Search the region
22951 stories
Uganda to Host the Prestigious International Water Association Water and Development Congress and Exhibition in 2027
Read the full report from the original source.
RecentlyGas cylinder explosion kills 2, injures 3 in Lira garage
Two mechanics were killed and three other people injured when a gas cylinder exploded at a motorcycle garage in Ireda Central Park, Lira city in…
RecentlyMAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI KUWAJENGEA WAKULIMA UELEWA WA MBOLEA SAHIHI.
Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yanayofanyika kitaifa jijini Tanga yanatoa fursa kwa wakulima kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya mbolea, ubora wa pembejeo hizo na upatikanaji wa mbolea za ruzuku ili kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao na kuimarisha usalama wa chakula nchini. Akizungumza Oktoba 11, 2026, jijini Tanga, Afisa Mdhibiti Ubora Mwandamizi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Stephano Mfugale, amesema matumizi ya mbolea yenye ubora na kuzingatia kanuni sahihi ni miongoni mwa mambo muhimu yanayochangia uzalishaji wenye tija. Mfugale amesema TFRA inaendelea kutoa elimu kwa wakulima kuhusu uchaguzi wa mbolea sahihi, matumizi yake katika sehemu inayofaa na kwa wakati unaotakiwa kulingana na mahitaji ya mazao, hatua inayosaidia kuongeza uzalishaji na kuboresha upatikanaji wa chakula. Aidha, amewahimiza wakulima na wadau mbalimbali kutembelea banda la TFRA katika maonesho hayo yanayofanyika katika Viwanja vya Usagara, jijini Tanga, ili kupata elimu kuhusu ubora wa mbolea, matumizi yake na fursa za biashara katika mnyororo wa thamani wa mbolea. Kwa upande wake, Khatibu Kileka, Msimamizi wa Mbolea za Ruzuku wa TFRA Mkoa wa Tanga, amewakaribisha wakulima kutembelea banda hilo ili kupata maelekezo kuhusu upatikanaji wa mbolea za ruzuku na taratibu za kujisajili katika mfumo unaotumika kupata huduma hiyo. Kileka amesema maonesho hayo pia ni fursa kwa wafanyabiashara, wazalishaji na wadau wengine wa sekta ya mbolea kupata ushauri kuhusu shughuli zao na taratibu za usajili wa bidhaa, huku akisisitiza umuhimu wa ushiriki wao katika kuboresha upatikanaji wa pembejeo na kuongeza tija katika uzalishaji wa chakula nchini. Maonesho ya siku ya Chakula Duniani yanafanyika kwa muda wa siku 7, kuanzia Oktoba 10, 2026, na kilele chake ni Oktoba 16, 2026, kwenye viwanja vya shule ya sekondari Usagara, chini ya kauli mbiu isemayo "Ubunifu wa Leo, Lishe ya Kesho, Kuelekea Dira 2050".
Sun, 11 Oct 2026 11:56:21 +0000Matiang'i calls for unity in the opposition ahead of face off with Ruto
Read the full report from the original source.
RecentlyWAZIRI MKUU ASHIRIKI IBADA KANISA KUU ANGLIKANA - UINGEREZA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili, Oktoba 11, 2026 ameshiriki ibada katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Paulo, jijini London, Uingereza. Ibada hiyo imeongozwa na Kasisi Paula Hollingsworth. Mara baada ya kuwasili kanisani hapo, Waziri Mkuu alipokelewa na Mshauri wa Askofu (Canon Chancellor), Dkt. Paula Gooder ambaye pia ni Mdhamini wa Kanisa Kuu na anaongoza programu za elimu na mafunzo ya kitheolojia. Katika Ibada hiyo, Waziri Mkuu aliambatana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki.
Sun, 11 Oct 2026 11:54:31 +0000Pope Leo XIV to undergo surgery to remove lump on lung
Read the full report from the original source.
