Unganishwa

Search the region

22898 stories

Uncategorized · The Star Kenya

KDF gives Laikipia schools a classroom makeover

Projects are being implemented under Ruto’s directive to address school infrastructure gaps.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

TTCL Yasisitiza huduma bora kwa wateja

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Uganda at 64: The pressing liberation now is to organise the peace

Last weekend, a newspaper headline from one of the local dailies stopped me in my tracks. “Besigye Release Talks Take Shape.” Anything about dialogue, negotiation…

Recently
Uncategorized · KBC

US sanctions ICC, threatens to dismantle court

Washington targets the international tribunal over investigations involving American personnel and Israeli officials, escalating a dispute regarding the court's jurisdiction.

Recently
National · Issa Michuzi

MKUYU AFRICA YAHIMIZA WANAWAKE, VIJANA KUWEKEZA KATIKA MALI

Mkurugenzi wa Mkuyu Africa, Juneid Othman, amewahimiza wanawake na vijana kuchangamkia fursa za uwekezaji na umiliki wa mali wakiwa katika umri mdogo, akisema hatua hiyo ni muhimu katika kujenga uhuru wa kiuchumi na kuimarisha maisha yao ya baadaye. Juneid alitoa wito huo katika kongamano la wanawake la Women in Diplomacy Power Table, lililoandaliwa na Ubalozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania, ambapo alisisitiza kuwa uwezeshaji wa wanawake kiuchumi una manufaa si kwa familia pekee, bali pia kwa jamii nzima. Alisema baadhi ya mitazamo na mila za kijamii zimekuwa kikwazo kwa wanawake kumiliki mali, hususan ardhi na nyumba, hivyo akasisitiza umuhimu wa kubadili fikra hizo na kuhakikisha wanawake wanapata fursa sawa za uwekezaji. Alieleza kuwa Mkuyu Africa, kupitia mpango wake wa Miliki Mali, inalenga kuwawezesha wanawake na vijana kumiliki nyumba na viwanja kwa utaratibu unaorahisisha upatikanaji wa mali hizo. “Nyumba inaweza kuwa na ghorofa 10, lakini unaweza kununua na kumiliki sehemu ya jengo hilo kulingana na utaratibu wa mradi. Utapatiwa nyaraka za umiliki zinazotambulika kisheria zitakazokuwezesha kuitumia mali hiyo kwa kuishi au kuipangisha,” alisema Juneid. Kwa upande wake, Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Wanawake, Amani na Usalama, Balozi Liberata Mulamula, ameitaka jamii kuimarisha mapambano dhidi ya ndoa za utotoni na kuongeza uwekezaji katika elimu na haki za wasichana. Akizungumza katika kongamano hilo lililobeba kaulimbiu ya “Nguvu ya Mtoto wa Kike: Komesha Ndoa za Utotoni, Wekeza katika Haki za Wasichana,” Mulamula alisema ndoa za utotoni huwanyima wasichana fursa za elimu na uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu mustakabali wa maisha yao. Alisisitiza kuwa kulinda haki za mtoto wa kike ni jukumu la pamoja linalohitaji ushirikiano wa Serikali, wazazi, viongozi wa jamii, wanadiplomasia na sekta binafsi. Mulamula aliongeza kuwa wanaume na wavulana wanapaswa kushirikishwa katika juhudi hizo ili kuhakikisha wasichana wanapata mazingira salama ya kujifunza, kukuza vipaji na kutimiza ndoto zao. Alisema uwekezaji katika elimu na haki za wasichana ni msingi muhimu wa maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya mataifa. Naye Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania, Noluthando Mayende-Malepe, alisema kongamano hilo limelenga kuhamasisha wanawake na vijana kujiamini, kujituma na kutumia fursa za uwekezaji ili kuimarisha uwezo wao wa kiuchumi na kuchangia maendeleo ya jamii. Aidha, aliwahimiza kutumia mitandao ya kijamii kwa tija, ikiwamo kujifunza na kutafuta fursa za kujipatia kipato kupitia majukwaa hayo. Mkurugezi wa Mkuyu Africa Juneid Othman akizungumza wakati wa kongamano la wanawake la( Women in Diplomacy Power Table) lilofanyika jijini Dar es salaam Juneid akisalimiana na Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania, Noluthando Mayende-Malepe

Fri, 09 Oct 2026 16:07:19 +0000
Uncategorized · The Citizen

IPU calls for responsible use of AI to curb misinformation

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Azam TV Videos

Magoli | Fountain Gate FC 1-2 JKT Tanzania | NBC PL 09/10/2026

#NBCPL Tazama magoli yote matatu, ‘Wajeda’ wakifanya come-back’ ya kishindo kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha. Walitangulia wenyeji Fountain Gate kupitia kwa Sadick Ramadhan, lakini JKT wakatumia dakika tano za mwisho kupindua meza na kuchana nyavu kupitia kwa Karim Mfaume dakika ya 86 na Salum Khamis dakika ya 90+. FT: Fountain Gate 1-2 JKT Tanzania

