Unganishwa

Search the region

23038 stories

Uncategorized · The Citizen

Lake Zone records Sh4 trillion mineral trade as sales surge

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

India: Can 'cockroaches' threaten Modi's political grip?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda Inspirer

From two piglets to RWF 7 million: Nikuze’s journey to a better life

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Jamhuri Media

DED Kibiti: Sitamvumilia mtumishi atakayehusika kutorosha korosho

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

DED KIBITI ATOA ONYO KWA WATUMISHI WANAOHUSIKA NA UTOROSHAJI WA KOROSHO KIBITI

Na Mwamvua Mwinyi, Kibiti MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Ramadhan Kimara, ameonya kuwa hatamvumilia mtumishi yeyote wa halmashauri atakayehusika na utoroshaji wa korosho, akisema vitendo hivyo vinaikosesha halmashauri mapato yanayostahili. Kimara ametoa onyo hilo Oktoba 13, 2026, wakati akizungumza na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha halmashauri hiyo, baada ya kukamilika kwa Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Zao la Korosho wilayani Kibiti. Amesema korosho na ufuta ni miongoni mwa mazao yenye mchango mkubwa katika kuongeza mapato ya ndani ya halmashauri, hivyo ni muhimu kuimarisha usimamizi wake ili kuzuia utoroshaji na upotevu wa mapato. “Halmashauri yetu ili iongeze mapato ya ndani inategemea mazao kama korosho na ufuta. Hivyo, kama sisi tutakuwa tunasinzia au tunakosa usimamizi mzuri na kusababisha korosho kutoroshwa, mapato yatapotea. Sitamvumilia mtumishi yeyote atakayekuwa miongoni mwa wanaotorosha korosho,” alisema Kimara. Alifafanua kuwa atazungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kibiti kwa lengo la kuimarisha usimamizi na doria za kudhibiti utoroshaji wa korosho, akisisitiza kuwa yuko tayari kushiriki doria hizo usiku na mchana inapohitajika. Aidha, Kimara amesisitiza umuhimu wa wakulima kulipwa stahiki zao kwa wakati ili kupunguza malalamiko na kuimarisha imani yao katika mfumo wa biashara ya korosho. Amewataka wakulima kutumia vizuri mapato wanayopata kutokana na mauzo ya mazao yao kwa kuzingatia mahitaji ya msingi ya familia na kuwekeza katika shughuli za maendeleo ya kiuchumi ili kuboresha maisha yao.

Tue, 13 Oct 2026 15:15:51 +0000
Uncategorized · CEO East Africa

East Africa Tourism Race Tests Uganda as Tanzania Expands, Kenya Grows and Rwanda Pursues Value

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

CS Murkomen Says Accelerated Development Is Key to Ending Kerio Valley Banditry

NATIONAL NEWS · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Nigerians used 90% of 2025’s internet data volume in eight months

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

𝑴𝑨𝑲𝑨𝑴𝑼 𝑾𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑨𝑾𝑨𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑲𝑨𝑵𝑫𝑨𝑹𝑨𝑺𝑰 𝑲𝑨𝑻𝑨𝑽𝑰, 𝑨𝑻𝑶𝑨 𝑲𝑰𝑲𝑶𝑴𝑶 𝑪𝑯𝑨 𝑫𝑬𝑺𝑬𝑴𝑩𝑨 𝑲𝑾𝑨 𝑴𝑹𝑨𝑫𝑰 𝑾𝑨 𝑼𝑴𝑬𝑴𝑬 𝑴𝑷𝑨𝑵𝑫𝑨.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi,ameagiza kuharakishwa kwa miradi ya barabara, maji na umeme mkoani Katavi, huku akiwataka wakandarasi wanaosuasua kuongeza kasi ya utekelezaji ili wananchi waanze kunufaika na uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali. Maagizo hayo ametoa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda, akiwa njiani kuelekea Sumbawanga mkoani Rukwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, ambapo alipata fursa ya kuwasalimia wananchi waliojitokeza kumpokea. Akizungumzia changamoto ya umeme, Makamu wa Rais ameitaka TANESCO kuhakikisha kufikia Desemba 01 2026, Mpanda inapelekewa Transfoma itakayoongeza megawati 50 zaidi za umeme ili kukidhi mahitaji yanayozidi kuongezeka katika Manispaa ya Mpanda na maeneo mengine ya mkoa huo. Makamu wa Rais amesisitiza kuhakikisha ahadi ya kukamilisha maboresho hayo inatekelezwa, sambamba na kuweka nguzo za zege.

