Unganishwa

Search the region

22892 stories

Uncategorized · Watchdog Uganda

MPs Demand UNOC Fuel Price Breakdown Amid Rising Pump Prices

Parliament has demanded a breakdown of the price at which Uganda National Oil Company (UNOC) supplies fuel to oil marketing companies, as MPs questioned rising pump prices and called for…

Recently
Uncategorized · PML Daily

Movit Africa named best overall exhibitor at 32nd Uganda International Trade Fair

Movit Africa has been named Best Overall Exhibitor at the 32nd Uganda International Trade Fair (UGITF), which is under way at the UMA Showgrounds in Lugogo, Kampala. The award was presented...

Recently
Uncategorized · Capital FM

COTU asks DCI to investigate Kudheiha finances amid leadership dispute

Latest · News

Recently
Business · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU AWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA RAFIKI TANZANIA

LONDON, UINGEREZA — Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewahakikishia wawekezaji kuwa Tanzania ina mazingira rafiki ya uwekezaji yanayolenga kuvutia mitaji na kukuza shughuli za kiuchumi katika sekta mbalimbali. Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 9, 2026, alipokutana na kuzungumza na wawekezaji walioshiriki katika Kongamano la Kimkakati la Uwekezaji na Masoko ya Fedha lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Citi Bank nchini Uingereza. Katika mazungumzo hayo, Waziri Mkuu ameeleza kuwa mazingira ya uwekezaji nchini yanaimarishwa kupitia sera, sheria na miundombinu inayolenga kuwezesha shughuli za uwekezaji na kukuza ushiriki wa wawekezaji katika sekta mbalimbali za uchumi. Amezitaja sekta za benki na madini kuwa miongoni mwa maeneo yenye fursa za uwekezaji, huku akieleza umuhimu wa kuwepo kwa mazingira yanayowezesha mitaji kuingia nchini na kuchochea shughuli za kiuchumi. Dkt. Mwigulu yuko nchini Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, inayolenga kutekeleza shughuli mbalimbali za kikazi.

Fri, 09 Oct 2026 11:57:08 +0000
Sports · Azam TV Videos

Kariakoo Derby | Kocha wa Yanga amtaja Doumbia wa Simba kuelekea mechi yao

#KariakooDerby: “Doumbia kama atacheza ni mmoja wa wachezaji muhimu” Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi anasema wanaiendea mechi dhidi ya Simba SC, wakiwa wamefanyia kazi maeneo ambayo wanajua wapinzani wao ni imara huku akiwataja baadhi ya wachezaji. Ni kuelekea #KariakooDerby kesho Oktoba 10, 2026 katika dimba la Uhuru. Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, epuka usumbufu wa kimtandao lipia sasa. #Kariakooderby #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga #WataniWaJadi

2026-10-09T11:46:03+00:00
Uncategorized · Capital FM

International Housing Solutions Kenya Breaks Ground on Muzi Enzi, a KES 1.8 Billion Rental Development in Tatu City

Latest · Kenya

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Former minister Burudi Nabwera dies

Nabwera served as Kenya’s first ambassador to the United States.

Recently
Health · The Citizen

Coughs become data in new AI fight against respiratory diseases

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

TRC ordered to maintain safety, efficiency of  SGR service heading to El Niño rains

MOROGORO: THE Tanzanian government has directed Tanzania Railways Corporation (TRC) to ensure that Standard Gauge Railway (SGR) services remain efficient,…

Recently
Health · Issa Michuzi

RAIS DKT. MWINYI AVUTIWA NA HUDUMA ZA DOC MEDICAL CENTER, QATAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 09 Oktoba 2026, ametembelea DOC Medical Center nchini Qatar, kituo cha huduma za afya kinachotoa huduma kupitia idara nane za kitaalamu za kiafya, chini ya mwanzilishi wake na Mkurugenzi Mtendaji, Dkt. Emmanuel Tolessa. Katika ziara hiyo, Rais Dkt. Mwinyi amevutiwa na huduma zinazotolewa na kituo hicho, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano katika sekta ya afya kupitia Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na mifuko ya hifadhi ya jamii ya NSSF na PSSSF, kwa lengo la kuanzishwa hospitali hii nchini Tanzania. Kupitia mpango huo wa ushirikiano, DOC Medical Center inatarajiwa kuchangia vifaa tiba, wataalamu wa afya na baadhi ya madaktari, kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya nchini. Mradi huo unalenga pia kuanzisha huduma za hospitali na famasia, huku kukiwa na matarajio ya kukamilika kabla ya kuanza kwa michuano ya AFCON 2027. DOC Medical Center ina uzoefu wa kutoa huduma za afya katika matukio makubwa ya kimataifa, ikiwemo michuano ya Kombe la Dunia la FIFA ya mwaka 2022 nchini Qatar. Rais Dkt. Mwinyi amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini Qatar leo na anatarajiwa kuelekea Madrid, Uhispania, kuendelea na ziara yake.