2026-10-09T15:46:52+00:00
Uncategorized · DW Rwanda

Brussels: Rioters clash with police at anti-austerity rally

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

SPECIAL REPORT: Beyond the Skyline — What Saudi Arabia’s Jeddah Tower Can Teach Uganda About Investment, Institutions, and the Next Generation

KAMPALA — Every generation inherits roads, markets, commercial buildings, laws, public institutions, and private enterprises created by those who came before it. The greater test is whether it adds to…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

64 years of Independence: President Museveni recounts Uganda’s economic recovery, sets sights on further transformation

President Yoweri Kaguta Museveni has outlined Uganda’s economic recovery journey since 1986, highlighting the country’s growth from an economy valued at approximately USD 3.9 billion to USD 69.3 billion, while…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

President Museveni hails historic Uganda-Russia military cooperation

President Yoweri Kaguta Museveni has commended Russia for its continued military support to Uganda, reaffirming the longstanding friendship and defence cooperation between the two countries. The President made the remark

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

When corporates swapped suits for running shoes to save mothers

Corporate suits were swapped for running shoes on Sunday as Uganda’s business community joined hundreds of runners at the second Independence Marathon, turning a morning…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Beyond the boardroom: CATA delegates experience the wonders of Ngorongoro

More than 100 tax administrators from across the Commonwealth have turned from policy to wildlife, spending time in one of Africa’s most celebrated landscapes. NGORONGORO, Tanzania: More than 100 delegates from the Commonwealth Association of Tax Administrators (CATA) visited the Ngorongoro Conservation Area after their meeting in Arusha, discovering its wildlife, dramatic landscapes and rich cultural and archaeological heritage. For Emery, a delegate from Rwanda, the visit was an unexpected highlight and left him eager to see what lay ahead in the world-famous Ngorongoro Crater. “Visiting Ngorongoro is a surprise for us, and I cannot wait to see more when I get down into the crater,” he said. Peter Robert of Gosheni Safaris, the safari organiser, said Ngorongoro was chosen for its natural beauty, diverse wildlife and significant archaeological discoveries, qualities that make it a destination for visitors seeking something extraordinary. The visit highlighted Ngorongoro’s global appeal as a place where nature, culture and human origins meet, and reinforced its standing as one of Tanzania’s leading tourist attractions.

Fri, 09 Oct 2026 15:55:30 +0000
Uncategorized · The Citizen

If you notice these signs, seek help from a mental health expert

Read the full report from the original source.

Recently
Entertainment · Issa Michuzi

Money In The Middle, Burudani Inaanza Kabla Ya Wengine

KUNA nyakati ambazo mchezaji hataki kusubiri mpaka kila mtu afike uwanjani ndipo aanze safari yake. Safari hiyo sasa imefika Meridianbet kupitia mchezo mpya wa kasino uitwao Money In The Middle, ambao umeanza kuonekana mapema kabisa kupitia ushirikiano maalum kati ya Meridianbet na Oryx Gaming. Hii ni nafasi ya kipekee kwa watumiaji wa Meridianbet kuonja ladha ya mchezo huu kabla haujaingia rasmi sokoni, huku burudani na msisimko vikichukua nafasi kubwa. Money In The Middle si sloti ya kawaida inayokupa tu mzunguko baada ya mzunguko. Mchezo huu umejengwa kwa mfumo wa alama unaoweza kuleta msisimko mkubwa kila unapocheza. Kila mpangilio wa alama unaweza kugeuza mchezo kuwa safari ya kusubiri kwa hamu kuona kitakachotokea kwenye hatua inayofuata. Ni aina ya mchezo inayomfanya mchezaji kufuatilia kila raundi kwa umakini, akitumaini kuona mchanganyiko unaoweza kumpeleka kwenye zawadi. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Lakini safari haijaishia kwenye mchezo pekee. Ili kuifanya hatua hii kuwa kubwa zaidi, Meridianbet imeandaa promosheni maalum kwa ajili ya uzinduzi huu wa kipekee. Wachezaji wanaweza kukutana na mashindano maalum, mizunguko ya bure na promosheni zinazolenga kuongeza ladha ya ushindani. Hivyo, badala ya kucheza peke yako, kila hatua inaweza kuwa sehemu ya mbio za kutafuta nafasi nzuri zaidi na kujipatia zawadi katika kampeni hii maalum. Uzuri mwingine wa Money In The Middle ni namna ulivyoandaliwa kwa ajili ya simu. Ukiwa unatumia smartphone kupitia Meridianbet App au tovuti ya simu, mchezo umeboreshwa ili kutumia data kwa ufanisi huku ukifunguka kwa kasi. Hii inamaanisha hauhitaji kukaa mbele ya kompyuta ili kufurahia burudani hii, simu yako inatosha kukufungulia mlango wa mchezo. Iwe uko nyumbani au uko safarini, Money In The Middle ipo kuleta msisimko kwenye kiganja chako. Sasa ni wakati wako wa kuingia kwenye mchezo ambao umepewa nafasi ya kuonekana mapema kupitia Meridianbet . Mchezo tayari uko live, hivyo watumiaji wapya na waliopo wanaweza kuingia kwenye akaunti zao za Meridianbet kasino na kuanza kucheza. Usisubiri wengine wasimulie walichokiona, ingia Meridianbet, cheza Money In The Middle na ujionee mwenyewe msisimko wa mchezo huu mpya.