Tue, 13 Oct 2026 15:09:16 +0000
National · Issa Michuzi

WAZIRI MKUU: MAANDALIZI YA KUKABILIANA NA MAAFA YAANZIE NGAZI YA FAMILIA

Na Jane Mwakyoma, Rukwa WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka familia nchini kujiwekea mipango ya kukabiliana na maafa kabla hayajatokea ili kuongeza uwezo wa kukabiliana na athari zake yanapotokea. Dkt. Nchemba ameyasema hayo leo, Oktoba 13, 2026, katika Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga, mkoani Rukwa, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Athari za Maafa. Amesema mipango ya kukabiliana na maafa inapaswa kuanzia ngazi ya familia, huku Serikali ikiendelea kuchukua hatua za kudhibiti vihatarishi na kuimarisha mifumo ya kukabiliana na majanga. Alisema kaulimbiu ya maadhimisho ya mwaka huu, “Ustahimilivu Unaanzia Nyumbani,” inasisitiza umuhimu wa familia na jamii kujiandaa mapema ili kupunguza athari za maafa ambayo yamekuwa yakisababisha vifo, uharibifu wa mali na kuacha majonzi kwa waathirika. Dkt. Nchemba alieleza kuwa ni muhimu jamii kupewa elimu na mbinu za kisasa pamoja na kutumia maarifa ya jadi yanayofaa kulingana na mazingira husika ili kuongeza uwezo wa kuzuia na kukabiliana na maafa. Alisisitiza pia umuhimu wa Serikali na wananchi kushirikiana katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira, akieleza kuwa hatua hizo ni muhimu katika kupunguza vihatarishi vinavyoweza kusababisha maafa. Akizungumzia mifano ya maafa yaliyowahi kuikumba Tanzania, alitaja maporomoko ya ardhi yaliyotokea Hanang na Mbeya, mafuriko pamoja na ajali mbalimbali ambazo zimeathiri maisha ya wananchi na kusababisha hasara kubwa. Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Athari za Maafa huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kuhamasisha juhudi za kupunguza vihatarishi vya maafa na kujenga jamii zenye uwezo wa kukabiliana na athari zake. Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu alipokea taarifa ya maandalizi ya shughuli za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana. Akiwasilisha taarifa hiyo, Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka, alisema maandalizi ya shughuli hizo yamefikia asilimia 100. Aliongeza kuwa Wiki ya Vijana imetumika kuwajengea vijana uwezo wa kujiamini, kuwa wabunifu na kutambua fursa za maendeleo zilizopo katika maeneo yao.

Tue, 13 Oct 2026 15:00:39 +0000
Sports · Azam TV Videos

Goli la Free-Kick | Muembe Makumbi 0-1 KMKM SC | PBZ Premier League 10/10/2026

#PBZPL What a free-kick….!!! Ni goli la Salim Khamis Babu likiiipa pointi tatu muhimu KMKM SC.. FT: Muembe Makumbi 0-1 KMKM SC #LigiKuuZanzibar #ZanzibarPremierLeague #PBZPremierLeague #MuembemakumbiCity #KMKMSC #MuembeMakumbiKMKM

2026-10-13T14:51:31+00:00
Uncategorized · Jamhuri Media

Rais Samia apokea hati za utambulisho wa mabalozi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Name change costs Peptang maker tax fight with KRA

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Le Rwanda accueillera la première course de Formule 1 en Afrique depuis 1993

Le Rwanda signe un contrat de 10 ans avec la Formule 1 pour accueillir des courses dans le pays africain, à partir du début des années 2030.

