kujaribu bahati yako kwenye michezo teule ya sloti za Amusnet kupitia Meridianbet huku ukifuatilia matokeo ya msimamo wa washindi. Tembelea Meridianbet, chunguza michezo inayoshiriki na ufurahie burudani. Milioni 4 zipo kwenye zawadi za shindano hili kwa ajili yako.
Tue, 13 Oct 2026 07:01:00 +0000Nakwedde supports women and youth with business supplies and financial literacy
Read the full report from the original source.
RecentlyVigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA
HATIMAYE baada ya muda mrefu, usiku wa Ulaya umerejea ambapo wababe kibao watashuka dimbani kupepetana kuwania pointi 3. Je nani unampa nafasi ya ushindi siku ya leo? Vijana wa Mikel Arteta Arsenal baada ya kupata ushindi kwenye mechi yao ya ligi, sasa watashuka dimbani kumenyana dhidi ya Lille ya Ufaransa kwenye Dimba la Emirates ambapo mchezo huu unatarajiwa kuwa wa kuvutia haswa. Lille pia nao wametoka kupata ushindi kwenye mechi yao ya ligi, huku kwa upande wa Meridianbet wao wakimpa nafasi kubwa ya ushindi bingwa mtetezi wa EPL kutokana na kuwa wenyeji wa mchezo, lakini pia uzoefu mkubwa kwenye mashindano haya. Arsenal wanahitaji ushindi na timu ambayo inasifika kwa kujilinda zaidi na kushambulia pale ambapo wanahitajika, lakini watakuwa nyumbani hivyo pointi tatu ni muhimu sana kwa upande wao. Lille wanaweza kuingia dimbani kwa kutaka sare na kushambuliwa kwa zamu. Pesa ya maana ipo kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mashaindano yoyote. Je nani ataondoka na ushindi siku ya leo?. Bashiri hapa. Mechi nyingine ya kukata na shoka ni hii ya Atletico Madrid dhidi ya Manchester United mchezo ambao utavuta hisia kubwa za mashabiki kutoka na ukubwa wa hizi timu zote mbili ambazo zinacheza siku ya leo. Diego Simeone na vijana wake wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na ari ya juu zaidi baada ya kupata ushindi mnono kwenye mechi yao iliyopita, hivyo kwenye mechi hii wanahitaji kuwa watulivu na kutumia nafasi zao vyema kabisa dhidi ya United. Wakati huo huo United chini ya Michael Carrick hali ni mbaya huku wakiwa wamepata pointi 6 pekee kwenye mechi 6 ambazo wamecheza, na mechi iliyopita walishindwa kupata ushindi mbele ya timu yenye wachezaji pungufu. Huu ni mchezo ambao Manchester wanatarajiwa kufanya vizuri ili kurudisha ile nguvu yao na kujiamini kwasababu hii ni Ligi ya Mabingwa, hivyo wasipoaangalia wanaweza wakaangukia pabaya. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mchezo huu pale Meridianbet, ingia kwenye akaunti yako na uberti sasa. Nao Mabingwa watetezi wa LALIGA, FC Barcelona watakuwa ugenini kusaka ushindi wao wa pili dhidi ya Galatasaray Instanbul ambao walianza vibaya mechi ya kwanza kwa kupigika, hivyo hii ni mechi ya wao kusaka ushindi. Wanakutana na Barcelona ya Hans Flick ambao mpaka sasa wameshinda mechi zao zote tena kwa kucheza vizuri kutokana na kuwa na wachezaji wenye ubora wa hali ya juu. Je mabingwa hao wa Uturuki watafanya nini?. Jisajili hapa . Timu hizi mbili mara ya mwisho kukutana ilikuwa msimu wa 2022 kwenye michuano ya Europa League ambapo Barca aliondoka na pointi 4 kwenye mechi zote mbili. Pia wataendelea kumkosa Raphinha ambaye bado ana majeraha. Kwa upande wa Villarreal wao watakuwa dimbani kuska ushindi dhidi ya Napoli kwenye dimba la Estadio de la Cerámica nchini Hispania. Timu zote zinahitaji matokeo mazuri baada ya kupoteza mechi zao za ufunguzi wa mashindano haya. Villarreal walifungwa mabao 3-2 na Borussia Dortmund, huku Napoli wakipoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Arsenal. Lakini Nyambizi wa Njano huu ni mchezo ambao watakuwa wakiutazama kwa jicho lingine kabisa hasa baada pia ya kupoteza kwenye ligi mechi yao iliyopita wakiwa ugenini. Napoli chini ya Allgeri wataingia uwanjani kwa kujiamini hasa baada ya kupata ushindi mnono kabisa wakiwa nyumbani kwao. Lakini pia urejeo wa McTominay unawapa nguvu zaidi kuelekea mchezo huu. Jisajili hapa.
Tue, 13 Oct 2026 06:56:00 +0000Ukraine allies in Poland after Starlink sabotage, Trump diesel deal
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 677 of 1153 · 23051 stories