RecentlyGas cylinder explosion kills 2, injures 3 in Lira garage
Two mechanics were killed and three other people injured when a gas cylinder exploded at a motorcycle garage in Ireda Central Park, Lira city in…
RecentlyOver 100 dead after migrant boat capsizes off Djibouti
Read the full report from the original source.
RecentlyAfrican Court on human rights celebrates 20 years of its landmark rulings
DAR ES SALAAM: THE African Court on Human and Peoples’ Rights, based in Arusha, Tanzania, marks its 20th anniversary. The…
RecentlyEx-PCEA moderator announces presidential bid
Githii said he would not align with any political camp, noting that he would conduct his campaign separately
RecentlyEleven beauty crowns, four organisersand one Ankal looking for trouble
DAR ES SALAAM: DEAR readers, I have taken the bold decision to register anew beauty pageant. Before you scratch your…
RecentlyHow Sifuna top job win could face parliamentary turbulence
Analysts say the biggest danger could be if there is a fallout within the Coalition.
RecentlyLes habitudes cachées qui aggravent ton anxiété sociale (et comment les briser)
Cette affection est plus courante qu'on ne le pense. On t'explique ce que c'est et ce que les experts recommandent pour la surmonter.
RecentlyHow Tanzanian women are turning waste into income and leadership opportunities
Read the full report from the original source.
RecentlySimba SC 2-1 Yanga SC | Uchambuzi wa takwimu baada ya mechi | NBC PL 10/10/2026
KARIAKOO DERBY | Hii ni sehemu ya uchambuzi baada ya mechi, Abissay Stephen na Godlisten Muro chini ya usimamizi wa Pareick Nyembera, wanazipitia takwimu za mechi ya Karikaoo Derby iliyomalizika kwa Simba kushinda 2-1 dhidi ya Yanga.
2026-10-11T10:56:22+00:00Ubuhindi: Abantu barenga 2.000 bafashwe mu myiyerekano isaba umukuru w'urwego rutegura amatora gutanga imihoho
Igipolisi cafashe abantu barenga 2.000 ku wa gatandatu, congera kirugarira igice co hagati mu gisagara kugira kibuze imyiyerekano yari yateguwe n'umuhari w'urwaruka witwa Cockroach Janta Party, CJP.
RecentlyWatatu wafariki dunia, 40 waokolewa meli ikiteketea kwa moto Ziwa Nyasa
Watu watatu, wakiwamo raia wa Msumbiji na Malawi, pamoja na Mtanzania, wamefariki dunia baada ya meli ya MV Chambo, inayofanya safari zake kati ya Tanzania na Msumbiji, kuwaka moto katika Ziwa...
RecentlyPoland on alert amid possible attack on PM, defense minister
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto fires fresh salvo at Uhuru over opposition links
“I want to tell the sponsor and his people, I will deal with them. They have nothing new they are telling us."
Recently"Simba ya sasa inaweza kucheza na Barcelona, Real Madrid"
SPORTS AM: “Kikosi cha Simba kina wachezaji ambao wanaweza kucheza Hispania, dhidi ya Barcelona na Real Madrid”. Mashabiki wa Simba ndani ya Sports AM, wanaimwaga furaha yao wakitambia ubora wa kikosi chao kuwa ndiyo sababu ya kuichapa Yanga mabao 2-1 kwenye Kariakoo Derby ya jana Oktoba 10. Yassin Idd anasema kwa sasa Tanzania hakuna timu yenye kikosi bora zaidi yao na endapo wangefungwa, angehamia Azam FC….. Sera anasema Yanga wanatakiwa kuwashukuru wachezaji wa Simba kwa huruma waliyokuwanayo kwenye mchezo huo “ilipaswa iwe ni siku ya kuwadhalilisha” William Johnson anasema hii ndiyo Simba ya asali na maziwa… Je, na wewe unasemaje?
2026-10-11T10:43:00+00:00Page 730 of 1148 · 22951 stories