Search the region
22952 stories
AZANIA BANK TAWI LA KIBAHA YAAHIDI KUPAMBANA KATIKA KURUDISHA FADHILA KWA WANANCHI
Na Victor Masangu,Kibaha Uongozi wa Azania bank umesema kwamba utaendelea kushirikiana bega kwa bega na serikali ili kuweza kurudisha fadhila kwa jamii katika mambo mbali mbali ya kuleta chachu ya kimaendeleo katika sekta tofauti. Hayo yamebainishwa na Meneja wa Azania bank tawi la Kibaha Anna Monyo wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa mwaka 2026 ambayo yamefanyikia katika ofisi zao zilizopo katika jengo la Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha. Katika sherehe hizo ambazo zimehudhuliwa na viongozi mbali mbali wa serikali,wateja wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Mhe.Silvestry Koka ambapo pia walipa fursa ya kufunguliwa akaunti zao na kukabidhiwa kadi za ATM. Meneja huyo amebainisha kwamba lengo lao kubwa kama Azania bank ni kuendelea kuweka mipango madhubuti ya kuwahudumia wateja wao ikiwa pamoja na kurudisha fadhila kwa jamii na kuwapatia mikopo ambayo itawasaidia kujikwamua kiuchumi. "Kipekee kabisa mimi meneja wa Azania bank tawi la Kibaha napenda kuchukua fursa hii ya kipekee kuwashukuru kwa dhati wateja wetu kwa kuweza kuendelea kutuamini na sisi tupo tayari kuwahudumia,"amebainisha Meneja huyo. Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Mhe.Silvestry Koka ameipongeza kwa dhati Bank ya Azania kwa kuweza kuona umuhumu wa kusogeza huduma karibu kwa wananchi wa Kibaha ambapo hapo awali walikuwa wakipata usumbufu katika kuifuata huduma hiyo Jijini Dar es Salaam. Mhe.Koka amebainisha kwamba uongozi wa Azania bank umekuwa mstari wa mbele kushirikiana bega kwa bega na serikali pamoja na wateja wao kwa lengo la kuweza kuleta chachu ya uchumi. Naye Afisa mfawidhi wa PSSF Mkoa wa Pwani John Mwalisu ameupongeza uongozi wa Azania bank kwa kuweza kuweka mikakati ya kupanua wigo wa kufungua matawi katika maeneo mbali mbali ikiwemo Tawi la Kibaha. Nao baadhi ya wateja wa Azania bank waliopata kushiriki katika tukio hilo la maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja wameridhishwa na huduma zinazotolewa na kufurahishwa na ujio wa ofisi za tawi hilo kuja Kibaha.
Sun, 11 Oct 2026 16:29:40 +0000CCM YATANGAZA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
Sun, 11 Oct 2026 16:33:27 +0000The family business owner's gamble that grew a Sh50bn turnover retail enterprise
Read the full report from the original source.
RecentlyFormer PS overturn move to hide Middle East Bank stake
Read the full report from the original source.
RecentlySaudi Arabia: second strike on Riyadh airport
Read the full report from the original source.
RecentlyGoli la kwanza la msimu | Posta Rangers 0-1 Shabana FC | SportPesa League Kenya 10/10/2026
#SportPesaLeague Goli la kwanza kabisa la msimu limetoka Shabana FC, na muuaji alikuwa ni Abdul Hafiz Hassan, raia wa Ghana… Hii ni Ligi Kuu ya Kenya, mechi ikipigwa Wang'uru Stadium. FT: Posta Rangers 0-1 Shabana FC. #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #PostaRangers #ShabanaFC #PostaRangersShabana
2026-10-11T16:07:23+00:00Magoli | Ulinzi Stars 0-2 Tusker FC | SportPesa League Kenya 11/10/2026
#SportPesaLeague Magoli mawili, Tusker FC wakianza kwa kicheko ugenini.. Wafungaji ni Alvin Mang’enyi na Victor Mbaoma…. Hii ni Ligi Kuu ya Kenya, mbungi ikipigwa Ulinzi Sports Complex, FT: Ulinzi 0-2 Tusker FC #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #UlinziStars #TuskerFC #UlinziTusker
2026-10-11T16:13:01+00:00Poland arrests man over plot to kill PM Donald Tusk
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Namilyango Rule the Titans
Read the full report from the original source.
RecentlySudi hints at presidential ambitions after Ruto
Sudi said the immediate priority was to secure Ruto’s re-election before discussions on future
RecentlyMusanze: Ibyumba byo hasi mu igorofa ya GOICO byarokotse inkongi y'umuriro
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya's Amos Kipruto win Chicago Marathon
Kipruto secured victory in a personal best of 2:01:09
RecentlyWomen over 50 carve spaces to rediscover themselves
Read the full report from the original source.
RecentlyEbola: 122 contacts verified, 108 in quarantine as tracing continues
Read the full report from the original source.
RecentlyGovt to set up two new referral hospitals in Kakamega, Garissa
Kenya will soon have two new national referral hospitals in Kakamega and Garissa, President William Ruto has announced. The President said Kakamega Teaching and Referral and Garissa County Referral hospitals…
RecentlySimba SC 2-1 Yanga SC | Mashabiki wa Simba wauchambua ushindi wao ndani ya Sports AM
KARIAKOO DERBY: Tazama raha na furaha ya mashabiki watatu wa Simba SC, Yassin Idd, Sera, William Johnson wakiuchambua ushindi wa timu yao dhidi ya Yanga, ukiwa ni wa kwanza baada ya miaka mitatu kwenye ligi kuu.... Mashabiki hawa wananogesha uchambuzi wao kwa kuimba nyimbo mbalimbali, huku wakitambia ubora wa kikosi chao... Mashabiki hawa wanasema kwa ushindi huu, hakuna cha kuwazuia kuchukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu...
2026-10-11T15:48:23+00:00Simba SC 2-1 Yanga SC | Magoli yote kwa lugha ya Kiingereza | NBC PL 10/10/2026
#KariakooDerby “Elie Mpanzu with a beauty…. The heavens have opened up here in Dar es Salaam” Magoli yote matatu kwa lugha ya Kiingereza kama yalivyoungurumishwa na Peter Otai. FT: Simba SC 2-1 Yanga SC #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #WataniWaJadi #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga
2026-10-11T15:57:40+00:00UN chief ‘gravely concerned’ by renewed fighting in northern Ethiopia, warns against escalation
Read the full report from the original source.
RecentlyGround Floor Saved: Some Relief From Musanze Fire That Ravaged Rwf 7.5 Billion Complex
Read the full report from the original source.
RecentlyAlmorie Nagayi Crowned Miss Uganda 2026/27
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 726 of 1148 · 22952 stories