Fri, 09 Oct 2026 05:00:00 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Thwake Dam gets Sh12.83bn lifeline to completion

The dam is expected to supply water to 1.3 million people in Makueni and Kitui counties.

Recently
Sports · Issa Michuzi

Dortmund Kuikaribisha Werder Bremen Bundesliga

Borussia Dortmund itashuka dimbani leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, kuikabili Werder Bremen katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga utakaopigwa katika Uwanja wa Signal Iduna Park kuanzia saa 21:30 usiku. Mchezo huo ni wa raundi ya tano kwa Dortmund msimu huu na utakuwa wa kwanza kwa timu hizo kurejea kwenye ligi baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa. Dortmund inaingia kwenye mchezo huo ikiwa kileleni mwa msimamo wa Bundesliga baada ya kushinda michezo yote minne iliyocheza, ikikusanya pointi 12. Kikosi cha kocha Niko Kovac pia kimeonyesha uimara mkubwa kwenye ulinzi, kikifungwa mabao mawili pekee katika michezo yake minne ya ligi. Ushindi dhidi ya Bremen utaifanya Dortmund kuendelea na mwanzo wake mzuri na kuongeza presha kwa Bayern Munich pamoja na wapinzani wengine wa nafasi za juu. Kwa upande wa Werder Bremen , timu hiyo ipo nafasi ya nane ikiwa na pointi saba baada ya kupata ushindi mara mbili, sare moja na kupoteza mchezo mmoja. Bremen ilimaliza mchezo wake wa mwisho wa ligi kwa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Augsburg baada ya kutoka nyuma kwa mabao mawili, hivyo inaingia Dortmund ikiwa na matumaini ya kufanya jambo kubwa dhidi ya vinara hao. Hata hivyo, Bremen itahitaji kuwa makini baada ya kufungwa 7-0 na Twente katika mchezo wa kirafiki wiki iliyopita. Macho pia yatakuwa kwa mshambuliaji Niclas Füllkrug, ambaye amerejea Werder Bremen baada ya kipindi chake cha kucheza Dortmund. Füllkrug amefunga bao katika kila mmoja wa michezo mitatu iliyopita ya Bundesliga , jambo linalomfanya kuwa mchezaji muhimu kwa Bremen katika mchezo huu. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kwa upande wa Dortmund , Serhou Guirassy anatarajiwa kuongoza safu ya ushambuliaji, huku Maximilian Beier na Ethan Nwaneri wakiwa miongoni mwa wachezaji wanaoweza kuleta tishio mbele. Historia pia inaipa Dortmund matumaini makubwa, kwani haijapoteza dhidi ya Werder Bremen katika michezo saba iliyopita ya Bundesliga , ikiwa imeshinda mitano na kutoka sare mbili. Hata hivyo, mapumziko marefu ya mechi za kimataifa yameleta changamoto ya utimamu wa baadhi ya wachezaji wa Dortmund, huku Nico Schlotterbeck akiwa miongoni mwa wanaosubiriwa kujua kama watakuwa tayari kucheza. Kwa ujumla, Dortmund inaonekana kuwa na faida ya uwanja wa nyumbani, kiwango bora na rekodi nzuri dhidi ya Bremen .

Fri, 09 Oct 2026 04:00:00 +0000
Uncategorized · Business Daily

PwC fails to secure buyer for Koko’s carbon credits

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

Fountain Gate FC 1-2 JKT Tanzania | Highlights | NBC PL 09/10/2026

#NBCPL Tazama highlights, ‘Wajeda’ wakifanya come-back’ ya kishindo kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha na kushinda 2-1 wakitokea nyuma. Walitangulia wenyeji Fountain Gate kupitia kwa Sadick Ramadhan, lakini JKT wakatumia dakika tano za mwisho kupindua meza na kuchana nyavu kupitia kwa Karim Mfaume dakika ya 86 na Salum Khamis dakika ya 90+. FT: Fountain Gate 1-2 JKT Tanzania

2026-10-09T15:39:12+00:00
Uncategorized · Citizen Digital

DJ Shiti slams Kenya's 'broken' healthcare system, faults SHA at father's funeral

Read the full report from the original source.

Recently

Page 756 of 1145 · 22898 stories