Recently
Uncategorized · Isango Star

Ingingo z'ingenzi z'impamvu zo gusaba guhinduza Amazina

Tue, 13 Oct 2026 16:51:35 +0200
Uncategorized · Isango Star

Ingingo z'ingenzi z'impamvu zo gusaba guhinduza Amazina

Tue, 13 Oct 2026 16:53:22 +0200
Uncategorized · Citizen Digital

Court of Appeal lifts orders blocking Kenya-U.S health deal

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

SERIKALI YAWASILISHA BUNGENI MKAKATI WA KUBORESHA UCHIMBAJI NA BIASHARA YA MADINI YA TANZANITE

● Waziri Mavunde aeleza mkakati wa kudhibiti utoroshaji na kukuza biashara ya Tanzanite ● Serikali kuongeza utafiti wa kina eneo la Mirerani kuwasaidia wachimbaji ● Kamati ya Bunge yaitaka Serikali kuongeza nguvu kuitangaza Tanzanite kimataifa ● Wizara yapongezwa kwa kuvuka lengo la makusanyo ya maduhuli Robo ya Kwanza (2026/2027) Dodoma Wizara ya Madini imewasilisha Bungeni mkakati kabambe unaolenga kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa uchimbaji, udhibiti, uongezaji thamani, na biashara ya madini ya Tanzanite nchini. Akiwasilisha mkakati huo leo Oktoba 13, 2026, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema  kuwa mwenendo wa soko la Tanzanite duniani kwa sasa unakabiliwa na changamoto kadhaa ambazo serikali inaendelea kuzifanyia kazi. Ametaja baadhi ya changamoto hizo kuwa ni uwepo wa wafanyabiashara wa madini wasiofuata taratibu,kupungua kwa uzalishaji,utoroshaji wa madini hayo na ushindani mkubwa kutoka kwa vito mbadala vinavyotengenezwa viwandani (synthetic gemstones). Mhe. Mavunde ameeleza kuwa ili kukabiliana na changamoto hizo, Serikali inafanya maboresho makubwa kwenye mfumo wa biashara wa ndani na wa kimataifa. Katika mkakati huo, Serikali imejipanga kukamilisha ujenzi wa jengo maalum la biashara(Tanzanite Exchange Centre),kuweka mfumo rasmi wa minada ili kuhakikisha Tanzanite yote inaongezewa thamani nchini badala ya kusafirishwa ikiwa ghafi na serikali kufanya utafiti wa kina wa madini nje ya ukuta wa mirerani. "Lengo letu ni kuwasaidia wachimbaji na wafanyabiashara wa vito wazawa kuuza madini yao kwa bei shindani inayoendana na soko la dunia. Tutaifikia bei hiyo kupitia mifumo thabiti ya siri na ya wazi ya uthaminishaji wa madini," amesema Mhe. Mavunde. Katika hatua nyingine, Waziri Mavunde amebainisha kuwa, Serikali itafanya utafiti wa kina  katika eneo la Mirerani ili kugundua maeneo mapya yenye viashiria vya madini hayo. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Subira Mgalu, ameishauri Serikali kuongeza nguvu na mikakati ya makusudi katika kuitangaza Tanzanite kwenye masoko makubwa ya kimataifa (Global Rebranding). Mhe. Mgalu amesisitiza  kuwa, kwa kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee duniani inayozalisha Tanzanite, jina la nchi linapaswa kuonekana kwa uwazi kwenye mnyororo mzima wa thamani wa vito hivyo duniani ili nchi ipate tija inayostahili kiuchumi. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Mgalu ameipongeza Wizara ya Madini kwa kuvuka lengo la ukusanyaji wa maduhuli ya serikali kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2026/2027. Katika Mwaka wa Fedha wa 2026/2027, Wizara ya Madini imepangiwa na inalenga kukusanya jumla ya Shilingi Trilioni 1.406, ambapo mwenendo wa robo ya kwanza unaonyesha mwelekeo mzuri wa kufikia na kuvuka lengo hilo.

Tue, 13 Oct 2026 14:49:43 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

"Mon mari m'a rejetée parce que j'ai donné naissance à des jumeaux"

"J'ai failli perdre la tête. J'ai failli tuer les trois enfants. Mais Dieu m'a donné la force."

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Coca-Cola Lights Up Bishop Stuart University with “Essawa Yonna Kisoboka” Campus Campaign

Read the full report from the original source.

Recently

Page 681 of 1152 · 23038 stories