Unganishwa

Search the region

22898 stories

Uncategorized · Citizen Digital

Muturi warns investors against questionable KPA deal, demands transparency

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Maraga’s 2027 promise: No favours, no one above the law

The ex-CJ has pledged to fight corruption, protect public funds.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Leaked Audios Paint Besigye as Rebel Plotter—But Do They Add Up?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

64TH INDEPENDENCE ANNIVERSARY: Minister Babalanda Pushes Economic Transformation and Stronger Fight Against Corruption

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

President Museveni Sets Sights on $74 Billion Economy by June 2027 as Uganda Marks 64 Years of Independence

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

CMSA YATAKA ELIMU YA UWEKEZAJI KUWAFIKIA KWATU WENYE ULEMAVU

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha elimu ya uwekezaji inawafikia wananchi wote bila kujali hali zao za kimwili au uwezo wa kiuchumi, ili kuongeza ushiriki wa wananchi katika masoko ya mitaji nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa mafunzo ya elimu ya fedha kwa watu wenye ulemavu, Mkuu wa Uhusiano wa Umma wa CMSA, Charles Shirima, amesema kuwa kuwawezesha wananchi kupata maarifa ya kifedha ni hatua muhimu katika kuongeza akiba za ndani na kukuza uchumi jumuishi. "kampeni hii ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Wawekezaji Duniani (World Investor Week), mpango wa kimataifa unaoratibiwa na Shirika la Kimataifa la Tume za Dhamana (IOSCO) kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu uwekezaji salama na wenye taarifa sahihi",amesema Shirima Amesema kuhamasisha wananchi wengi zaidi kushiriki katika uwekezaji ni muhimu katika kujenga utajiri binafsi na kuimarisha uchumi wa taifa. Shirima amesema kuwa CMSA imeshirikiana na Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) kutoa mafunzo yatakayowawezesha washiriki kuelewa fursa mbalimbali za uwekezaji na namna ya kuzitumia kuboresha maisha yao. "Mafunzo hayo yamejikita katika namna masoko ya mitaji yanavyofanya kazi, utaratibu wa kununua hisa pamoja na mbinu bora za kusimamia fedha binafsi",amesema Shirima Aidha, Shirima amesema CMSA hutumia njia mbalimbali kufikisha elimu hiyo kwa wananchi, zikiwemo warsha za ana kwa ana, semina za mtandaoni na mitandao ya kijamii, huku makundi yanayolengwa yakijumuisha wanafunzi, walimu, viongozi wa maeneo na wananchi kwa ujumla. Amesema lengo ni kujenga mazingira jumuishi ya uwekezaji kwa kuhakikisha wananchi wa makundi mbalimbali wanapata maarifa na fursa za kushiriki katika masoko ya mitaji. Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa SHIVYAWATA, Jonas Mbago, amesema mafunzo hayo yamesaidia kurahisisha dhana za kifedha ambazo awali zilionekana kuwa ngumu kueleweka, huku yakiwafahamisha washiriki njia mbadala za kusimamia na kukuza akiba zao. Mbago amesema watu wengi katika jamii wamekuwa na mazoea ya kuhifadhi fedha majumbani au kwenye akaunti za benki zenye riba ndogo, hali inayoweza kupunguza fursa za kukuza fedha zao. “Mafunzo haya yametutambulisha katika njia mpya za uwekezaji zinazoweza kuboresha usalama wetu wa kifedha,” amesema, huku akiiomba Serikali kupanua programu kama hizo ili kuwafikia wananchi wengi zaidi nchini. Naye Mwenyekiti wa chama kinachowakilisha watu wenye 'Psoriasis', ugonjwa sugu wa ngozi unaosababisha kutokea kwa mabaka mazito yenye magamba, Dorothy Malechela, amesema wananchi wanapaswa kuachana na tabia ya kuhifadhi fedha bila kuzizalisha na badala yake kujifunza fursa za uwekezaji zinazodhibitiwa kisheria. Amesema mipango sahihi ya kifedha inaweza kuwasaidia watu kukuza biashara zao, kuimarisha usalama wa kifedha na kufikia malengo yao ya muda mrefu.

Fri, 09 Oct 2026 09:27:38 +0000
Business · Issa Michuzi

CMSA Yasisitiza Uwekezaji Jumuishi kwa Watu Wenye Ulemavu

Fri, 09 Oct 2026 15:30:32 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

South Africa pulls asylum directive after violent protests

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Kenya Approves $350 Million for Kenya Airways Rescue

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

In London, Ggoobi Seeks Billions for Uganda’s Infrastructure

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Forum calls for greater investment in STEM, digital skills

DAR ES SALAAM: STAKEHOLDERS have called for greater investment in girls’ access to science, technology, engineering and mathematics (STEM), digital…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MAFUNZO YA MAKADA WA CCM TANGA YAPOKELEWA KWA KISHINDO

Na Mwandishi Wetu, Tanga Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza rasmi mafunzo kwa makada wa chama ngazi ya kata nchini kote leo, Oktoba 9, 2026, kwa lengo la kuwajengea viongozi, makada na wanachama uelewa mpana kuhusu itikadi, siasa, maadili na misingi ya chama hicho. Katika Mkoa wa Tanga, mafunzo hayo yamepokelewa kwa mwitikio mkubwa kutoka kwa washiriki, huku Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo na Maandalizi ya Makada, Mwl. Yusuph Ally Rajab, akitembelea baadhi ya kata kujionea mwenendo wa mafunzo na ushiriki wa wanachama katika siku ya kwanza. Miongoni mwa kata alizotembelea ni Mtimbwani, Wilaya ya Mkinga, na Maweni, Wilaya ya Tanga, ambako aliwahimiza viongozi, makada na wanachama kuzingatia misingi, maadili na itikadi ya CCM katika maisha na utekelezaji wa majukumu yao. Aidha, aliwataka washiriki kuwa mabalozi wa chama kwa kusambaza elimu wanayoipata kupitia mafunzo hayo na kuitumia kuwaelimisha wanachama wengine, ili kuongeza uelewa kuhusu misingi na mwelekeo wa chama. Mafunzo hayo yanatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 25, 2026, yakiwa na lengo la kuendelea kuwajengea uwezo viongozi, makada na wanachama katika kufahamu itikadi, siasa na misingi ya Chama Cha Mapinduzi.

Fri, 09 Oct 2026 15:15:21 +0000
Uncategorized · The Standard

DPP withdraws Sh17.59m fraud charges against former SHA CEOs Wachira and Ingasira

The judge further directed that the cash bail deposited by the two accused persons be released to the depositors.

Fri, 09 Oct 2026 18:11:27 +0300
Uncategorized · KBC

Kisumu targets 10,000 trees ahead of Mazingira Day celebrations

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Tanzania to phase out physical scratch cards in shift toward cashless economy

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Samia mourns 32 road accident victims in Morogoro

Read the full report from the original source.

Recently
National · Mwananchi

Kisa Mwabukusi, Mahakama yaamuru Mwita atangazwe magazetini

Soma zaidi...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto floats buffalo milk idea to ease shortage

“I had told the Livestock PS to bring in good breeds of camels and buffaloes."

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania marks World Post Day with insistence on digital technology for efficient delivery systems

DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government, in collaboration with the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), has emphasised the need to…

Recently
Uncategorized · Daily News

Dr Bashiru acts tough on misappropriation of public funds

DAR ES SALAAM: THE Minister for Livestock and Fisheries, Dr Bashiru Kakurwa, has warned that he will not tolerate negligence…

Recently

Page 757 of 1145 · 22898 stories