Unganishwa

Search the region

22893 stories

Sports · Azam TV Videos

SIMBA vs YANGA | Kocha wa Yanga aiinulia mikono Kariakoo Derby

#KariakooDerby: “Nafikiri dabi hii imetangazwa vizuri” Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, Kaizer anasema #KariakooDerby ni tofauti na Soweto Derby ambayo inahusisha Kazer Chiefs na Orlando Pirates. Kocha huyo anasema nchini kwao Afrika Kusini hauwezi kuwaona waandishi wengi hata kama ni mechi ya fainali. Manqoba anasema hata kwenye mitandao ya kijamii, dabi hii ina amshamsha kuliko Afrika Kusini. Ni kuelekea #KariakooDerby kesho Oktoba 10, 2026 katika dimba la Uhuru. Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, epuka usumbufu wa kimtandao lipia sasa. #Kariakooderby #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga #WataniWaJadi

2026-10-09T12:38:52+00:00
Uncategorized · Techweez

US Suspends Green Card Sponsorship for Microsoft and Other Tech Firms

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Government assures frontline workers of support amid Ebola response

The Ministry of Health has assured all frontline health line workers of total support in the handling of the Ebola virus in the country. Public Health and Professional Standards Principal…

Recently
Uncategorized · Capital FM

Equity Overpowers Stanbic Aces in Game 5 to Reach KBF Finals

Basketball · 3 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kenya Re taps 90 university students to develop AI flood risk tool

Latest · Business

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Court denies bail to man who threatened magistrate

The court found compelling reasons had been established to justify denying him bond

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Wazazi watakiwa kuweka mkazo malezi ya watoto

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Misugusugu WMA increases its inspection capacity from 8 to 60 tankers per day

KIBAHA: THE Misugusugu Weights and Measures Verification Centre, operated by the Weights and Measures Agency (WMA) in Pwani Region, has…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Court denies bail for man accused of threatening magistrate

The court found compelling reasons had been established to justify denying him bond

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Jinja Woman Reveals How Her Marriage Almost Collapsed After Her Husband Grew Distant, But They Eventually Rebuilt Their Relationship

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Tabitha Karanja dumps UDA for DCP

She announced her political shift during a public forum in Nakuru on Friday.

Recently
Uncategorized · Burundi Forum

ASSUR: 14 ans de silence administratif

ASSUR : 14 ans sans rapports, une élection annulée et un régulateur aux abonnés absents  Une lettre du ministre de l’Intérieur frappe comme un coup de tonnerre : l’Assemblée générale du 4 mars 2026 de l’Association des Assureurs du Burundi (ASSUR) est...

Fri, 09 Oct 2026 11:37:26 +0000
Uncategorized · PML Daily

Isingiro leaders tip sex workers on HIV prevention, safe motherhood and alternative jobs

ISINGIRO — Sex workers in Kikagati Town Council, Isingiro District, have been urged to protect themselves against HIV, prevent unintended pregnancies, report sexual violence and explore alternative sources of income amid

Recently
Uncategorized · Daily News

Kilombero Golf Open 2026 tees off in Morogoro, uniting golf clubs from across the country.

MOROGORO: THE Kilombero Golf Open 2026 kicked off today as golf enthusiasts gear up for an exciting weekend of skill,…

Recently
National · Issa Michuzi

OLE MILLYA: SIMANJIRO TUSIBEZE UTEUZI WA RAIS

Na Mwandishi Wetu, Simanjiro NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, James Kinyasi Ole Millya, amewataka wakazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara kuthamini na kuheshimu uteuzi unaofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan badala ya kubeza nafasi wanazopewa viongozi kutoka wilayani humo. Ole Millya, ambaye pia ni Mbunge wa Simanjiro, ameyasema hayo wakati wa ziara yake katika Kijiji cha Kimotorok, Kata ya Loiborsiret, alipokutana na wananchi, kuwashukuru kwa ushirikiano wao na kusikiliza kero zinazowakabili. Amesema tangu kuanzishwa kwa Wilaya ya Simanjiro, haijawahi kupata kiongozi katika nafasi ya Naibu Waziri, hivyo wananchi wanapaswa kuthamini nafasi hiyo na kushukuru kwa hatua iliyofikiwa. “Wana Simanjiro, tukipata nafasi ya uteuzi hata kama ni ndogo, tunapaswa kushukuru kwa moyo mkunjufu na siyo kuibeza,” amesema Ole Millya. Akizungumzia suala hilo, Diwani wa Kata ya Komolo, Saning'o Somii, amesema baadhi ya viongozi wastaafu wanapotosha jamii kwa kudai kuwa nafasi ya Naibu Waziri ni ndogo ikilinganishwa na nafasi ya Mkuu wa Mkoa ambayo baadhi yao waliwahi kushikilia. “Mtu badala ya kukaa pembeni baada ya kukosa uongozi, anataka kwenye sherehe aimbiwe wimbo wa sifa kama yupo madarakani,” amesema Somii. Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Terrat, Jackson Ole Materi, amewataka viongozi wastaafu kujiepusha na kauli zinazoweza kudhoofisha heshima ya viongozi waliopo madarakani na badala yake kuwaachia nafasi ya kutekeleza majukumu yao. Amesema nafasi ya Naibu Waziri ina majukumu yanayohusisha masuala ya kitaifa na ushiriki katika shughuli za Baraza la Mawaziri, huku Mkuu wa Mkoa akisimamia shughuli za Serikali katika eneo lake la kiutawala. “Mtu anasema yeye alikuwa Mkuu wa Mkoa ni nafasi kubwa kuliko nafasi ya Naibu Waziri, jambo ambalo siyo sahihi, kwani Naibu anazunguka nchi nzima na Mkuu wa Mkoa anaongoza mkoa mmoja, pia Naibu anakuwepo kwenye Baraza la Mawaziri tofauti na RC,” amesema Ole Materi. Naye mkazi wa Kijiji cha Kimotorok, Nai Mollel, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Ole Millya kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. “Ningemuona mama yetu Samia ningemkumbatia na kumbusu mara 10 kama ishara ya kumshukuru kwa kumteua kuwa Naibu Waziri mtoto wetu Ole Millya,” amesema Mollel. Katibu wa CCM Wilaya ya Simanjiro, Wambura Igembya, amewataka wakazi wa Loiborsiret kuepuka siasa zisizo za kistaarabu na kuelekeza nguvu zao katika shughuli za maendeleo. Naye Diwani wa Kata ya Loiborsiret, Ezekia Lesenga maarufu kama Mardadi, amempongeza Ole Millya kwa juhudi zake za kushughulikia migogoro ya ardhi katika Wilaya ya Simanjiro. Mardadi amesema katika kipindi cha kwanza cha ubunge wa Ole Millya, kuanzia mwaka 2015 hadi 2020, mawaziri wanane walifika katika kata hiyo kwa lengo la kutafuta suluhu ya migogoro ya ardhi iliyokuwa ikiikabili jamii.

Fri, 09 Oct 2026 12:10:28 +0000
Uncategorized · The Citizen

Ndejembi sets six-point agenda to protect Western Indian Ocean ecosystem

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Court case against Optiven withdrawn after settlement

Business · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Techweez

Why Tech Companies Are Struggling to Operate in Kenya

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Why Tanzania’s blue economy depends on what happens on land

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tanzania shares maternal health lessons with Africa

Read the full report from the original source.

Recently

Page 761 of 1145 · 22893 stories