Fri, 09 Oct 2026 11:46:29 +0000
National · DW Rwanda

Voting to begin in Czech local, Senate elections

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

France: Investigators recover 2 stolen Renoir paintings

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

Global music experience Aprtment Life makes Kampala debut with Don Julio, Johnnie Walker

Kampala will host its first edition of Aprtment Life, a travelling music and lifestyle event, on Saturday, 10 October. The event has previously been staged in cities including Paris and Cape...

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Nyaisonga aonya dhidi ya waganga wa kienyeji

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Cotu denies interfering in Kudheiha affairs

Cotu has asked the DCI to establish whether any offences were committed in the management of Kudheiha.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Kituo cha Uhakiki Vipimo Misugusu chaongeza uwezo

Misugusu sasa kuhakiki magari 60 Kituo cha Uhakiki wa Vipimo kinachomilikiwa na Wakala wa Vipimo (WMA) cha Misugusu mkoani Pwani kimeongeza uwezo wa kuhakiki magari yanayosafirisha mafuta kutoka magari nane hadi 60 kwa siku, hatua inayowarahisishia wafanyabiashara na wasafirishaji kupata huduma kwa wakati. Meneja wa kituo hicho, Mrisho Mandari, amesema kazi kubwa ya kituo ni kuhakiki magari yanayosafirisha mafuta ya petroli na dizeli kutoka Tanzania na nchi jirani, zikiwemo Zambia, Malawi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda na Burundi. Mandari amesema awali huduma hizo zilitolewa katika kituo cha Ilala, ambacho kilikuwa na uwezo wa kuhakiki magari manane kwa siku. Hata hivyo, Serikali ilijenga kituo kipya cha Misugusu ili kuongeza uwezo wa kuhudumia wateja na kupunguza muda wa kusubiri. Amesema kwa sasa kituo kina uwezo wa kuhakiki magari 60 kwa siku, hivyo kuwawezesha wasafirishaji kutoka mikoa mbalimbali kufika, kupata huduma na kuendelea na shughuli zao bila usumbufu mkubwa. Raymond George kutoka Kampuni ya Abood Morogoro amesema ameridhishwa na huduma alizopata baada ya kufika kituoni hapo asubuhi na kukamilisha zoezi la uhakiki siku hiyo hiyo. Amewahimiza wasafirishaji wengine kutoka mikoani kutumia kituo hicho ili kurahisisha shughuli zao. Kwa upande wake, Anthony Mulenga kutoka Zambia, anayefanya kazi katika Kampuni ya Latitude, amesema kampuni yao hupeleka magari yale Tanzania kwa ajili ya uhakiki wa vipimo. Amesema wamekuwa wakipata huduma nzuri na kwamba madereva wao hawajawasilisha malalamiko kuhusu huduma wanazopata kituoni hapo. Baadhi ya wateja wengine wameeleza kuridhishwa na muda unaotumika kukamilisha uhakiki, wakisema hurudi kituoni baada ya muda wa vyeti vyao vya uhakiki kuisha ili kufanya ukaguzi unaohitajika na kuendelea na shughuli za usafirishaji.

Fri, 09 Oct 2026 10:49:48 +0000
Uncategorized · Capital FM

Kenya Met forecasts rain in dozens of counties over next seven days

Latest · County News

Recently
Uncategorized · Capital FM

Court Withdraws Sh17.5mn Misappropriation Case Against Ex-SHA Boss Wachira

NATIONAL NEWS · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Daily News

IPU president-elect pledges space for every nation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

'Mental' stability delays bail ruling for Mbithe, children in Mutiso murder case

Mbithe and her two children questioned Ndeteis mental stability and capacity to swear an affidavit relied upon in opposing the accused persons release on bail.

Fri, 09 Oct 2026 14:07:21 +0300

Page 762 of 1145 · 22892 stories