Unganishwa

Search the region

22901 stories

Uncategorized · The Observer Uganda

A new citizen manifesto: which way, Uganda?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Suspects in Dr. Victoria Mutiso murder case want husband cross-examined over affidavit

Read the full report from the original source.

Recently
Technology · HabariLeo

TCRA yajizatiti ujumuishi kidijitali kwa wenye ulemavu kupitia teknolojia saidizi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

SPIKA ZUNGU: MAAZIMIO YA MKUTANO WA 153 WA IPU YASIBAKI KWENYE MAKARATASI

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge (IPU), Mhe. Mussa Azzan Zungu amewaasa Wajumbe kuhakikisha kuwa maazimio ya mkutano huo hayabaki kuwa maneno tu kwenye karatasi, badala yake wayapeleke katika mabunge yao ya kitaifa na kuyageuza kuwa sheria, sera na hatua madhubuti zinazoboresha maisha ya wananchi. Mhe. Zungu amesema hayo wakati akitoa Hotuba ya kufunga Mkutano wa 153 leo Oktoba 9, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano cha Kimataifa Ausha (AICC) jijini Arusha. “Kama nilivyosema wakati wa ufunguzi wa mkutano huu, tunawakilisha nchi, mifumo ya kisiasa, tamaduni na mitazamo tofauti. Hata hivyo, tunashiriki jukumu moja la pamoja la kuwahudumia wananchi wetu na kuchangia katika kuleta dunia yenye amani zaidi, haki na maendeleo endelevu,” amesema. Amewaasa Wajumbe wa Mkutano hupo kuondoka Arusha wakiwa na dhamira mpya ya mazungumzo badala ya migawanyiko, ushirikiano badala ya migongano na ushirikishwaji badala ya kutengana katika makundi. “Nguvu ya IPU inatokana na uwezo wetu wa kuungana licha ya tofauti zetu. Mikutano ya kimataifa lazima itusaidie kuielekeza dunia katika njia mpya, inayozingatia mazungumzo, utu, heshima, ushirikishwaji na mshikamano,” amesema. Kwa upande mwingine Mhe. Zungu amempongeza Rais Mteule wa IPU, Mhe. Milton Dick, Spika wa Bunge wa Bunge la Wawakilishi la Australia aliyechaguliwa wakati wa Mkutano huo. Mhe. Dick anachukua nafasi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt Tulia Ackson ambaye anamaliza muda wake. “Namtakia Rais Mteule kila la heri na tunatarajia kufanya kazi pamoja naye katika kujenga jumuiya ya kibunge imara na yenye ufanisi zaidi,” amesema. Mhe. Zungu amemshukuru pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kuandaa mkutano huo nchini. “Namshukuru kwa uungaji mkono na mwongozo wake thabiti katika kuhakikisha tunakuwa na tukio lililoandaliwa vyema kwa ajili yetu sote,” amesema Mhe. Zungu amewashukuru pia Watanzania wote hususan wakazi wa Arusha kwa kuwakaribisha wajumbe wote kwa uchangamfu na urafiki. “Dunia imeshuhudia kuwa Tanzania ni nchi ya amani, umoja na ukarimu. Kwa kila mtu aliyefanya kazi nyuma ya pazia kufanikisha Mkutano huu, tunawashukuru,” amesema.

Fri, 09 Oct 2026 16:53:30 +0000
Uncategorized · PML Daily

Read article: DJ Bugy, Navio and The Mith take Kampala back to the 2000s

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

64 YEARS OF INDEPENDENCE: Museveni recounts Uganda’s economic recovery, sets sights on further transformation

President Yoweri Kaguta Museveni has outlined Uganda’s economic recovery journey since 1986, highlighting the country’s growth from an economy valued at approximately USD 3.9 billion to USD 69.3 billion, while calling...

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Museveni Receives Medal at 64th Independence Celebrations

Read the full report from the original source.

Recently
Entertainment · The Observer Uganda

Family identifies missing musician King Zale in leaked ‘basement’ video

The family of missing musician Christopher Gody, alias King Zale, has renewed calls for his release or production in court after identifying what they believe…

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Mumbwize ukuri, uyu munsi abagore bagitinya kuyobora baratinya iki ? Meya Kayitare nyuma y'imyaka umunani

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Dr Ggoobi Seeks Long-Term Financing for Uganda’s Priority Infrastructure Projects

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Museveni Hails Uganda-Russia Military Cooperation, Commends Support to UPDF

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

6 counties, 11 days: Ruto’s North Rift development blitz

Ruto will tour six counties from October 10 to 20.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

U Rwanda rugiye kuvugurura imyanya y’imirimo mu nzego z’ibanze

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Cabinet approves Sh23.74 billion payment for pending bills

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

New MGI Research Maps AI Economy as Interconnected System

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

“Ndi he kandi mwe muri ba nde?” - Christa Pike nyuma y'uko urupfu rumwanga

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Commonwealth Lawyers Demand Answers on Mugumya’s Disappearance

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

ICC hits back at US sanctions, vows to continue its work

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Government sets aside Ksh.25 billion for SGR land compensation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

DP Kindiki: Political violence is retrogressive, injures national development

Read the full report from the original source.

Recently

Page 755 of 1146 · 22901 stories